id
int64 0
1.44M
| text
stringlengths 12
6.72k
|
---|---|
1,154,959 | Kutokana na juhudi kubwa za kupambana na upinzani wa nje yaani vyama vya upinzani, Zuma aliondolewa na kurithiwa na makamu wake, Cyril Ramaphosa na Mugabe aliondolewa na jeshi na nafasi yake kurithiwa na makamu wake, Emmerson Mnangagwa.
|
858,052 | Kijana mmoja aliuawa na baada alimshambulia mmiliki wake.
|
817,489 | Mataifa yanashangilia, watu wote kila mahali wanaimba kwa sauti inayosikika vizuri!
|
52,296 | Wanaharakati mbalimbali nchini Ufaransa walionyesha hasira yao mbelea ya wanasayansi mbalimbali waliohudhuria mkutano huo, huku wakimshtumu rais wa Ufaransa kuwa miongoni mwa watu wanaochochea maambukizi ya Ukimwi.
|
1,136,076 | Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema nchi hiyo haiungi mkono hatua zozote za kutatua migogoro kwa njia za kijeshi.
|
1,381,764 | Cheche ilizaa moto usiozimika na ulioleta maafa makubwa.
|
408,365 | Anashirikiana yake mwenyewe na ina kuanguka.
|
991,777 | Maambukizi mengi yanasababishwa na kugusana na wanyama wenye ugonjwa au kula mazao ya mifugo ambao wadudu hawaja uawa vema.
|
54,767 | Kipindi kifuatacho kwa njia ya Video
|
845,429 | Uwe mkristu au usiwe mkristu haina tofauti” Je unajua kuwa hata mashetani(mapepo na majini) yanaamini kuwa Mungu yupo, tena yanaogopa na kutetemeka?
|
128,393 | Mwenyekiti Mtendaji wa Baraza linalo simamia shughuli za utamaduni na Sanaa nchini Tanzania (BASATA) - Bwana GODFREY LEBEJO MNGEREZA, akifuatana na Msanii maarufu wa nyimbo na ngoma ya Muduara- Bwana ALI RAMADHAN ALI, al-maarufu kwa jina la MR.
|
1,348,126 | Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
|
381,256 | Muumini wa Unabii na ujumbe wa Issa (‘Alahyi Salaam).
|
1,302,490 | Katika jamii yetu kuna wale walioshindwa kutabasamu au kufurahia maisha kwa
|
513,624 | Pata dola ya 600 kwenye + Free Resistance Resistance Upgrade kuboresha X2SE Home Gym katika Bowflex.
|
137,501 | Mheshimiwa Spika, hadi sasa asilimia 6.
|
83,414 | Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #2 - robengo 16
|
1,295,239 | Mashirika matatu ya umoja wa mataifa yameonya kuwa Sudan Kusini inakumbwa na viwango vya juu uhaba wa chakula.
|
1,127,053 | Mwanzo > TFF > MWENYEKITI WA ZAMANI WA TAIFA STARS, MZEE MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS
|
85,815 | Asali hutibu nguvu za kiume Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa.
|
661,649 | Kutokana na uelewa mdogo, watu wengi hawazingatii kanuni muhimu za ujenzi kama vile kumwagilia maji yakutosha pamoja na kujenga nyumba kulingana na muda.
|
21,197 | 100,000 baadhi yao walio wengi, lakini ahadi yetu kwa wastaafu kwa hivi sasa inaonekana kama Serikali haina dhamira ya dhati kuboresha hawa wastaafu wetu ambao wastaafu walikuwa ni watumishi wetu, walifanya kazi kwa uadilifu kwa muda wa kipindi kirefu lakini hali zao za maisha ni mbaya sana.
|
48,550 | 3:6 wakaziungama dhambi zao, naye akawabatiza katika mto Yordani.
|
867,302 | Mheshimiwa Mwenyekiti, jambo la kwanza naomba kumshukuru Waziri kwa kunipa Baraza la Ardhi la Wilaya ya Kiteto.
|
638,890 | Hivyo iweje leo mtu apandishwe madaraja bila kulipwa mshahara stahiki?
|
86,213 | alama mbalimbali kama mipira pambo, kengele, tacos, fuvu, na mioyo ni ishara za thamani katika mchezo huu.
