nomiracl / data /swahili /topics /test.non_relevant.tsv
nthakur's picture
added initial training data and script
9ca02d1
raw
history blame
35.9 kB
20121#0 Namba za eneo za mji wa Montreal huanza na herufi gani?
103375#0 Daniel Arap Moi alikuwa mjumbe kwa mda wa miaka mingapi?
4890#0 Mwaka wa 2013 ulikuwa na jumapili ngapi?
38219#0 Mto wa Mississippi una urefu wa kilometa ngapi?
35624#0 Nchi ya Tanzania ina wabunge wangapi waliopitisha miaka 60?
22200#0 Ni kata ngapi zina watu zaidi ya milioni tatu barani Afrika?
1900#0 Siku ya ardhi Duniani iliadhimishwa mara ya kwanza mji upi?
97761#0 Ni nani aliyemuua Petero mtume wa Yesu?
16479#0 Rais aliyetawala mda mrefu zaidi duniani ni nani?
78850#0 Ni mnyama yupi anaye abuduliwa nchini India?
104138#0 Kuna kaunti ngapi Nairobi?
103955#0 Mto wa Husdon hushia mji upi?
1721 Je,rais wa 10 wa Marekani aliitwa nani?
34909#0 Nyimbo za Genge zilianza kutia fora mji upi?
36749#0 Maombi ya waislamu hufanywa saa ngapi?
92414#0 Timu ya mpira wa kikapu ina wachezaji wangapi?
103582#0 Mji wa Homa Bay ulipata hospitali ya kwanza mwaka gani?
31806#0 Mwimbaji Whitney Houston aliimba albamu ngapi?
99493#0 Wimbo wa Mrs.Jones uliimbwa na bendi ya nchi gani?
78761#0 Ni mifugo ipi hufugwa mji wa Kitale?
35021#0 Mwimbaji Ashanti amerekodi nyimbo ngapi zilizofika Top 40?
83757#0 Mkuu wa kata nchini Gabon huitwaje?
55106#0 Wimbo wa kwanza wa kikundi cha Beatles ni upi?
1012 Emmaus Shule ya Biblia ilianzishwa na nani?
25994#0 Karo ya shule ya msingi ufaransa ni pesa ngapi?
78863#0 Lugha ya Kihindi ina nomino ngapi za kihispania?
67864#0 Rais wa Botswana ana watoto wangapi?
98689#0 Mto Dehu ulipewa jina Dehu mwaka gani?
24818#0 Wilaya ya Ontario ina miji mingapi?
34351#0 Jengo la CN Tower Toronto lina mikahawa mingapi?
67483#0 Bibi ya Michael Jackson alikuwa nani?
99510#0 Ni meli aina gani zina mwendo wa kasi zaidi?
17155#0 Silicon Valley iko eneo lipi?
74277#0 Papa John Paul wa Pili alitembea bara la Afrika mara ngapi?
1815 Rais Donald Trump wa Marekani aliingia mamlakani akiwa na umri gani?
71318#0 Mji wa Frankfurt hupata unyevunyevu kiasi gani mwezi wa kumi?
68077#0 Wakazi wa Kanada hucheza aina ngapi za michezo ya theluji?
43597#0 Ni nini kilichosababisha vita vya Ethiopia mwaka wa 2021?
10515#0 Gangis Khan alizaliwa mji upi?
85240#0 Ni nchi zipi zilifanya sensa mwaka wa 2021?
96519#0 Volkeno ya mwisho kulipuka ni gani?
21280#0 Wilaya ya Hai Tanzania iko kilometa ngapi kutoka Arusha?
74214#0 Kuna visiwa vingapi nchini Ufilipino?
1552 Uholanzi iko na idadi ngapi ya watu?
61686#0 Matamshi ya Malcolm X yametafsiriwa kwa lugha ngapi?
7160#0 Ni mji upi Kanada wenye namba za sera zinazoanza na herufi 'Z'?
30375#0 David na Victoria Beckham ni wazazi wa watoto wangapi?
13748#0 Mwimbaji Gloria Estefan ni raia wa nchi zipi?
106004#0 Mwandishi Ruth Downie ana binti wangapi?
36202#0 Benki ya Standard Chartered iko nchi ngapi?
57944#0 Mji wa Ileje uko kilometa ngapi kutoka Dodoma?
156 Je,papa wa kwanza katika kanisa katoliki duniani aliitwa nani?
99209#0 Mto wa Ifume una urefu wa kilometa ngapi?
188 Makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya ni nani?
983 Je,papa wa kwanza duniani alikuwa nani?
98563#0 Mji wa San Diego una mito mingapi ambayo yenye upana zaidi ya mita mia moja?
84565#0 Mbwa ana meno mangapi?
7214#0 Marekani ina miji mingapi?
27116#0 Nchi ya Algeria ina wilaya ngapi zinapakana na bahari?
73045#0 Lugha ya Kikuyu huzungumzwa na watu wangapi?
70204#0 Lugha ya taifa ya Misri ni gani?
33796#0 Nigeria ina milima mingapi yenye kilele cha theluji?
45803#0 Chuo kikuu cha Ruhr kina wanafunzi wangapi wanawake?
14261#0 Kitabu cha A tale of two cities kina kurasa ngapi?
28644#0 Mji wa Kigoma una wasanii wangapi?
99604#0 Samaki ya tilapia ina meno ngapi?
27118#0 Ni wanafunzi wangapi walifanya mtihani wa KCPE mwaka 2021 wilaya ya Kisumu Kenya?
85571#0 Ni dikteta yupi alitawala miaka mingi zaidi duniani?
74258#0 Tofauti ya kimombo na kiingereza ni gani?
46002#0 Mji wa Miami una hospitali ngapi?
34965#0 Mchezo wa Sudoku ulianza nchi gani?
65696#0 Lugha ya makonde huzungumzwa nchi gani?
11742#0 Ni moshi wa rangi gani hufahamisha kwamba papa amepatikana?
36264#0 Mji wa Ganana una polisi wangapi?
99342#0 Mto wa Delaware una urefu wa kilometa ngapi?
64675#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Tumbuka?
76669#0 Kuna kanisa ngapi za Kikatoliki mji wa Toronto Kanada?
45901#0 Ni nchi gani ilikuwa ya kwanza kutengeneza chokoleti?
13226#0 Wimbo wao wa kwanza wa Bone Thugz n harmony ulirekodiwa mwaka gani?
34155#0 Timu ya Arsenal ina waafrika wangapi?
