File size: 35,891 Bytes
b156b41
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
292
293
294
295
296
297
298
299
300
301
302
303
304
305
306
307
308
309
310
311
312
313
314
315
316
317
318
319
320
321
322
323
324
325
326
327
328
329
330
331
332
333
334
335
336
337
338
339
340
341
342
343
344
345
346
347
348
349
350
351
352
353
354
355
356
357
358
359
360
361
362
363
364
365
366
367
368
369
370
371
372
373
374
375
376
377
378
379
380
381
382
383
384
385
386
387
388
389
390
391
392
393
394
395
396
397
398
399
400
401
402
403
404
405
406
407
408
409
410
411
412
413
414
415
416
417
418
419
420
421
422
423
424
425
426
427
428
429
430
431
432
433
434
435
436
437
438
439
440
441
442
443
444
445
446
447
448
449
450
451
452
453
454
455
456
457
458
459
460
461
462
463
464
465
466
467
468
469
470
471
472
473
474
475
476
477
478
479
480
481
482
483
484
485
486
487
488
489
490
491
492
493
494
495
496
497
498
499
500
501
502
503
504
505
506
507
508
509
510
511
512
513
514
515
516
517
518
519
520
521
522
523
524
525
526
527
528
529
530
531
532
533
534
535
536
537
538
539
540
541
542
543
544
545
546
547
548
549
550
551
552
553
554
555
556
557
558
559
560
561
562
563
564
565
566
567
568
569
570
571
572
573
574
575
576
577
578
579
580
581
582
583
584
585
586
587
588
589
590
591
592
593
594
595
596
597
598
599
600
601
602
603
604
605
606
607
608
609
610
611
612
613
614
615
616
617
618
619
620
621
622
623
624
625
626
627
628
629
630
631
632
633
634
635
636
637
638
639
640
641
642
643
644
645
646
647
20121#0	Namba za eneo za mji wa Montreal huanza na herufi gani?
103375#0	Daniel Arap Moi alikuwa mjumbe kwa mda wa miaka mingapi?
4890#0	Mwaka wa 2013 ulikuwa na jumapili ngapi?
38219#0	Mto wa Mississippi una urefu wa kilometa ngapi?
35624#0	Nchi ya Tanzania ina wabunge wangapi waliopitisha miaka 60?
22200#0	Ni kata ngapi zina watu zaidi ya milioni tatu barani Afrika?
1900#0	Siku ya ardhi Duniani iliadhimishwa mara ya kwanza mji upi?
97761#0	Ni nani aliyemuua Petero mtume wa Yesu?
16479#0	Rais aliyetawala mda mrefu zaidi duniani ni nani?
78850#0	Ni mnyama yupi anaye abuduliwa nchini India?
104138#0	Kuna kaunti ngapi Nairobi?
103955#0	Mto wa Husdon hushia mji upi?
1721	Je,rais wa 10 wa Marekani aliitwa nani?
34909#0	Nyimbo za Genge zilianza kutia fora mji upi?
36749#0	Maombi ya waislamu hufanywa saa ngapi?
92414#0	Timu ya mpira wa kikapu ina wachezaji wangapi?
103582#0	Mji wa Homa Bay ulipata hospitali ya kwanza mwaka gani?
31806#0	Mwimbaji Whitney Houston aliimba albamu ngapi?
99493#0	Wimbo wa Mrs.Jones uliimbwa na bendi ya nchi gani?
78761#0	Ni mifugo ipi hufugwa mji wa Kitale?
35021#0	Mwimbaji Ashanti amerekodi nyimbo ngapi zilizofika Top 40?
83757#0	Mkuu wa kata nchini Gabon huitwaje?
55106#0	Wimbo wa kwanza wa kikundi cha Beatles ni upi?
1012	Emmaus Shule ya Biblia  ilianzishwa na nani?
25994#0	Karo ya shule ya msingi ufaransa ni pesa ngapi?
78863#0	Lugha ya Kihindi ina nomino ngapi za kihispania?
67864#0	Rais wa Botswana ana watoto wangapi?
98689#0	Mto Dehu ulipewa jina Dehu mwaka gani?
24818#0	Wilaya ya Ontario ina miji mingapi?
34351#0	Jengo la CN Tower Toronto lina mikahawa mingapi?
67483#0	Bibi ya Michael Jackson alikuwa nani?
99510#0	Ni meli aina gani zina mwendo wa kasi zaidi?
17155#0	Silicon Valley iko eneo lipi?
74277#0	Papa John Paul wa Pili alitembea bara la Afrika mara ngapi?
1815	Rais Donald Trump wa Marekani  aliingia mamlakani akiwa na umri gani?
71318#0	Mji wa Frankfurt hupata unyevunyevu kiasi gani mwezi wa kumi?
68077#0	Wakazi wa Kanada hucheza aina ngapi za michezo ya theluji?
43597#0	Ni nini kilichosababisha vita vya Ethiopia mwaka wa 2021?
10515#0	Gangis Khan alizaliwa mji upi?
85240#0	Ni nchi zipi zilifanya sensa mwaka wa 2021?
96519#0	Volkeno ya mwisho kulipuka ni gani?
21280#0	Wilaya ya Hai Tanzania iko kilometa ngapi kutoka Arusha?
74214#0	Kuna visiwa vingapi nchini Ufilipino?
1552	Uholanzi iko na idadi ngapi ya watu?
61686#0	Matamshi ya Malcolm X yametafsiriwa kwa lugha ngapi?
7160#0	Ni mji upi Kanada wenye namba za sera zinazoanza na herufi 'Z'?
30375#0	David na Victoria Beckham ni wazazi wa watoto wangapi?
13748#0	Mwimbaji Gloria Estefan ni raia wa nchi zipi?
106004#0	Mwandishi Ruth Downie ana binti wangapi?
36202#0	Benki ya Standard Chartered iko nchi ngapi?
57944#0	Mji wa Ileje uko kilometa ngapi kutoka Dodoma?
156	Je,papa wa kwanza  katika kanisa katoliki duniani aliitwa nani?
99209#0	Mto wa Ifume una urefu wa kilometa ngapi?
188	Makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya ni nani?
983	Je,papa wa kwanza duniani alikuwa nani?
98563#0	Mji wa San Diego una mito mingapi ambayo yenye upana zaidi ya mita mia moja?
84565#0	Mbwa ana meno mangapi?
7214#0	Marekani ina miji mingapi?
27116#0	Nchi ya Algeria ina wilaya ngapi zinapakana na bahari?
73045#0	Lugha ya Kikuyu huzungumzwa na watu wangapi?
70204#0	Lugha ya taifa ya Misri ni gani?
