nomiracl / data /swahili /topics /test.relevant.tsv
nthakur's picture
added initial training data and script
9ca02d1
raw
history blame
22.9 kB
20328#0 Dar-Es Salaam ni mji wa nchi gani?
40990#0 Kuna nchi ngapi bara la Asia?
22115#0 Ewaso Nyiro iko kwenye nchi gani?
93801#0 Ni nani rais wa Marekani?
4934#0 Mwezi wa Aprili una siku ngapi?
73196#0 Mtu anayeongea lugha mbili au zaidi huitwaje?
2219#0 Ni nani aliyekuwa wa kwanza kutembea juu ya mwezi?
81501#0 Nchi ya India ina wakazi wangapi?
84408#0 Kuna miezi mingapi katika mwaka?
39828#0 Helikopta ina gurudumu ngapi?
98505#0 Mto Nile huanzia nchi gani?
77867#0 Kuna lugha ngapi nchini Nigeria?
66906#0 Congo DRC ilipata uhuru mwaka gani?
72051#0 Maambukizi ya bakteria hutibiwa na dawa aina gani?
83176#0 Rasi ya Kamchatka iko kwenye nchi gani?
83538#0 Uganda ina wilaya ngapi?
57141#0 Maji huchemka yakifika joto kiwango kipi?
63823#0 Kuna wilaya ngapi kwenye mkoa wa kati nchini Kenya?
101976#0 Mlima Kilimanjaro una urefu wa kilometa ngapi?
88156#0 Mariah Carey alizaliwa tarehe ngapi?
55701#0 Babake Jane Fonda anaitwa nani?
20926#0 Bonde la Ufa liko kwenye nchi gani?
84329#0 Ni nani aliyegundua dawa aina ya penicillin.
75109#0 Lugha ya taifa nchini Gabon ni ipi?
87602#0 Kuna aina ngapi za alfabeti duniani?
102565#0 Mlima wa Kenya uko katika wilaya gani?
56079#0 Reli hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani?
29319#0 Tofauti ya mkoa na wilaya ni ipi?
21913#0 Kampala iko kwenye wilaya gani nchini Uganda?
83984#0 Mji wa Bethlehem uko kwenye nchi gani?
104526#0 Messy ni mchezaji wa soka wa nchi gani?
2487#0 Kalenda ya Iran in miezi mingapi?
76329#0 Nchi ya Mali ilipata uhuru mwaka upi?
78953#0 Chapati zinatoka nchi gani?
5152#0 Shambulio la Hiroshima lilikuwa tarehe ngapi?
28908#0 Ni nchi zipi zinazopakana na Bahari ya Hindi?
27132#0 Kenya ilipata uhuru mwaka upi?
94832#0 Ni milima mingapi iliyo Afrika iliyo na barafu?
33315#0 Kuna vidato vingapi kwenye shule za sekondari nchini Tanzania?
29894#0 Meli kubwa zaidi duniani ina uzito wa kilo ngapi?
95736#0 Ni chama kipi kinacho tawala nchini Ethiopia?
62442#0 Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa nani?
2822#0 Wakoloni waliingia Afrika mwaka gani?
21743#0 Zanzibar ina wakazi wangapi?
3694#0 Ni nchi zipi za Kiafrika zinazotumia Kingereza kama lugha ya taifa?
2400#0 Ni nchi gani iliyo na mito mingi zaidi bara la Asia?
42881#0 Kuku hutaga mayai mangapi kwa siku?
85339#0 Ugonjwa wa SARS ullianza mwaka gani?
101252#0 Babake Yesu alikuwa ni nani?
13455#0 Kalenda ya kichina ina miezi mingapi?
41697#0 Mji wa Kajiador uko kwenye mkoa upi nchini Kenya?
74131#0 Ni lugha gani inayotumiwa na serikali ya Sudan Kusini?
35474#0 Bendi la Backstreet Boys liliundwa mwaka gani?
6240#0 Pokomo ni lugha ya nchi gani?
25282#0 Wafaransa walifika Mali mwaka upi?
37686#0 Denver iko kwenye jimbo lipi?
76526#0 Ni watu wa eneo lipi ambao hufuga ngamia?
6212#0 Ni nchi zipi ambazo hujulikana kama Visiwa vya kariba?
101333#0 Mji wa Mwea uko katika wilaya gani?
