id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
618 | 0 | siku ya mwisho ya mwezi ni lini | datetime_query |
619 | 0 | ni wakati gani wa kati | datetime_query |
620 | 0 | ni wakati gani wa sasa wa mlima | datetime_query |
621 | 22 | ni utata gani wa hivi punde wa mwai kibaki | news_query |
622 | 22 | ni mzozo upi wa karibuni wa uhuru kenyatta | news_query |
627 | 45 | cheza wimbo wa mushrooms uliovuma kwa albamu yao ya mwisho tafadhali | play_music |
630 | 22 | nijulishe wakati kuna habari kuhusu shambulizi la westgate | news_query |
632 | 22 | nijulishe kamakuna habari ya bomba la dakota | news_query |
633 | 34 | washa kifyonzi | iot_cleaning |
636 | 25 | ni nini kuchekesha kuhusu gari | general_joke |
637 | 25 | niambie utani kuhusu mwanaume | general_joke |
639 | 45 | nikumbushe kucheza wimbo huu leo usiku | play_music |
640 | 45 | tafadhali nichezee wimbo kutoka orotha yangu ninayopenda zaidi | play_music |
641 | 45 | nichezee wimbo | play_music |
642 | 45 | nichezee wimbo ya adele | play_music |
643 | 34 | nataka uwashe kifyonzi | iot_cleaning |
644 | 13 | nini kitakuwa joto la juu zaidi wiki hii | weather_query |
645 | 18 | ongeza mwangaza kidogo | iot_hue_lightup |
646 | 18 | ongeza mwangaza kidogo | iot_hue_lightup |
647 | 18 | fanya taa kuonekana zaidi | iot_hue_lightup |
648 | 23 | unaweza niambia ni kengele gani nimeweka | alarm_query |
649 | 23 | nikona kengele yoyote imewekwa ya leo | alarm_query |
650 | 23 | nahitaji kuweka kengele ni ngapi nimeweka | alarm_query |
652 | 40 | dhibiti mwanga zima taa za chumba | iot_hue_lightoff |
653 | 45 | tafuta baadhi muziki ya injili | play_music |
654 | 45 | nataka kusikiliza baadhi ya muziki wa injili | play_music |
655 | 13 | hali ya hewa sasa nairobi iko aje | weather_query |
656 | 13 | hali ya hewa iko aje washington d c | weather_query |
659 | 0 | wakati sasa huko nairobi | datetime_query |
661 | 38 | naomba kujua itakuwa saa ngapi saa kumi na mbili jioni hapa kenya | datetime_convert |
662 | 38 | unaweza kujua ni saa ngapi za tofauti kati ya nairobi na mombasa | datetime_convert |
664 | 31 | punguza mwangaza | iot_hue_lightdim |
666 | 31 | punguza mwangaza wa taa chini | iot_hue_lightdim |
667 | 31 | punguza mwangaza | iot_hue_lightdim |
669 | 16 | niagizie burgers mbili | takeaway_order |
670 | 16 | itisha oda ya pizza moja | takeaway_order |
671 | 0 | unaweza kuniambia ni tarehe ngapi | datetime_query |
672 | 0 | unaweza niambia ni saa ngapi hii | datetime_query |
673 | 0 | ni saa ngapi sasa | datetime_query |
674 | 0 | onyesha wakati wa sasa | datetime_query |
677 | 8 | tafadhali zima soketi ya plagi ya simu yangu itakapochajiwa | iot_wemo_off |
679 | 8 | nataka uzime soketi ya plagi kabla simu ya rununu haijachajiwa | iot_wemo_off |
681 | 4 | nisasishe kuhusu bei za soko la hisa | qa_stock |
683 | 45 | unaweza kucheza wimbo wangu wa mwisho | play_music |
684 | 45 | cheza wimbo wa mboso | play_music |
685 | 45 | cheza wimbo wa jana usiku wakati wa saa kumi na mbili jioni | play_music |
687 | 0 | nipe muda nikiwa nairobi | datetime_query |
688 | 0 | nipe muda wa nairobi sasa hivi | datetime_query |
690 | 35 | kuna sauti ya juu mno punguza sauti | audio_volume_down |
692 | 57 | wimbo huo ulioisha unaitwaje | music_query |
