nomiracl / data /swahili /topics /dev.non_relevant.tsv
nthakur's picture
added initial training data and script
9ca02d1
raw
history blame
28.4 kB
100595#0 Kuna dini aina ngapi Marekani?
101063#0 Ni mwimbaji yupi alitiafora zaidi Guinea-Bissau?
101065#0 Mohammed Ali alipigana na nani kwa mechi yake ya mwisho?
101106#0 Macbook Pro ina kumbukumbu kiasi gani?
101295#0 Urusi ilishambulia Ukraine kwa nini?
10152#0 Tingatinga aina ya Cat hutengenezwa nchi gani?
101625#0 Mto wa Columbia huanzia jimbo lipi Marekani?
101631#0 Ziwa la Singida huishia wapi?
101885#0 Wakazi wa Turkana hufuga ng’ombe aina gani?
101997#0 Mto wa Manonga huanzia wapi?
102095#0 Kuna majangwa mangapi Afrika?
102132#0 Eneo la Buruburu Nairobi lina wakazi wangapi?
102173#0 Ni mito mingapi Kenya ina urefu chini ya kilometa mia moja?
102222#0 Mto wa Niger Delta una samaki aina ngapi?
102227#0 Ni Nchi ngapi zina mto unaoitwa Thompson?
102244#0 Mto Alabama una urefu wa maili ngapi?
102253#0 Watu wa kabila la Turkana hishi eneo lipi?
102268#0 Taifa la Dominica lilianza kupokea watalii mwaka gani?
102472#0 Mto wa Tempisque una urefu wa kiometa ngapi?
102604#0 Mchezaji Andre Agassi ameshinda mechi ngapi za dunia?
102790#0 Chuo kikuu cha Toronto hufunza aina ngapi za uhandisi?
102867#0 Ni nchi ngapi bara la Asia huwaruhusu raiya wa Kanada kutembea bila visa?
102877#0 Mwimbaji Babyface ameimba nyimbo ngapi pamoja na Toni Braxton?
10310#0 Mlima Kenya ulipewa jina hilo mwaka gani?
103216#0 Timu ya soka ya Tunisia hufanya mazoezi siku ngapi kwa mwezi?
103283#0 Mji wa New York ina polisi wangapi?
103485#0 Mto Liard Marekani una upana wa mita ngapi?
103668#0 Ni samaki yupi anayefanana na nyoka?
103764#0 Malcolm X alizaliwa mji upi?
104123#0 Mji wa Murang’a una hospitali ngapi?
104139#0 Ni mbao ya aina gani hutumiwa kutengeneza mtumbwi?
104156#0 Mwanariadha Agnes Tirop anajulikana kwa mbio za aina gani?
104200#0 Mechi ya soka ni ya dakika ngapi?
104294#0 Wachezaji wa soka wa timu ya Uganda hulipwa pesa ngapi kwa mwaka?
104447#0 Kikundi cha muziki cha Gente De Zona kinatoka nchi gani?
104496#0 Serena Williams ana watoto wangapi?
104581#0 Chama kinacho tawala Marekani ni kipi?
104829#0 Gari kubwa zaidi ya Honda ina viti vingapi?
104863#0 Mabawa ya popo yana upana wa inchi ngapi?
105151#0 Samaki wa tilapia hupatikana kwenye maji ya aina gani?
1054 Mfalme wa kwanza wa falme ya Baganda anaitwa nani?
105418#0 Watu wa Kitui huzungumza lugha gani?
10567#0 Jiji la Umoja mjini Nairobi lina wafuasi wangapi wa dini ya akorino?
106344#0 Rais Uhuru Kenyatta alianza kutawala Kenya mwaka gani?
106353#0 Ombi la salaam maria lina mistari mingapi yenye maneno zaidi ya tano?
107458#0 Ni methali ipi inayotumia neno ‘ngoma’?
107998#0 Mtoto wa darasa la saba Marekani ana miaka mingapi?
108332#0 Mji wa Karachuonyo una wasanii wangapi?
11034#0 Papa wa pili alikuwa nani?
11084#0 Desmond Tutu alifariki akiwa na miaka ngapi?
11535#0 Africa Kusini ilipata uhuru mwaka gani?
1168 Mji mkuu wa Italia unaitwa aje?
11747#0 Askofu mkuu wa katoliki wa mji wa Nyeri husimamia kanisa ngapi?
1176 Mji mkuu wa Uholanzi unaitwa aje?
1203 Je,Zakaria Kibona alizaliwa lini?
1240 Je, nchi gani kubwa katika bara Afrika?
1242 Je,Zimbabwe ina idadi ya watu wangapi?
12540#0 Papa hungoza misa mara ngapi kwa mwaka?
12632#0 Sista wa katoliki husoma dini miaka mingapi?
1288 Je,rasi wa pili wa marekani aliitwa nani?
13055#0 Masomo ya udaktari nchini Canada ni ya miaka mingapi?
1317 Mto mrefu zaidi Uingereza unaitwaje?
13465#0 Madini ya dhahabu yaligunduliwa mara ya kwanza eneo lipi?
13608#0 Rais wa Kanada ni nani?