33796#0	Nigeria ina milima mingapi yenye kilele cha theluji?
45803#0	Chuo kikuu cha Ruhr kina wanafunzi wangapi wanawake?
14261#0	Kitabu cha A tale of two cities kina kurasa ngapi?
28644#0	Mji wa Kigoma una wasanii wangapi?
99604#0	Samaki ya tilapia ina meno ngapi?
27118#0	Ni wanafunzi wangapi walifanya mtihani wa KCPE mwaka 2021 wilaya ya Kisumu Kenya?
85571#0	Ni dikteta yupi alitawala miaka mingi zaidi duniani?
74258#0	Tofauti ya kimombo na kiingereza ni gani?
46002#0	Mji wa Miami una hospitali ngapi?
34965#0	Mchezo wa Sudoku ulianza nchi gani?
65696#0	Lugha ya makonde huzungumzwa nchi gani?
11742#0	Ni moshi wa rangi gani hufahamisha kwamba papa amepatikana?
36264#0	Mji wa Ganana una polisi wangapi?
99342#0	Mto wa Delaware una urefu wa kilometa ngapi?
64675#0	Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Tumbuka?
76669#0	Kuna kanisa ngapi za Kikatoliki mji wa Toronto Kanada?
45901#0	Ni nchi gani ilikuwa ya kwanza kutengeneza chokoleti?
13226#0	Wimbo wao wa kwanza wa Bone Thugz n harmony ulirekodiwa mwaka gani?
34155#0	Timu ya Arsenal ina waafrika wangapi?
64542#0	Mwimbaji Bobby Valentino ameshinda tuzo ngapi za Grammy?
34176#0	Nyimbo za kitamaduni za wakikuyu huhitaji mavazi ya aina gani?
91832#0	Kompyuta ya Dell ina prosesa ngapi?
76019#0	Mji wa Kisumu ulipata kisima cha kwanza mwaka gani?
85155#0	Elfu Mia saba na sabini huandikwaje kwa tarakimu za Kirumi?
22592#0	Watanzania wana sikukuu ngapi kwa mwaka?
44093#0	Mji wa Lagos una wafanyakazi wangapi wanaotegemea sekta ya muziki?
99583#0	Mto wa Thompson ulisababisha mafuriko ya mwisho mwaka gani?
38290#0	Mji wa Dorchester Kanada una timu ngapi za mchezo wa magongo?
42967#0	Nchi Ya Lithuania hupokea msaada wa pesa ngapi?
79725#0	Michezo ya olimpiki ya 2024 itachezwa nchi gani?
76444#0	Sensa ya mwisho ya Mali ilifanyika mwaka gani?
71608#0	Kuna shule ngapi za uigizaji Los Angeles?
95430#0	Chapati zililetwa Afrika na watu wa nchi gani?
22143#0	Ni kata ngapi nchini Mali ambazo zina hospitali zaidi ya kumi?
92807#0	Mwigizaji Mukobelo wa Uganda alianza kuigiza mwaka upi?
90369#0	Mwanasiasa Raila Odinga alimchagua nani kama mgombea mwenza?
16914#0	Mabawa ya kuku yana urefu wa sentimeta ngapi?
106330#0	Kuna Disneyland ngapi Marekani?
19997#0	Somalia ina waziri wangapi?
23937#0	Ni ziwa ngapi Afrika hutumiwa kutengeneza umeme?
2605	Rhodesia ina ukubwa gani?
99428#0	Mkoa wa Nairobi una miji mingapi?
1307	Nchi ya Uholanzi iko na idadi ngapi ya watu?
74535#0	Lugha ya taifa ya Comoros ni gani?
74382#0	Mtu anayejua lugha mingi zaidi duniani ana miaka mingapi?
86783#0	Kuna vibanda vingapi vya viatu Uchina?
39932#0	Wimbo wa taifa wa Marekani una mistari ngapi?
101917#0	Kuna mito mingapi inayoingia mto wa Nile?
20449#0	Wilaya ya Kilombero ina mito mingapi?
95879#0	Rais wa kwanza wa Ujerumani alikuwa nani?
98641#0	Bahari ya Pasifiki hupatwa na tsunami ngapi kwa mwaka?
99771#0	Meli husafiri siku ngapi kutoka Ujerumani hadi Mombasa?
61695#0	Lugha ya Fula ina maneno mangapi?
81054#0	Kilemba huvaliwa na watu wa dini gani?
25351#0	Kikundi cha Nazi kilikuwa na wanajeshi wangapi?
84593#0	Filamu ya kwanza ya Scorpion King ilionyeshwa mwaka gani?
10094#0	Nani alikuwa rais wa Msumbiji mwaka wa 2001?
43356#0	Mji wa London una hoteli ngapi za nyota tatu au zaidi?
91950#0	Kitabu cha biblia huuzwa pesa ngapi Kenya?
29403#0	Nchi ya Somali ina mikoa mingapi kwa mipaka ya nchi jirani?
19410#0	Mji mkuu wa Mkoa wa Ugunja Kusini ni upi?
62299#0	Lugha ya Kifanagalo iko nchi gani?
98809#0	Maji ya mto yanahitaji kuchemshwa hadi digrii ngapi kabla ya kunywa?
93267#0	Namba tano huandikwaje?
7371#0	Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa mbunge Tanzania ni nani?
2615#0	Kuna ziwa ngapi bonde la ufa zenye urefu zaidi ya kilometa mia mbili?
100488#0	Mto wa Hudson una samaki aina ngapi?
65687#0	Lugha ya Ewe ina nomino ngapi za kiarabu?
89300#0	Wilaya ya Nairobi ina kaunti ngapi zenye wakazi chini ya elfu kumi na mbili?
102559#0	Mto wa Cahabon uko nchi gani?
95377#0	Kampuni ya Bayer ilianzishwa nchi gani?
85945#0	Kifaa cha muzizi cha marimba ni cha nchi gani?
2951#0	Rais wa nchi ya Togo amefanya nini ili kuendeleza masomo?
81536#0	Kuna lugha ngapi za Kinubi nchini Sudan?
90082#0	Mwaka wa 2000 ulikuwa na siku ngapi?
78350#0	Lugha ya Kiingereza ina nomino ngapi za kifaransa?
77018#0	Al Capone alipelekwa jela akiwa na miaka mingapi?
24249#0	Kuna vitabu vingapi vya Harry Porter?
2103	Jimbo la Katalunya ya magharibi ya kaskazini lina idadi ngapi ya watu?
103858#0	Julius Kaisari alikuwa na bibi wangapi?
21047#0	Mkoa wa Tanga una shule ngapi za chuo kikuu?
91545#0	Ni kwanini bayolojia hutumia majina ya kilatini?
