id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
4716 | 48 | tafadhali tunafuata kengele | alarm_set |
4717 | 48 | weka kengele ya saa mbili asubuhi kesho | alarm_set |
4718 | 48 | weka kengele ya kesho jumatatu saa mbili asubuhi | alarm_set |
4719 | 13 | je halijoto itakuwa juu ya kuganda siku ya jumatano | weather_query |
4720 | 13 | je wikendi itakuwa nzuri | weather_query |
4721 | 25 | ni kichekesho kipi bora zaidi kwako | general_joke |
4722 | 45 | nataka kusikia orodha ya kucheza yangu kutoka yule msanii | play_music |
4724 | 23 | kengele zangu ni gani | alarm_query |
4725 | 46 | pangia inyamaze | audio_volume_mute |
4726 | 46 | nyamaza | audio_volume_mute |
4727 | 4 | weka arifa ya taarifa ya soko la hisa | qa_stock |
4731 | 45 | cheza muziki yangu imepakuliwa | play_music |
4732 | 35 | weka sauti chini | audio_volume_down |
4733 | 29 | rekebisha sauti | audio_volume_other |
4734 | 48 | weka kengele ya saa tatu asubuhi wikendi | alarm_set |
4735 | 48 | kengele iliyowekwa ya saa tatu jioni ijumaa usiku | alarm_set |
4736 | 0 | leo ni siku gani | datetime_query |
4737 | 1 | badilisha taa kwa buluu | iot_hue_lightchange |
4738 | 0 | saa ngapi huko embu | datetime_query |
4739 | 0 | ni saa sita mchana huko paris | datetime_query |
4740 | 31 | punguza mwangaza sebuleni | iot_hue_lightdim |
4742 | 22 | angalia habari za hivi punde | news_query |
4743 | 23 | hujambo google niambie nimewekewa kengele gani | alarm_query |
4744 | 23 | orodhesha kengele zangu zote zijazo | alarm_query |
4746 | 8 | zima tundu | iot_wemo_off |
4748 | 8 | ningepeda soketi ya wemo isiwe inafanya kazi sasa hivi | iot_wemo_off |
4749 | 13 | itanyesha | weather_query |
4750 | 13 | je kutakuwa na theluji | weather_query |
4751 | 13 | kutakuwa na mawingu | weather_query |
4753 | 45 | cheza kamwambie inayofuata | play_music |
4754 | 45 | weka william ni siku ya kuzaliwa yangu ifuatayo | play_music |
4755 | 45 | cheza baadhi ya skramz | play_music |
4756 | 45 | naeza taka kusikiliza baadhi ya tempo ya kutuliza | play_music |
4757 | 22 | k. t. n. | news_query |
4759 | 13 | je kutakua na theluji usiku wa leo | weather_query |
4760 | 13 | kuna theluji katika utabiri wa hali ya hewa | weather_query |
4761 | 13 | je theluji inakuja usiku wa leo | weather_query |
4762 | 14 | je unaweza ongeza sauti ya vipaza sauti | audio_volume_up |
4763 | 14 | sauti hiyo iko chini sana je unaweza kuiongeza | audio_volume_up |
4765 | 13 | je itanyesha ijumaa | weather_query |
4766 | 13 | je nitahitaji kuvaa koti leo asubuhi | weather_query |
4768 | 8 | tafadhali unaweza zima soketi ya plagi ya wemo | iot_wemo_off |
4769 | 8 | zima soketi ya plagi ya wemo | iot_wemo_off |
4770 | 0 | unaweza kunipa saa katika eneo hili masaa haya | datetime_query |
4771 | 0 | ni wakati gani katika eneo la wakati huu | datetime_query |
4773 | 22 | tafadhali niambie habari kwenye kata ya nairobi | news_query |
4774 | 25 | nataka kuskiliza mzaha | general_joke |
4777 | 28 | changanya nyimbo zote kwa maktaba ya muziki | music_settings |
4781 | 48 | niamshe saa kumi na mbili na nusu | alarm_set |
