nomiracl / data /swahili /topics /dev.relevant.tsv
nthakur's picture
revert back to old version; removed parquet
5911804
6 Bandari kubwa nchini Kenya iko wapi?
8 Je,mji mkuu Australia ni gani?
12 Je,hadithi ya Pinokyo ilitungwa lini?
13 Timu ya taifa ya soka ya Brazil imeshinda kombe la dunia mara ngapi?
22 Rais wa kwanza wa Gabon aliitwa nani?
29 Nchi ya Thailand ina idadi ngapi ya watu?
32 Nchi ya Kongo ilipata uhuru mwaka gani?
34 Je,msitu ipi kubwa zaidi bara Afrika?
35 Je,makao makuu ya kaunti ya Samburu ni wapi?
38 Jina kamili la Pelé ni lipi?
43 Masinde muliro alijiunga na siasa mwaka gani?
49 Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ni nani?
52 Ngugi wa Thiong'o alizaliwa wapi?
56 Je,Steven Zuber alijiunga na klabu ya Hoffenheim mwaka upi?
62 Dodoma iko na idadi ngapi ya watu?
72 Je,mtoto wa umri wa miaka mbili anaweza pata ugonjwa wa kisukari?
80 Je,Flamingo inapatikana katika ziwa gani nchini Kenya?
99 Je,Raila Odinga alikuwa waziri mkuu mwaka upi?
105 Je,Mji mkuu wa Kenya ni upi?
108 Mji mkuu wa Nigeria ni?
119 Je,nani mwanzilishi wa mziki wa hIhop nchini Tanzania?
122 Kikurdi ni lugha ya wapi?
128 Bahari kuu duniani ni gani?
136 Je,mji wa Gold Coast inapatikana nchi gani?
138 Mji mkuu wa Hawaii unaitwaje?
141 Je rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa nani?
144 Carleton Gajdusek alisoma udaktari chuo gani kikuu?
146 Mji mkuu wa Norway unaitwaje?
172 Rais wa kwanza wa Malawi ni nani?
178 Je, Adolf Hitler alikuwa anatoka nchi gani?
182 Nani alizundua kifaa cha kupima joto?
185 Je, T-Pain alizaliwa lini?
187 Ukubwa wa Japani ni geographia ni kiasi gani?
193 Je Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?
195 Nchi ya Sudan ilipata uhuru mwaka gani?
203 Je, Jibuti ilipata uhuru mwaka upi?
209 Je,rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?
213 Je,rais wa kwanza wa Marekani aliitwa nani?
214 Je,Uhispania ina idadi ya watu wangapi?
215 Mbegu ya maharagwe iko na asili gani?
221 Mtandao wa Youtube ulianzishwa na nani?
226 Je,Günter Wilhelm Grass alishinda tuzo la Nobel mwaka upi?
232 Je, Togo ilipata uhuru mwaka upi?
234 Muimbaji Celine Dion ana miaka mingapi?
238 Lanhydrock House inapatikana wapi?
242 LL Cool J, alizaliwa mwaka gani?
244 Je,Kampuni ya Kenya Breweries Limited ilianza mwaka upi?
248 Je,Samir Nasri alizaliwa lini?
254 Je,Alain Didier Zokora Deguy alizaliwa lini?
256 Bahari ya Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?
258 Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?