56767#0	Kuna waluo wangapi Kenya?
87250#0	Ni lugha gani ambayo ina mashairi mengi zaidi?
104515#0	Ni nani kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Kenya?
105030#0	Ni dawa ipi huondoa uchungu wa meno?
72304#0	Masomo ya uwakili ni ya miaka mingapi nchini Kenya?
38013#0	Mji wa San Diego una walimu wangapi ambao walifikisha masomo chuo kikuu?
77336#0	Ni mbao za mti upi hufaa zaidi kujenga daraja?
10424#0	Mji wa Kahama una shule ngapi za msingi?
89301#0	Mji wa Juba una mito mingapi?
96633#0	Ni nani hutabiri kama volkeno italipuka?
45799#0	Kuna miji mingapi inayoitwa Frankfurt duniani?
74413#0	Lugha ya Tagalog ina uhusiano upi na Kihispania?
12977#0	Wimbo wa Rudolf the rednosed reindeer huimbwa wakati upi?
13138#0	Jaji wa kwanza mweusi Marekani alikuwa ni nani?
66635#0	Redio ya kwanza ilijengwa mwaka upi?
37519#0	Filamu ya Jason Bourne ililetwa mara ya kwanza Netflix mwaka gani?
90352#0	Mwimbaji Issa wa Kenya alifariki akiwa na miaka mingapi?
4887#0	Wiki ina siku ngapi?
1591	Je,Israeli iko katika bara gani?
21774#0	Benki za mji wa Kigoma hufunguliwa saa ngapi?
43562#0	Ni wilaya ipi hukatwa umeme mara mingi zaidi Tanzania?
81165#0	Lugha ya taifa ya Lebanon ni ipi?
62543#0	Kihispania ni lugha ya taifa gani Afrika?
34158#0	Jina la Bollywood lilianza kutumiwa lini?
19401#0	Bunge la Kenya lina wabunge wangapi chiana ya miaka arobaini?
91689#0	Ni watu wangapi wa miaka chini ya ishirini wamepanda mlima Everest?
95438#0	Mji wa New York una studio ngapi?
74124#0	Mto wa Okanogan Kanada una urefu wa kilometa ngapi?
96379#0	Ni nani anamiliki timu ya soka ya Arsenal?
68121#0	Sensa ya Tanzania hufanyika baada ya miaka mingapi?
18797#0	Lugha ya Tagalog hunadikwa kwa kutumia alfabeti aina gani?
70269#0	Mababu wa watu wanaoonge kibantu walitoka nchi gani?
24907#0	Kuna mikoa mingapi nchini Peru?
3185	Je,Oliver N'Goma alianza mziki mwaka upi?
67334#0	Mende ana miguu mingapi?
65719#0	Mji unaorekodi filamu nyingi zaidi Nigeria ni upi?
2987#0	Mwigizaji Betty White alikuwa na watoto wangapi wa kiume?
34929#0	Filamu ya The Gods must be crazy ilitengenezwa nchi gani?
84155#0	Mji wa Malindi una warabu wangapi walio soma chuo kikuu?
42013#0	Zambia ina waziri wangapi wanawake?
35981#0	Kipindi cha Grey’s Anatomy kilionyeshwa kuanzia tarehe ngapi?
12587#0	Papa wa kwanza alikuwa nani?
21212#0	Ni mji upi bara la Afrika ambao una mashaba makubwa zaidi ya mpunga?
20267#0	Mwigizaji Jalang’o ameajiriwa vituo vingapi vya televisheni?
95352#0	2022 ni mwaka upi katika kalenda ya Kichina?
2816#0	Ndege ya Boeing 707 hubeba abiria wangapi?
101838#0	Mto wa manjano ulipewa jina manjano kwa nini?
61784#0	Shule inayowafunza wanajeshi wa Marekani lugha huitwaje?
5222#0	Mikebe ya soda hutengenezwa na chuma gani?
20484#0	Ni sehemu gani ya dunia ambayo haipati jua kamwe?
86999#0	Nchi ya Urusi ina wanajeshi wangapi?
20003#0	Mkoa wa Nyanza una vituo vingapi vya reli?
100956#0	Gari la Tesla huuzwa dola ngapi za marekani?
10429#0	Wakimbizi wanahitaji kuishi Norway miaka mingapi kabla ya kupewa uraiyaa?
69903#0	Mji wa Charleston una wakazi wangapi wanaopata mshara zaidi ya dola milioni moja?
95212#0	Chumba cha juu cha bunge Uganda huitwaje?
103943#0	Mto Slave uno daraja ngapi za mbao?
92814#0	Mwigizaji Tom Cruise amejeruhiwa mara ngapi akirekodi filamu?
104214#0	Waziri wa elimu Tanzania ni nani?
84564#0	Namba mia nne tisini na mbili huandikwaje kwa tarakimu za kawaida?
102224#0	Watu wa kabila ya Turkana huoa bibi wangapi kwa kawaida?
80102#0	Tanzania imekuwa na rais wangapi?
27711#0	Diana Ross ana mali kiasi gani?
86704#0	Kijerumani ni lugha ya taifa katika nchi ngapi?
4181#0	Ziwa Malawi lina aina ngapi za kobe?
21002#0	Mji wa Makindu Kenya una wakazi wangapi?
94164#0	Vita vya kwanza vya dunia vilisababishwa na nini?
67175#0	Mbunge wa Kajido ya Kaskazini Kenya ni nani?
89950#0	Dhahabu hupatikana mji upi Australia?
19521#0	Nchi ya Zimbabwe ilimchagua nani kama rais mwaka wa 2018?
87803#0	Arobaini huandikwa aje kwa tarakimu za Kirumi?
95028#0	Wilaya ya Kilolo ina milima mingapi?
97304#0	Ni nini kilichofanya chokoleti ya Ubelgiji itie fora?
82476#0	Mtakatifu wa mwisho wa kanisa la katoliki ni nani?
5715#0	Watoto wa Tanzania hupewa chanjo ngapi wakiwa wachanga?
57922#0	Wilaya ya Hai ina kata ngapi?
37196#0	Kampuni inayouza umeme mji wa Cranbrook Kanada ni ipi?
21049#0	Shule binafsi za mji wa Montreal hulipisha karo ya dola ngapi?
75078#0	Mwaka wa 2022 una siku ngapi?
84860#0	Alfabeti ya Kilatini ina herufi ngapi?
90854#0	Masomo ya padri ni ya miaka mingapi?
32625#0	Ofisi ya vitambulisho eneo la Kibera Nairobi iko anwani gani?
176	Antibiotiki iligunduliwa nchini gani?
93325#0	Kanali Harland Sanders alianza kuunza kuku tarehe ngapi?
