Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
So chuga si tunakutana kesho kwenye Nyamachoma festival nanenanemnajifanyaga mnakula mtungi mje kesho niwakalishe
0
Asante sana watu wa Sirari jimbo la Tarime vijijini Huu ni Upendo usio na Mashaka kwa Mbunge wenu John Heche na Chadem
1
Leo nimepata kitambulisho changu cha taifa Asante sana
1
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji
0
Ee Mwenyezi Mungu Msamehe na Umrehemu na Umuafu na Msamehe na Mtukuze kushuka kwake kaburini na Upanue kuingia kwake na Muoshe na maji na kwa theluji na barafu na Mtakase na makosa kama Unavyoitakasa nguo nyeupe kutokana na uchafu na Mbadilishie nyumba bora kuliko
1
Kama wewe ni mfanyabiashara au mfanyakazi unaweza ukatumia data kwa jinsi ambayo italeta matokeo chanya katika kazi na biash
1
Asante na tafadhali subiri tutawasiliana nawe kwa msaada zaidi Gift
1
HILO NI NENO NALO Kujali kuna ubora zaidi kuliko kupenda na lau wenginiambia ni chague kati ya mtu anayenipenda na mtu anayenijali basi ningelimchagua mtu ambaye anayenifurahisha kwa kunijali kwake Kwani hakuna faida yoyote ile kupenda bila kujali
0
Watoto hawa yatima wa kituo cha Huruma Geita wamejitokeza kushiriki nami Kilimanjaro Challenge Against HIVAIDS leo
1
Kwani unawaza mzigo wako utaupata lini ulionunua China dubai Turkey nk TRA inakupa urahisi wakupata mizigo
1
Takwimu zinaonyesha katika kila watoto 100 27 wanapata mimba kabla ya kufika miaka 18
0
NAFASI YA KAZI KUTOKA VODACOM TANZANIA Bonyeza hapa kusoma zaidi
0
Yule wa nyuma mwishoo kabisa alievaa miwan ni Jirani ake na Babu yangu
0
Kwa hiyo kama ilivyokuja kwenye aya hiyo ni juu yetu Sisi wanadamu kumuitikia Mola wetu Mlezi Mtukufu na mtume wake wanapotuita kupitia Quran na Sunnah kwenye mambo yatakayofanya maisha yetu ya hapa duniani na akhera yawe mazuri
0
Sio watu wazuri awa Nakutana nao FA Cup nawafahamu awa
-1
UHURU JUMATANO JUNI 19 UKWELI DAIMA Linapatikana mtaani kwako sasa kwa bei ile ile ya Tsh 1000 tu wahi nakala yako 2019
0
Pole ndugu mteja tunaweza kupata taarifa zako pamoja na mawasiliamno yako
0
Ndugu uongozi si akili ya darasani ni karama Ndo sababu pamoja na akili zao bado wameshindwa
0
Tafadhali fahamu tutawasiliana nawe punde kwa msaada zaidiGift
0
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma majina ya viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais Dkt Magufuli Ikulu Jijini DSM Leo Jumapili Januari 272019 Part 02
0
Pole sana kwa usumbufu uliojitokezatunaomba utufahamisha tatizo lako tukuhudumiechangamoto uliyotueleza ya call centre tunaifanyia kazi
0
i support youDKs wake up amp realise your potentialNjooni huku mfanye kazi na mjifunze Msisikize negativity kwe
0
Mashine ikanyooshwa ikakaaaa Kazi za No janja janja
0
Kwani tanesco wanakataga umeme makusudinadhani kuna changamoto behind zinatakiwa zitatuliwe na sio kutoa matamko
-1
hongera sana champ niakujituma na dua ndio kila kitu
1
unaweza kuwa mfanyabiashara lakini usiwe mjasiliamali Unawz ukaqamjasiliamlimfanyabiashara pia