259 Je mlima mkubwa zaidi nchini Uganda ni gani?
265 Je,Burundi ilpata uhuru mwaka upi?
279 Je,Kenya ina vyama ngapi vya kisiasa kufikia mwaka 2019?
283 Bergisch Gladbach ina idadi ngapi ya watu?
284 Rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?
289 Simba huzaa baada ya muda gani?
301 Tanzania ina idadi ya watu wangapi?
302 Mji mkuu wa South Sudan ni upi?
304 Akwilina Akwilini Bafta alizaliwa mwaka gani?
309 Je,Fransisko wa Asizi alizaliwa lini?
317 Je,idadi ya watu nchini Ufaransa ni ngapi?
320 Je,Martin Luther alianzisha Uprotestanti mwaka upi?
321 Je,Mlima kilimanjaro ina urefu wa kilomita ngapi?
325 Maktoum bin Rashid Al Maktoum alikuwa makamu wa rais wa falme ipi?
337 Idadi ya watu wa Nchini Meksiko ni ngapi?
338 Kipima joto kiligunduliwa na nani?
343 Je, blogu ni nini?
351 Je, Rhodesia ya Kaskazini ina jina gani kwa sasa?
354 Je, ziwa Nakuru lina ndege gani maarufu?
358 Taifa la Kenya lilipata uhuru mwaka gani?
364 Kenya ina kaunti ngapi?
366 Je,mto mkubwa gani zaidi bara Afrika ni?
384 Kemikali ni nini?
388 Je,mwanamziki Beyonce alizaliwa lini?
395 Jennifer Garner ana miaka mingapi?
396 Nani alikuwa rais wa kwanza Urusi?
399 Je,chama cha KANU kilianzishwa na nani?
404 Mhariri mkuu wa gazeti la NRC Handelsblad anaitwa nani?
408 Mtindo wa muziki wa hip hop ulianzishwa na nani?
409 Aina za tarakilishi ni ngapi?
421 Astronomia ni nini?
422 Je,mnyama mkubwa baharini ni yupi?
423 Mji mkubwa nchini Afrika Kusini unaitwaje?
425 Je,yesu alikuwa na wafuasi wanawake?
429 Je, mji mkuu wa Jibuti ni upi?
435 Je,Mengistu Haile Mariam alizaliwa lini?
438 Je,lugha ni nini?
450 Je,nani aligundua kifaa cha darubini?
458 Je somo la kiswahili linafunzwa Uganda?
459 Simone Gooden alizaliwa wapi?
466 Je,sensa hufanyika nchini Kenya baada ya kila miaka ngapi?
472 Je,Mji mkuu wa Namibia ni upi?
478 2pac Shakur aliuwawa akiwa na miaka ngapi?