64542#0 Mwimbaji Bobby Valentino ameshinda tuzo ngapi za Grammy?
34176#0 Nyimbo za kitamaduni za wakikuyu huhitaji mavazi ya aina gani?
91832#0 Kompyuta ya Dell ina prosesa ngapi?
76019#0 Mji wa Kisumu ulipata kisima cha kwanza mwaka gani?
85155#0 Elfu Mia saba na sabini huandikwaje kwa tarakimu za Kirumi?
22592#0 Watanzania wana sikukuu ngapi kwa mwaka?
44093#0 Mji wa Lagos una wafanyakazi wangapi wanaotegemea sekta ya muziki?
99583#0 Mto wa Thompson ulisababisha mafuriko ya mwisho mwaka gani?
38290#0 Mji wa Dorchester Kanada una timu ngapi za mchezo wa magongo?
42967#0 Nchi Ya Lithuania hupokea msaada wa pesa ngapi?
79725#0 Michezo ya olimpiki ya 2024 itachezwa nchi gani?
76444#0 Sensa ya mwisho ya Mali ilifanyika mwaka gani?
71608#0 Kuna shule ngapi za uigizaji Los Angeles?
95430#0 Chapati zililetwa Afrika na watu wa nchi gani?
22143#0 Ni kata ngapi nchini Mali ambazo zina hospitali zaidi ya kumi?
92807#0 Mwigizaji Mukobelo wa Uganda alianza kuigiza mwaka upi?
90369#0 Mwanasiasa Raila Odinga alimchagua nani kama mgombea mwenza?
16914#0 Mabawa ya kuku yana urefu wa sentimeta ngapi?
106330#0 Kuna Disneyland ngapi Marekani?
19997#0 Somalia ina waziri wangapi?
23937#0 Ni ziwa ngapi Afrika hutumiwa kutengeneza umeme?
2605 Rhodesia ina ukubwa gani?
99428#0 Mkoa wa Nairobi una miji mingapi?
1307 Nchi ya Uholanzi iko na idadi ngapi ya watu?
74535#0 Lugha ya taifa ya Comoros ni gani?
74382#0 Mtu anayejua lugha mingi zaidi duniani ana miaka mingapi?
86783#0 Kuna vibanda vingapi vya viatu Uchina?
39932#0 Wimbo wa taifa wa Marekani una mistari ngapi?
101917#0 Kuna mito mingapi inayoingia mto wa Nile?
20449#0 Wilaya ya Kilombero ina mito mingapi?
95879#0 Rais wa kwanza wa Ujerumani alikuwa nani?
98641#0 Bahari ya Pasifiki hupatwa na tsunami ngapi kwa mwaka?
99771#0 Meli husafiri siku ngapi kutoka Ujerumani hadi Mombasa?
61695#0 Lugha ya Fula ina maneno mangapi?
81054#0 Kilemba huvaliwa na watu wa dini gani?
25351#0 Kikundi cha Nazi kilikuwa na wanajeshi wangapi?
84593#0 Filamu ya kwanza ya Scorpion King ilionyeshwa mwaka gani?
10094#0 Nani alikuwa rais wa Msumbiji mwaka wa 2001?
43356#0 Mji wa London una hoteli ngapi za nyota tatu au zaidi?
91950#0 Kitabu cha biblia huuzwa pesa ngapi Kenya?
29403#0 Nchi ya Somali ina mikoa mingapi kwa mipaka ya nchi jirani?
19410#0 Mji mkuu wa Mkoa wa Ugunja Kusini ni upi?
62299#0 Lugha ya Kifanagalo iko nchi gani?
98809#0 Maji ya mto yanahitaji kuchemshwa hadi digrii ngapi kabla ya kunywa?
93267#0 Namba tano huandikwaje?
7371#0 Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa mbunge Tanzania ni nani?
2615#0 Kuna ziwa ngapi bonde la ufa zenye urefu zaidi ya kilometa mia mbili?
100488#0 Mto wa Hudson una samaki aina ngapi?
65687#0 Lugha ya Ewe ina nomino ngapi za kiarabu?
89300#0 Wilaya ya Nairobi ina kaunti ngapi zenye wakazi chini ya elfu kumi na mbili?
102559#0 Mto wa Cahabon uko nchi gani?
95377#0 Kampuni ya Bayer ilianzishwa nchi gani?
85945#0 Kifaa cha muzizi cha marimba ni cha nchi gani?
2951#0 Rais wa nchi ya Togo amefanya nini ili kuendeleza masomo?
81536#0 Kuna lugha ngapi za Kinubi nchini Sudan?
90082#0 Mwaka wa 2000 ulikuwa na siku ngapi?
78350#0 Lugha ya Kiingereza ina nomino ngapi za kifaransa?
77018#0 Al Capone alipelekwa jela akiwa na miaka mingapi?
24249#0 Kuna vitabu vingapi vya Harry Porter?
2103 Jimbo la Katalunya ya magharibi ya kaskazini lina idadi ngapi ya watu?
103858#0 Julius Kaisari alikuwa na bibi wangapi?
21047#0 Mkoa wa Tanga una shule ngapi za chuo kikuu?
91545#0 Ni kwanini bayolojia hutumia majina ya kilatini?
56767#0 Kuna waluo wangapi Kenya?
87250#0 Ni lugha gani ambayo ina mashairi mengi zaidi?
104515#0 Ni nani kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Kenya?
105030#0 Ni dawa ipi huondoa uchungu wa meno?
72304#0 Masomo ya uwakili ni ya miaka mingapi nchini Kenya?
38013#0 Mji wa San Diego una walimu wangapi ambao walifikisha masomo chuo kikuu?
77336#0 Ni mbao za mti upi hufaa zaidi kujenga daraja?
10424#0 Mji wa Kahama una shule ngapi za msingi?
89301#0 Mji wa Juba una mito mingapi?
96633#0 Ni nani hutabiri kama volkeno italipuka?
45799#0 Kuna miji mingapi inayoitwa Frankfurt duniani?
74413#0 Lugha ya Tagalog ina uhusiano upi na Kihispania?
12977#0 Wimbo wa Rudolf the rednosed reindeer huimbwa wakati upi?
13138#0 Jaji wa kwanza mweusi Marekani alikuwa ni nani?
66635#0 Redio ya kwanza ilijengwa mwaka upi?
37519#0 Filamu ya Jason Bourne ililetwa mara ya kwanza Netflix mwaka gani?