13652#0 Barrack Obama alitawala Marekani miaka ngapi?
14080#0 Tani moja ina gramu ngapi?
14157#0 Ni ugonjwa upi husababishwa na nzi?
1434 Makamu wa rais wa kwanza wa nchi ya Kenya alikuwa anaitwa nani?
1443 Mji mkuu Ufaransa ni gani?
14584#0 Ndege mkubwa zaidi ni yupi?
15177#0 Mama yake Jill Scott alisomea shule gani?
15351#0 Mchezaji Venus Williams aliolewa akiwa na miaka mingapi?
15409#0 Maili moja ina kilometa ngapi?
15511#0 Yesu alisulubiwa akiwa na miaka mingapi?
1560 Je,Pietro Paolo Savorgnan di Brazzà aliandika vitabu ngapi?
15764#0 Makaa ya mnazi hutoa moshi kiasi kipi?
15991#0 Kipini cha kushika nepi hutengenezwa kwa chuma ya nchi ngapi?
16369#0 Mwigizaji Kevin Costner alipata taji lake la kwanza mwaka gani?
16381#0 Ni filamu ngapi zimerekodiwa kuhusu Albert Einstein?
16414#0 Mwandishi Ruth Downie alizaliwa mji upi?
16418#0 Benki ya Goldman Sachs Marekani ilianzishwa mwaka gani?
16517#0 Jimbo za kusini Kenya hupata umeme kutoka ziwa lipi?
16732#0 Maandishi ya Da Vinci Code yalizinduliwa mwaka gani?
16734#0 Wilaya ya Mbozi ina hospitali ngapi zinazotibu magonjwa ya roho?
17108#0 Bobby Brown alioa bibi wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
17352#0 Kitabu cha Myriam Webster kilichapishwa mara ya kwanza mji upi?
17479#0 Neno linalo maanisha dadake babu ni lipi?
17661#0 Kwenye dini ya wahindi, mungu wa vita huitwa nani?
18447#0 Gaazetti ya Standard ya Kenya ilianzishwa mwaka gani?
1846 Papa wa kwanza anaitwa nani?
18829#0 Ni mnyama yupi anayewinda simba?
19026#0 Samaki mkubwa zaidi ni yupi?
19281#0 Vi viungo vipi ambavyo wachezaji wa soka huumia kwa kawaida?
19338#0 Mji wa Kisumu una wavuvi wangapi?
19373#0 Nchi ya Misri ilishambuliwa bomu mwaka gani?
19578#0 Wilaya ya Meatu ina kata ngapi?
19650#0 Wilaya ya Nairobi ina munispaa ngapi?
19924#0 Uganda ina madaktari wangapi wa wanyama?
20004#0 Mkoa wa British Columbia nchini Kanada una miji mingapi?
20212#0 Mji wa Muranga uko kilometa ngapi kutoka Limuru?
20269#0 Mji wa Franfurt Am Main uko wilaya gani Ujerumani?
20319#0 Wilaya ya Nyanza ina kata ngapi zinazo pakana na ziwa Nyanza?
20701#0 Wilaya ya Iringa ina wakimbizi wangapi?
20707#0 Basi inasafiri kuanzia Kampala hadi Mbarara huchukua masaa mangapi?
20729#0 Mji wa Kitui una wakazi wangapi?
20881#0 Kuna Maasai wangapi nchini Tanzania?
21048#0 Gari la kwanza la moshi lilijengwa mwaka gani?
21118#0 Ni wilaya ngapi zenye kaunti zaudi ya kumi nchini Uganda?
21316#0 Mji wa Kakamega una wakazi wangapi?
21381#0 Zimbabwe hunyesha mara ngapi kwa mwaka?
21383#0 Afisi ya kitambulisho kata ya Lwamgsa iko barabara gani?
21459#0 Mji wa Dar-Es salaam una shule ngapi za serikali?
2150#0 Mkuu wa Mkoa wa British Columbia ana gari ngapi?
21544#0 Mji wa Musoma una kata ngapi?
21560#0 Kuna kata ngapi mkoa wa Nairobi?
21596#0 Mkuu wa wilaya anaitwa nani?
21769#0 Eneo la Manyara lina wakazi wangapi?
21791#0 Wilaya ya Dodoma ina kata ngapi?
21817#0 Ni jina lipi la kijana limeenea zaidi nchini Kanada?
21830#0 MArekani kusini ina nchi ngapi?
21832#0 Mji wa Shinyanga una hospitali ngapi kuu?
2185 Je,bandari kubwa zaidi bara Afrika ni ipi?
22103#0 Jimbo la Texas lina vyuo vingapi ambazo hufunza kiarabu?
22133#0 Mheshimiwa Carolyn Bennett ni mbunge wa eneo lipi Kanada?
22195#0 Ni eneo zipi mjini Garissa hazipati mvua kamwe?
22219#0 Kuna rangi aina ngapi za henna?
22297#0 Mji wa Lokichoggio uko mkoa upi?
22543#0 Masela ina wanamuziki wangapi?
22641#0 Mji wa Othaya Kenya una shule ngapi za mfumo wa 8-4-4?