480 Edith Chewangel Masai alizaliwa wapi?
482 Nani rais wa shirikisho la FIFA duniani?
491 Je,Bill Gates ana watoto wangapi?
499 Otto Von Bismarck alizaliwa wapi?
501 Je,twiga hubeba uja uzito kwa miezi ngapi?
502 Nchi ya Urusi iko na ukubwa wa kiasi gani?
504 Nani mmiliki wa kampuni ya google?
513 Je,Vita vya kwanza vya dunia viliisha mwaka gani?
516 Nchi ya Msumbiji imepakana na nchi ngapi?
519 Dini ya Kiislamu ina takriban watu wangapi?
527 Je,Michael Wamalwa Kijana alikuwa katika chama gani ya kisiasa?
534 Eneo la Uajemi lina ukubwa gani?
536 Nyuki ni nini?
539 Gabon ilipata uhuru mwaka gani?
543 Xenoni ni nini?
544 Je,chuo kikuu cha Moi kilianza mwaka upi?
555 Je mtoto huanza kumea meno akiwa na miezi mingapi?
558 Je,Elizabeth Cady Stanton alikuwa na watoto wangapi?
564 Jina la kisayansi la maharagwe ni nini?
568 Mlima Kenya una futi ngapi?
570 Kakao iligunduliwa na nani?
572 Mji mkuu wa Burundi?
573 Je,aliye kuwa rais wa Tanzania Julius Nyerere aliaga dunia mwaka upi?
575 Je,mlima Kilimanjaro in urefu wa mita ngapi?
596 Je,Nash Aguas alizaliwa lini?
613 Mji mkuu wa Algeria ni upi?
616 Inter-territorial Language committee ilianzishwa na nani?
622 Je,maharage iko katika kundi gani ya chakula?
623 Nchini Kenya masomo ya Sekondari huchukua miaka mingapi?
627 Serbia iko na wakazi wangapi?
628 Ethiopia ilitawali na nchi gani katika enzi ya mkoloni?
637 Je,Kingereza ni lugha rasmi nchini Kanada?
640 Je,Mwai Kibaki ana watoto wangapi?
653 Je,mke wa Ellen DeGeneres anaitwa nani?
660 Mama Teresa alizaliwa wapi?
677 Mji mkuu was Tanzania ni upi?
680 Je,simba wa kike ndiye huwinda?
686 Ni nani mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft?
688 Albamu ya kwanza ya Diamond Platnumz inaitwaje?
689 Merikebu ya Argo ina nyota ngapi?
693 Je, zabibu hutumika kutengeneza mvinyo?
695 Rais wa Marekani mwaka wa 1970 anaitwaje?
698 Fat Joe alizaliwa mwaka upi?
699 Geac Computer Corporation ilianza mwaka upi?
705 Kuna utawa mara ngapi?
716 Mji mkuu wa Mexiko unaitwaje?
718 Je,kundi la muziki ya Westlife ina wanachama wangapi?
719 Je,Nollywood ni jina ya filamu za nchi gani?
726 FORD-Asili ilianzishwa na nani?
734 Marekani iko na idadi ngapi ya watu?
740 Charles-Édouard alizaliwa mwaka upi?
754 Je, ufugaji wa wanyama ni mfumo wa kilimo?
755 Je,bwawa kubwa zaidi duniani ni ipi?
756 Je,dini ya ukristo ilianza mwaka upi?
760 Antiokia ya Siria inapatika wapi?
780 Je, Kofi Annan alizaliwa mwaka upi?
789 Je Kangaroo huishi kwa miaka ngapi?
795 Je,rais wa Syria mwaka 2019 ni nani?
800 Je,mashindano ya kombe la dunia ilianza mwaka upi?
802 Je, kuna asilimia ngapi ya wakristo nchini Misri?
805 Je kuna tofauti ya farasi na punda?
807 Adolf Hitler alizaliwa mwaka gani?
808 Kuna aina ngapi za bakteria?
814 Je,Kenya ina kaunti kwa jumla?
821 Je,mji mkuu wa Niger ni upi?
827 Je, Ice Cube ana watoto wangapi?
828 Chelsea F.C. ilizinduliwa lini?
834 Eritrea ilipata uhuru mwaka upi?
837 Simoni Petro alifariki mwaka gani?
850 Je,Manchester United ilizinduliwa lini?
862 Mji mkubwa nchini Kenya ni?
869 Je,mnyoo wa Ascaris lumbricoides unaweza kua hadi sentimita ngapi?
871 Fiziolojia ni somo la nini?
876 Je,Simoni Petro ndiye alimkana yesu?
879 Chanzo kuu cha ugonjwa wa ukambi ni gani?
885 Ushairi ni nini?
898 Je,msitu mkubwa zaidi nchini Kenya ni ipi?
904 Rais wa Ufaransa ni nani?
909 Je,bahari ya Atlantiki ina ukubwa kiasi gani?
913 Jina Musambwa linatokana na nini?
920 Je,jangwa la Sahara inapatikana katika bara gani?
924 Je, geji ni nini?
925 Rais wa kwanza wa Ghana alikuwa anaitwa nani?
932 Je virusi vya ukimwi vina kinga?
934 Msitu wa Amazon una ukubwa gani?
937 Albamu ya Better Dayz ilitolewa mwaka upi?
938 Rais wa Marekani mwaka wa 2000 anaitwa nani?
939 Hermann von Wissmann alianza upelelezi mwaka gani?
940 Mji mkuu wa Kenya ni gani?
957 Rais wa kwanza wa Sudan ni nani?
958 Je,Mwai Kibaki alitawala Kenya kwa miaka ngapi?
959 Je, ni chembe gani za damu husafirisha oksijeni?
962 Nigeria ilipata huru mwaka gani?
963 Jina wa mji wa Ifakara linatokana na nini?
971 Ni bahari gani kubwa zaidi duniani?
978 Je,punda iko katika spishi gani ya wanyama?
979 Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa mwaka upi?