|
118,561 | Wanangu, mimi ni mzee kwa sasa, lakini nina haki zote za msingi za kupata habari kwa ukweli wake na kupata elimu kila siku kupitia vyombo vya habari, ni haki yangu ya msingi hata kama inanigharimu fedha, lakini si haki yao ya msingi kunilazimisha kujifunza upuuzi kupitia magazeti, redio, televisheni na mitandao mingine ya kijamii.
|
104,020 | nakushauri utengeneze brand mage na itakusaidia sana kukurahisishia hsughuli za masoko.
|
1,296,929 | Magomba pia alieleza kuwa ikiwa ni sehemu ya ziara hiyo, Mhandisi Kakoko alifanya kikao na maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mtwara na kuwaagiza kukutana na Mawakala wa Forodha wa Mtwara, ili kuwaelimisha umuhimu wa kutoa mizigo ya wateja kwa wakati.
|
329,164 | Pamoja na hayo pia mbegu za parachichi husaidia kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni.
|
75,013 | Kijana Khamis alisema licha ya kumsamehe Kijana huyo baada ya kubishana muda wote wa safari lakini Abiria huyo aliamua kutafuta Vijana wenzake na kupanga njama ya kutaka kumfanyia hujuma wakati akiendelea na harakati zake za kazi.
|
1,067,171 | Katika mazingira ya wakulima au wafugaji mtoto anategemewa kufanya kazi kulingana na nguvu zake; anaweza kupewa wajibu kamili hata kama kisheria anatazamwa kuwa mtoto bado.
|
985,820 | Tukipata jibu la swali hili basi kwa namna moja ama nyingine tutajua nini cha kufanya.
|
1,306,700 | Tayari hivi sasa, Tanzania bara imeshatoa Marais mara tatu, Mwalimu Nyerere, Rais Mkapa na Rais Kikwete.
|
61,637 | Mmojawao alikuwa Ahmed Kathrada, mshauri wa zamani wa kisiasa wa Nelson Mandela, aliyefariki dunia Machi 28, mwaka huu.
|
956,388 | 21 Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, na kupokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
|
1,330,859 | Hata hivyo, si mara zote zoezi hili linakuwa rahisi.
|
951,083 | Rafiki yangu alileta hii (pembe) kidogo kidogo.
|
233,203 | Zainab Aziz amezungumza na mkurugenzi wa shirika hilo bwana John Kallaghe.
|
1,008,226 | Aacha wafanye hayo, lakini safari hii tunafanya kama kipindi cha ukombozi wa nchi, mtu kwa mtu mshikamano nchi nzima tunataka kuikomboa nchi kutoka katika mikono na makucha ya wezi wa rasilimali za taifa.
|
175,526 | Katika kuhakikisha hilo linatimia, Aussems amemtaka mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi, kuacha ubinafsi wa kutaka kufunga hata katika mazingira magumu, badala yake awe mwepesi wa kugawa pasi kwa wachezaji wenzake walioko katika nafasi nzuri zaidi.
|
1,247,719 | usiitupe kura yako, mpe jk uishi kwa amani na utulivu
|
1,224,534 | Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Balozi wa Tanzania katika nchi za Falme ya Kiarabu (UAE) wakati wa sherehe za ufunguzi wa Mkutano wa wanawake kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia unaofanyika katika hoteli ya Atlantis The Palm iliyopo Dubai, Jamhuri ya Falme za Kiarabu tarehe 16.
|
398,371 | Kadhalika Azam ina tiketi tayari ya kushiriki Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa kufika fainali za ASFC ingawa kanuni zinataka bingwa ambako kwa upande wa Yanga wana tiketi ya michuano ya juu zaidi ya shirikisho.
|
1,047,011 | “Mimi, mama, mdogo wangu wa kike na wa kiume tuliamua kuisaidia familia hiyo.
|
679,485 | hivi jamani kutokana na ugumu wa maisha na hali inavyokuwa mbaya kila siku polisi wanavyonyanyasa raia bila ya makosa watu wanavyokosa haki ya huduma za afya.
|
588,520 | 8 kati yao walitekwa kutoka kijiji cha Warabe kilichoko katika jimbo la Borno siku ya jumapili nao watatu zaidi wakatekwa kutoka kijiji jirani .