0
TOENI DAWA KULINGANA NA MIONGOZO YA SERIKALI via
0
Tanzania Hii Ukiwa Boyfriend Unakuwa Na Majukumu Makubwa Kuliko Hata Kuwa Baba Mzazi
0
Maisha ni kama hivi kwa mtumiaji wa huduma za TTCL Fanikisha shughuli zako bila stress refusha maisha kwa tabasamu
0
Mtanzania halisi hashindwi chochote unachouliza anajua na yuko tayal kukupatia majibu hata kama ya uongo
0
Viwango vyetu vya kubadilishia fedha za kigeni leo tarehe 18 August 2018
1
Kindly Retweet My Pinned Post na Kama Una swali Uliza pale Nitakujib DM nashindwa kujibu
0
Kampuni ya imedhamiria kupanua shughuli zao zinazohusiana na Kwa kutoa elimu na kuh
0
Hatua za Serikali Elimu ya Awali Zaidi ya walimu 16129 kutoka shule za serikali wa madarasa ya Awali wamepatiwa mafunzo y
0
WordSema lowkey hii siku hizi ni kama Mbio za Vijiti between First and Last Born The moment Last Born ukimaliza Ch
0
Kikosi cha Al Masry kimewasili asubuhi ya leo nchini kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho
0
Tafadhali rejea ujumbe tuliokutumia dmnk
0
Habari yako Saimon Samahani promosheni ya kushare bango na kujipatia tiketi ya kucheza Jackpot bure ilikuwa ni ya muda kwa sasa haipo Tunaomba uendelee kucheza Jackpot kwa Tsh 2000 tu kwa kila mkeka Endapo kutakuwa na promosheni nyingin
0
Halafu anatagiwa atume 15k while hiyo ndio ilikuwa Budget yake ya Lunch Dinner na Bia 2 akalaleBoychild Tunateseka
-1
Hawajakujazia DM kweli Asiyekuwa na mpunguze
0
Dunia iweke tuzo za wachukiaji
0
Maoni Huenda wahitimu wa sasa hawana maarifa yanayotakiwa katika soko la ajira
0
cjawahi kuona content yoyote zaidi ya kuwa analalamika cjawahi kuona akitafuta solution ya tattizo zaid ya kulalamikabasi tutakuwa na Rais wa ajabu huwa mwaka 2045
-1
HabariTafadhali tutumie ujumbe kwenye inbox DM ukiambatanisha na maelezo yote yanayounga mkono tatizo lako ili tuweze kufanya uchunguzi kwa ajili yakoUnaweza kututumia ujumbe hapa Ahsante PA
1
60 ZA CHEMA ALICHOLETA Ulitangulia kuumbwa Ulimwengu mbingu na viijazavyo ikiwemo mwezi na jua uh
0
He Wanawachangia Yoteeee
0
Kuhusu simu kusababisha saratani cancer bado kuna mkanganyiko japo mpaka leo hakuna tafiti iliyothibitisha Simu hutoa
0
Afu kama shati ujue labels zinakuaga kwa ndani kwa hiyo no one knows yani Kama umevaa HampM ZARA or label ya F
0
Wanawake ndio chimbuko LA mazazi ya viumbe wengine upendo huruma na furaha hapa duniani Nyoyo zao nzur
1
This Thursday In Shaa Allah itakua zamu ya Zuwena it is
0
Milo mitatu tuu yenyewe kwa hesabu kali ila bado hutaki kutumia Unataka kutesa watoto wa watu
0
Me mada watu wakishaanza kuhusisha dini tu waga najitoa NBio kwamba sina imani ila huwa najiepusha na majibizano kuhusu dini
0
Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari likiwalenga wajenzi kutoka Uturuki limelipuka katika eneo la Afgoye kaskazini Magharibi mwa mji mkuu wa Mogadishu Somalia limeua watu wanne polisi wamesema
-1
Yaani mambo yote ya maana ninayotweet humu mnasema ni ufala tu hakuna cha maana jamani hamjaona ata tweets za