22666#0 Ni wilaya ipi mkoa wa Ontario Kanada yenye wakazi wengi zaidi waafrika?
22669#0 Mji wa Loyangalani uko mkoa upi Kenya?
22783#0 Mji wa Holywood uko jimbo lipi?
22790#0 Ni mkoa upi mkubwa zaidi Zambia?
22793#0 Mpaka wa Uganda na Tanzania una urefu wa kilometa ngapi?
22807#0 Wakongwe nchini Kenya hupata pesa ngapi kwa mwezi?
22898#0 Filamu ya kwanza ya Star Wars ya ilionyeshwa mwaka gani?
23145#0 Kuku ana figo ngapi?
23272#0 Lugha ya Creole iko nchi gani Afrika?
24972#0 Nchi ya Dominika ina bandari ngapi?
25223#0 Kikundi cha habari cha BBC huchapisha gazeti gani?
2596 Jamhuri ya Afrika ya Kati iko na ukubwa gani wa kijiographia?
26107#0 Bunge la Uganda hukutana anwani gani?
2636 Gegereka wana rangi ngapi?
26968#0 Ufaransa ina hoteli ngapi za nyota tano?
27119#0 Wakazi wa Moyale wana vituo vingapi vya kupigia kura?
2754#0 Ndege kubwa zaidi duniani hubeba tani ngapi?
2784 Sarah Wayne Callies alianza kuigiza mwaka gani?
27867#0 Mji wa Slough Uingereza una nyumba ngapi za serikali?
2800#0 Lugha ya Kifaransa ina maneno mangapi ya Kiarabu?
28416#0 Ni gesi zipi hupatikana juu ya anga ya bara la hindi?
2863#0 Bendera ya leo ya Ufaransa ilianza kutumiwa mwaka gani?
2868#0 Dangote ni jina la mwanamke au mwanaume?
28817#0 Kijiji cha Kangemi Kenya kina nyumba ngapi za kukodisha?
28834#0 Mji wa Kitui uko umbali wa maili ngapi kutoka Lokichoggio?
28854#0 Kanisa la wakorino lilianzishwa na nani?
29093#0 Madini ya dhahabu huchimbuliwa katika nchi ngapi?
29211#0 Nchi ya Ureno ina wakazi wangapi?
29278#0 Ni kwa sababu gani nyanya huitwa tunda?
29436#0 Ni nini tofauti ya Bahari Nyeusi na Bahari Nyeupe?
29443#0 Wilaya ya Ngara Tanzania ina kata ngapi?
29464#0 Pesa ya Uturuki inaitwaje?
29488#0 Mji wa Chake Chake uko maili ngapi kutoka Dodoma?
29615#0 Kuna shule ngapi za msingi mkoani Sivas?
29630#0 Ni mji upi una joto zaidi nchini Cameroon?
2966 Eneo la Hyderabad lina ukubwa gani?
29664#0 Mkoa wa arumeru una mbuzi ngapi?
29715#0 Wilaya ya kati Kenya ina vijiji ngapi?
29734#0 Meya wa Mississauga Kanada ni nani?
29814#0 Mji mkuu wa eneo la Kagera ni upi?
29931#0 Ni mji upi Ethiopia wenye watu wengi zaidi wa Oromo?
29942#0 Ni mito mingapi inayoishia bahari la Mediterranea?
30038#0 Makao ya rais wa Kanada yako mkoa upi?
30044#0 Nchi ya Sweden ina mikoa mingapi?
30053#0 Mji wa Wete una shule ngapi za msingi?
30262#0 Filamu ya kwanza ya Keanu Reeves ilikuwa gani?
3048#0 Bara la Ulaya lina bahari ngapi?
30984#0 Wimbo wa Let it go kwenye filamu ya Frozen ulitunzwa na nani?
30985#0 Kipindi cha Britain’s got talent kina jaji wangapi?
31455#0 Mwigizaji Penelope Cruz alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
3161 Je,Zimbabwe ilipata uhuru mwaka upi?
31610#0 Detroit ina viwanda vingapi vya gari?
31651#0 Canada hupokea wakimbizi wangapi kwa mwaka?
31668#0 Mji wa San Francisco una kampuni ngapi za kiteknologia?
31703#0 Jimbo la Columbia Marekani lina wakazi wangapi?
32024#0 Professor Jay wa Tanzania ameimba nyimbo ngapi?
32480#0 Ni shirika lipi hukusanya kodi Kanada?
33049#0 Mji mkuu wa Mbeya ni upi?
33378#0 Nigeria ina vituo ngapi vya redio ya lugha ya kiingereza?
33614#0 Wimbo wa Baikoko uliimbwa na wanamuziki wangapi?
33634#0 Masomo ya kutabiri hewa hupatikana shule ainai gani?
33651#0 Mji wa Toronto una kata ngapi?
34013#0 Kundi la vyombo vya habari la Fox liliundwa mwaka gani?
34166#0 Chama cha ODM kenya kina wanachama wangapi?
34219#0 Kalamu ya BIC ilitengenezwa mara ya kwanza kibanda kipi?
34226#0 Hospitali kuu ya Ottawa Kanada ina wadi ngapi za watoto?