90352#0 Mwimbaji Issa wa Kenya alifariki akiwa na miaka mingapi?
4887#0 Wiki ina siku ngapi?
1591 Je,Israeli iko katika bara gani?
21774#0 Benki za mji wa Kigoma hufunguliwa saa ngapi?
43562#0 Ni wilaya ipi hukatwa umeme mara mingi zaidi Tanzania?
81165#0 Lugha ya taifa ya Lebanon ni ipi?
62543#0 Kihispania ni lugha ya taifa gani Afrika?
34158#0 Jina la Bollywood lilianza kutumiwa lini?
19401#0 Bunge la Kenya lina wabunge wangapi chiana ya miaka arobaini?
91689#0 Ni watu wangapi wa miaka chini ya ishirini wamepanda mlima Everest?
95438#0 Mji wa New York una studio ngapi?
74124#0 Mto wa Okanogan Kanada una urefu wa kilometa ngapi?
96379#0 Ni nani anamiliki timu ya soka ya Arsenal?
68121#0 Sensa ya Tanzania hufanyika baada ya miaka mingapi?
18797#0 Lugha ya Tagalog hunadikwa kwa kutumia alfabeti aina gani?
70269#0 Mababu wa watu wanaoonge kibantu walitoka nchi gani?
24907#0 Kuna mikoa mingapi nchini Peru?
3185 Je,Oliver N'Goma alianza mziki mwaka upi?
67334#0 Mende ana miguu mingapi?
65719#0 Mji unaorekodi filamu nyingi zaidi Nigeria ni upi?
2987#0 Mwigizaji Betty White alikuwa na watoto wangapi wa kiume?
34929#0 Filamu ya The Gods must be crazy ilitengenezwa nchi gani?
84155#0 Mji wa Malindi una warabu wangapi walio soma chuo kikuu?
42013#0 Zambia ina waziri wangapi wanawake?
35981#0 Kipindi cha Grey’s Anatomy kilionyeshwa kuanzia tarehe ngapi?
12587#0 Papa wa kwanza alikuwa nani?
21212#0 Ni mji upi bara la Afrika ambao una mashaba makubwa zaidi ya mpunga?
20267#0 Mwigizaji Jalang’o ameajiriwa vituo vingapi vya televisheni?
95352#0 2022 ni mwaka upi katika kalenda ya Kichina?
2816#0 Ndege ya Boeing 707 hubeba abiria wangapi?
101838#0 Mto wa manjano ulipewa jina manjano kwa nini?
61784#0 Shule inayowafunza wanajeshi wa Marekani lugha huitwaje?
5222#0 Mikebe ya soda hutengenezwa na chuma gani?
20484#0 Ni sehemu gani ya dunia ambayo haipati jua kamwe?
86999#0 Nchi ya Urusi ina wanajeshi wangapi?
20003#0 Mkoa wa Nyanza una vituo vingapi vya reli?
100956#0 Gari la Tesla huuzwa dola ngapi za marekani?
10429#0 Wakimbizi wanahitaji kuishi Norway miaka mingapi kabla ya kupewa uraiyaa?
69903#0 Mji wa Charleston una wakazi wangapi wanaopata mshara zaidi ya dola milioni moja?
95212#0 Chumba cha juu cha bunge Uganda huitwaje?
103943#0 Mto Slave uno daraja ngapi za mbao?
92814#0 Mwigizaji Tom Cruise amejeruhiwa mara ngapi akirekodi filamu?
104214#0 Waziri wa elimu Tanzania ni nani?
84564#0 Namba mia nne tisini na mbili huandikwaje kwa tarakimu za kawaida?
102224#0 Watu wa kabila ya Turkana huoa bibi wangapi kwa kawaida?
80102#0 Tanzania imekuwa na rais wangapi?
27711#0 Diana Ross ana mali kiasi gani?
86704#0 Kijerumani ni lugha ya taifa katika nchi ngapi?
4181#0 Ziwa Malawi lina aina ngapi za kobe?
21002#0 Mji wa Makindu Kenya una wakazi wangapi?
94164#0 Vita vya kwanza vya dunia vilisababishwa na nini?
67175#0 Mbunge wa Kajido ya Kaskazini Kenya ni nani?
89950#0 Dhahabu hupatikana mji upi Australia?
19521#0 Nchi ya Zimbabwe ilimchagua nani kama rais mwaka wa 2018?
87803#0 Arobaini huandikwa aje kwa tarakimu za Kirumi?
95028#0 Wilaya ya Kilolo ina milima mingapi?
97304#0 Ni nini kilichofanya chokoleti ya Ubelgiji itie fora?
82476#0 Mtakatifu wa mwisho wa kanisa la katoliki ni nani?
5715#0 Watoto wa Tanzania hupewa chanjo ngapi wakiwa wachanga?
57922#0 Wilaya ya Hai ina kata ngapi?
37196#0 Kampuni inayouza umeme mji wa Cranbrook Kanada ni ipi?
21049#0 Shule binafsi za mji wa Montreal hulipisha karo ya dola ngapi?
75078#0 Mwaka wa 2022 una siku ngapi?
84860#0 Alfabeti ya Kilatini ina herufi ngapi?
90854#0 Masomo ya padri ni ya miaka mingapi?
32625#0 Ofisi ya vitambulisho eneo la Kibera Nairobi iko anwani gani?
176 Antibiotiki iligunduliwa nchini gani?
93325#0 Kanali Harland Sanders alianza kuunza kuku tarehe ngapi?
106374#0 Kadi za Mastercard zinaitikiwa kwenye nchi ngapi duniani?
66497#0 Taiwan ina miji mingapi?
34485#0 Ni nani aliyekuwa muislamu wa kwanza kufika Ethiopia?
29101#0 Duka ya Uchumi Kenya ilianzishwa na akina nani?
88441#0 Muziki wa rock and roll huchezwa kwa kutumia guitaa aina gani?
3306#0 Mbingwa wa kuogelea Marekani ni nani?
36817#0 Mwigizaji Clive Owens alirekodi filamu ya Croupier mwaka gani?
80409#0 Lugha ya Kifaransa in vihusishi ngapi?
72093#0 Mji wa Vihiga Kenya una mapadre wangapi?
103658#0 Mwimbaji Saida Karoli alikuwa na watoto wangapi?
98480#0 Mto wa Mississippi una urefu wa maili ngapi?
65903#0 Ni mito ngapi nchini Congo haitumiwi kwa umwagiliaji wa maji?
65476#0 Yohana mbatizaji alikuwa na bibi wangapi?