0
Kijijini Ilongelo lishe bora hunufaika familia nzima Mradi wa Boresha Lishe unaotekelezwa kwa ushirikia
1
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania TRC ikiongozwa na Mwenyekiti Prof John Kondoro yatembelea kambi za Ujenzi w
1
Sure NBC watajiongeza kuweka POS zao kwenye viwanja ili tuweze kulipa na kadi za visamaster milangoni
0
Kwa dondoo za elimu afya michezo burudani utani na ucheshi ungana na kila jumamosi
1
Kwa nini tusipande mazao ya malisho kwa ajili ya mifugo badala ya kutegemea uoto wa asili tu Tuambie mahi
0
Kuna video inasambaa mitandaoni jamaa amemfumania mkewe akiwa na jamaa mwingine huku akimlalamikia jamaa akimwambia kw
-1
Unapata changamoto gani tafadhali
0
Viwavijeshi wanapita katika hatua kuu 6 za ukuaji katika hatua yake ya larvae mayai 10001500 hutagwa na larvae mmoja kwa mwezi Hatua pekee inayowezesha kusambaa kwa viwa vijeshi ni kipepeo ambao huruka kwa makundi na wanaweza kuruka hadi kilometa 1500
-1
eddylwiza vifurushi vya saizi yako hivyo vinaonekana katika menyu yako
0
Mimi nachangia lakini sio lazima inategemea na hali yangu ya uchumi mda huoHili la kugeuza kama deni hapanasi wenyewe tunapambana na uroda kwa hela zetu
0
Je wajua Kuwa Twiga ndie Mnyama anaelala kwa mda mfupi kuliko wanyama wengine Twiga analala ndani ya masaa 4 na dk 30 katika masaa 24 Na analala haliyakuwa amesimama huku macho yake yakiwa wazi
0
FamiliaNduguMarafiki wana hofu kubwa juu ya WatotoNdg zao walioko CHINAKulinda maisha ya watu na uhai ni kipaumbele
-1
Ukikuta familia zote mbili mzigo upo wala mambo sio mengi njoo sasa uswahilini uone kuna mtu atasimama anakwambia mjo
0
Zoezi la kutambulishana likiwa linaendelea
0
Wahudhuriaji wa tamasha la wakimsikiliza Fid Q akitoa ujumbe kuhusu mazingira ht
0
Tulikuwa kama 23 lakini mpaka leo hii tumebakia watu wawili tu Elimu yangu ilinikomboa pale nilipoweza kuandika Propo
1
Great memories Hadija Jabiry
1
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May anakusudia kuliomba bunge la nchi yake limpe muda zaidi ili aweze kufanya mazungumzo na Umoja wa Ulaya juu ya kuubadilisha mkataba wa Brexit uliopo sasa Soma zaidi gtgt
0
Mgombea Urais CCMDkt John Magufuli akihutubia umati wa wananchi wa Iringa na vitongoji vyake kwenye mkutano Jana
1
816 Hatimaye tukafika katika mapango ya popo panaitwa Mwambisi ndani ya Msitu wa Pugu ulio chini ya hapa tulip
1
Bwana haya mabegi ni matamu MDM unaletewa popote ulipo
0
Hatimaye machapisho yangu ya kielektroniki sasa yataweza kupatikana kwa mobile money mpesa Airtel money TigoPesa katika
1
Uzuri wa kutumia mkijikusanya kwa pamoja ni kwamba kila mtu anafatwa pale alipokuepo haachwi mtu tw
0
Kisha chuja kutoka tarehe uliyoweka bet yako hadi siku ya leo kisha bofya kwenye mkeka wako ili kupata taarifa kamili za michezo uliyobashiri EN
0
Ukimaliza kusema vibaya juu yangu usisahau kuniombea dua niwe mtimilifu kama wewe
0
Napenda kuishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa kwa kuendelea kupokea na kuwahudumia kutok
