English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
I am
|
mimi ni
|
U
|
wewe
|
him
|
yeye
|
her
|
yeye
|
you
|
wewe
|
we
|
sisi
|
them
|
hao
|
there
|
hapo
|
it's me
|
ni mimi
|
I
|
mimi
|
i
|
mimi
|
Are you sure?
|
Je, una uhakika?
|
I love you.
|
Nakupenda.
|
This is my friend Rachel. We went to high school together.
|
Huyu ni rafiki yangu Rachel. Tulikwenda pamoja shule ya sekondari.
|
I have a headache.
|
Kichwa kinauma.
|
Where there's a will, there's a way.
|
Penye nia, pana njia.
|
I don't want to go to school.
|
Sitaki kwenda shule.
|
Don't forget about us!
|
Hutusahau!
|
How much is it?
|
Ni bei gani?
|
Can you keep a secret?
|
Je, unaweza kutunza siri?
|
What are you doing?
|
Unafanya nini?
|
What are you doing?
|
Mnafanya nini?
|
You have many books.
|
Una vitabu vingi.
|
You have many books.
|
Mna vitabu vingi.
|
You are teachers.
|
Nyinyi ni waalimu.
|
Do you remember?
|
Unakumbuka?
|
How is your family?
|
Habari za nyumbani?
|
What's new?
|
Habari gani?
|
I'd like to rent a car.
|
Ningependa kukodi gari.
|
Have a nice day.
|
Siku nzuri.
|
If he had stayed at home that day, he would not have met with disaster.
|
Kama angekaa nyumbani, asingepata taabu.
|
If I had known it, I would have gone there.
|
Kama ningejua, ningekwenda.
|
Take a taxi to the hotel.
|
Kwenda kwa teksi hotelini.
|
What is the language spoken in Brazil?
|
Lugha ambayo inasemwa Brazil ni nini?
|
What?
|
Nini?
|
I don't have a ticket.
|
Sina tikiti.
|
Don't forget to post the letter.
|
Usisahau kupeleka barua
|
Would you like another cup of coffee?
|
Je, ungependa kikombe kingine cha kahawa?
|
Our cat is in the kitchen.
|
Paka yetu ipo jikoni.
|
I come from England.
|
Natoka Uingereza.
|
It looks like a duck.
|
Anafanana bata.
|
Are you studying?
|
Je, unasoma?
|
Do you speak Japanese?
|
Je, wasema Kijapani?
|
How are you? What sort of day are you having today?
|
Hujambo, bwana? Habari gani za mchana?
|
All of us stared at her.
|
Wote tuliangalia saa yake.
|
We are students.
|
Sisi ni wanafunzi.
|
I have a telephone in my room.
|
Nina simu katika chumba changu.
|
I am an American.
|
Mimi ni Mmarekani.
|
I come from Australia.
|
Ninatoka Australia.
|
I have a computer.
|
Nina kompyuta.
|
I come from Brazil.
|
Ninatoka Brazil.
|
I have an old bicycle.
|
Nina baiskeli ya zamani.
|
I come from Saitama.
|
Ninatoka Saitama.
|
I am a teacher.
|
Mimi ni mwalimu.
|
Who am I?
|
Mimi ni nani?
|
I want to live.
|
Nataka kuishi.
|
I'll come back.
|
Nitarudi.
|
Do good to those who hate you.
|
Watendeeni mema wanaowachukia.
|
God created the world.
|
Mungu aliumba dunia.
|
Someone knocked on the door.
|
Mtu alibisha mlango.
|
Turn off the light.
|
Zima taa.
|
I come from Japan.
|
Ninatoka Japani.
|
He comes from England.
|
Anatoka Uingereza.
|
He is eating.
|
Anakula.
|
She comes from California.
|
Anatoka California.
|
I don't know.
|
Sijui.
|
Who are you?
|
Wewe ni nani?
|
Who are you?
|
Nyinyi ni nani?
|
You are my friend.
|
Wewe ni rafiki yangu.
|
I have a dog.
|
Nina mbwa.
|
How are you today?
|
Habari za leo?
|
How are you today?
|
Habari za mchana?
|
She hated him.
|
Alimchukia.
|
She didn't like him.
|
Hakumpenda.
|
Are you at home?
|
Je, wewe ni nyumbani?
|
What's your name?
|
Jina lako nani?
|
Are you hungry?
|
Je, una njaa?
|
Are you hungry?
|
Je, mna njaa?
|
He is teaching Arabic.
|
Anafundisha Kiarabu.
|
Could I have the bill, please?
|
Naweza kupata bili, tafadhali?
|
How is the family?
|
Hamjambo nyumbani?
|
Love is blind.
|
Mahaba ni tongo.
|
I go to school.
|
Naenda shule.
|
Don't worry.
|
Hakuna matata.
|
It would have been better if you had not gone there.
|
Bora usingekwenda hapo.
|
How are things?
|
Habari gani?
|
How are things?
|
Habari?
|
They come from Sweden.
|
Wanatoka Uswidi.
|
You are children.
|
Nyinyi ni watoto.
|
Why are you drinking water?
|
Mbona unanywa maji?
|
He is responsible for it.
|
Ni kazi yake.
|
She is responsible for it.
|
Ni kazi yake.
|
What is this thing used for?
|
Kazi yake nini kitu hiki?
|
I have succeeded in doing it.
|
Nimepata kufanya.
|
I have done it.
|
Nimepata kufanya.
|
Colorless green ideas sleep furiously.
|
Mawazo ya kijani yasiyokamili yanalala hoi.
|
It's a pretty house.
|
Ni nyumba nzuri.
|
My pen is new.
|
Kalamu changu ni mpya.
|
Is there a washing machine in the house?
|
Je, kuna mashine ya kufulia nyumbani?
|
Do you know this lady?
|
Je, unajua mwanamke huyu?
|
Subsets and Splits
Long Swahili Sentences
Retrieves 1,000 Swahili translations longer than 20 characters, providing a basic sample for further analysis.