63133#0 Kaunda alikuwa rais wa nchi gani?
57455#0 Ngugi Wa Thiongo ni mwandishi wa nchi gani?
83050#0 Isaac Newton alikuwa mwenyeji wa nchi gani?
92276#0 Mtihani wa KCSE nchini Kenya hufanyika mwezi gani?
20199#0 Ngorongoro iko wilaya gani?
57581#0 Bibi yake Musa kwenye biblia alikuwa anaitwa nani?
5762#0 Ni mnyama upi anayeweza kupumua kwenye maji?
12045#0 Mji wa Morogoro uko katika wilaya gani?
103387#0 Mji wa Lokichogio uko wilaya gani?
94116#0 Wakristo huamini biblia ina vitabu vingapi?
91273#0 Ndovu ana kilo ngapi?
26342#0 Mto wa Mbu uko kwenye wilaya gani nchini Tanzania?
89690#0 Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa wa chama kipi?
92199#0 Ni mto upi huishia ziwa Victoria?
99578#0 Bahari ya Hindi ina upana wa kilometa ngapi?
17366#0 Bad Boy entertainment ilianzishwa na nani?
11788#0 Lugha ya taifa ya Yugoslavia hutumia alfabeti aina gani?
97392#0 Msanii Diamond Platinumz ana vijana wangapi?
42179#0 Mji mkuu wa jimbo la Louisiana umekana ni miji ipi?
33985#0 Chuo kikuu cha Kenyatta kilianzishwa mwaka gani?
85164#0 Ni mji upi Afrika hupokea watalii wengi zaidi?
75227#0 Dini ya Katoliki ina watakatifu wangapi?
62099#0 Lugha za Kibantu zilianza nchi gani?
87659#0 Tano huandikwaje kwa tarakimu za Kirumi?
61799#0 Ni lugha ipi ambayo ni rahisi zaidi kusoma?
62709#0 Ni lugha ngapi za Kihindi ambazo zimetoweka?
11590#0 Papa wa kwanza kutoka Ujerumani alikuwa nani?
33791#0 Mwanahabari Jeff Koinange ameajiriwa na kampuni gani?
55354#0 Ugonjwa wa UKIMWI uligunduliwa mara ya kwanza nchi gani?
70208#0 Shule za Afrika kaskazini hufundisha lugha zipi?
93205#0 Filamu za nchi ya Tanzania hutafsiriwa kwa lugha ngapi?
86812#0 Ni lugha zipi hufundishwa shule za msingi nchini Togo?
56749#0 Bwana yake Miriam Makeba alikuwa nani?
17073#0 Kuna miungu mingapi katika mitholojia?
20262#0 Majina yote ya Rais wa Marekani ni gani?
64840#0 Mipaka ya leo ya nchi za bara la Afrkika iliamuliwa mwaka gani?
57936#0 Nchi ya Benin imepakana na nchi gani upande wa kaskazini?
102074#0 Ni mto upi una upana zaidi duniani?
99382#0 Patrice Lumumba alikuwa wa chama kipi?
77383#0 Daraja ya mji wa San Francisco ilijengwa mwaka gani?
96270#0 Kampuni ya Microsoft ilianzishwa na kina nani?
22092#0 Zanzibar ni mji mkuu wa wilaya gani?
3512#0 Bendera ya Kenya ina mistari mingapi?
12765#0 Kaizari wa kwanza wa Roma alikuwa nani?
64868#0 Shaba huchimbwa eneo lipi bara la Afrika?
55186#0 Dawa ya Malaria ina kemikali ngapi?
20263#0 Wilaya ya Monduli ina eneo kiwango kipi?
65079#0 Nyimbo za lugha ya Lingala husikizwa katika nchi ngapi duniani?
75042#0 Lugha ya taifa ya Singapore huzungumzwa na watu wangapi kama lugha ya pili?
84077#0 Nchi ya Italia iko eneo lipi duniani?
13825#0 Herufi ya pili ya alfabeti ya Kigiriki ni gani?
21323#0 Wilaya ndogo zaidi Tanzania ni ipi?
36906#0 Filamu ya kwanza ilitengenezwa mwaka gani?
88881#0 Mabati hutengenezwa na chuma gani?
82731#0 Mkoa wa Kati Kenya una lugha ngapi rasmi?