34643#0 Soko la Hisa la Toronto lina kampuni ngapi memba?
34668#0 George Michael alikuwa na watoto wangapi?
34825#0 Chuo kikuu cha Nairobi kina wanfunzi wangapi?
35577#0 Mwimbaji Aaliya alifariki akiwa na miaka mingapi?
35598#0 Mwimbaji Celine Dion ana watoto wangapi walio zidisha miaka kumi na nane?
35685#0 Kikundi cha muziki cha Nickleback kimetoka nchi gani?
35704#0 Ni nini maana ya methali mgema akisifiwa tembo hulitia maji?
36123#0 Nchi ya Uganda ina mataifa mangapi jirani?
36124#0 Mchezaji Maradonna alifunga bao ngapi kwenye mchezo wake wa mwisho?
36299#0 Kesi ya kwanza ya ebola iliripotiwa nchi gani?
36433#0 Albamu ya kwanza ya John Denver ilikuwa gani?
36594#0 Mwimbaji Ali Kiba ana watoto wangapi?
36818#0 Ni nani aliyekuwa mwanamuziki wa kwanza kutunga wimbo aina ya classical?
3692#0 Keki ya aina ya madeira hupikwa na unga gramu ngapi?
37060#0 Rambo amecheza filamu ngapi?
3719#0 Bendera ya Australia ina rangi ngapi?
37455#0 Yesu alisalitiwa siku gani?
37597#0 Mchezaji wa mpira wa kikapu Terrence Ross ana urefu wa futi ngapi?
37718#0 Jimbo la California lina miji mingapi?
37720#0 Mji wa Indianapolis una shule ngapi za sekondari?
37824#0 Leseni ya kufanya biashara mjini Santa Cruz California ni ya pesa ngapi?
37861#0 Ni miji mingapi ina uwanja wa ndege Marekani?
37878#0 Jimbo la Washington Marekani lina miji mingapi?
37921#0 David McGuinty ni mbunge wa eneo lipi Kanada?
38221#0 Ni mji upi wa Marekani uko karibu zaidi na Windsor Kanada?
3825#0 Padre wa dini la katoliki huvaa mavazi ya kijani kwenye misa aina gani?
3829#0 Wahubiri wa kanisa la methodist husoma dini miaka mingapi?
38764#0 Ni eneo lipi lisilo na majira ya baridi Marekani?
38857#0 Timu ya vikapu ya Michigan inaitwaje?
38872#0 Mji wa Ottawa ulianza kuhimiza chanjo ya Covid kwa wafanyikazi wake tarehe ngapi?
39183#0 Mji wa Las Vegas una hoteli ngapi zinazolipisha zadi ya dola elfu tano kwa siku?
39204#0 Wimbo wa taifa wa Tanzania ulitungwa na nini?
39266#0 Watoto wa Senegal huanza kusoma Kifaransa wakiwa darasa lipi?
3934#0 Mti wa mnazi huzaa matunda mangapi kwa mwaka?
39985#0 Kampuni ya mchanga ya Bamburi huajiri wafanyikazi wangapi wa kawaida?
41435#0 Jimbo la Washington lina miji mingapi?
41683#0 Ni mkoa upi unaokuza mandizi mengi zaidi nchini Uganda?
41756#0 Manchester City hufanya mazoezi uwanja upi?
41884#0 Watu wa nchi ya Madagascar hupendelea chakula kipi?
42320#0 Mji wa Joyce Marekani uko jimbo lipi?
42670#0 Princess Diana alifariki akiwa na watoto wangapi?
42843#0 Rais wa Ubelgiji ni nani?
42958#0 Silicon Valley iko manispaa gani?
45112#0 Kuna miji mingapi mikuu nchini Uganda?
45822#0 Hitler aliua watu wangapi?
4636#0 Tarehe 9 Julai mwaka 1976 ilikuwa siku gani ya wiki?
47461#0 Mkubwa wa chama cha Conservative Marekani huchaguliwa baada ya miaka mingapi?
4753#0 Tarehe 2 mwezi wa tisa mwaka wa 1990 ilikuwa siku gani ya wiki?
4768#0 Mwaka una sekunde ngapi?
54266#0 Kuna viwanda vingapi vya kahawa mkoa wa kati Kenya?
55626#0 Hadithi ya elfu lela u lela iliandikwa na nani?
56078#0 Lugha za kibantu zimekaribiana zaidi na lugha za familia gani?
56587#0 Kuna kanisa ngapi za pentekoste mji wa Richmond Hill Kanada?
56843#0 Ni nchi gani inayowaruhusu padre kuoa?
574 Steve Hawking aliandika kitabu gani?
57424#0 Padre wa kikatoliki huanza kuongoza misa za ndoa baada ya masomo ya miaka mingapi?
57737#0 Laini ya ikweta hupita katikatika ya nchi ngapi?
57929#0 Chinua Achebe alisomea shule gani ya msingi?
5895#0 Polisi wa Panama hustaafu wakiwa na miaka mingapi?
61638#0 Mali ya umma ni nini?
61814#0 Ni shule zipi nchini Kenya hufunza kutafsiri?
61826#0 Familia ya Kikushi ina lugha ngapi?