|
48,681 | Kwa kuzingatia mazingira ya sasa na hali ya mapigano mashariki ya Ukraine yote haya yanajumuisha mchanganyiko unaoonekana zaidi kama vita.
|
271,824 | anapata walau mlo mmoja kwa siku.
|
1,411,566 | Baadaye amesema kuwa mkutano wake na Baba Mtakatifu , umewakilisha zawadi kubwa ambayo hata yeye alikuwa amewaalika daima “kuacha kile kinachotengenisha na kubaki na kile kinachounganisha.
|
668,683 | Mheshimiwa Spika, Kuwa na uchumi wa kipato cha kati kupitia ujenzi wa uchumi wa viwanda ni lazima kama nchi iwe na malengo ambayo yako wazi kuhusu aina ya sekta zitakazowekezwa ili iwe chachu ya kututoa hapa tulipokwama kwa kipindi chote.
|
278,908 | Bakari: Eti hiyo mimba ni ya baba au yangu.
|
400,414 | Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewasili mjini LINDI mchana huu akitokea mkoa wa […]
|
1,035,604 | John Pombe Magufuli kwa uongozi wake na maamuzi ya haraka katika kushughulikia changamoto za sekta hii.
|
19,699 | Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii Video, The world’s scariest school run?
|
517,352 | Juliana Pallangyo kwa niaba ya Serikali zao.
|
138,425 | Vyakula na vinywaji vyenye sukari kwa muda sukari itakuwa imepanda hutakiwi hata kufikiria kuhusu vitu hivi, kwa sababu vitazidi kuongeza ukubwa wa tatizo.
|
120,485 | Farmajo ni katibu mkuu wa Tayo ambacho kinaongozwa na mwenyekiti Mariam Qasim,aliyekuwa waziri wa maswala ya wanawake.
|
1,178,338 | Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya maneno hayo, nikushukuru sana na naunga mkono hoja kwa kazi nzuri anayofanya Mheshimiwa Waziri na Serikali kwa ujumla.
|
725,986 | Nyika akihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja au faini ya shilingi laki tano.
|
856,698 | Wakati sisi tuna watu wasio na kazi zaidi ya nusu ya idadi ya wana kaya wetu, yeye ana aslimia 13 tu.
|
721,945 | Makala African corporation or company bado ni mbegu.
|
521,603 | Josephy, akiongea na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu alikiri vijana hao kufikishwa polisi na kuwekwa mahabusu kwa siku kadhaa kabla ya kupelekwa mahakamani.
|
973,388 | Wikendi ya Wague: Mfungaji wa Afrika mwenye Umri mdogo
|
390,396 | Alf Hakon Hoel ambaye ni mtaalamu wa masuala ya utaifiti na ambaye alieleza kwamba Norway iko katika maandalizi ya mwisho ya kukamilisha meli mpya na ya kisasa zaidi ya utafiti itakayoanza kazi mwakani.
|
1,022,465 | Je, uchunguzi wa akili wenye haki unaweza kuhitimisha kwamba, kwa uwezekano wote, kaburi la Yesu lilipatikana tupu asubuhi ya kwanza ya Pasaka?
|
881,702 | “Ninawaomba wanachama wa chama cha maererva bodaboda mkoa wa Dar es salaam tutambue kuwa sisi ni wafanyabiashara kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tafadhali tumpe sekunde aweze kutekeleza aliyoahidi kwa Watanzania” alisema Mdede.
|
1,251,851 | Kutokua na ute wa kutosha kwa ajili ya kulainisha uke kutokana na kukosa maandalizi ya kutosha, kupungua kwa homoni baada ya ukomo wa hedhi, kujifungua au kunyonyesha, baadhi ya dawa za magonjwa ya akili, presha na uzazi wa mpango.
|
150,969 | Wananchi wa Mbarali hawakukosea, miaka minne iliyopita, kutilia shaka dhamira mbaya za mawaziri wale wawili.
|
757,492 | Mkuu wa tume ya uwiano na utangamano ya NCIC, Francis Ole Kaparo amefichua majina ya vikundi kadha kwenye mitandao ya kijamii vinavyofuatiliwa kwa makini dhidi ya uchochezi.
|
456,083 | Kwa hiyo, sidhani kama ni sahihi au halili kwa mimi kuadhibiwa kwa kusema ukweli ambao hata hivyo umetafsiriwa na Mheshimiwa Spika, alisema Wangwe.