693 | 3 | nilipiga simu kuagizia chakula na naona imesha wasilishwa | takeaway_query |
694 | 3 | angalia uwasilishi wa agizo langu la sasa | takeaway_query |
695 | 3 | piga simu ya mkahawa kuona kama wasilisha iko njiani | takeaway_query |
696 | 18 | tafadhali angaza chumba | iot_hue_lightup |
698 | 22 | ni nini kinaendelea ndani ya kongamano | news_query |
699 | 13 | ripoti ya hali ya hewa | weather_query |
700 | 13 | habari ya hali ya hewa iko vipi | weather_query |
701 | 13 | angalia hali ya hewa | weather_query |
703 | 31 | nataka taa zing'ae kidogo | iot_hue_lightdim |
704 | 31 | tafadhali taa zing'ae kidogo | iot_hue_lightdim |
705 | 25 | niambie kitu ya kuchekesha | general_joke |
706 | 45 | nataka kusikia sauti sol tafadhali | play_music |
709 | 22 | nipatie sasisho ya upigaji kura wa uchaguzi | news_query |
713 | 22 | unaweza onyesha mimi habari za hivi punde zinazochipuka tuko | news_query |
715 | 22 | nipe gazeti | news_query |
716 | 22 | nataka kujua habari kutoka daily nation | news_query |
717 | 22 | tafadhali nisome habari za mwisho kutoka sauti sol | news_query |
719 | 5 | habari | general_greet |
720 | 5 | habari | general_greet |
721 | 48 | weka kengele saa kumi asubuhi kesho | alarm_set |
722 | 48 | weka kengele iniamshe baada ya saa tano | alarm_set |
723 | 48 | panga kengele iniamshe baada ya masaa matatu | alarm_set |
724 | 13 | toa takwimu za hali ya hewa kwa wiki | weather_query |
725 | 13 | onyesha hali ya hewa wiki hii | weather_query |
727 | 45 | nataka kusikia nyimbo za sanaipei tande | play_music |
728 | 45 | cheza wimbo wa ali kiba baada ya hii | play_music |
729 | 45 | nichezee nyimbo mpya ya dola kabari baada ya hii | play_music |
731 | 18 | zima taa | iot_hue_lightup |
732 | 43 | hifadhi muziki wangu ninaopendelea | music_likeness |
733 | 43 | hifadhi mapendekezo yangu ya muziki | music_likeness |
734 | 45 | cheza muziki ambao mimi nilioupenda | play_music |
735 | 35 | tafadhali unaweza punguza sauti yako | audio_volume_down |
736 | 14 | tafadhali unaweza niambia jibu kwa kelele ya juu | audio_volume_up |
739 | 13 | ni joto gani leo | weather_query |
740 | 13 | jinsi mazingira yalivyo na unyevunyevu leo | weather_query |
742 | 45 | cheza nyimbo yote ya pop mpya | play_music |
744 | 45 | cheza happy playlist ikufuata | play_music |
745 | 22 | ni habari gani inayovuma | news_query |
746 | 22 | nipatie vichwa vya habari vya juu | news_query |
747 | 45 | cheza ngoma kutoka kwa ngoma za kale kali | play_music |
748 | 14 | tafadhali punguza sauti ya wimbo huu | audio_volume_up |
749 | 14 | kuongeza kiasi ili niweze kusikia katika chumba chengine | audio_volume_up |
750 | 35 | punguza sauti hadi asilimia kumi | audio_volume_down |
752 | 46 | jinyamazishe mpaka niseme vingine | audio_volume_mute |
753 | 46 | usiongee kwa muda | audio_volume_mute |
754 | 38 | badilisha ukanda huu wa saa kuwa washington | datetime_convert |
755 | 38 | badilisha saa katika eneo hili kuwa ist | datetime_convert |
757 | 24 | washa soketi ya plagi ya wemo ili kuunganisha hiyo chaja yangu kwake | iot_wemo_on |
758 | 24 | washa tundu la plagi ya wemo ili kuchomeka dongle yangu | iot_wemo_on |
759 | 57 | nitafutie wimbo unaocheza kwa sasa | music_query |
Subsets and Splits