85143#0 Kilo moja ina gramu ngapi?
93724#0 Albamu ya kwanza ya Boyz II Men ilikuwa gani?
102660#0 Televisheni ya kwanza ilionyesha rangi ngapi?
29692#0 Maji huchemka yakifikisha joto kiwango kipi?
16794#0 Kifaru ana meno ngapi?
34586#0 Mwanariadha Kipchoge Keino alizaliwa kijiji kipi?
65067#0 Dini yenye wafuasi wengi zaidi nchini Tibet ni gani?
22756#0 Wilaya ya Nova Scotia Kanada ina uhusiano upi na nchi ya Scotland?
4031#0 Kitabu cha Agano Jipya huwa na vitabu ngapi?
75105#0 Nyimbo za Bob Marley ziliimbwa kwa lugha gani?
11796#0 Mwimbaji Saida Karoli huimba nyimbo zake kwa lugha gani?
72546#0 Yesu aligeuza maji kuwa divai mji upi?
24013#0 Che Guevara aliuawa akiwa mji upi?
56938#0 Mwandishi Ngugi Wa Thiong’o alirudi Kenya mwaka gani?
31569#0 Mwimbaji R. Kelly alihukumiwa kosa lipi?
67977#0 Ni dini gani huwaruhusu wanaume kuoa bibi wawili au zaidi?
71366#0 Nchi ya Eritrea ina wakazi wangapi wa kabila ya Kitigre?
19456#0 Nchi ya Tanzania inaongozwa na rais wa chama kipi?
41607#0 Timu ya soka ya Bayern Munich iliishinda timu ya Arsenal tarehe ngapi?
18792#0 Kundi la wanyama lenye huishi kwa maji pekee ni lipi?
101628#0 Almasi hupatikani mita ngapi chini ya ardhi?
71153#0 Kuna aina ngapi za michezo ya riadha?
105155#0 Nyangumi huzaa watoto wangapi maishani?
105833#0 Ni mimea ipi hukuzwa mji wa Marsabit?
96913#0 Wanasayansi husema ni nini sababisho la saratani ya matiti?
78669#0 Mji wenye mvua mingi zaidi duniani ni upi?
29459#0 Bahari ya Pasifiki ina upana wa kilomita elfu ngapi?
32470#0 Safari rally ilianza nchi gani?
84188#0 Kuna miji mingapi inayoitwa Majengo Afrika kusini?
1182#0 Jina la Abraham kwa Qurani ni lipi?
64931#0 Busia ya Kenya iko umbali wa kilomita ngapi kutoka Busia ya Uganda?
63236#0 Kuna nchi ngapi zenye watu wanaozungumza Kiacholi kama lugha ya tatu?
67855#0 Nchi ya Mali imebadilisha jina mara ngapi?
29456#0 Wilaya ya Kaskazini Kenya hupata mvua siku ngapi mwezi wa desemba?
65724#0 Tofauti ya DRC na Congo-Brazzaville ni ipi?
88512#0 Ni nchi ngapi bara la Afrika zilipata uhuru baada ya mwaka wa 1970?
66434#0 Christopher Columbus alianza safari yake mwaka gani?
103749#0 Mwigizaji Tony Garcia alikuwa kwenye filamu zipi?
28877#0 Kwenye biblia mtoto wa kwanza wa kiume wa Abraham alikuwa nani?
79085#0 Mapinduzi nchini Ufaransa yalifanyika mwaka gani?
103966#0 Ni mawe ya aina gani hutumiwa kujenga nyumba?
87798#0 Programu ya Windows imekuwa na mabadiliko mangapi?
83453#0 Jina Tanganyika lilitumiwa hadi mwaka gani?
18867#0 Maji ya bara Hindi yana chumvi asilimia ngapi?
5585#0 Mwaka wa 1980 ulikuwa karne gani?
74464#0 Mwezi ulio na baridi zaidi mkoa wa Pwani Kenya ni upi?
76317#0 Familia inayotawala nchini Korea kaskazini ni ipi?
74504#0 Mlima Kilimanjaro uko katika kijiji kipi?
20101#0 Masomo ya msingi nchini Tanzania ni ya miaka mingapi?
81205#0 Seri zinazofanya damu kuwa nyekundu huitwaje?