106374#0	Kadi za Mastercard zinaitikiwa kwenye nchi ngapi duniani?
66497#0	Taiwan ina miji mingapi?
34485#0	Ni nani aliyekuwa muislamu wa kwanza kufika Ethiopia?
29101#0	Duka ya Uchumi Kenya ilianzishwa na akina nani?
88441#0	Muziki wa rock and roll huchezwa kwa kutumia guitaa aina gani?
3306#0	Mbingwa wa kuogelea Marekani ni nani?
36817#0	Mwigizaji Clive Owens alirekodi filamu ya Croupier mwaka gani?
80409#0	Lugha ya Kifaransa in vihusishi ngapi?
72093#0	Mji wa Vihiga Kenya una mapadre wangapi?
103658#0	Mwimbaji Saida Karoli alikuwa na watoto wangapi?
98480#0	Mto wa Mississippi una urefu wa maili ngapi?
65903#0	Ni mito ngapi nchini Congo haitumiwi kwa umwagiliaji wa maji?
65476#0	Yohana mbatizaji alikuwa na bibi wangapi?
10645#0	Yesu alisulubiwa kwenye msalaba wa mbao ya aina gani?
103977#0	Kuchimba kisima wilaya ya Pwani nchini Kenya kunahitaji pesa ngapi?
32087#0	Masomo ya sayansi ya chuo kikuu Kanada ni ya miaka mingapi?
72035#0	Maria Magdalena alikuwa na miaka mingapi alipomsaidia Yesu mjini Galileo?
28205#0	Peremende za Turkish Delight hutengenezwa na sukari aina gani?
76534#0	Eneo la Timbuktu lina lugha ngapi za kibantu?
80181#0	Ni mti upi unaokua mwaka mingi zaidi duniani?
11298#0	Chama cha Liberals nchini Kanada hungozwa na nani?
21269#0	Wilaya ya Iringa ina kata ngapi?
18032#0	Mandizi yana mbegu ngapi?
96513#0	Kitabu cha Kisima Cha Giningi hufundishwa kuanzia daraja lipi nchini Kenya?
45942#0	Nchi ya Uholanzi ina mikoa mingapi isiyo karibu na bahari?
35696#0	Ni wakazi wangapi wa Muranga wamesoma hadi chuo kikuu?
13923#0	Mwimbaji Beanie Man alizaliwa nchi gani?
94961#0	Gari la moshi lina gurudumu ngapi?
17004#0	Sherehe ya ndoa ya wahindi hukawia siku ngapi?
85373#0	Namba mia saba sabini huandikwaje na tarakimu za kawaida?
36499#0	Mafuta ya mbarika huyeyuka yakifika digrii ngapi?
97508#0	Hadithi za mnyama Loch Ness ziliandikwa mara ya kwanza kitabu kipi?
104491#0	Chai ilifika ulaya mwaka gani?
35536#0	Pombe ya pilsner ilitengenezwa mara ya kwanza nchi gani?
77033#0	Ni lugha gani ambayo hutumika zaidi bara la Asia?
82839#0	Ni nani rais wa Ukraine?
79694#0	Lugha ya Myene hupatikana nchi gani?
99616#0	Ni aina gani ya kifaru ambayou inakiribia kutoweka?
83334#0	Namba ya mwisho ya sera mjini Nairobi ni ipi?
99628#0	Maasai Mara ina hoteli ngapi za nyota tano?
65765#0	Nchi ya DRC ina lugha ngapi?
46231#0	Mji wa Njombe una benki ngapi?
78582#0	Wanawake walipata haki ya kupiga kura mwaka gani Marekani?
101248#0	Marekani hununua mafuta ya gari nchi gani?
10617#0	Mwigizaji Owen Wilson ana miaka mingapi?
74084#0	Nchi ya Roma ilitengana na Vatican mwaka gani?
79081#0	Mji wa Hamilton Kanada ulipata hospitali ya kwanza mwaka gani?
20910#0	Usiue ni kosa la ngapi kwenye biblia?
15975#0	Kibuyu cha lita 10 za maji huuzwa pesa ngapi Kenya?
92517#0	Mto wa mara una urefu wa kilometa ngapi?
85262#0	Mwaka wa 2020 ulipata tukio lipi ambalo lilihusisha dunia nzima?
37847#0	Ni shule zipi nchini Uganda hufunza uhandisi?
19438#0	Wilaya ya Mwanga uko kilometa ngapi kutoka Dar Es Salaam?
3202#0	Ndege kutoka Nairobi hadi Durban huchukua masaa mangapi?
86184#0	Kuna hoteli ngapi za kituruki mjini London?
15811#0	Kampuni ya ndege ya British Airways ilianzishwa mwaka gani?
30147#0	Kipindi cha mia moja cha Grey’s Anatomy kilirekodiwa tarehe ngapi?
100495#0	Ni kwanini mto Snake Marekani ulipewa jian hilo?
31422#0	Wimbo wa pili wa Mwimbaji MC Hammer ulikuwa upi?
88804#0	Kampuni ya Ford Motors ina matawi mangapi ya office duniani?
75019#0	Lugha ya Kiluhya ina maneno mangapi?
84683#0	Alfabeti ya Kiroma hutumia herufi ngapi?
36129#0	Vijana humea ndevu wanapofikisha umri upi?
94399#0	Ufaransa iliwatuma wanajeshi wangapi kwenye vita vya pili vya dunia?
84209#0	Gari ya aina ya Honda ni ya nchi gani?
68582#0	Habari za KTN Kenya huonyeshwa saa ngapi?
72295#0	Addis Ababa ina viwanja vingapi vya ndege?
78970#0	Bendera ya Bangladesh ina mduara wa rangi gani?
97541#0	Chakula cha Pico de gallo hutengenzwa na viungo vipi?
66730#0	Nchi ya DRC ina lugha ngapi zanazolingana na Kiarabu?
98267#0	Mkoa wa Katavi una wakazi wangapi wakongwe?
3803#0	Ni jimbo lipi lina viziwa mingi zaidi Marekani?
15446#0	Rais wa Lebanon alipigiwa kura ngapi?
85069#0	Eneo la Guangzhou nchini China hujulikana kwa sababu ya tukio lipi?
22927#0	Mchezaji wa umri wa juu zaidi kipindi cha Blue Bloods ana miaka mingapi?
19735#0	Rais Mwai Kibaki alichaguliwa kama mbunge mara ngapi?
90465#0	Kuna wajumbe wangapi nchini Algeria?
5797#0	Lugha ya Haya ina maneno mangapi?
72528#0	Nchi ya Liberia ina wakazi wangapi?
4702#0	Ni siku gani ilipata mvua zaidi mjini Florida mwaka wa 2021?