62104#0 Ni aina gani ya mandizi hukuzwa kusini Rwanda?
6218#0 Binadamu alianza kufuga nyuki karne ipi?
62327#0 Profesa wa masomo ya usanifu anaweza kuajiriwa shule gani mkoa wa Ontario Kanada?
62350#0 Watoto wa darasa la tano nchini Kenya kwa kawaida huwa na miaka ngapi?
62354#0 Mbunge wa Timmins Kanada aliyetawala mda mrefu zaidi ni nani?
62355#0 Eneo la GTA Kanada lina wabunge wangapi?
62359#0 Watu hupiga kura baada ya miaka mingapi nchini Gabon?
62367#0 Mkoa wa Ontario Kanada una majimbo mangapi?
62455#0 Mbunge wa Kajiado south ni nani?
62661#0 Ni lugha ipi yenye maneno machache zaidi?
62664#0 Lugha ya Luganda ina maneno mangapi yenye maana kulewa?
62783#0 Lugha ya Tigre ina maneno mangapi?
62886#0 Lugha ya Kiembu ina maneno mangapi yanayoanza na herufi ‘Y’?
62899#0 Mafuta ya kimbo nchini Kenya huuzwa pesa ngapi?
62907#0 Mji wa Tororo ulipata radi mara ngapi mwaka wa 1978?
62968#0 Lugha ya Lingala in vihusishi vingapi?
62979#0 Lugha ya Soninke huzungumzwa nchi gani?
62989#0 Lugha ya Lingala ina nomino ngapi zinazoisha na herufi ‘U’?
63104#0 Ni filamu ngapi zilirekodiwa jangwa la Sahara mwaka wa 2006?
6340#0 Kuna aina ngapi za Kiarabu?
63821#0 Jimbo la Florida lina wajumbe wangapi wenye watoto?
6399#0 Ndege ikisafiri kutoka Dar Es Salaam hadi London huchukua masaa mangapi?
64023#0 Msubinji ina wakazi wangapi ambao wamesoma?
6406#0 Mwandishi Tim Ferris ameandika vitabu ngapi?
64278#0 Kuna mikoa mingapi nchini Romania?
64613#0 Ni vikundi ngapi vya redio hutangaza kwa lugha ya Yoruba?
64739#0 Wakazi wa Kongo huongea aina gani ya Kiswahili?
64755#0 Kampuni ya ndege ya Congo ina ndege ngapi?
6492#0 Vitabu vya shule nchini Tanzania huchapishwa na kampuni gani?
65124#0 Nchi ya Gambia ina lugha ngapi?
6520#0 Mwandishi Ernest Hemingway alikuwa na bibi wangapi?
65298#0 Mwimbaji Davido wa Nigeria ametembea nchi zipi?
65389#0 Lugha ya Fulfulde hupatikana nchi gani?
65418#0 Lugha ya taifa ya Comoros ni ipi?
65482#0 Mwigizaji Kevin Hart ana miaka mingapi?
65755#0 Lugha ya Kaonda ni ya nchi gani?
65779#0 Kikundi cha lugha za Berber huwa na lugha ngapi?
66021#0 Ni nchi gani inayopakana na Guinea upande wa magharibi?
66059#0 Nchi ya Cameroun ina lugha ngapi?
66665#0 Lugha ya Yoruba huzungumzwa na watu wangapi?
66731#0 Nyumba ya bei rahisi zaidi mwaka jana mji wa New York iliuzwa pesa ngapi?
66890#0 Ni mwaka upi ulikuwa na mvua mingi zaidi mji wa Mombasa?
66986#0 Ni lugha gani huzungumzwa na wababilonia?
67124#0 Penelope Cruz ana miaka mingapi?
67278#0 Kwashiorkor husababishwa na ukosefu wa madini yepi mwilini?
67460#0 Tunda la embe lina mbegu ya gramu ngapi?
67735#0 Kijiji kikuu cha wilaya ya Kati nchini Kenya ni kipi?
67776#0 Chama cha wafanyakazi wa vyuo vikuu nchini Kenya huitwaje?
67792#0 Ni nchi ngapi bara la Asia zenye mkoa unaoitwa mkoa wa kati?
67806#0 Jua huchomoza pande gani?
67809#0 Mwigizaji Will Smith alilipwa pesa ngapi kurekodi filamu ya Wild Wild West?
67968#0 Mji wa kajiado una mbuzi ngapi?
67996#0 Kijiji cha Cranbrook Kanada huwa na benki ngapi za CIBC?
67997#0 Kuna lugha ngapi rasmi nchini Botswana?
68048#0 Ni nini idadi ya wakazi wa nchi ya Lesotho?
68104#0 Mji wa Wote Kenya una vijiji ngapi?
68202#0 Kuna ofisi ngapi za msalaba mwekundu nchini Botswana?
6834#0 Florida hunyesha mara ngapi kwa mwaka?
68533#0 Frank Sinatra alizaliwa mji upi?
68825#0 Mnazi unahitaji miaka mingapi kufikisha urefu wa mita kumi?
68849#0 Mji wa Babilonia una wakazi wangapi weusi?