78205#0 Chuo kikuu cha Dar es Salaam hufundisha lugha zipi?
6569#0 Wakoloni waliingia mara ya kwanza bara la Afrika kwa kupitia nchi gani?
84486#0 Karl Marx anajulikana kwa kitendo kipi?
70148#0 Kuna aina ngapi za tuzo la Emmy?
98774#0 Mito inayokauka kila mwaka huitwaje?
13792#0 Madini ya yakuti hupatikana nchi zipi?
3425#0 Upinde wa mvua una rangi kapi?
69962#0 Ni Wakenya wangapi wameshinda mbio za Boston?
61614#0 Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania vilianza mwaka gani?
70420#0 Kuna tofauti gani kati ya mila ya Wamaasai wa Kenya na wa Tanzania?
83625#0 Jina la kuzaliwa la mwimbaji Lil Jon ni lipi?
67903#0 Wilaya ya Bonde la ufa Kenya iligawanywa kaunti ngapi?
5850#0 Paa la mabati hukaa miaka mingapi kabla ya kuhitaji kubadilishwa?
78865#0 Lugha ya kiitaliano imakaribiana zaidi na lugha gani nyingine?
89056#0 Ni mkoa upi Kanada una baridi zaidi?
16321#0 Mji mkuu wa nchi ya Ufaransa ni upi?
78774#0 Jina lingine la Burma ni lipi?
7972#0 Vita vya Afghanistan vilianza mwaka gani?
85383#0 Mwaka wa 1789 unajulikana kwa sababu ya tukio lipi?
38605#0 Rosa Parks alishtakiwa kosa lipi?
66480#0 Namibia ilipata uhuru kutoka Afrika kusini mwaka gani?
22547#0 Jina lingine la Wasukuma ni lipi?
93584#0 Darubini inatuwezesha kuona umbali wa maili ngapi nje ya hewa ya dunia?
90410#0 Mwanasiasa Kalonzo Musyoka yuko chama gani?
30501#0 Kuna wakimbizi wangapi Israel kutoka Ethiopia?
13736#0 Pierce Brosnan imeigiza filamu ngapi za James Bond?
107576#0 Ni sayari ziipi ndogo kuliko dunia?
14974#0 Mwigizaji Wesley Snipes anajulikana kwa filamu gani?
95926#0 Pesa ya Ujerumani inaitwaje?
4651#0 Mwezi wa kwanza una siku ngapi?
37564#0 Ni nini huyafanya maji ya bahari yapate chumvi?
69051#0 Shaka Zulu alizaliwa mwaka gani?
64947#0 Maneno yaliyo na maana zaidi ya moja huitwaje?
43036#0 Mji wa Hong Kong uko nchi gani?
88721#0 Otto Von Bismark alikuwa raiya wa nchi gani?
39657#0 Mji wa Sacramento una wakazi wangapi?
47239#0 Umoja wa Falme za Kiarabu una nchi ngapi?
18732#0 Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka mingapi?
12548#0 Kanisa ya waprotestanti ilianzishwa na nani?
74797#0 Mafuriko ya El Nino yalitokea mwaka gani?
107547#0 Upinde wa mvua una rangi ngapi?
84522#0 Ni nini hufanya damu iwe nyekundu?
21108#0 Wakimbizi wa Ethiopia hukimbilia nchi gani?
28643#0 Ni mimea ipi hukuzwa karibu na mto Nile?
68180#0 Ni nchi gani Afrika iliyotawaliwa na wajerumani enzi za ukoloni?
42961#0 Makao makuu ya Umoja wa Ulaya yako wapi?
103404#0 Mto wa Nzoia una urefu wa kilometa ngapi?
31640#0 Mto wa Arkansas una wakazi wangapi?
21257#0 Nchi ya Chad ilipata uhuru mwaka gani?
30774#0 Chama cha Mapinduzi Tanzania kilianzishwa na nani?
96104#0 Dini ya Kiislamu ilianzishwa mwaka gani?
65085#0 Ni mimea ipi inayokuzwa nchini Niger?
74734#0 Ni lugha gani ambayo ni ngumu zaidi kuandika?
67914#0 Kuna nchi ngapi bara la Asia?
65626#0 Mwimbaji Bob Marley alikuwa na watoto wangapi?
98626#0 Ni mto upi unaopita Kenya na Tanzania?