83289#0	Mti mkubwa zaidi duniani ni upi?
92065#0	Maji ya bara la hindi yana madini mangapi?
25022#0	Lugha ya kompyuta ya SQL iliundwa mwaka gani?
103849#0	Uwanja wa BMO Toronto huwa na mechi ngapi kwa mwaka?
80819#0	Eneo la Lindi lina kata ngapi?
61610#0	Kimeru ni lugha ya wilaya gani Kenya?
37701#0	Kijiji cha Limuru Kenya kina viwanda vingapi vya viatu?
92904#0	Mwanamziki wa hip hop anayejulikana zaidi nchini Libya ni nani?
45011#0	Mji wa Belgrade uko eneo lipi duniani?
97444#0	Mwimbaji Otile Bwana alianza uhusiano wake na Vera Sidika mwaka gani?
77993#0	Kuna aina ngapi ya lugha za Krioli?
41046#0	Wilaya ya KAsulu ina kata ngapi?
104751#0	Programu ya Microsoft Word ilitolewa mwaka gani?
17192#0	Nchi ya Sierra Leone ina mikoa mingapi?
89472#0	Samaki wa aina ya tilapia hutaga mayai mara ngapi kwa wiki?
62256#0	Marekani huadhimisha sikukuu ngapi za kiislamu?
85951#0	Kayamba ni kifaa cha muziki wa nchi gani?
67742#0	Na marashi gani yenye harufu ya nguvu zaidi?
20864#0	Muhogo hukuzwa katika wilaya zipi Tanzania?
32441#0	Mji mkuu wa singapore unaitwaje?
12586#0	Askofu Desmond Tutu alianza kuisaidia nchi ya Rwanda mwaka gani?
57093#0	Waimbaji wa muziki wa hip hop huimba nyimbo ngapi kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa maarufu?
21154#0	Jimbo la South Carolina lina madaktari wangapi wa mifugo?
96903#0	Uhusiano wa Donald na Melania Trump ulianza mwaka gani?
62221#0	Kuna lugha ngapi za Kibantu nchini Uganda?
102580#0	Kuna matawi mangapi ya jeshi Marekani?
63105#0	Ni nchi gani hukuza pamba mingi zaidi duniani?
104757#0	Isikuti ni kifaa cha muziki wa eneo lipi?
96035#0	Jiko la George Foreman huchukua dakika ngapi kupika kuku?
66478#0	Ni nani alianzisha dini ya ubudha?
61449#0	Lugha ya Susu hupatikana nchi gani?
5629#0	Mji wa Naivasha uko kilometa ngapi kutoka Nairobi?
42695#0	Mkoa wa Chiba una miji mingapi iliyoko karibu na bahari?
92579#0	Musa alikuwa na ndugu wangapi?
21720#0	Ni wilaya ngapi nchini Somali ambazo hazina mzozano?
98450#0	Mto Kizigo uko mkoa upi?
85263#0	Mwaka wa 2020 ulikuwa na mashambulizi mangapi ya bomu?
70986#0	Uholanzi una wakimbizi wangapi wa nchi ya Somali?
78003#0	Lugha ya Kimombo hutumia herufi gani kuonyesha kinyume?
2101	Je,mji wa Lagos ina idadi ya watu wangapi?
79040#0	Ni gari ngapi zimeandikiswa mkoa wa Pwani Kenya?
3168#0	Mto wa Lwika una urefu wa kilometa ngapi?
1320	Makamu wa rais wa kwanza Kenya ni nani?
87603#0	Kuna aina ngapi za virusi vya Corona?
65430#0	Nchi ya Chad ina lugha ngapi ambazo hutumia alfabeti ya kilatini?
23243#0	Kuna Wachina wangapi mjini Dodoma?
36245#0	Eneo la Manyara lina shule ngapi za msingi?
76174#0	Raiya wa Marekani hulipishwa pesa ngapi kabla ya kupata visa ya Uchina?
73951#0	Mtu anahitaji miaka mingapi kujifunza kuandika kiarabu?
104312#0	Mwimbaji Ricardo Banks ana watoto wangapi?
101	Je,nchi kubwa zaidi bara Asia ni ipi?
95365#0	Wimbo wa Bended Knees uliimbwa mwaka gani?
6336#0	Wakushi walianza kufuga ng’ombe karne gani?
56003#0	Umoja wa Ulaya ulindwa mwaka gani?
107988#0	Watu wa nchi ya Comoros husalimiana kwa njia gani?
104393#0	Rais Maghufuli alizaliwa mkoa upi?
45947#0	Ni nchi gani zinazopakana na Ubelgiji?
79615#0	Kuna viwanda vingapi vya nyama choma mjini Ngong?
40515#0	Mwimbaji Monica alianza uhusiano wake na Lloyd Banks mwaka gani?
75186#0	Msikiti wa kwanza mjini Asmara ulijengwa tarehe ngapi?
94748#0	Rais Magufuli alizikwa baada ya siku ngapi kutoka afariki?
2890#0	Mwimbaji Carlos Santana ameimba nyimbo ngapi za kushirikiana?
77196#0	Lugha ya Kiingereza ni mkusanyiko wa lugha zipi?
21107#0	Kata ya Vunta ina walimu wangapi wa shule ya msingi?
29704#0	Wilaya ya Chunya ina madaktari wangapi?
22570#0	Wilaya ya Kwimba in kata ngapi?
77499#0	Ni ugonjwa gani husababishwa na panya?
87358#0	Mwimbaji Nameless wa Kenya ana watoto wangapi?
47249#0	Nchi ya Haiti ilijitawala baada ya miaka mingapi?
69527#0	Askari wa mji wa Nairobi huvaa mavazi ya rangi gani?
2327	Mercurius aliacha kuwa mungu wa dini ya Roma mwaka gani?
62805#0	Kuna lugha ngapi za Kikushi?
83369#0	Ni nabari ipi refu zaidi kwa tarakimu za Kiroma?
98808#0	Ni mito ipi inayopitia mji wa Miami?
100985#0	Misri hupokea watalii wangapi mwezi wa Desemba?
67091#0	Bendi la Spice Girls lina nyimbo ngapi?
86972#0	Lugha yenye nomino nyingi zaidi duniani ni gani?
23214#0	Kikundi cha televisheni cha KTN Kenya kilianzishwa mwaka gani?
66732#0	Ni nini kinachosababisha ukurutu?
108471#0	Nchi ya Rwanda ina lugha ngapi ambazo ziko karibu kutoweka?
13410#0	Wimbo Binti Kiziwi umeimbwa na nani?
21773#0	Wakulima wa mkoa wa kati nchini Kenya hupewa taarifa zipi na serikali?