6901#0 Wambunge wa Tanzani husafiri nje ya nchi mara ngapi kwa mwaka?
6984#0 Meya wa mji wa New York ni nani?
69965#0 Dereva wa kivuko anaitwaje?
69989#0 Mji wa Tanga una kata ngapi?
7022#0 Wilaya ya Shinyanga ilipata umeme mwaka gani?
70223#0 Nchi ya Ethiopia ina lugha ngapi?
70841#0 Ni lugha gani ambayo nomino zake zote huanza na herufi kubwa?
70844#0 Lugha ya Kiarabu ina vihusishi ngapi?
71375#0 South-Sudan ilipata uhuru mwaka upi?
71504#0 Ni nchi ngapi bara la Asia zimekuwa na vita na Uchina?
7156#0 Ni miji ipi iko Ziwa la Zanzibar?
71793#0 Mashindano ya riadha ya Boston hufanyika mwezi upi?
71839#0 Ni dini gani imekataza kosa la unafiki?
72315#0 Filamu ya kwanza ya Godfather ilionyeshwa mwaka gani?
7264#0 Anwani ya mwisho barabara la Yonge Toronto ni gani?
73019#0 Kuna lugha ngapi bara la Africa?
73409#0 Lugha ya Kissi huzungumzwa nchi gani?
7342#0 Lita moja ina mililita ngapi?
73815#0 Ni lugha gani Kenya inayozungumzwa na watu zaidi ya milioni kumi?
73887#0 Ni volkeno gani iliyo Indonesia?
73922#0 Kitabu cha kwanza cha medhali za Kikikuyu kiliandikwa na nani?
74119#0 Mji mkuu wa Indonesia ni upi?
74173#0 Korea ya kusini ina lugha ngapi?
74252#0 Nchi ya Eritrea ina eneo la kilmeta ngapi?
7437#0 Mwakemia aliyetia fora zaidi Marekani ni nani?
74371#0 Lugha ya Kimaasai huzungumzwa na watu wangapi kama lugha ya mama?
74477#0 Ni lugha gani huchanganya Kihispania na Kiarabu?
74481#0 Ziwa kubwa zaidi Indonesia ni lipi?
74555#0 Ni watu wangapi huzungumza kirusi duniani?
74563#0 Jiji la Kogelo liko umbali wa maili ngapi kutoka Kisumu?
74564#0 Kitabu cha Nyimbo za Solomon kwenye biblia huwa na stanza ngapi?
74585#0 Lugha ya taifa ya Poland ina kamusi ngapi?
74746#0 Chakula cha kiamsha kinywa Ufaransa kwa kawaida ni cha saa ngapi?
74774#0 Mji wa Jakarta ulipata kanisa ya kwanza ya katoliki mwaka gani?
74781#0 Lugha ya Dinka nchini Sudan ina vihusishi ngapi?
74910#0 Kundi la G8 liitikia memba wake wa mwisho mwaka gani?
74914#0 Ni watu wangapi huongea Kirundi?
75171#0 Kuna aina ngapi za lugha ya kifaransa?
75175#0 Lugha ya Gbaya huzungumzwa na watu wangapi?
7526#0 Mwanasiasa Kenneth Matiba alifanya marekebisho gani wizara ya usafirishaji
76164#0 Wahinndi huamini nini hufanyika mtu akifariki?
76241#0 Mji wa Fort Lauderdale una lugha ngapi za kibantu?
76280#0 Nchi ya Guinea mpya huwa na sikukuu ngapi mwezi wa saba?
76309#0 Simu ya bei ghali zaidi duniani huuzwa dola ngapi?
76559#0 Mwimbaji Mariah Carey ana watoto wangapi?
76693#0 Kuna lugha ngapi nchini Senegal?
76704#0 Banjuni ni lugha ya nchi gani?
76789#0 MWalimu wa chuo kikuu Tanzania hulipwa pesa ngapi?
768 Je, ni mji gani Nigeria yenye watu wengi zaidi?
77156#0 Lugha ya Ga hupatikana nchi gani?
77167#0 Watu wa Jamaica huongea lugha gani?
77194#0 Lugha ya Yoruba huzungumzwa na watu wangapi wasiokuwa raiya wa Nigeria?
77201#0 Ngozi ya binadamu ina safu ngapi?
77420#0 Mwanamziki Chopin alitunga nyimbo ngapi?
77723#0 Mtu asiyeweza kuongea anaitwaje?
78069#0 Mji wa Bali una ofisi ngapi za ubalozi?
78083#0 Ni lugha gani huzungumzwa na watu wengi zaidi jimbo la Alaska?
78095#0 Ni watu wangapi huzungumza Kiarabu mji wa Zanzibar?
78304#0 Viatu vya Nike vyenye bei ya chini zaidi huuzwa dola ngapi?
78360#0 Watu wa nchi ya Mauritius huongea lugha gani?
78471#0 Watu wa nchi ya Belgium huongea lugha gani?
78588#0 Alama ya wahindi ambayo huwekwa kwenye paji la uso humaanisha nini?
78743#0 Kuna kampuni ngapi za simu nchi ya Tanzania?
78786#0 Mji wa Cape Verde ulipewa jina lake na nani?