4783 | 48 | weka kengele | alarm_set |
4785 | 13 | je naweza kwenda nje na kaptula | weather_query |
4787 | 57 | ni wimbo upi wangu unaochezwa zaidi | music_query |
4788 | 43 | nini iko kwa folda yangu ya muziki niupendao | music_likeness |
4789 | 13 | hali ya hewa iko aje leo | weather_query |
4790 | 13 | joto gani leo | weather_query |
4792 | 0 | tarehe ya leo tafadhali | datetime_query |
4793 | 0 | siku gani leo | datetime_query |
4794 | 40 | zima taa ndani ya chumba cha kulala changu | iot_hue_lightoff |
4795 | 40 | zima taa za chumba cha kulala changu | iot_hue_lightoff |
4800 | 24 | unaweza washa wemo plug socket | iot_wemo_on |
4801 | 13 | nje joto iko aje kwa sasa | weather_query |
4802 | 1 | fanya taa ziwe na rangi tofauti | iot_hue_lightchange |
4804 | 5 | habari olly | general_greet |
4805 | 5 | habari yako unaendeleaje | general_greet |
4806 | 25 | nahitaji mzaha mzuri | general_joke |
4807 | 43 | kumbuka ninavyofikiria kuhusu huu wimbo | music_likeness |
4808 | 43 | kumbuka jinsi napatia kiwango wimbo huu | music_likeness |
4811 | 0 | ni lini ishirini na mbili | datetime_query |
4812 | 0 | tarehe ishirini ni siku gani | datetime_query |
4815 | 0 | katika mji mwingine ni saa ngapi | datetime_query |
4824 | 13 | hali ya hewa wikendi hii | weather_query |
4825 | 1 | badilisha rangi ya mwangaza kuwa bluu | iot_hue_lightchange |
4828 | 3 | je mgahawa una kuchukua | takeaway_query |
4829 | 3 | je mkahawa una huduma ya chakula cha kubeba | takeaway_query |
4830 | 3 | ninaweza pata chakula cha kubeba | takeaway_query |
4832 | 46 | ondoa sauti | audio_volume_mute |
4834 | 46 | usitumie | audio_volume_mute |
4839 | 45 | cheza sauti sol | play_music |
4841 | 45 | anzisha muziki ya classical | play_music |
4842 | 45 | rock sauti sol | play_music |
4843 | 0 | tafadhali nipe tarehe ya leo | datetime_query |
4844 | 0 | ni saa ngapi sasa nairobi | datetime_query |
4846 | 0 | nionyeshe wakati sasa huko nairobi | datetime_query |
4847 | 24 | amilisha soketi ya plagi ya wemo | iot_wemo_on |
4849 | 48 | weka kengele ya saa mbili jioni | alarm_set |
4852 | 48 | unaweza weka kengele yangu | alarm_set |
4855 | 46 | kata hiyo kelele | audio_volume_mute |
4856 | 46 | nyamazisha sauti | audio_volume_mute |
4857 | 0 | kuna ijumaa ngapi mwezi wa mei | datetime_query |
4858 | 0 | siku gani ya juma ilikuwa februari nne mwaka wa elfu moja na mia tisa sabini na mbili | datetime_query |
4859 | 22 | vipi habari za hivi punde | news_query |
4860 | 22 | nipe habari za hivi punde | news_query |
4861 | 22 | nipatie habari mpya | news_query |
4862 | 40 | chumba cha kulala cha pili zima taa | iot_hue_lightoff |
4863 | 13 | hali ya hewa iko aje huko utah | weather_query |
4864 | 13 | niambie hali ya hewa huko utah | weather_query |
4865 | 13 | hali ya hewa ikoje huko nairobi sasa hivi | weather_query |
4866 | 16 | pigia pizza place iliyo karibu na inatoa pizza | takeaway_order |
4868 | 16 | tafuta java ya karibu zaidi iliyo na huduma ya kubeba chakula | takeaway_order |
4869 | 45 | kucheza muziki kutoka orodha ya kucheza | play_music |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.