29532#0 Anatolia iko kwenye bara gani?
96642#0 Muziki wa Jazz ulianza mji upi?
104668#0 Bendi ya Them Mushrooms ilianzishwa mwaka gani?
2687#0 Tom Mboya alifariki akiwa na miaka mingapi?
41800#0 Nchi ya Yugoslavia ina mikoa mingapi?
21446#0 Mji mkubwa zaidi mkoa wa Nyanza ni upi?
76551#0 Lugha inayotumika zaidi duniani ni ipi?
90421#0 Chama cha KANU nchini Kenya kilianzishwa na nani?
42443#0 Ni nchi gani ambayo imeadhiriwa zaidi na mmomonyoko wa udongo?
40384#0 Vita vya kwanza vya dunia vilianza mwaka gani?
84167#0 Eneo la Kibera Kenyaliko kwenye mji upi?
68059#0 Ni nchi gani iliyo na wakazi wengi zaidi duniani?
20995#0 Wakazi wa mkoa wa Nyanza Kenya huongea lugha gani?
75123#0 Ni lugha zipi ambazo zinakaribiana zaidi na Kiswahili?
21137#0 Ni nchi ngapi za kiafrika hutumia kifaransa kama lugha ya taifa?
18085#0 Mji mkuu wa Somalia unaitwaje?
90962#0 Kamusi kubwa zaidi ya Kiswahili ina maneno mangapi?
67015#0 Bara la Afrika lina nchi ngapi?
89808#0 Umri wa kupiga kura Uganda ni miaka mingapi?
14083#0 Femi Kuti alianza kurekodi akiwa na miaka mingapi?
21179#0 Ni barabara ngapi zinazopita mji wa Kisumu Kenya?
13661#0 Kamusi ya kwanza ya kiswahili ilichapishwa mwaka gani?
33831#0 Mji wa Kakamega uko wilaya gani?
104531#0 Mchezaji Ronaldinho ana miaka mingapi?
20928#0 Wimbo wa kwanza wa Diamond Platinumz ni upi?
19100#0 Ni nchi zipi zinazopakana na Burundi?
101873#0 Kuna idadi gani ya waislamu nchini Kenya?
12518#0 Papa huchaguliwa na kina nani?
61796#0 Koffi Olomide ana miaka mingapi?
69389#0 Robin Williams alifariki mwaka gani?
62660#0 Kuna aina ngapi sa Kiswahili duniani?
89650#0 Ni chama kipi kinacho tawala Afrika Kusini?
74679#0 Mende huishi miezi mingapi?
66486#0 Mapigano ya nchi ya Vietnam yalikaa miaka mingapi?
21726#0 Jangwa la Sahara liko nchi gani?
64500#0 Ghana ina mikoa mingapi?
2251#0 BBC ilianzishwa mwaka gani?
85245#0 Timu ya mpira wa mikono ina wachezaji wangapi?
30244#0 Muziki wa hip hop ulianza kuenea mwaka gani?
56893#0 Julio Inglesias ana uhusiano upi na Enrique Inglesias?
68273#0 Mfalme wa mwisho uingereza alikuwa nani?
95295#0 Mkoa wa Quebec una lugha ngapi rasmi?
40060#0 Mama yake Tupac Shakur ana miaka mingapi?
81975#0 Kuna aina ngapi ya magonjwa ya damu?
83995#0 Mji wa Lira una wakazi wangapi?
77769#0 Jangwa kubwa zaidi Afrika liko nchi gani?
75021#0 Kuna nchi ngapi za kiarabu duniani?
78794#0 Lesotho inapakana na nchi zipi?
16774#0 Jengo refu zaidi duniani lina gorofa ngapi?
84123#0 Dubai ina wakazi wangapi?
57422#0 Mlima mrefu zaidi Uganda una urefu wa kilometa ngapi?
74738#0 Ni mto upi mrefu zaidi duniani?
43088#0 Utumwa ulianza mwaka gani Marekani?
4771#0 Karne ina miaka mingapi?
19835#0 Mji wa Kigoma uko karibu na ziwa lipi?
5751#0 Rais Roosevelt alitawala miaka mingapi?
98761#0 Ziwa la Edward liko nchi gani?
102878#0 Muziki wa Blues ulianza mji upi?
103954#0 Ziwa la Nakuru Kenya huuishia wapi?