10645#0 Yesu alisulubiwa kwenye msalaba wa mbao ya aina gani?
103977#0 Kuchimba kisima wilaya ya Pwani nchini Kenya kunahitaji pesa ngapi?
32087#0 Masomo ya sayansi ya chuo kikuu Kanada ni ya miaka mingapi?
72035#0 Maria Magdalena alikuwa na miaka mingapi alipomsaidia Yesu mjini Galileo?
28205#0 Peremende za Turkish Delight hutengenezwa na sukari aina gani?
76534#0 Eneo la Timbuktu lina lugha ngapi za kibantu?
80181#0 Ni mti upi unaokua mwaka mingi zaidi duniani?
11298#0 Chama cha Liberals nchini Kanada hungozwa na nani?
21269#0 Wilaya ya Iringa ina kata ngapi?
18032#0 Mandizi yana mbegu ngapi?
96513#0 Kitabu cha Kisima Cha Giningi hufundishwa kuanzia daraja lipi nchini Kenya?
45942#0 Nchi ya Uholanzi ina mikoa mingapi isiyo karibu na bahari?
35696#0 Ni wakazi wangapi wa Muranga wamesoma hadi chuo kikuu?
13923#0 Mwimbaji Beanie Man alizaliwa nchi gani?
94961#0 Gari la moshi lina gurudumu ngapi?
17004#0 Sherehe ya ndoa ya wahindi hukawia siku ngapi?
85373#0 Namba mia saba sabini huandikwaje na tarakimu za kawaida?
36499#0 Mafuta ya mbarika huyeyuka yakifika digrii ngapi?
97508#0 Hadithi za mnyama Loch Ness ziliandikwa mara ya kwanza kitabu kipi?
104491#0 Chai ilifika ulaya mwaka gani?
35536#0 Pombe ya pilsner ilitengenezwa mara ya kwanza nchi gani?
77033#0 Ni lugha gani ambayo hutumika zaidi bara la Asia?
82839#0 Ni nani rais wa Ukraine?
79694#0 Lugha ya Myene hupatikana nchi gani?
99616#0 Ni aina gani ya kifaru ambayou inakiribia kutoweka?
83334#0 Namba ya mwisho ya sera mjini Nairobi ni ipi?
99628#0 Maasai Mara ina hoteli ngapi za nyota tano?
65765#0 Nchi ya DRC ina lugha ngapi?
46231#0 Mji wa Njombe una benki ngapi?
78582#0 Wanawake walipata haki ya kupiga kura mwaka gani Marekani?
101248#0 Marekani hununua mafuta ya gari nchi gani?
10617#0 Mwigizaji Owen Wilson ana miaka mingapi?
74084#0 Nchi ya Roma ilitengana na Vatican mwaka gani?
79081#0 Mji wa Hamilton Kanada ulipata hospitali ya kwanza mwaka gani?
20910#0 Usiue ni kosa la ngapi kwenye biblia?
15975#0 Kibuyu cha lita 10 za maji huuzwa pesa ngapi Kenya?
92517#0 Mto wa mara una urefu wa kilometa ngapi?
85262#0 Mwaka wa 2020 ulipata tukio lipi ambalo lilihusisha dunia nzima?
37847#0 Ni shule zipi nchini Uganda hufunza uhandisi?
19438#0 Wilaya ya Mwanga uko kilometa ngapi kutoka Dar Es Salaam?
3202#0 Ndege kutoka Nairobi hadi Durban huchukua masaa mangapi?
86184#0 Kuna hoteli ngapi za kituruki mjini London?
15811#0 Kampuni ya ndege ya British Airways ilianzishwa mwaka gani?
30147#0 Kipindi cha mia moja cha Grey’s Anatomy kilirekodiwa tarehe ngapi?
100495#0 Ni kwanini mto Snake Marekani ulipewa jian hilo?
31422#0 Wimbo wa pili wa Mwimbaji MC Hammer ulikuwa upi?
88804#0 Kampuni ya Ford Motors ina matawi mangapi ya office duniani?
75019#0 Lugha ya Kiluhya ina maneno mangapi?
84683#0 Alfabeti ya Kiroma hutumia herufi ngapi?
36129#0 Vijana humea ndevu wanapofikisha umri upi?
94399#0 Ufaransa iliwatuma wanajeshi wangapi kwenye vita vya pili vya dunia?
84209#0 Gari ya aina ya Honda ni ya nchi gani?
68582#0 Habari za KTN Kenya huonyeshwa saa ngapi?
72295#0 Addis Ababa ina viwanja vingapi vya ndege?
78970#0 Bendera ya Bangladesh ina mduara wa rangi gani?
97541#0 Chakula cha Pico de gallo hutengenzwa na viungo vipi?
66730#0 Nchi ya DRC ina lugha ngapi zanazolingana na Kiarabu?
98267#0 Mkoa wa Katavi una wakazi wangapi wakongwe?
3803#0 Ni jimbo lipi lina viziwa mingi zaidi Marekani?
15446#0 Rais wa Lebanon alipigiwa kura ngapi?
85069#0 Eneo la Guangzhou nchini China hujulikana kwa sababu ya tukio lipi?
22927#0 Mchezaji wa umri wa juu zaidi kipindi cha Blue Bloods ana miaka mingapi?
19735#0 Rais Mwai Kibaki alichaguliwa kama mbunge mara ngapi?
90465#0 Kuna wajumbe wangapi nchini Algeria?
5797#0 Lugha ya Haya ina maneno mangapi?
72528#0 Nchi ya Liberia ina wakazi wangapi?
4702#0 Ni siku gani ilipata mvua zaidi mjini Florida mwaka wa 2021?
83289#0 Mti mkubwa zaidi duniani ni upi?
92065#0 Maji ya bara la hindi yana madini mangapi?
25022#0 Lugha ya kompyuta ya SQL iliundwa mwaka gani?
103849#0 Uwanja wa BMO Toronto huwa na mechi ngapi kwa mwaka?
80819#0 Eneo la Lindi lina kata ngapi?
61610#0 Kimeru ni lugha ya wilaya gani Kenya?
37701#0 Kijiji cha Limuru Kenya kina viwanda vingapi vya viatu?
92904#0 Mwanamziki wa hip hop anayejulikana zaidi nchini Libya ni nani?
45011#0 Mji wa Belgrade uko eneo lipi duniani?
97444#0 Mwimbaji Otile Bwana alianza uhusiano wake na Vera Sidika mwaka gani?