1203#0	Eneo la Afrika kaskazini lina mataifa mangapi?
11159#0	Dini ya katoliki ilianza nchi gani?
7331#0	Kuna sayari ngapi?
4980#0	Tarehe 25 Desemba ni sikukuu gani?
155	Je,nchi gani kubwa zaidi bara Afrika?
21973#0	Ni wilaya ipi iliyo na watu wengi zaidi Tanzania?
2250#0	Mkoa wa Simiyu una miji mingapi?
6249#0	Kuna waimbaji wangapi wa lugha ya kimasai?
19382#0	Meya wa mji wa Hollywood aliteuliwa tarehe ngapi?
71079#0	Shirika la FBI Marekani lina wafanyikazi wangapi?
28647#0	Mji wa Charleston umewaajiri madaktari wangapi?
18949#0	Wilaya ya Handeni ina kata ngapi?
68052#0	Mfalme wa Botswana anaitwa nani?
64757#0	Lugha ya Kiembu ina maneno mangapi yanayoanza na herufi M?
78017#0	Lugha ya Mina hupatikana nchi gani?
40435#0	Mamake Biggie Small ni nani?
38156#0	Mji wa Njombe una hospitali ngapi?
2135#0	Ni nini husaidia kupunguza idadi ya kupe?
103420#0	Mto mrefu zaidi Marekani ni upi?
106076#0	Ibrahamu kwenye biblia alikuwa na bibi wangapi?
72358#0	Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama rais Afrika ni nani?
78811#0	Ni nchi gani ina ziwa kubwa zaidi duniani?
93616#0	Gari la mercedes benz hutumia mafuta lita ngapi kusafiri kilometa elfu moja?
102869#0	Mto Slave Marekani ulipata mafuriko mara ngapi mwaka jana?
100507#0	Ni chama kipi nchini Kenya hutumia alama ya tingatinga?
2783	Remmy Ongala ana albamu ngapi?
13182#0	Ni kwanini wakoloni walishindwa kuitawala Ethiopia?
64963#0	Lugha ya kingereza ina maneno mangapi?
2175#0	Mkoa wa Lindi una wanawake wangapi?
1563	Je, kuna mto katikati mwa mji wa Venezuela?
35355#0	Kampuni ya Marc Jacobs hushona aina ngapi za nguo za wanawake?
4904#0	Tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka wa elfu mbili na kumi na sita ilikuwa siku gani?
6956#0	Mwigizaji Jason Momoa ana uzito wa kilo ngapi?
34207#0	Kikundi cha GEMA nchini Kenya ni cha watu wa kabila gani?
55906#0	Ni kiungo kipi hutengeneza mate ya binadamu?
7478#0	Nchi ya Japani hupata mililita ngapi za mvua kwa mwaka?
94838#0	Mlima mrefu zaidi mkoa wa Kati Kenya una urefu wa maili ngapi?
81339#0	Kitabu cha kwanza cha lugha ya Kikuyu kilichapishwa mwaka gani?
68171#0	Ni nchi ngapi duniani zina mkoa unaoitwa Central.
14820#0	Wakazi wa Italia wanapenda soda ipi?
47498#0	Mto wa Mohawk huanzia mji upi?
102254#0	Ni mto upi unaopitia mji wa Mombasa?
74396#0	Watu wa mji wa Honolulu huzumza lugha gani?
60105#0	Charles Luanga aliuawa mwaka gani?
4977#0	Mwezi wa nne una dakika ngapi?
14752#0	Kitabu cha dini ya Ubudha huitwaje?
98534#0	Mto wa Kootenay uko mji upi Canada?
93078#0	Mchezo wa kadi hutumia kadi ngapi?
102673#0	Mchezaji wa soka mashuhuri zaidi Marekani ni nani?
2426	Lugha ya kitaifa nchini Uholanzi ni gani?
29577#0	Mji wa Kongowea Kenya uko mkoa upi?
95062#0	Nyungu za Wakikuyu hutengenezwa na mchanga wa rangi gani?
29421#0	Ni vifaa zipi hutumiwa kusimamisha hema?
72871#0	Mchezaji Shaquille O'neal una urefu wa futi ngaapi?
67947#0	Kuna umbali wa kilometa ngapi kati ya Durban na Mji wa Cape Town?
81402#0	Mto wa Kitangiri una urefu wa kilometa ngapi?
67000#0	Lugha ya Dogoso huzungumzwa nchi gani?
108365#0	Tunda la mdarasini lina rangi gani linapoiva?
84286#0	Ni nchi gani yenye wachunguzi wengi zaidi wa madini?
55813#0	Napoleon alikuwa na urefu wa futi ngapi?
93993#0	Kuna idadi gani ya kaunti nchini Kenya?
63134#0	Nchi ya Congo ilipata simu ya kwanza ya mkono mwaka gani?
78464#0	Ni aina gani ya pilipili ambayo hutumika zaidi nchini Sri Lanka?
80072#0	Kata ya Isebeya ina wakazi wangapi?
15652#0	Morgan Freeman amefanya tangazo ngapi?
16576#0	Kitabu cha mwanzo katika biblia kiliandikwa na nani?
33205#0	David Bautista alianza kuigiza mwaka gani?
101968#0	Mto wa Hudson huanzia jimbo lipi Marekani?
16727#0	Kanisa ya katoliki ilianzishwa mwaka gani?
2776	Je,bandari kubwa bara Afrika inapatikana wapi?
33173#0	Kompyuta ya aina ya Mac ilijengwa mwaka gani?
94834#0	Ni pombe gani hununuliwa zaidi nchini Kenya?
82716#0	Jina la kuzaliwa la msanii Biggy Small ni lipi?
21793#0	Jimbo la Arizona lina miji mingapi yenye maji masafi?
96889#0	Eneo la Scandinavia lina nchi ngapi?
11279#0	Kumekuwa na papa wangapi?
3030	Je,Remmy Ongala alikuwa na albamu ngapi?
91878#0	Ni miji ipi Marekani yenye hukumu la kifo?
36939#0	Majadiliano ya mbunge huongozwa na nani Marekani?
20109#0	Postikodi za Marekani zina herufi ngapi?
1873#0	Tyler Perry amerekodi filamu ngapi za Madea?
36361#0	Mwimbaji Common wa Marekani ana watoto wangapi?
28927#0	Mwigizaji Al Pacino amerekodi filamu ngapi na Robert De Niro?
23932#0	Filamu ya kwanza ya Indiana Jones ilirekodiwa nchi gani?
20358#0	Wilaya ya Kilolo ina hospitali ngapi?
92691#0	Mti wa kahawa huzaa matunda ya kwanza ukiwa na miaka mingapi?