981 Meddie Kagere alizaliwa mwaka upi?
986 Taifa la Rwanda lilipata uhuru mwaka gani?
987 Je mziki wa hiphop ulianza mwaka upi marekani?
988 Jokate Mwegelo aliteuliwa kama DC mwaka gani?
993 Je,mji mkuu wa Mexiko ni upi?
1016 Je,kuna wanaume wenye homoni ya Estrojeni?
1018 Je,Nigeria ilipata uhuru lini?
1020 Je,jangwa kubwa kabisa bara Afrika ni ipi?
1030 Mji mkuu wa Burundi ni upi?
1031 Je,Diamond Platnumz ana watoto wangapi?
1033 Je,Togo ina idadi ya watu wangapi?
1038 Je, nchi ya Nigeria ilitawaliwa na nchi gani enzi za mkoloni?
1040 Mlipuko wa Hiroshima ulitokea mwaka gani?
1041 Uturuki iko na idadi ngapi ya watu?
1045 Mengistu Haile Mariam ana watoto wangapi?
1048 Je,bahari ya Shamu ina ukubwa wa kiasi gani?
1049 Je, bangi ni dawa?
1056 Je,Kenya ina kabila ngapi kwa jumla?
1058 Je, gari la kwanza lilitumia mafuta aina gani?
1068 Je, kuna aina ngapi za elementi?
1077 Je,Sherone Simpson alizaliwa lini?
1084 Burukenge iko katika spishi gani ya wanyama?
1085 Wakurdi ni watu wa jamii gani?
1087 Je, Ni bahari ipi kubwa zaidi?
1089 Marekani imekuwa na rais wangapi?
1090 Je mwanamziki Chrisbrown alianza kuimba mwaka upi?
1105 Je,mji mkuu wa Irani ni upi?
1118 Nani mwanzilishi wa kitabu ya rekodi ya guinness?
1126 Je,Emily Ruete alikuwa na watoto?
1135 Panya-mito ana ukubwa gani?
1138 Bahari kubwa duniani inaitwaje?
1141 NASA ilianzishwa mwaka upi?
1143 Chupong Changprung alizaliwa wapi?
1150 Ugonjwa wa Tutuko una tiba?
1151 Goat Island inapatikana nchi gani?
1152 Je,Marianne Koch ana watoto wangapi?
1154 Ukuta wa China ulijengwa mwaka gani?
1170 Je,Kenya ina idadi ya vyama vya kisiasa ngapi mwaka 2019?
1177 Je,Uholanzi iko katika bara gani?
1178 Je,Twiga hubeba uja uzito kwa muda gani?
1179 Mji mkuu wa Hispania ni upi?
1181 Je,mlima Teide ina urefu wa mita ngapi?
1182 Je,Don Riddell alisomea katika chuo gani kikuu?
1193 Kuna aina ngapi ya maua ya Buganivilia?
1204 Je,chombo cha kupima joto mwilini kinaitwa vipi?
1221 Wafransisko ni watu wa dini gani?
1233 Je,Christiano Ronaldo alizaliwa mwaka upi?
1236 Shule ya Kimataifa ya Brookhouse ilifunguliwa mwaka upi?
1244 Kampuni ya Safaricom ilianzishwa na nani?
1246 Je,Barack Obama ana watoto wangapi?
1247 Je, mke wa rais wa Tanzania aliitwa nani?
1249 Je,Safaricom ilianza mwaka upi?
1252 Je, Ellen ana mume?
1258 Bandari ya Alexandria inapatikana wapi?
1259 Derby Museum and Art Gallery ilianzishwa na nani?
1261 Bahari kubwa duniani ina ukubwa gani?
1264 Je,Ndovu hubeba mimba kwa miezi ngapi?
1270 Umeme hupimwa kwa kifaa kipi?
1275 Paul Labile Pogba alizaliwa mwaka gani?
1277 Martin Luther aliandika vitabu vingapi?
1280 Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa na nani?