77993#0 Kuna aina ngapi ya lugha za Krioli?
41046#0 Wilaya ya KAsulu ina kata ngapi?
104751#0 Programu ya Microsoft Word ilitolewa mwaka gani?
17192#0 Nchi ya Sierra Leone ina mikoa mingapi?
89472#0 Samaki wa aina ya tilapia hutaga mayai mara ngapi kwa wiki?
62256#0 Marekani huadhimisha sikukuu ngapi za kiislamu?
85951#0 Kayamba ni kifaa cha muziki wa nchi gani?
67742#0 Na marashi gani yenye harufu ya nguvu zaidi?
20864#0 Muhogo hukuzwa katika wilaya zipi Tanzania?
32441#0 Mji mkuu wa singapore unaitwaje?
12586#0 Askofu Desmond Tutu alianza kuisaidia nchi ya Rwanda mwaka gani?
57093#0 Waimbaji wa muziki wa hip hop huimba nyimbo ngapi kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa maarufu?
21154#0 Jimbo la South Carolina lina madaktari wangapi wa mifugo?
96903#0 Uhusiano wa Donald na Melania Trump ulianza mwaka gani?
62221#0 Kuna lugha ngapi za Kibantu nchini Uganda?
102580#0 Kuna matawi mangapi ya jeshi Marekani?
63105#0 Ni nchi gani hukuza pamba mingi zaidi duniani?
104757#0 Isikuti ni kifaa cha muziki wa eneo lipi?
96035#0 Jiko la George Foreman huchukua dakika ngapi kupika kuku?
66478#0 Ni nani alianzisha dini ya ubudha?
61449#0 Lugha ya Susu hupatikana nchi gani?
5629#0 Mji wa Naivasha uko kilometa ngapi kutoka Nairobi?
42695#0 Mkoa wa Chiba una miji mingapi iliyoko karibu na bahari?
92579#0 Musa alikuwa na ndugu wangapi?
21720#0 Ni wilaya ngapi nchini Somali ambazo hazina mzozano?
98450#0 Mto Kizigo uko mkoa upi?
85263#0 Mwaka wa 2020 ulikuwa na mashambulizi mangapi ya bomu?
70986#0 Uholanzi una wakimbizi wangapi wa nchi ya Somali?
78003#0 Lugha ya Kimombo hutumia herufi gani kuonyesha kinyume?
2101 Je,mji wa Lagos ina idadi ya watu wangapi?
79040#0 Ni gari ngapi zimeandikiswa mkoa wa Pwani Kenya?
3168#0 Mto wa Lwika una urefu wa kilometa ngapi?
1320 Makamu wa rais wa kwanza Kenya ni nani?
87603#0 Kuna aina ngapi za virusi vya Corona?
65430#0 Nchi ya Chad ina lugha ngapi ambazo hutumia alfabeti ya kilatini?
23243#0 Kuna Wachina wangapi mjini Dodoma?
36245#0 Eneo la Manyara lina shule ngapi za msingi?
76174#0 Raiya wa Marekani hulipishwa pesa ngapi kabla ya kupata visa ya Uchina?
73951#0 Mtu anahitaji miaka mingapi kujifunza kuandika kiarabu?
104312#0 Mwimbaji Ricardo Banks ana watoto wangapi?
101 Je,nchi kubwa zaidi bara Asia ni ipi?
95365#0 Wimbo wa Bended Knees uliimbwa mwaka gani?
6336#0 Wakushi walianza kufuga ng’ombe karne gani?
56003#0 Umoja wa Ulaya ulindwa mwaka gani?
107988#0 Watu wa nchi ya Comoros husalimiana kwa njia gani?
104393#0 Rais Maghufuli alizaliwa mkoa upi?
45947#0 Ni nchi gani zinazopakana na Ubelgiji?
79615#0 Kuna viwanda vingapi vya nyama choma mjini Ngong?
40515#0 Mwimbaji Monica alianza uhusiano wake na Lloyd Banks mwaka gani?
75186#0 Msikiti wa kwanza mjini Asmara ulijengwa tarehe ngapi?
94748#0 Rais Magufuli alizikwa baada ya siku ngapi kutoka afariki?
2890#0 Mwimbaji Carlos Santana ameimba nyimbo ngapi za kushirikiana?
77196#0 Lugha ya Kiingereza ni mkusanyiko wa lugha zipi?
21107#0 Kata ya Vunta ina walimu wangapi wa shule ya msingi?
29704#0 Wilaya ya Chunya ina madaktari wangapi?
22570#0 Wilaya ya Kwimba in kata ngapi?
77499#0 Ni ugonjwa gani husababishwa na panya?
87358#0 Mwimbaji Nameless wa Kenya ana watoto wangapi?
47249#0 Nchi ya Haiti ilijitawala baada ya miaka mingapi?
69527#0 Askari wa mji wa Nairobi huvaa mavazi ya rangi gani?
2327 Mercurius aliacha kuwa mungu wa dini ya Roma mwaka gani?
62805#0 Kuna lugha ngapi za Kikushi?
83369#0 Ni nabari ipi refu zaidi kwa tarakimu za Kiroma?
98808#0 Ni mito ipi inayopitia mji wa Miami?
100985#0 Misri hupokea watalii wangapi mwezi wa Desemba?
67091#0 Bendi la Spice Girls lina nyimbo ngapi?
86972#0 Lugha yenye nomino nyingi zaidi duniani ni gani?
23214#0 Kikundi cha televisheni cha KTN Kenya kilianzishwa mwaka gani?
66732#0 Ni nini kinachosababisha ukurutu?
108471#0 Nchi ya Rwanda ina lugha ngapi ambazo ziko karibu kutoweka?
13410#0 Wimbo Binti Kiziwi umeimbwa na nani?
21773#0 Wakulima wa mkoa wa kati nchini Kenya hupewa taarifa zipi na serikali?
1203#0 Eneo la Afrika kaskazini lina mataifa mangapi?
11159#0 Dini ya katoliki ilianza nchi gani?
7331#0 Kuna sayari ngapi?
4980#0 Tarehe 25 Desemba ni sikukuu gani?
155 Je,nchi gani kubwa zaidi bara Afrika?
21973#0 Ni wilaya ipi iliyo na watu wengi zaidi Tanzania?
2250#0 Mkoa wa Simiyu una miji mingapi?
6249#0 Kuna waimbaji wangapi wa lugha ya kimasai?
19382#0 Meya wa mji wa Hollywood aliteuliwa tarehe ngapi?