101952#0	Mto Fraser uko nchi gani?
88980#0	Ni aina ngapi za chungwa ambazo si za rangi nyeupe chini ya ngozi?
18047#0	Mwimbaji Mbosso wa Tanzania ana albamu ngapi?
87673#0	Ni wanasayansi wangapi walifariki kwenye ajali ya Chenobyle.
27120#0	Ni wilaya ngapi duniani zenye mji mmoja tu?
81470#0	Ni nani tajiri zaidi Marekani?
104285#0	Ofisi za Nairobi za kampuni ya Bayer ziko anwani gani?
93964#0	Ngamia huishi miaka mingapi?
28934#0	Mkoa wa Kati Kenya una miji mingapi?
65218#0	Mchekeshaji Dave Chapelle alizaliwa mji upi?
41083#0	Afrika ya kusini hupata mafuriko mara ngapi kwa mwaka?
31926#0	Wangu wa Makeri alikuwa na bwana wangapi?
8236#0	Vita vya Ghuba vilisababisha vifo vya wanajeshi wangapi wa Marekani?
27716#0	Eneo la Simiyu lina kata ngapi?
102130#0	Mto wenye idadi kubwa zaidi ya mamba ni upi?
73709#0	Lugha ya Tumbuka huzungumzwa nchi gani?
76171#0	Ni chuma gani inayoutumiwa kutengeneza vikombe?
16604#0	Shetani kwenye biblia alikuwa nyoka wa aina gani?
58019#0	Kna miji mingapi nchini Uruguay?
74531#0	Lugha ya Kivenda ina maneno mangapi?
98672#0	Ni miti ipi hukua eneo zenye upepo mwingi?
82834#0	Mji wa Bariazi uko eneo lipi?
62289#0	Meya wa mji wa Miami ni nani?
34817#0	Ni barabara gani mkoa wa Ontario hulipisha kodi?
2873	Wimbo wa Only God Can Judge Me ulirekodiwa mwaka gani?
75250#0	Ni hatari gani ya kompyuta ilihofiwa mwaka wa 2000?
34834#0	Eneo la Texas lina waimbaji wangapi wa muziki wa country?
62541#0	Lugha ya Hassaniya ina maneno mangapi?
41655#0	Nchi ya Uganda hukuza mandizi tani ngapi kwa mwaka?
99160#0	Mto wa Alabama una urefu wa maili ngapi?
30431#0	Kuna aina ngapi za mbu?
84931#0	Kijiko kikubwa hubeba maji gramu ngapi?
78381#0	Afisi za wakili mkuu wa serikali ya Uganda ziko mji upi?
21444#0	Mkoa wa Kati Kenya una miji ngapi?
93933#0	Ni mkoloni yupi alitawala nchi ya Japani?
7141#0	Afisi ya mbunge Othaya iko wapi?
91987#0	Ni gesi zipi zinazopatikana kwenye jua?
42545#0	Ni nchi gani iliyo na wafuasi wengi zaidi wa dini ya kipenetekosti?
45951#0	Mipaka ya mji wa Moyale iliamuliwa mwaka gani?
18453#0	Mhusika mkuu wa Game of Thrones ni nani?
29567#0	Ni mito ipi inayopitia Mji wa moshi?
84391#0	Abraham Lincoln alikuwa na watoto wangapi?
66403#0	Nchi ya Morocco hujulikana kwa jambo lipi?
85598#0	Ni kwanini watawa wa Tibet hunyoa nywele?
65123#0	Watu wa kabila ya Madi nchini Sudan huishi eneo lipi?
12905#0	Mfalme wa kwanza wa Uturuki ni nani?
74988#0	Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Yoruba mkoa wa Ontario Kanada?
40722#0	Ufaransa ina majimbo mangapi yanayojitawala?
2470#0	Uchunguzi wa virusi huitwaje?
33033#0	Mkoa wa Rukwa una wilaya ngapi?
95525#0	Milima ya Hamalayas ina vilele vingapi?
83051#0	Lugha ya Shikomoro ni ya nchi gani?
22914#0	Muigizaji Eddy Murphy ana ndugu wangapi?
74061#0	Mtoto huanza kufahamu lugha akiwa na miezi mingapi?
69056#0	Kipindi cha Big Bang Theory hurekodiwa mji upi?
82503#0	Ni kiungo kipi mwilini huadhiriwa zaidi na pombe?
33992#0	Jina Bollywood lilitungwa mwaka gani?
79083#0	Wakulima hutumia nini kutega fuko?
99429#0	Mto Deho una urefu wa kilometa ngapi?
57019#0	Seneta hulipwa pesa ngapi Marekani?
23261#0	Mimba ya ng’ombe ni ya miezi mingapi?
3256#0	Mwanasiasa Sonko wa Kenya alifanya kazi gani kabla ya kuingia kuanza kazi ya siasa?
4881#0	Mwezi wa saba una siku ngapi?
10	Thr33 Ringz ina nyimbo ngapi?
23736#0	Ni chakula kipi huuzwa mikahawa ya mji wa Havana?
22618#0	Nyumba ya kwanza ya Airbnb nchini Kenya ilikuwa kitongoji kipi?
6842#0	Kampuni ya Kenya Railways ina gari ngapi za moshi?
69080#0	Kikundi cha Beetles kiliuza albamu ngapi?
78236#0	Ni alfabeti gani ina herufi nyingi zaidi?
26122#0	Sensa hufanywa baada ya miaka ngapi nchini Togo?
96779#0	Ziwa la Malawi lina eneo kiasi gani?
72782#0	Kuna tofauti gani kati ya miale ya X na miale ya Y?
62215#0	Lugha ya Kiswahili ina tensi ngapi?
74538#0	Nchi ya Swaziland ina lugha ngapi?
64883#0	Nchi ya Carpe Verde ina wakazi wangapi?
84612#0	Nyimbo zinazoimbwa wakati wa misa ziliandikwa na nani?
16345#0	Ni dini gani huwahimizai watu waoe badala ya kuishi kwenye dhambi?
104996#0	Ni nani aliandika kipindi cha Phineas and Ferb?
2257#0	Ndege wana vidole vingapi vya mguu?
41850#0	Ni mikoa mingapi duniani ina wakazi zaidi ya milioni mia moja?
27841#0	Met Gala hufanyika mwezi gani?
81056#0	Lugha ya Ewe ina maneno mangapi?
77063#0	Lugha ya Kirusi ina vihusishi vingapi?
24795#0	Ni nchi gani ilipendekeza uundaji wa Jumuiya ya Madola?
87223#0	Kura hupigwa baada ya miaka mingapi nchini Honduras?
1860#0	Magic Johnson ana watoto wangapi?