|
143,284 | Kutoroka kwa Rohyngyas, ambao hawajulikani kama wananchi wa Burma, kulisababishwa na operesheni kubwa ya ukandamizaji wa kijeshi ilioanza mwishoni mwa mwezi Agosti baada ya vurugu za kundi linalotaka kujitenga na nchi hiyo.
|
1,169,737 | Alikuja kwake ,wala walio wake hawakumpokea’.
|
60,149 | Tunapaswa kukusanya taarifa hizo kwa haki, hii inamaanisha kwamba tunalazimika kukuelezea jinsi tutakavyotumia data hizo (angalia matangazo kwenye kurasa husika ambazo zinakufahamisha kwa nini tunaomba maelezo hayo) na kukuambia kama tunataka upeleke taarifa hizo kwa mtu mwingine yeyote yule.
|
52,341 | vijana wanataka haki sawa kwa wote.
|
858,696 | Kwa ufupi, baada ya vita hivi, licha ya uongozi wa kimataifa kuendelea kubaki kwa mabwana wale wale wa awali ambao ni Uingereza na Ufaransa, lakini ukweli wa mambo ni kwamba Marekani iliweza kuvuna kwa kiasi kikubwa iliyoyakusudia.
|
550,903 | Karibu na Mashariki mwaka 565 AD, Ikionesha Ufalme wa Aksum na majirani zake
|
1,192,311 | Ingawa hakuna kinga ya uhakika ya kifafa cha mimba, wanawake walio kwenye makundi hayo yaliyoyotajwa hapo juu kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa huu wanaweza kujikinga kwa kutumia vidonge vya aspirin na madini ya calcium.
|
240,336 | Baba yake amefariki na mama yake Rukia yupo hai na amekuwa msaada kwake siku zote na ana wadogo zake wawili; Ahkbar ambaye kwa sasa anaishi naye Marekani na Sham ambaye ni wa kike.
|
395,994 | Kwa mujibu wa taarifa operator, Q consoles wamiliki kuangalia TV juu ya 10% muda zaidi ukilinganisha na watumiaji 'kawaida' receiver Sky +.
|
23,969 | Nashauri kuwa na kikao cha pamoja kutafuta suluhisho la kupatikana kwa ardhi ni kuwa na mpango wa kupatikana maeneo ya wafugaji na wakulima siyo kazi ya kuwakamata na kuwaua wao na mifugo yao.
|
220,515 | japo historia yangu ni ndefu lakini na amini kwa atakayeisoma itamfundisha ama kumtia moyo na wengine ambao walikuwa hawamjui MUNGU vizuri basi natumaini watajuwa nini anaweza kumfanyia katika maisha yake na ndoa yake.
|
509,003 | Kuweka utaratibu wa kisheria utakaosimamia na kuratibu mapato na kudhibiti matumizi pamoja na gharama za uchaguzi kwa vyama vya siasa na wagombea.
|
168,336 | Rais Paul Kagame na waziri wake wa mambo ya nje walikuwa wanajibizana leo na mwandishi wa habari za kimataifa kutumia Twitter.
|
1,130,929 | Mabingwa wa England, klabu ya Manchester City inayotegemea fedha kutoka kwa mmiliki wake kutoka Abu Dhabi, imeonyesha kuwa na mapato makubwa zaidi kufuatia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya kwanza baada ya miaka 44.
|
1,000,093 | Kuelekeza nguvu katika kuvuruga hatari zaidi mitandao ya jinai ya sasa ya kazi, wachunguzi kuweka mkazo juu ya [.
|
481,717 | Mdahalo huo ulioanza kwa kila mgombea kutumia dakika 5 kueleza wasifu wake, sababu ya kugombea na vipaumbele vyake endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Iringa Mjini, ulimalizika salama katika ng’we hiyo kwa wagombea hao kujieleza kwa ufasaha.
|
1,111,073 | Kama unajulikana, unajulikana na kina nani?
|
953,207 | Katika kuleta maisha mapya hapa duniani, mama huyaweka maisha yake hatarini.