71079#0 Shirika la FBI Marekani lina wafanyikazi wangapi?
28647#0 Mji wa Charleston umewaajiri madaktari wangapi?
18949#0 Wilaya ya Handeni ina kata ngapi?
68052#0 Mfalme wa Botswana anaitwa nani?
64757#0 Lugha ya Kiembu ina maneno mangapi yanayoanza na herufi M?
78017#0 Lugha ya Mina hupatikana nchi gani?
40435#0 Mamake Biggie Small ni nani?
38156#0 Mji wa Njombe una hospitali ngapi?
2135#0 Ni nini husaidia kupunguza idadi ya kupe?
103420#0 Mto mrefu zaidi Marekani ni upi?
106076#0 Ibrahamu kwenye biblia alikuwa na bibi wangapi?
72358#0 Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama rais Afrika ni nani?
78811#0 Ni nchi gani ina ziwa kubwa zaidi duniani?
93616#0 Gari la mercedes benz hutumia mafuta lita ngapi kusafiri kilometa elfu moja?
102869#0 Mto Slave Marekani ulipata mafuriko mara ngapi mwaka jana?
100507#0 Ni chama kipi nchini Kenya hutumia alama ya tingatinga?
2783 Remmy Ongala ana albamu ngapi?
13182#0 Ni kwanini wakoloni walishindwa kuitawala Ethiopia?
64963#0 Lugha ya kingereza ina maneno mangapi?
2175#0 Mkoa wa Lindi una wanawake wangapi?
1563 Je, kuna mto katikati mwa mji wa Venezuela?
35355#0 Kampuni ya Marc Jacobs hushona aina ngapi za nguo za wanawake?
4904#0 Tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka wa elfu mbili na kumi na sita ilikuwa siku gani?
6956#0 Mwigizaji Jason Momoa ana uzito wa kilo ngapi?
34207#0 Kikundi cha GEMA nchini Kenya ni cha watu wa kabila gani?
55906#0 Ni kiungo kipi hutengeneza mate ya binadamu?
7478#0 Nchi ya Japani hupata mililita ngapi za mvua kwa mwaka?
94838#0 Mlima mrefu zaidi mkoa wa Kati Kenya una urefu wa maili ngapi?
81339#0 Kitabu cha kwanza cha lugha ya Kikuyu kilichapishwa mwaka gani?
68171#0 Ni nchi ngapi duniani zina mkoa unaoitwa Central.
14820#0 Wakazi wa Italia wanapenda soda ipi?
47498#0 Mto wa Mohawk huanzia mji upi?
102254#0 Ni mto upi unaopitia mji wa Mombasa?
74396#0 Watu wa mji wa Honolulu huzumza lugha gani?
60105#0 Charles Luanga aliuawa mwaka gani?
4977#0 Mwezi wa nne una dakika ngapi?
14752#0 Kitabu cha dini ya Ubudha huitwaje?
98534#0 Mto wa Kootenay uko mji upi Canada?
93078#0 Mchezo wa kadi hutumia kadi ngapi?
102673#0 Mchezaji wa soka mashuhuri zaidi Marekani ni nani?
2426 Lugha ya kitaifa nchini Uholanzi ni gani?
29577#0 Mji wa Kongowea Kenya uko mkoa upi?
95062#0 Nyungu za Wakikuyu hutengenezwa na mchanga wa rangi gani?
29421#0 Ni vifaa zipi hutumiwa kusimamisha hema?
72871#0 Mchezaji Shaquille O'neal una urefu wa futi ngaapi?
67947#0 Kuna umbali wa kilometa ngapi kati ya Durban na Mji wa Cape Town?
81402#0 Mto wa Kitangiri una urefu wa kilometa ngapi?
67000#0 Lugha ya Dogoso huzungumzwa nchi gani?
108365#0 Tunda la mdarasini lina rangi gani linapoiva?
84286#0 Ni nchi gani yenye wachunguzi wengi zaidi wa madini?
55813#0 Napoleon alikuwa na urefu wa futi ngapi?
93993#0 Kuna idadi gani ya kaunti nchini Kenya?
63134#0 Nchi ya Congo ilipata simu ya kwanza ya mkono mwaka gani?
78464#0 Ni aina gani ya pilipili ambayo hutumika zaidi nchini Sri Lanka?
80072#0 Kata ya Isebeya ina wakazi wangapi?
15652#0 Morgan Freeman amefanya tangazo ngapi?
16576#0 Kitabu cha mwanzo katika biblia kiliandikwa na nani?
33205#0 David Bautista alianza kuigiza mwaka gani?
101968#0 Mto wa Hudson huanzia jimbo lipi Marekani?
16727#0 Kanisa ya katoliki ilianzishwa mwaka gani?
2776 Je,bandari kubwa bara Afrika inapatikana wapi?
33173#0 Kompyuta ya aina ya Mac ilijengwa mwaka gani?
94834#0 Ni pombe gani hununuliwa zaidi nchini Kenya?
82716#0 Jina la kuzaliwa la msanii Biggy Small ni lipi?
21793#0 Jimbo la Arizona lina miji mingapi yenye maji masafi?
96889#0 Eneo la Scandinavia lina nchi ngapi?
11279#0 Kumekuwa na papa wangapi?
3030 Je,Remmy Ongala alikuwa na albamu ngapi?
91878#0 Ni miji ipi Marekani yenye hukumu la kifo?
36939#0 Majadiliano ya mbunge huongozwa na nani Marekani?
20109#0 Postikodi za Marekani zina herufi ngapi?
1873#0 Tyler Perry amerekodi filamu ngapi za Madea?
36361#0 Mwimbaji Common wa Marekani ana watoto wangapi?
28927#0 Mwigizaji Al Pacino amerekodi filamu ngapi na Robert De Niro?
23932#0 Filamu ya kwanza ya Indiana Jones ilirekodiwa nchi gani?
20358#0 Wilaya ya Kilolo ina hospitali ngapi?
92691#0 Mti wa kahawa huzaa matunda ya kwanza ukiwa na miaka mingapi?
101952#0 Mto Fraser uko nchi gani?
88980#0 Ni aina ngapi za chungwa ambazo si za rangi nyeupe chini ya ngozi?
18047#0 Mwimbaji Mbosso wa Tanzania ana albamu ngapi?
87673#0 Ni wanasayansi wangapi walifariki kwenye ajali ya Chenobyle.
27120#0 Ni wilaya ngapi duniani zenye mji mmoja tu?