1
KUMBUKIZI YA LEO kUtoka Kwa JIMBO LA MIKUMI JOSEPH HAULE CHADEMA Kura 32259 Jonas NKYA CCM Ku
1
Pia watoto wanatakiwa wasome shule za karibu kuepusha haya yotemtoto anasoma bunge anakaa gomz
0
Leo saa sita ndio mwisho tunafunga kuchukua Orders za Eid kesho tuanze maandalizi Inshaallah 0655 258 737 Mikochen
0
Tulitolea taarifa kuna matengenezo katika mtambo wetu wa kufua umeme kwa gesi asilia cha Ubungo Tunatarajia yatakamilika Februari 13
1
Suala la miundombinu katika maeneo ya uchimbaji mdogo nchini iliyoulizwa kwenye imejibiwa kisiasa zai
-1
Vitambulisho vya zamani bado vinatumika sambamba na hivi vipya wakati tukiandaa utaratibu wa kuvibadilisha na kuwapatia vyenye saini punde utaratibu utakapokamilika tutawafahamisha namna ya kuvirudisha ili kuwapatia hivi vipya ila kwa sasa ba
0
bila malipo ya ziada ili uweze kutazama mechi hii
0
Si ile wiki ya mshahara imeanza sasa wale walioniahid mwisho wa mwezi sasa mnunulie mtoto wako tablet kutoka kwetu Bei
0
Kuna account ya Bonus wanayo kiukweli sio promo naipenda sana maana fedha yako haina makatoni account nzuri kwa
1
Anakujibu yuko safe na hayupo safe ili umwage ndani apate mimba hapo unamlaumu mwanaume
0
Mkutano wa 18 Bunge la 11 Kikao cha Tatu unaendelea leo Januari 30 2020 Jijini Dodoma kikiongozwa na Spika wa B
1
Kwa Mambo Kama Haya Unaweza Wacheki Magwiji Wa Hizi Kazi Hautajuta Wataifanya Gari Yako Hile Unataka Usisah
0
Kama upo sogea eneo walipo wajasiriamali wa upate bidhaa na huduma bora kutoka kwa vija
0
ninashukuru Mungu wangu kwamba nimeishi haya maisha na naomba Allah anijaalie mwisho mwema na niache nyuma yangu kumbukumbu nzuri na furaha ambayo nitaondoka nayo Amiiiin HII NI HISTORIA FUPI YA MAISHA YANGU
1
Mabati imara yanayodumu kwa muda mrefu bila kupata kutuyametengenezwa kwa aluzinc Tuna G 28 Na G 30 Gauge 32 utaipata
0
HabariNiTaaluma Muswada wa Huduma za Habari unalenga kuigeuza sekta ya habari kuwa taaluma kamili na itakayoheshimika z
1
hakuna tatizo kwa anaesajili hata kama laini umefungiwa tafadhali fika kwenye ofisi zetu kwa msaada zaidi
0
Derby County Vs Stoke City Timu gani itashinda leo Kona ngapi zitapigwa Nani atakula kadi ya njano Shinda zaidi kwa kubashiri masoko hadi 6 kwenye mechi 1kupitia JENGA BET Cheza
0
Namshukuru Mungu Mh rais ameniteua kwenye Wilaya yenye Wananchi na Viongozi wachapa kazi tumeweka msima
1
Paul tutawajulisha juu ya zawadi kwa maswali ya jayoEndelea kufuatilia ukurasa wetu hm
1

A new Swahili tweet dataset for sentiment analysis.

Issues ⚠️

Incase you have any difficulties or issues while trying to run the script you can raise it on the issues section.

Pull Requests πŸ”§

If you have something to add or new idea to implement, you are welcome to create a pull requests on improvement.

Give it a Like πŸ‘

If you find this dataset useful, give it a like so as many people can get to know it.

Credits

All the credits to Davis David , Zephania Reuben & Eliya Masesa

Downloads last month
28