6328#0 Watu wa Mara Tanzania huongea lugha gani?
78372#0 Lugha ya taifa ya Burundi ni ipi?
2812#0 Mji wa Mwanza uko karibu na ziwa lipi?
47241#0 Wilaya ya Bagamoyo iko eneo lipi Tanzania?
83382#0 Mto Bubu Tanzania uko wilaya gani?
76787#0 Lugha ya Banda inapatikana nchi gani?
85306#0 Lugha ya taifa ya Burkina Faso ni gani?
3846#0 Bendera ya Tanzania ina rangi ngapi?
28859#0 Wilaya ya Bukoba Tanzania iko mkoa upi?
95121#0 Rais wa Cameroon ni nani?
78307#0 Wilaya ya Chake ina wakazi wangapi?
28875#0 Wilaya ya Biharamulo iko mkoa upi?
24300#0 Moshi ni mji mkuu wa mtoa upi?
98287#0 Mto Ipera unaanzia wapi?
68015#0 Mji wa Igunga uko mkoa upi?
81157#0 Mdinka ni lugha ya nchi gani?
33642#0 Mpanda ni mji mkuu wa mkoa upi?
66669#0 Lugha ya taifa ya Ghana ni gani?
57488#0 Nchi ya MAdagascar ina lugha ngapi rasmi?
9927#0 Ni nchi gani hutumia Kingereza na Kiswahili kama lugha za taifa?
34950#0 Timu ya soka ya Tanzania hufanya mazoezi uwanja upi?
42024#0 Wilaya ya Geita iko mkoa upi?
3723#0 Tai hutaga mayai mangapi kwa mwaka?
29580#0 Wilaya ya Handeni iko mkoa upi?
37203#0 Wilaya ya Ilala ina wakazi wangapi?
26117#0 Mji wa Wete Tanzania uko mkoa upi?
96012#0 Askofu mkuu wa Nyeri Kenya ni nani?
29430#0 Mji wa Zanzibar uko mkoa gani?
70412#0 Mozambique ilipata uhuru mwaka gani?
72199#0 Lugha ya Kikuyu inasemwa na watu wangapi?
64311#0 Lugha ya Wolof iko nchi gani?
63129#0 Lugha ya Shona iko katika nchi ngapi?
66952#0 Kibaha ni mji mkuu wa eneo lipi Tanzania?
20155#0 Mji mkuu wa Manyara ni upi?
38778#0 Mji wa Chake-Chake Tanzania uko eneo lipi?
30097#0 Arnold Shwaznegger alihamia Marekani mwaka gani?
62901#0 Lugha ya Bemba iko nchi gani?
92634#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Wolof?
102097#0 Mto Flint uko jimbo lipi Marekani?
4652#0 Tarehe 4 mwezi Aprili ni siku ya ngapi ya mwaka?
67391#0 Mji wa Eldoret Kenya uko mkoa upi?
78667#0 Mji wa Garissa una kata ngapi?
65654#0 Lugha ya Fang huzungumzwa nchi gani?
29859#0 Mji wa Marsabit Kenya uko wilaya gani?
20156#0 Mji wa Moyale Kenya uko mkoa gani?
47298#0 Mji wa Bungoma uko wilaya gani?
15028#0 Kampuni ya kuigiza ya Pixar ilianzishwa mwaka gani?
108659#0 Waroma walivamia Uingereza mwaka gani?
82529#0 Ugonjwa wa kisonono husababishwa na nini?
19640#0 Babati ni mji mkuu wa wilaya gani Tanzania?
55417#0 Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa mwaka gani?
69971#0 Mji wa Kitui uko mkoa upi?
41062#0 Ni akina nani walijulikana kama Kapenguri Six nchini Kenya?
8752#0 Mji mkuu wa Israel ni upi?
33886#0 Mwimbaji Ja Rule ana miaka mingapi?
68070#0 Wilaya ya Mwanga Tanzania ina wakazi wangapi?
107231#0 David Beckham ana watoto wangapi?
83917#0 Mwimbaji Mr. Blue wa Tanzania ana miaka mingapi?
33102#0 Mji wa Koani Tanzania uko mkoa upi?
104634#0 Mji wa Vwawa una kata ngapi?
29863#0 Mji wa Songea una wakazi wangapi?