81470#0 Ni nani tajiri zaidi Marekani?
104285#0 Ofisi za Nairobi za kampuni ya Bayer ziko anwani gani?
93964#0 Ngamia huishi miaka mingapi?
28934#0 Mkoa wa Kati Kenya una miji mingapi?
65218#0 Mchekeshaji Dave Chapelle alizaliwa mji upi?
41083#0 Afrika ya kusini hupata mafuriko mara ngapi kwa mwaka?
31926#0 Wangu wa Makeri alikuwa na bwana wangapi?
8236#0 Vita vya Ghuba vilisababisha vifo vya wanajeshi wangapi wa Marekani?
27716#0 Eneo la Simiyu lina kata ngapi?
102130#0 Mto wenye idadi kubwa zaidi ya mamba ni upi?
73709#0 Lugha ya Tumbuka huzungumzwa nchi gani?
76171#0 Ni chuma gani inayoutumiwa kutengeneza vikombe?
16604#0 Shetani kwenye biblia alikuwa nyoka wa aina gani?
58019#0 Kna miji mingapi nchini Uruguay?
74531#0 Lugha ya Kivenda ina maneno mangapi?
98672#0 Ni miti ipi hukua eneo zenye upepo mwingi?
82834#0 Mji wa Bariazi uko eneo lipi?
62289#0 Meya wa mji wa Miami ni nani?
34817#0 Ni barabara gani mkoa wa Ontario hulipisha kodi?
2873 Wimbo wa Only God Can Judge Me ulirekodiwa mwaka gani?
75250#0 Ni hatari gani ya kompyuta ilihofiwa mwaka wa 2000?
34834#0 Eneo la Texas lina waimbaji wangapi wa muziki wa country?
62541#0 Lugha ya Hassaniya ina maneno mangapi?
41655#0 Nchi ya Uganda hukuza mandizi tani ngapi kwa mwaka?
99160#0 Mto wa Alabama una urefu wa maili ngapi?
30431#0 Kuna aina ngapi za mbu?
84931#0 Kijiko kikubwa hubeba maji gramu ngapi?
78381#0 Afisi za wakili mkuu wa serikali ya Uganda ziko mji upi?
21444#0 Mkoa wa Kati Kenya una miji ngapi?
93933#0 Ni mkoloni yupi alitawala nchi ya Japani?
7141#0 Afisi ya mbunge Othaya iko wapi?
91987#0 Ni gesi zipi zinazopatikana kwenye jua?
42545#0 Ni nchi gani iliyo na wafuasi wengi zaidi wa dini ya kipenetekosti?
45951#0 Mipaka ya mji wa Moyale iliamuliwa mwaka gani?
18453#0 Mhusika mkuu wa Game of Thrones ni nani?
29567#0 Ni mito ipi inayopitia Mji wa moshi?
84391#0 Abraham Lincoln alikuwa na watoto wangapi?
66403#0 Nchi ya Morocco hujulikana kwa jambo lipi?
85598#0 Ni kwanini watawa wa Tibet hunyoa nywele?
65123#0 Watu wa kabila ya Madi nchini Sudan huishi eneo lipi?
12905#0 Mfalme wa kwanza wa Uturuki ni nani?
74988#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Yoruba mkoa wa Ontario Kanada?
40722#0 Ufaransa ina majimbo mangapi yanayojitawala?
2470#0 Uchunguzi wa virusi huitwaje?
33033#0 Mkoa wa Rukwa una wilaya ngapi?
95525#0 Milima ya Hamalayas ina vilele vingapi?
83051#0 Lugha ya Shikomoro ni ya nchi gani?
22914#0 Muigizaji Eddy Murphy ana ndugu wangapi?
74061#0 Mtoto huanza kufahamu lugha akiwa na miezi mingapi?
69056#0 Kipindi cha Big Bang Theory hurekodiwa mji upi?
82503#0 Ni kiungo kipi mwilini huadhiriwa zaidi na pombe?
33992#0 Jina Bollywood lilitungwa mwaka gani?
79083#0 Wakulima hutumia nini kutega fuko?
99429#0 Mto Deho una urefu wa kilometa ngapi?
57019#0 Seneta hulipwa pesa ngapi Marekani?
23261#0 Mimba ya ng’ombe ni ya miezi mingapi?
3256#0 Mwanasiasa Sonko wa Kenya alifanya kazi gani kabla ya kuingia kuanza kazi ya siasa?
4881#0 Mwezi wa saba una siku ngapi?
10 Thr33 Ringz ina nyimbo ngapi?
23736#0 Ni chakula kipi huuzwa mikahawa ya mji wa Havana?
22618#0 Nyumba ya kwanza ya Airbnb nchini Kenya ilikuwa kitongoji kipi?
6842#0 Kampuni ya Kenya Railways ina gari ngapi za moshi?
69080#0 Kikundi cha Beetles kiliuza albamu ngapi?
78236#0 Ni alfabeti gani ina herufi nyingi zaidi?
26122#0 Sensa hufanywa baada ya miaka ngapi nchini Togo?
96779#0 Ziwa la Malawi lina eneo kiasi gani?
72782#0 Kuna tofauti gani kati ya miale ya X na miale ya Y?
62215#0 Lugha ya Kiswahili ina tensi ngapi?
74538#0 Nchi ya Swaziland ina lugha ngapi?
64883#0 Nchi ya Carpe Verde ina wakazi wangapi?
84612#0 Nyimbo zinazoimbwa wakati wa misa ziliandikwa na nani?
16345#0 Ni dini gani huwahimizai watu waoe badala ya kuishi kwenye dhambi?
104996#0 Ni nani aliandika kipindi cha Phineas and Ferb?
2257#0 Ndege wana vidole vingapi vya mguu?
41850#0 Ni mikoa mingapi duniani ina wakazi zaidi ya milioni mia moja?
27841#0 Met Gala hufanyika mwezi gani?
81056#0 Lugha ya Ewe ina maneno mangapi?
77063#0 Lugha ya Kirusi ina vihusishi vingapi?
24795#0 Ni nchi gani ilipendekeza uundaji wa Jumuiya ya Madola?
87223#0 Kura hupigwa baada ya miaka mingapi nchini Honduras?
1860#0 Magic Johnson ana watoto wangapi?
14747#0 Chakula ya pasta hutengenezwa na nini?
67890#0 Nchi ya Liberia ina wakazi wangapi?
102882#0 Mnazi hufikisha mita ngapi?