|
1,341,570 | Jambo ambalo limekuwa likihojiwa ni serikali kutoifanyia kazi ripoti hiyo ya ukaguzi kuwashughulikia wahusika wa ufisadi huo, achilia mbali kutokuitumia kwa ajili ya kuziba mianya yote inayosababisha hali hiyo.
|
987,983 | Maelezo ya picha, Kabendera akishauriana na wakili wake Jebra Kambole katika mahakama ya Kisutu Makosa hayo hayana dhamana na ataendelea kusalia rumande mpaka mwisho wa kesi yake.
|
129,102 | ;-) Usiandike jambo lolote ambalo huwezi kumwambia mtu uso kwa uso.
|
285,454 | Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu, anaefuata ni Mbunge wa Bariadi Magharibi Mheshimiwa Andrew Chenge na wa pili kushoto ni Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon Pirmohamed.
|
740,937 | Na kutokana na mitaa, tena tunapata ushirika wa pamoja (unity fellowship).
|
890,119 | Alishiriki na uholanzi kwenye michuano ya Euro katika miaka ya 2004 na 2008.
|
215,978 | 14:13 Basi, tuache kuhukumiana, bali tuazimie kutokuwa kamwe kikwazo kwa ndugu yetu au kumsababisha aanguke katika dhambi.
|
88,566 | Kumpenda mtoto si kumdekeza na kumlinda hata pale anapokosea.
|
710,369 | Lakini asilimia 37 ya watanzania wanasema hali ya usalama imebaki vilevile huku asilimia 10 wanasema hali imekuwa mbaya zaidi.
|
710,167 | Daniel Sturridge ameambiwa anaweza kuondoka Liverpool kwa mkopo mwezi ujao na meneja Jurgen Klopp wakati mchezaji huyo wa miaka 28 raia wa England anataka kujitafutia nafasi katika kombe la dunia (Sun on Sunday)
|
195,721 | Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19 Kusomwa Kesho _ UDAKU SPECIAL
|
Swahili Text Dataset
Overview
This dataset contains a comprehensive collection of Swahili text data, derived from the AfriBERTa Corpus. It provides a rich resource for natural language processing tasks focused on the Swahili language.
Dataset Details
- Source: AfriBERTa Corpus (Swahili subset)
- Language: Swahili
- Size: 1.54M
- Format: Hugging Face Dataset
Content
The dataset consists of two main columns:
id
: A unique identifier for each text entrytext
: The Swahili text content
Usage
You can load this dataset using the Hugging Face datasets
library:
from datasets import load_dataset
dataset = load_dataset("Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0")
Data Fields
id
: stringtext
: string
Data Splits
This dataset combines training and test splits from the original AfriBERTa Corpus. The data has been shuffled with a fixed seed (42) to ensure reproducibility.
Dataset Creation
This dataset was created by:
- Loading the Swahili subset of the AfriBERTa Corpus
- Concatenating the training and test splits
- Shuffling the combined dataset
- Extracting the 'id' and 'text' fields
Intended Uses
This dataset can be used for various natural language processing tasks involving the Swahili language, such as:
- Language modeling
- Text classification
- Named entity recognition
- Machine translation (as a source or target language)
- Sentiment analysis
- And more...
Limitations
- The dataset is limited to the content available in the original AfriBERTa Corpus.
- It may not represent all dialects or variations of the Swahili language.
- The quality and accuracy of the text content depend on the original data source.
Citation
If you use this dataset, please cite the original AfriBERTa Corpus:
@inproceedings{ogueji-etal-2021-small,
title = "Small Data? No Problem! Exploring the Viability of Pretrained Multilingual Language Models for Low-resourced Languages",
author = "Ogueji, Kelechi and
Zhu, Yuxin and
Lin, Jimmy",
booktitle = "Proceedings of the 1st Workshop on Multilingual Representation Learning",
month = nov,
year = "2021",
address = "Punta Cana, Dominican Republic",
publisher = "Association for Computational Linguistics",
url = "https://aclanthology.org/2021.mrl-1.11",
pages = "116--126",
}
Licensing Information
This dataset is derived from the AfriBERTa Corpus. For usage terms and conditions, please refer to the original dataset's license.
Contact
If you have questions or comments about this specific version of the dataset, please open an issue in this repository or contact [email protected].
The dataset was created and curated by AdeptSchneider. Last updated: 09/10/2024
- Downloads last month
- 36