78801#0 Eritrea ilitengana na Ethiopia mwaka gani?
79255#0 Lugha iliyo na nomino nyingi zaidi ni gani?
79313#0 Lugha ya Kivenda ina maneno mangapi?
79394#0 Lugha ya Kikisii ina maneno mangapi yasiyo na herufi ‘E’?
79629#0 Mfumo wa postikodi ulitumiwa mara ya kwanza nchi gani?
7980#0 Mkia wa ndovu una urefu wa nchi ngapi?
80176#0 Kuna wilaya ngapi Tanzania?
80185#0 Ni nani alikuwa Makamu wa rais wa Jakaya Kikwete?
80445#0 Babu yake George Bush wa pili alikuwa ameajiriwa na kampuni gani?
8084#0 Ni neno lipi la kifaransa humaanisha ‘wakati uliopita’?
80983#0 Nchi ya India ina mito mingapi?
81135#0 Eneo la Tibet lina lugha ngapi za familia ya kikushi?
81428#0 Ufaransa ina viziwa ngapi zenye upana wa zidi ya kilometa ishirini?
81509#0 Lugha ya Kijaluo ina nomino ngapi za wanyama?
8167#0 Lugha ya taifa ya Cote d’Ivoire ni ipi?
8211#0 Ni majimbo mangapi Marekani ambayo hayapati theluji?
82987#0 Mkoa wa Njombe una ngombe ngapi?
83009#0 Eneo la Murang’a lina wakazi wangapi?
83026#0 Wachoraji katuni wa magazeti za Uganda hulipwa pesa ngapi?
8335#0 Dhahabu huchimbwa eneo gani Afrika kusini?
83389#0 Ni watu asilimia ngapi Liberia ambao huzungumza kiingereza kama lugha ya pili?
83433#0 Kuna wakristo wangapi nchini Ethiopia?
8348#0 Jina la kibayologia la mti wa mtende ni lipi?
83949#0 Jaji mkuu wa Mauritius huteuliwa na nani?
84466#0 Kumi inatoshea mara ngapi kwenye elfu moja?
84559#0 Namba isiyohesabika huitwaje na kingereza?
84604#0 Sehemu za shairi huitwaje?
84759#0 Rais wa Ugiriki ni nani?
85083#0 Mji wa Florida una minazi mingapi?
85569#0 Nchi ya Tiber ina mapadre wangapi wa miaka zaidi ya hamsini?
85595#0 Oprah Winfrey amepeana gari ngapi kwenye kipindi chake cha televisheni?
85801#0 Nchini Uchina kuna wanajeshi wangapi?
8591#0 Mji wa Kyela una hospitali ngapi?
86151#0 Lugha ya kitaifa ya Afrika ya kati ni gani?
86190#0 Wafuasi wa kwanza wa Yesu waliuawa wakiwa na miaka ngapi?
86440#0 Maji ya chumvi huchemka yakifikish joto kiwango kipi?
86800#0 Akili ya mtoto wa mwaka moja ina uzito wa gramu ngapi?
86960#0 Mtihani wa mwisho wa shule ya msingi nchini Tanzania una alama ngapi?
87037#0 Nchi ya Togo ina lugha ngapi?
87073#0 Kitabu cha kwanza cha Kituruki kina kurasa ngapi?
87252#0 Rais wa Djibouti ni nani?
87307#0 Mume wa mwimbaji wa Marekani Ashanti ni nani?
87311#0 Shakespeare alifariki akiwa na miaka mingapi?
87578#0 Mwandishi Sidney Sheldon alizaliwa mwaka gani?
87591#0 Mwandishi John Grisham ana watoto wangapi?
87703#0 Papa ana umri wa miaka mingapi?
87757#0 Kingereza hutumia alfabeti gani?
87759#0 Tarehe 1 Aprili 1999 ilikuwa siku gani ya wiki?
87760#0 Mwaka wa 2022 huandikwa aje kwa tarakimu za Kirumi?
87767#0 Wanawake wana mbavu ngapi?
87781#0 Kitabu cha Atlas Shrugged kiliandikwa na nani?
88264#0 Ni nani mwandishi wa kitabu cha Shamba la Wanyama?
88411#0 Ni mwanamke yupi mweusi aliyekuwa wa kwanza kupanda basi ya wazungu?
88586#0 Nchi ya Tanzania ina wahudumu wangapi?
88718#0 Joyce James alizaliwa tarehe ngapi?
88878#0 Jaji huteuliwa na nani nchini Kenya?
88913#0 Alfabeti ya Kijapani ina herufi ngapi?
88945#0 Kuna maktaba ngapi za uma mjini Ottawa?
89002#0 Eneo la Mtwara Tanzania lina miji mingapi?
89045#0 Elfu mbili ukitoa kumi ni ngapi?
89055#0 Mwaka wa 1999 ulikuwa na siku ngapi?
89324#0 Biskuti hupikwa mda wa dakika ngapi?
89724#0 Ni mwanasiasa yupi tajiri zaidi nchini Uganda?
89954#0 Lugha ya Oromo hutumia alfabeti aina gani?
90036#0 Rais wa Ethiopia anaitwa nani?
