Datasets:
Tasks:
Multiple Choice
Modalities:
Text
Formats:
json
Sub-tasks:
multiple-choice-qa
Size:
< 1K
License:
[ | |
{ | |
"question": "", | |
"a": "", | |
"b": "", | |
"c": "", | |
"d": "", | |
"answerKey": "", | |
"context": "", | |
"grade": "", | |
"preamble": "", | |
"category": "" | |
}, | |
{ | |
"question": "Mwanafunzi yupi ... ana ujuzi mkubwa wa teknolojia ya kompyuta?", | |
"a": "A", | |
"b": "B", | |
"c": "C", | |
"d": "D", | |
"answerKey": "A", | |
"context": "A Juma\n \nNina ujuzi mkubwa sana katika sekta ya teknolojia. Hasa teknolojia ya kompyuta na mitandao. Nilipokuwa mtoto nilipenda sana kucheza michezo mbalimbali kwenye kompyuta. Halafu, polepole nilianza kujaribu kuelewa jinsi michezo hiyo ilivyotengenezwa na niliweza kugundua mengi. Nchi nyingi za Afrika zinathamini matumizi ya kompyuta mashuleni na pia kuendesha shughuli tofauti kama biashara lakini huwa zaidi mijini na si vijijini. Ninadhani ni muhimu kwa wataalamu kutembelea sehemu tofauti na kusambaza ujuzi wa teknolojia ya kompyuta ili watu wote barani humu wafaidike na wafurahie mengi yanayovumbuliwa katika nyanja hii. Ndoto yangu hasa ni kuwafundisha wananchi mbalimbali yote niyajuayo ili na wao waweze kuwa na maendeleo. Likizo hii nitaanza kwa kutoa mafunzo kijijini kwetu.\n \nB Luka\n \nNimesoma masomo ya Siasa na Historia za nchi za Kiafrika kwa miaka miwili sasa. Umebaki mwaka mmoja tu wa masomo kabla ya kuhitimu. Bila shaka nitafunzwa mengi zaidi kuhusu serikali na sera tofauti, ingawa hivi sasa akili yangu imechoka kabisa. Nina hamu kubwa ya kupumzika na kutosoma chochote kabisa. Ningependa kuona nchi mbalimbali ambazo sijawahi kuzitembelea. Kwanza kabisa nina hamu ya kuenda Uchina na kuona jinsi watu wanavyoishi huko. Ninavutiwa sana na mila na desturi zao. Ningependa pia kuenda Brazil kwa sababu ninapenda sana mpira wa miguu na ninafikiri nchi hiyo ina wachezaji wazuri sana. Kuenda huko itakuwa ghali sana, kwa hivyo nitatafuta kazi kwenye kampuni ya teknolojia ya simu za kisasa itakayoniwezesha kujinunulia tiketi ya ndege.\n \nC Roza\n \nNinasoma masomo ya Utabibu na ninategemea kuwa daktari wa watoto baada ya miaka michache. Mwaka huu itabidi nifanye kazi ya udaktari hapa nchini au nchi yoyote ya jirani. Ningeweza kuajiriwa kwenye hospitali ambapo wazazi wangu ni wauguzi, lakini nilifanya hivyo mwaka uliopita. Mwaka huu ningependelea kuenda Uganda. Huko nitaweza kutoa msaada kwenye magonjwa yanayotishia afya za wengi. Ninadhani malaria ni ugonjwa ambao umekuwa tatizo kwa muda mrefu sana kote barani Afrika, ingawa wengi huuona kama wa kawaida tu. Pia, kwa bahati mbaya, ingawa maendeleo mengi ya kiteknolojia yamefanyika na yameweza kusaidia uelewa wa ugonjwa huu, bado ni tatizo kubwa sana, hasa kwa watoto. Hata kama siwezi kubadili sera mimi mwenyewe, ningetaka kuuona ugonjwa huu ukipotea kabisa. Ninadhani watu wengi hufanya kosa la kutokuutilia maanani kama inavyotakiwa.\n \nD Safia\n \nMimi ninasoma masomo ya Isimu ingawa ninavutiwa sana na siasa. Baada ya masomo yangu ningependa kuwa na nafasi nyeti katika uundwaji wa sera zitakazoleta maendeleo nchini kwetu. Kwa mfano, bado nchi yetu ina tatizo kubwa la ugonjwa wa UKIMWI. Kwa kweli, kama ningekuwa mwanasiasa leo hii, ningetoa kipau mbele kikubwa kwenye kuwasomesha wananchi wote kuhusu mambo yote yanayosababisha ugonjwa huu. Hii ingeipa serikali uwezo wa kubadili mawazo ya wananchi kuhusu maradhi haya. Mimi ninafikiri wanasiasa wa leo wanafikiria zaidi masuala ya uchumi. Likizo hii nina mpango wa kutafuta kazi kwenye kituo cha afya na kuelewa sera za nchi kuhusu magonjwa tofauti. Nina hamu hasa ya kuzungumza na wagonjwa wenyewe ili kuelewa ugonjwa huu unavyowaathiri. Wazazi wangu wamejaribu kunishauri nisafiri nao ili kustarehe nao lakini hawajafanikiwa kabisa. Wao wataenda likizo huko Msumbiji kwa mwezi mmoja.", | |
"grade": 11.0, | |
"preamble": "Wanafunzi wanne wanaelezea kuhusu shughuli watakazozifanya wakati wa likizo.", | |
"category": "Reading comprehension" | |
}, | |
{ | |
"question": "", | |
"a": "", | |
"b": "", | |
"c": "", | |
"d": "", | |
"answerKey": "", | |
"context": "", | |
"grade": "", | |
"preamble": "", | |
"category": "" | |
}, | |
{ | |
"question": "Mwanafunzi yupi ... atajishughulisha na kazi isiyohusiana na masomo yake?", | |
"a": "A", | |
"b": "B", | |
"c": "C", | |
"d": "D", | |
"answerKey": "D", | |

} | |
] |