1282 Mpira wa kikapu ulianzia nchi gani?
1302 Mji mkuu wa Mongolia unaitwaje?
1304 Aliyekuwa rais wa Iraki, Sadam Hussein alifariki mwaka gani?
1306 Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilitawala kwa miaka mingapi?
1310 Kuna idadi ngapi ya Wamaasai nchini Kenya?
1313 Geac Computer Corporation ilianzishwa na nani?
1315 Je, klabu ya Manchester United ilianza mwaka upi?
1316 Rais wa kwanza wa Urusi alikuwa nani?
1319 Je, mziki wa hip hop nchini Tanzania ulianza mwaka upi?
1321 Rais wa kwanza wa Malawi anaitwa nani?
1335 Je,mto mkubwa zaidi bara Afrika ni upi?
1338 Sinkopu ina tiba?
1339 Je,chama cha Nazi kilianza uongozi nchini Ujerumani mwaka upi?
1343 Je,Ice Cube ana watoto wangapi?
1348 Homa ya Bonde la Ufa ina tiba?
1349 Je,Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?
1356 Nchi ya Rwanda ilipata uhuru mwaka gani?
1376 Visiwa vya South Georgia vina ukubwa gani?
1377 Jangwa kubwa zaidi duniani ni gani?
1379 Dk. Angela Dorothea Merkel alizaliwa wapi?
1380 Je,ashiki ni nini?
1383 Je,Lagos ina idadi ya takriban watu wangapi?
1384 Mto mrefu zaidi nchini Misri ni upi?
1386 Je, rais wa kwanza Malawi aliitwa nani?
1387 Je,nani mwanzilishi wa dini ya Katoliki?
1399 Kabila la Wazigula lina idadi ngapi ya watu?
1407 Bahari kubwa duniani ni gani?
1408 Japani iko na jumla ya watu wangapi?
1411 Je,jeraha ya moto kwa ngozi hutibiwa na nini?
1416 Je,ni ziwa gani kubwa zaidi nchini Kenya?
1422 Mji mkuu wa Côte d'Ivoire unaitwaje?
1423 Asili ya muziki wa dansi ni gani?
1425 Je,kampuni ya mawasiliano ya Safaricom ilianza lini?
1430 Je,mji mkuu wa Italy ni upi?
1432 Je kuku anaishi kwa muda gani?
1440 Mtayarishaji wa kipindi cha 24 anaitwa nani?
1441 Ni Kisiwa gani kubwa zaidi duniani?
1455 Mariah Carey alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?
1459 Je, Soya iligunduliwa mwaka gani?
1463 Nani mwanzilishi wa mtandao ya kijamii ya whatsapp?
1465 Je, Edith Chewangel Masai ana miaka mingapi?
1477 Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania ni upi?
1479 Je, rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanzania anaitwa nani?
1480 Je,Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?
1484 Je,rais wa kwanza wa Marekani alikuwa nani?
1491 Kenya ilitawaliwa na nchi gani enzi za ukoloni?
1495 Je,Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?
1498 Je,chombo cha kupima joto mwilini kilizinduliwa na nani?
1503 Je, Martin Luther alikuwa mlutheri?
1507 Je,serikali ya nchi ya Kenya ina mfumo upi ?
1514 Mwanafalsafa wa kwanza Uchina alikuwa anaitwa nani?
1517 Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha KANU?