14747#0	Chakula ya pasta hutengenezwa na nini?
67890#0	Nchi ya Liberia ina wakazi wangapi?
102882#0	Mnazi hufikisha mita ngapi?
74401#0	Lugha ya Tagalog ni lugha ya taifa gani?
88968#0	Miaka ishirini baada ya 2005 ni mwaka upi?
74780#0	Ni nchi gani Afrika hutumia Kiitaliano kama lugha ya taifa?
97025#0	Mwimbaji Psy alitunga wimbo wake wa kwanza akiwa na watoto wangapi?
3338#0	Mwandishi John Grisham ameandika vitabu vingapi?
18362#0	Nyundo hutengenezwa na chuma gani?
97267#0	Mtu wa kwanza kupanda mlima Kenya alikuwa miaka mingapi?
3876#0	Papa wa kwanza alichaguliwa na nani?
80642#0	Wakatoliki hubatizwa wakiwa na miaka mingapi?
21059#0	Njugu karanga zina mafuta kiasi gani?
69293#0	Mti wa mwarobaini hufikisha urefu wa mita ngapi?
1009	Je,chama gani kongwe zaidi cha kisiasa nchini Tanzania?
73459#0	Kuna wahispania wangapi mji wa Miami?
94880#0	Kumekuwa na Tsar wangapi?
93271#0	Ambrose Adongo alikua na cheo kipi kwenye kikundi cha KNUT?
16518#0	Ngombe ana tumbo ngapi?
42259#0	Nchi ya El Salvador ina mikoa mingapi?
36705#0	Mwimbaji Davido wa Nigeria ana watoto wangapi?
77987#0	Wimbo wa kidalipo humaanisha nini?
55135#0	Nchi ya Kenya ina manispaa ngapi?
68291#0	Gari ya kwanza ya umeme ilijengwa mwaka gani?
12628#0	Nguo ya mhubiri inaitwaje?
36227#0	Ni ng'ombe aina gani ana maziwa mengi zaidi?
13272#0	Ni madini mangapi ghali kuliko dhahabu?
55655#0	Mungu wa mapenzi anaitwa nani kwa mitholojia?
77627#0	Ni familia gani ilitawala mda mrefu zaidi nchini Japani?
2594	Bara la Asia liko na nchi ngapi kwa ujumla?
88653#0	Noti ya shilingi elfu moja ya Tanzania ina picha gani?
40213#0	Masomo ya daktari wa mifugo nchini Kenya ni ya miaka mingapi?
34200#0	Masomo ya upili ni ya miaka mingapi Afrika Kusini?
35604#0	Bendi ya Dru Hill ilianzishwa na nani?
15526#0	Jeshi la Ufaransa lina wanawake wangapi?
57519#0	Filamu ya kwanza ya Eddy Murphy ilionyeshwa mwaka gani?
35703#0	Wimbo wa kwanza wa Celine Dion ulishinda tuzo ngapi?
21582#0	Mji wa Miami una kata ngapi?
87237#0	Kuna kampuni ngapi za simu nchini Kanada?
71766#0	Hadithi ya farasi wa trojan ilitungwa na watu wa mji upi?
42583#0	Ugonjwa wa kuwa na nafsi mingi huitwaje na kiingereza?
37928#0	Ni miji mingapi duniani inayoitwa Sherbourn?
75231#0	Nchi ya San Andres ilianza kupokea watalii mwaka gani?
22122#0	Ni mito mingapi mkoa wa kati Kenya yenye maji yaliyo salama kunywa?
35000#0	Mwigizaji Will Smith ameoa mara ngapi?
104504#0	Mama yake Fidel Castro alikuwa anaitwa nani?
78823#0	Ni nchi gani hutengeneza meli mingi zaidi duniani?
6954#0	Wabunge wa jimbo la Florida hupewa hukutana mara ngapi kwa mwezi?
73176#0	Wahindi huabudu mnyama yupi?
77962#0	Nchi ya Morocco ina lugha ngapi za kitaifa?
93261#0	Kampuni ya Ford Marekani ina wafanyikazi wangapi?
77278#0	Wimbo wa Mpita Njia umeimbwa na nani?
13704#0	Mfanyabiashara Chris Kirubi alikuwa na kampuni ngapi?
1519	Je, bara Uropa ina nchi ngapi?
20486#0	Nchi ya Lebanon ina wilaya ngapi kubwa kuliko jimbo la Texas?
3031	Toni Kroos alianza kucheza soka akiwa na miaka mingapi?
15362#0	Mwigizaji Burt Reynolds ana watoto wangapi waigizaji?
85247#0	Maili moja ina centimita ngapi?
87204#0	Kumekuwa na rais wangapi Uganda?
57269#0	Kura hupigwa baada ya miaka mingapi nchini Mali?
32932#0	Mkoa mkubwa zaidi Somali ni upi?
72469#0	Rais Jomo Kenyatta alisoma chuo kikuu nchi gani?
36813#0	Gazeti ya kwanza ya Mji wa McAllen Marekani ilichapishwa mwaka gani
33523#0	Mkoa wa Nyanza Kenya una hospitali ngapi?
104099#0	Mto wa Detroit una urefu wa kilometa ngapi?
1908#0	Uchumi wa Uganda hutegemea sekta zipi?
62553#0	Ni lugha gani huzungumzwa na watu wengi zaidi jimbo la California?
31337#0	Wanajeshi wa nchi ya Denmark huvaa mavazi ya rangi gani?
101716#0	Mto wa Hudson hutumiwa kutengeneza umeme kiasi gani?
3026#0	Umri wa ndoa Dubai ni miaka ngapi?
77961#0	Nchi ya Uganda ilipata tetemeko ngapi za ardhi mwaka wa 1970?
92482#0	Keto ni mlo wa aina gani?
28977#0	Mkojo una kemikali gani?
23207#0	Nchi ya Serbia in mimilima mingapi?
79078#0	Tanzania hupokea watalii wangapi kutoka Marekani?
76448#0	Mji wa Marsabit una visima ngapi?
86786#0	Ni nini tofauti ya Kikantoni na Mandarini?
3815#0	Wafalme wa uingereza wameruhuswa bibi wangapi?
56002#0	Mke wa pili wa John Lenon alikuwa wa raiya wa nchi gani?
22057#0	Ni mito ipi inayo pita bonde la ufa?
64334#0	Ni watu wangapi huongea lingala?
92637#0	Kuna waislamu wangapi mji wa Mbeya?
101216#0	Mti wa kusaidia kiwete kutembea huitwaje?
85004#0	Elfu kumi na tano kwa tarakimu za Kirumi ni nini?
16314#0	Ni mfuasi yupi aliyemsaliti Yesu?