90397#0 Kurekodi filamu ya Chaupele kulichukua muda wa miezi mingapi?
90412#0 Jaji mkuu wa nchi ya Tanzania huchaguliwa na nani?
90521#0 Rais wa Australia ni nani?
90569#0 Kamba hutengenezwa na uzi aina gani?
91004#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Makonde jimbo la California?
91518#0 Lugha ya taifa ya Afghanistani ni gani?
91643#0 Hadithi za Ali Baba zimetafsiriwa katika lugha ngapi duniani?
91940#0 Mji wa Glasgow hupokea watalii wangapi kwa mwaka?
92010#0 Misumali inayotumika zaidi ni ya urefu wa inchi ngapi?
921#0 Karo ya chuo kikuu Ujerumani ni dola ngapi za Kanada?
92198#0 Mto Ifume una samaki aina ngapi?
92282#0 Ni kitabu kipi kimetafsiriwa kwa lugha mingi zaidi?
92291#0 Kuna wavuvi wangapi Zanzibar?
92306#0 Nchi ya Indonesia imerekebisha katiba mara ngapi karne hii?
92478#0 Mzozo kati ya Urusi na Ukraine umesababisha vifo vya watoto wangapi?
92641#0 Kuna rangi ngapi za ua la waridi?
92798#0 Ni sababu gani huwafanya wanasiasa wakenya kufanya mikutano uwanja wa kamukunji?
92835#0 Nchi ya Tanzania hutoa filamu ngapi kwa mwezi?
92911#0 Samaki wa kukaanga hupikwa dakika ngapi?
92954#0 Kipindi cha Sundowner nchini Kenya kilianzishwa mwaka gani?
93037#0 Mwimbaji Mbosso ameimba nyimbo ngapi za kushirikiana na wanamziki wa Nigeria?
93212#0 Chombo cha kutazama vitu zilizo mbali huitwaje?
93353#0 Kuna siku ngapi za jua mkoa wa Yukon nchini Kanada?
93424#0 Mfalme aliyetawala miaka mingi zaidi Uingereza ni nani?
93508#0 Polisi wa Uganda hubeba bunduki ngapi?
93782#0 Mchezaji wa soka aliyefunga bao nyiingi zaidi kikapu cha dunia ni nani?
94053#0 Mfalme wa kwanza Uingereza alikuwa nani?
94156#0 Mwimbaji Sean Paul aliimba wimbo wake wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
94225#0 Mimba ya ndovu ni ya miezi mingapi?
94901#0 Lugha ya Sara ni ya nchi gani?
95041#0 Meli ya Vasco Da Gama ilikuwa inaitwaje?
95406#0 Kuna milima mingapi nchini Madagascar?
95493#0 Ni meli ngapi zilivamiwa na waharamia mwaka 2021?
95524#0 Nchi ya Mauritius ina lugha ngapi za kitaifa?
95664#0 Safari kutoka ardhi hadi sayari ya jupita huchukua muda wa siku ngapi?
95759#0 Mji wa Vermont Marekani una misitu mingapi ambayo imelindwa na serikali?
95777#0 Kuna aina ngapi za krioli duniani?
96048#0 Magic Johnson ameshinda michuano mingapi?
96062#0 Alexander alitawala Urusi kwanzia lini?
96372#0 Televisheni hutumia nguvu ya umeme kiasi kipi?
96737#0 Mtu anapopanda mlima wa Kenya anahitaji maji lita ngapi?
97085#0 Mtu mrefu zaidi duniani ana urefu wa mita ngapi?
97262#0 Mlima wa Kilimanjaro uko umbali wa kilometa ngapi kutoka Dar Es Salaam?
97383#0 Kuna vyeo ngapi kwenye jeshi la Uingereza?
9748#0 Sikukuu ya Mashujaa husherehekewa tarehe ngapi nchini Kenya?
97579#0 Mji mkuu wa Ziwa la kaskazini la New Zealand ni upi?
97586#0 Ni wakazi wa nchi gani ambao hawahitaji visa kuingia Australia?
97866#0 Ni mnyama yupi anayeweza kuishi kwa maji na pia ardhi?
98295#0 Ni mto upi unaozitenga wilaya za Nyeri na Murang’a?
98329#0 Uwanja wa JKIA hupokea ndege ngapi kwa siku?
98541#0 Mto wa Lukwika una maili ngapi?
98675#0 Mji wa la Lamu una ukubwa wa kilometa ngapi?
98688#0 Ni maradhi gani ambayo husababishwa na maji ya mtoni?
98738#0 Kuna aina ngapi za mito?
98776#0 Ni nini huzuia kisima kubomoka?
98804#0 Mto Des Moines una urefu wa maili ngapi?
99000#0 Shirika la Umoja wa Mataifa liliongozwa na mwanamke mwaka gani?
9922#0 Mji mkuu wa jimbo la New York una hospitali ngapi za saratani?
99223#0 Mti wa Lukwika una samaki aina ngapi?
99338#0 Mto wa Colorado una urefu wa maili ngapi?
99587#0 Ni hoteli ngapi eneo la Maasai Mara hupokea watalii zaidi ya elfu moja kwa mwaka?