1523 Simba huanza kuwinda baada ya miezi ngapi?
1528 Je,Nelson Mandela alifungwa jela kwa muda upi?
1533 Kikokotoo kiligunduliwa na nani?
1535 Fasihi andishi ni nini?
1541 Kiongozi wa kwanza wa jeshi la Izz ad-Din al-Qassam Brigades anaitwa nani?
1550 Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania unaitwaje?
1555 Raila Odinga aliingia katika siasa mwaka gani?
1557 Bara Asia ina nchi ngapi?
1564 Je,mke wa rais wa Tanzania Pombe Magufuli anaitwa nani?
1576 Je,jina la kisayansi ya bata ni ipi?
1587 Je,Msitu wa Kakamega ina ukubwa gani?
1588 Je,Ndovu anaweza ishi kwa takriban miaka ngapi?
1600 Robert Baden-Powell alizaliwa wapi?
1605 Waashanti ni watu wa nchi gani?
1609 Jefferson Antonio Montero alizaliwa wapi?
1610 How to Stop an Exploding Man ni sehemu ya ishirini na tatu ya kipindi gani?
1629 Je, Benito Mussolini alizaliwa wapi?
1639 Je,jina la kisayansi ya tunda ya ndimu ni ipi?
1648 Je,2Pac alizaliwa mwaka upi?
1656 Je,Ally Kleist Sykes alizaliwa mwaka gani?
1661 Je,mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania ina jina gani?
1669 Je, Ali Muhsin Al-Barwani alizaliwa lini?
1674 Je,mji wa Yamoussoukro ina idadi ya watu wangapi?
1677 Tawahudi ina tiba?
1689 Mohammed VI ana mke?
1694 Je,albamu ya kwanza ya Westlife ilikuwa gani?
1697 Je, lugha ya Swahili inazungumziwa na nchi ngapi bara Afrika?
1703 Jean Pruitt alikuwa nani?
1714 Je,Orange Democratic Movement Party of Kenya kilianzishwa na nani?
1722 Je,klabu ya Manchester united ilizinduliwa mwaka upi?
1729 Vita,vya pili vya dunia vilianza mwaka upi?
1748 Je, Harriet Tubman alizaliwa wapi?
1749 Je,Ethipoia ina idadi ya watu wangapi?
1754 Je,mke wa Bill Gates anaitwa nani?
1756 Tanzania ilitawaliwa na nchi gani kipindi cha ukoloni?
1770 Nani alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania?
1772 Sultan wa kwanza wa Zanzibar anaitwaje?
1778 Je,kampuni ya Kenya Data Networks ilizinduliwa mwaka upi?
1782 Je,mto mkubwa kabisa duniani ni upi?
1796 Ugonjwa wa Ukimwi uligunduliwa mwaka gani?
1797 Je, mwanamziki Diamond alizaliwa mwaka upi?
1804 Spishi ya pili ya Cheche inaitwaje?
1808 Uganda ina wilaya ngapi?
1809 Je, mfumo wa NATO ulianza mwaka gani?
1813 Guinea ilipata uhuru mwaka upi?
1816 Khalilou Fadiga alizaliwa mwaka upi?
1818 Je,jiji la Nairobi ina idadi ya watu wangapi?
1826 Je,mbwa huishi takriban miaka ngapi?
1835 Je,mlima Kilimanjaro ina urefu wa mita ngapi?
1840 Je, Irene Kiwia alisomea katika chuo kikuu gani?
1843 Ni nchi gani ilijulikana kama Rhodesia hapo awali?
1844 Kuna aina ngapi ya fasihi?
1845 Je,Uganda ilipata Uhuru mwaka upi?
1849 Mchezo wa soka una wachezaji wangapi kila upande?
1853 Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa ya Nazi?