74401#0 Lugha ya Tagalog ni lugha ya taifa gani?
88968#0 Miaka ishirini baada ya 2005 ni mwaka upi?
74780#0 Ni nchi gani Afrika hutumia Kiitaliano kama lugha ya taifa?
97025#0 Mwimbaji Psy alitunga wimbo wake wa kwanza akiwa na watoto wangapi?
3338#0 Mwandishi John Grisham ameandika vitabu vingapi?
18362#0 Nyundo hutengenezwa na chuma gani?
97267#0 Mtu wa kwanza kupanda mlima Kenya alikuwa miaka mingapi?
3876#0 Papa wa kwanza alichaguliwa na nani?
80642#0 Wakatoliki hubatizwa wakiwa na miaka mingapi?
21059#0 Njugu karanga zina mafuta kiasi gani?
69293#0 Mti wa mwarobaini hufikisha urefu wa mita ngapi?
1009 Je,chama gani kongwe zaidi cha kisiasa nchini Tanzania?
73459#0 Kuna wahispania wangapi mji wa Miami?
94880#0 Kumekuwa na Tsar wangapi?
93271#0 Ambrose Adongo alikua na cheo kipi kwenye kikundi cha KNUT?
16518#0 Ngombe ana tumbo ngapi?
42259#0 Nchi ya El Salvador ina mikoa mingapi?
36705#0 Mwimbaji Davido wa Nigeria ana watoto wangapi?
77987#0 Wimbo wa kidalipo humaanisha nini?
55135#0 Nchi ya Kenya ina manispaa ngapi?
68291#0 Gari ya kwanza ya umeme ilijengwa mwaka gani?
12628#0 Nguo ya mhubiri inaitwaje?
36227#0 Ni ng'ombe aina gani ana maziwa mengi zaidi?
13272#0 Ni madini mangapi ghali kuliko dhahabu?
55655#0 Mungu wa mapenzi anaitwa nani kwa mitholojia?
77627#0 Ni familia gani ilitawala mda mrefu zaidi nchini Japani?
2594 Bara la Asia liko na nchi ngapi kwa ujumla?
88653#0 Noti ya shilingi elfu moja ya Tanzania ina picha gani?
40213#0 Masomo ya daktari wa mifugo nchini Kenya ni ya miaka mingapi?
34200#0 Masomo ya upili ni ya miaka mingapi Afrika Kusini?
35604#0 Bendi ya Dru Hill ilianzishwa na nani?
15526#0 Jeshi la Ufaransa lina wanawake wangapi?
57519#0 Filamu ya kwanza ya Eddy Murphy ilionyeshwa mwaka gani?
35703#0 Wimbo wa kwanza wa Celine Dion ulishinda tuzo ngapi?
21582#0 Mji wa Miami una kata ngapi?
87237#0 Kuna kampuni ngapi za simu nchini Kanada?
71766#0 Hadithi ya farasi wa trojan ilitungwa na watu wa mji upi?
42583#0 Ugonjwa wa kuwa na nafsi mingi huitwaje na kiingereza?
37928#0 Ni miji mingapi duniani inayoitwa Sherbourn?
75231#0 Nchi ya San Andres ilianza kupokea watalii mwaka gani?
22122#0 Ni mito mingapi mkoa wa kati Kenya yenye maji yaliyo salama kunywa?
35000#0 Mwigizaji Will Smith ameoa mara ngapi?
104504#0 Mama yake Fidel Castro alikuwa anaitwa nani?
78823#0 Ni nchi gani hutengeneza meli mingi zaidi duniani?
6954#0 Wabunge wa jimbo la Florida hupewa hukutana mara ngapi kwa mwezi?
73176#0 Wahindi huabudu mnyama yupi?
77962#0 Nchi ya Morocco ina lugha ngapi za kitaifa?
93261#0 Kampuni ya Ford Marekani ina wafanyikazi wangapi?
77278#0 Wimbo wa Mpita Njia umeimbwa na nani?
13704#0 Mfanyabiashara Chris Kirubi alikuwa na kampuni ngapi?
1519 Je, bara Uropa ina nchi ngapi?
20486#0 Nchi ya Lebanon ina wilaya ngapi kubwa kuliko jimbo la Texas?
3031 Toni Kroos alianza kucheza soka akiwa na miaka mingapi?
15362#0 Mwigizaji Burt Reynolds ana watoto wangapi waigizaji?
85247#0 Maili moja ina centimita ngapi?
87204#0 Kumekuwa na rais wangapi Uganda?
57269#0 Kura hupigwa baada ya miaka mingapi nchini Mali?
32932#0 Mkoa mkubwa zaidi Somali ni upi?
72469#0 Rais Jomo Kenyatta alisoma chuo kikuu nchi gani?
36813#0 Gazeti ya kwanza ya Mji wa McAllen Marekani ilichapishwa mwaka gani
33523#0 Mkoa wa Nyanza Kenya una hospitali ngapi?
104099#0 Mto wa Detroit una urefu wa kilometa ngapi?
1908#0 Uchumi wa Uganda hutegemea sekta zipi?
62553#0 Ni lugha gani huzungumzwa na watu wengi zaidi jimbo la California?
31337#0 Wanajeshi wa nchi ya Denmark huvaa mavazi ya rangi gani?
101716#0 Mto wa Hudson hutumiwa kutengeneza umeme kiasi gani?
3026#0 Umri wa ndoa Dubai ni miaka ngapi?
77961#0 Nchi ya Uganda ilipata tetemeko ngapi za ardhi mwaka wa 1970?
92482#0 Keto ni mlo wa aina gani?
28977#0 Mkojo una kemikali gani?
23207#0 Nchi ya Serbia in mimilima mingapi?
79078#0 Tanzania hupokea watalii wangapi kutoka Marekani?
76448#0 Mji wa Marsabit una visima ngapi?
86786#0 Ni nini tofauti ya Kikantoni na Mandarini?
3815#0 Wafalme wa uingereza wameruhuswa bibi wangapi?
56002#0 Mke wa pili wa John Lenon alikuwa wa raiya wa nchi gani?
22057#0 Ni mito ipi inayo pita bonde la ufa?
64334#0 Ni watu wangapi huongea lingala?
92637#0 Kuna waislamu wangapi mji wa Mbeya?
101216#0 Mti wa kusaidia kiwete kutembea huitwaje?
85004#0 Elfu kumi na tano kwa tarakimu za Kirumi ni nini?
16314#0 Ni mfuasi yupi aliyemsaliti Yesu?