21991#0 Mji wa Tabora una kata ngapi?
4793#0 Tarehe 1 ya mwezi wa januari ni sikukuu gani?
87121#0 Marekani imekuwa na rais wangapi?
27147#0 Wilaya ya Karatu iko mkoa upi?
34458#0 Filamu ya La vie est belle ilitengenezwa mwaka gani?
4823#0 Kuna wiki ngapi kwa mwezi?
71737#0 Jina la kiswahili la United Nations ni lipi?
103455#0 Mto Lukwika unapatikana wapi?
22144#0 Mji wa Songea uko mkoa upi?
103408#0 Facebook ilianzishwa na nani?
78216#0 Nchi ya Gabon in lugha ngapi rasmi?
29281#0 Mji wa Moshi uko mkoa upi?
67836#0 Wilaya ya Bukobe iko mkoa upi?
10445#0 Mji wa Ottawa Kanada una wakazi wangapi?
95321#0 Saa moja ina sekunde ngapi?
22572#0 Wilaya ya Kahama ina wakazi wangapi?
104121#0 Mto wa Deho uko mkoa upi?
80988#0 Lugha ya Kiafrikaans ni ya nchi gani?
16603#0 Mji mkuu wa mkoa wa Quebec ni upi?
78057#0 Kihindi ni lugha ya taifa ya nchi ngapi?
73694#0 Kiingereza ni lugha ya taifa ya nchi ngapi?
62925#0 Lugha ya Kikhwe huzungumzwa nchi gani?
74072#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Kizulu?
29614#0 Wilaya ya Mafia Tanzania ina kata ngapi?
25979#0 Nchi ya Japan ina mikoa mingapi?
26476#0 Wilaya ya Kyela ina wakazi wangapi?
65743#0 Lugha ya Kiswati ni ya nchi gani?
100236#0 Mto Kiseru uko mkoa upi?
35829#0 Ni nchi gani ilishinda kikombe cha FIFA mwaka 2018?
62548#0 Lugha ya taifa ya Lesotho ni gani?
61443#0 Kixegwi ni lugha ya nchi gani?
43050#0 Mji wa Koani uko mkoa upi?
17051#0 Mwandishi Victor Hugo alizaliwa tarehe ngapi?
98464#0 Ziwa Kitangiri liko wilaya gani?
91711#0 Ziwa Jipe liko mkoa upi?
99620#0 Mto wa Ewaso Nyiro uko mkoa upi?
68028#0 Mji wa Lamu una vijiji vingapi?
3760#0 Bendera ya Honduras ina rangi ngapi?
29645#0 Mji wa Chalinze uko wilaya gani?
29405#0 Wilaya ya Bagamoyo ina wakazi wangapi?
28545#0 Pesa ya Dubai huitwaje?
20801#0 Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani?
26194#0 Ushirombo ni mji mkuu wa wilaya gani?
17435#0 Mji mkuu wa Igunga ni upi?
76362#0 Lugha ya taifa ya Ukraini ni gani?
32028#0 Mmea wa mahindi huzaa baada ya miezi mingapi?
82676#0 Maria Magdalena alikuwa na uhusiano upi na Yesu?
75370#0 Mvinyo hutengenezwa kwa kutumia viungo vipi?
96362#0 Kambi kubwa zaidi la wakimbizi Kenya ni lipi?
65705#0 Lugha ya Banda ni ya nchi gani?
29911#0 Kalangala ni mji mkuu wa wilaya gani?
78562#0 Ganana ni mji mkuu wa wilaya gani?
29512#0 Mji wa Hai una wakazi wangapi?
91615#0 Sikukuu ya pasaka husherehekewa siku gani?
33766#0 Soko kubwa zaidi mjini Nairobi ni lipi?
99389#0 Mto Patuca uko nchi gani?
96117#0 Yesu alikuwa na wafuasi wangapi?
40935#0 Chanika ni mji mkuu wa wilaya gani?
73954#0 Lugha ya Tigre iko katika nchi ngapi?
90077#0 Mwanasiasa Tom Mboya wa Kenya aliuawa tarehe ngapi?
17169#0 Agano jipya kwenye biblia ina vitabu vingapi?
30365#0 Bibi ya David Beckham ni nani?
18824#0 Ni paka yupi mkubwa zaidi jangwani?