1858 Je,Adolf Hitler alizikwa wapi?
1860 Ashiki ni nini?
1867 NRC Handelsblad huchapishwa na kampuni gani?
1874 Msanii Dknob alizaliwa mwaka upi?
1892 Chanzo cha Ziwa Tanganyika ni gani?
1893 Je,mji mkuu wa Sudan ni Upi?
1895 Samir Nasri ni raia wa nchi gani?
1897 Rais wa kwanza wa Zambia alikuwa nani?
1899 Uhalisia ni nini?
1905 Je,ndimu iko katika kundi moja na tunda la machungwa?
1914 Je,kaunti ya Nakuru iko na idadi ya watu wangapi?
1923 Je,ni sayari gani kubwa zaidi?
1926 Zamaradi Mketema ana watoto wangapi?
1928 Pesa kuu duniani ni gani?
1936 Je,bara Asia ina idadi ya nchi ngapi kwa jumla?
1938 Kundinyota la Mkuku Carina lina nyota ngapi?
1944 Je,Madagaska ina idadi ya watu wangapi?
1951 Kamusi ya kwanza ya lugha ya Kiswahili iliandikwa mwaka gani?
1958 Rais wa kwanza wa Ghana anaitwa na nani?
1961 Mji mkuu wa New Zealand unaitwaje?
1968 Je,bakteria ni nini?
1994 Polyakova alishinda medali gani katika olimpiki ya 2008?
2000 Nguruwe anaweza pata watoto wangapi wakati mmoja?
2013 Je, kuna tiba ya maumivu ya kiuno?
2023 Mlima kubwa Asia ni gani?
2026 Je,idadi ya watu nchini Sudani ni ngapi?
2047 Je,kombe la dunia ya kandanda ilifanyika nchi gani mwaka 2014?
2062 Kerron Stewart alizaliwa wapi?
2068 Je, Mto mrefu zaidi ulimwenguni unaitwaje?
2071 Jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikirgizi liliandikwa kwa lugha gani?
2081 Je,mji mkuu wa Meksiko ni upi?
2083 Mji mkuu wa Australia ni upi?
2086 Je,mlima mkubwa zaidi barani Asia ni ipi?
2089 Tofauti kuu baina ya Punda na Punda milia ni ipi?
2091 Wiktionary ilianzishwa lini?
2092 Rais wa kwanza wa Meksiko ni nani?
2095 Je,Carlos Federico Ruckauf alizaliwa mwaka upi?
2097 Je,Adolf Hitler alikuwa na mke?
2098 Mafuta ya petroli yanatoa wapi jina lake?
2100 Je,kaswende ina tiba?
2105 Nini maana ya fasihi simulizi?
2113 Je,Bahari hindi iko katika kaunti ngapi nchini Kenya?
2122 Mkurugenzi mkuu wa kwanza wa Microsoft ni nani?
2125 Nchi ya Côte d'Ivoire ina idadi gani ya watu?
2132 Je,kampuni ya Microsoft ilianza lini?
2133 Je,hidrojeni ni nini?
2134 Je,ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa lini kwa mara ya kwanza?
2140 Mwili wa mwanadamu una mifupa mingapi?
2141 Fransisko wa Asizi alizaliwa mwaka upi?
2142 Je, bahari ya Pasifiki ina kina kiasi gani?
2147 Je,Kiswahili ndio ligha pekee rasmi ya Tanzania?
2148 Je,kuna elementi ngapi za kemikali?
2153 Mji mkuu Senegal ni upi?
2155 Je,Johann Bayer alisomea katika chuo kikuu gani?
2180 Je, Ndovu huishi kwa miaka ngapi?
2181 Falsafa ni nini?
2192 Chama cha Nazi kilianzishwa mwaka gani?
2196 Bahari Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?
2197 Je, minyoo iko katika spishi gani ya wadudu?
2205 Je, nchi ya Kenya ina vyama vingapi vya kisiasa?
2220 Amerigo Vespucci alizaliwa mwaka upi?
2224 Kemia kaboni ni nini?
2227 Je, Paul Labile Pogba ana pacha?
2234 Je,malkia wa kwanza wa Uingereza aliitwa nani?
2236 Je,TANU inamaanisha nini?
2245 Longido iko wilaya gani?
2258 Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?