79261#0 Lugha ya taifa ya Libya ni gani?
24431#0 Mji wa Vihiga una wakazi wangapi?
19702#0 Mji wa Ushirombo uko mkoa upi?
88559#0 Mtoto wa kwanza wa Ibrahimu katika biblia alikuwa nani?
77289#0 Nchi ya Urusi hufuata uongozi wa aina gani?
67727#0 Mji wa Namanga una wakazi wangapi?
78904#0 Wilaya ya Igunga ina wakazi wangapi?
66885#0 Lugha ya Afar ni ya nchi gani?
77133#0 Lugha ya Kinama ni ya nchi gani?
14318#0 Muigizaji John Travolta ana miaka mingapi?
17673#0 Mwigizaji Leonardo Di Caprio ana miaka mingapi?
22764#0 Mji wa Babati Tanzania una wakazi wangapi?
89001#0 Rais wa Uchina ni nani?
20218#0 Igunga ni mji mkuu wa wilaya gani?
65627#0 Michael Douglas ana miaka mingapi?
33123#0 Mji wa Calgary Kanada una wakazi wangapi?
62636#0 Lugha ya Kikuyu iko katika familia gani?
29920#0 Akeri ni mji mkuu wa wilaya gani?
63813#0 Kuna wilaya ngapi zinazoitwa Bukoba?
64610#0 Lugha ya Bambara ni ya nchi gani?
79541#0 Wilaya ya Kilifi ina wakazi wangapi?
35262#0 Siku 12 za krisimasi huanza tarehe ngapi?
67267#0 Lugha ya Berber hupatikana nchi gani Afrika?
40882#0 Meli kubwa zaidi duniani ni ipi?
94380#0 Nyoka aliye na sumu kali zaidi ni yupi?
93183#0 Nyota iliyo karibu zaidi na dunia ni ipi?
29582#0 Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani?
36018#0 Nchi ya Nigeria ina jimbo ngapi?
74152#0 Lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi Nigeria ni gani?
31267#0 Yesu alizaliwa mji upi?
81586#0 Musa katika biblia alizungumza lugha gani?
9725#0 Mji mkuu wa jimbo la Florida ni upi?
22622#0 Mji mkuu wa Igunga ni upi?
83190#0 Nchi ya Malawi ilipata uhuru mwaka gani?
14598#0 Mraba una pande ngapi?
12036#0 Marekani ina jimbo ngapi?
38810#0 Mji wa Denver una wakazi wangapi?
90891#0 Mji wa Brownsville Marekani uko jimbo lipi?
16994#0 Moliere alikuwa na bibi wangapi?
45110#0 Mji wa Miami una wakazi wangapi?
6203#0 Nchi ya Comoros ina viziwa ngapi?
7115#0 Jimbo la Texas lina wakazi wangapi?
22018#0 Mji wa Bukoba hutawalwa na nani?
19530#0 Mkoa wa Lindi una miji miingapi?
28566#0 Wilaya ya Geita ina wakazi wangapi?
74741#0 Nchi ya Sudan ina lugha ngapi?
86748#0 Nchi ya Gambia hufanya uchaguzi baada ya miaka mingapi?
18481#0 Kamusi kubwa zaidi ya Kiingereza ina maneno mangapi?
27540#0 Quincy Jones alisomea shule gani?
74518#0 Jina la Kiswahili la kangaroo ni lipi?
86186#0 Vitabu vya manga vilianza kuchapishwa wakati upi?
89840#0 Maji yana atomu ngapi?
65825#0 Watu wanaozungumza Kiswahili huelewa idadi gani ya maneno ya Kiarabu?
21246#0 Wilaya zinazopakana na Bara Hindi ni zipi?
88708#0 Kisu kikali zaidi hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani?
37278#0 Ni mmea upi unaokua zaidi jangwani?
31556#0 Tupac Shakur aliuawa kwa njia gani?
89184#0 LV ni namba gani kwa herufi za kawaida?
66473#0 Vita vya Vietnam viliyahusisha mataifa mangapi?
35851#0 Mwanariadha Paul Tergat alishinda medali yake ya kwanza mwaka gani?
77128#0 Ni kikundi kipi husimamia uandishi wa kamusi za kiswahili?
89888#0 Ni nini hutumiwa kupanga lugha kwa vikundi?