2260 Eneo la Uskoti una ukubwa gani?
2275 Je, bara la asia lina nchi ngapi?
2276 Je,chuo kikuu kongwe zaidi nchini Kenya ni gani?
2278 Je,Kombe la Mataifa ya Afrika ilianza mwaka upi?
2286 Je, nchi ya Mexico ina takriban watu wangapi?
2288 Je,kuna tofauti kati ya Sungura na Sungura wa Kizungu?
2297 Kampuni ya Rockport ilianzishwa na nani?
2308 Blog ni nini?
2330 Je simba hubeba mimba kwa miezi ngapi?
2340 Bahari ya Mediteranea ina ukubwa gani?
2344 Je,mke wa Jawaharlal Nehru alikuwa anaitwa nani?
2348 Yesu Kristo aliishi duniani kwa miaka mingapi?
2353 TANU ina maana gani?
2364 Malkia Kleopatra alizaliwa mwaka upi?
2372 Kabila lenye idadi kubwa ya watu nchini Tanzania ni lipi?
2382 Ziwa Natron lina kina kiasi gani?
2384 Je ni nyota gani yenye mwangaza zaidi?
2388 Otto Von Bismarck alifariki mwaka gani?
2389 Je,mkoa wa Shinyanga ina idadi ya watu wangapi?
2393 Je, China ina idadi ngapi ya watu?
2407 Albamu ya R U Still Down, ilizinduliwa mwaka gani?
2408 Je,Wilma Rudolph alizaliwa mwaka upi?
2412 Je,Madgaska ina ina idadi ya watu wangapi?
2414 Yeroboamu II alitawala kwa miaka mingapi?
2434 Mji mkuu wa Tanzania unaitwaje?
2439 Je,mji mkuu wa Uswidi ni upi?
2440 Je,The Weeknd alizaliwa mwaka upi?
2449 Makoto Hasebe alizaliwa wapi?
2453 Adolf Hitler alikuwa rais wa Ugerumani mwaka upi?
2455 Je,mwanamuziki Beyonce alifunga harusi mwaka upi?
2458 Je,Abuja ina idadi ya watu wangapi?
2465 Je,Tom Mboya alizaliwa lini?
2466 Maandishi ya kwanza yalikuwa katika lugha gani?
2470 Je,mji mkuu Uganda ni upi?
2471 Je, nchi ya kenya ina jamii ngapi?
2477 Alinikisa Cheyo aliteuliwa kuwa askofu mwaka upi?
2485 Mohamed Said Salum ametunga vitabu vingapi?
2493 Je,nini maana ya sayansi?
2501 Je,nani wa kwanza duniani kuenda kwa mwezi?
2514 Bahari kubwa zaidi ulimwenguni inaitwaje?
2522 Je, Kampuni ya Rockport ilianza mwaka upi?
2530 Mto mrefu zaidi Afrika ni gani?
2535 Mchezo wa voliboli ulianzishwa na nchi gani?
2542 Chama cha kisiasa kilicho tawala Kenya kwa muda mrefu ni kipi?
2545 Je,bunge la juu jimbo la Illinois ilianza mwaka upi?
2546 Mwanamziki wa Kenya Willy Paul alizaliwa mwaka upi?
2549 Bakteria iligunduliwa na nani?
2561 Jina la kuzaliwa la msanii 2Pac ni nini?
2564 Rais wa kwanza wa Zimbabwe anaitwa nani?
2566 Je,rais wa tano nchini Marekani alikuwa nani?
2569 Bahari zote ziko na maji ya chumvi?
2575 Je, Sayari ya Dunia ina ukubwa gani?
2577 Je, bara Asia lina visiwa vingapi?
2580 Satelaiti iliwekwa angani na nani?
2592 Mlima Kilimanjaro ina futi ngapi?
2597 Paul Schulze alizaliwa mwaka upi?