id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
6846 | 50 | nikumbushe barua pepe kwa dadangu | calendar_set |
6847 | 48 | weka kengele jumatano saa sita mchana ndio nijiandikishe kwa programu ya wapokeaji wa mapema | alarm_set |
6848 | 48 | niamshe ijumaa saa kumi na moja asubuhi ninahitaji kusafiri na gari la moshi | alarm_set |
6849 | 50 | nionyeshe upesi programu ya televisheni saa kumi na dakika kumi na tano alhamisi citizen saa kumi | calendar_set |
6851 | 32 | onyesha matukio yangu ya leo | calendar_query |
6852 | 32 | nionyeshe programu ninayo leo | calendar_query |
6853 | 30 | nenda kwa tukio linalofuata kwenye kalenda na uifute | calendar_remove |
6854 | 30 | futa tukio linalofuata kwenye kalenda | calendar_remove |
6855 | 48 | weka kengele saa nne asubuhi kesho na uiweke lebo ya mkutano | alarm_set |
6857 | 50 | enda kwa kalenda upange tukio | calendar_set |
6861 | 32 | yako wapi matukio yote yajayo | calendar_query |
6862 | 32 | nijulishe kuhusu matukio yajayo | calendar_query |
6863 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu wa kesho kwa kasi saa nne | calendar_set |
6866 | 32 | ni matukio gani yaliyoratibiwa yanafuata | calendar_query |
6867 | 32 | waweza niambie ratiba ya tukio lifuatalo | calendar_query |
6868 | 32 | unaweza niambia kwa ufupi kuhusu matukio yaliopangwa yajayo | calendar_query |
6869 | 50 | unaweza kusawazisha kalenda yangu na kazungu | calendar_set |
6870 | 50 | waweza ongeza tukio hii ya omondi | calendar_set |
6871 | 50 | unaweza ongeza tukio hili na joey | calendar_set |
6872 | 30 | unaweza futa tukio la sasa | calendar_remove |
6874 | 32 | ni siku gani muhimu ziko kwa kalenda yangu huu mwezi | calendar_query |
6876 | 50 | tafadhali ratibu mkutano na edwin kamau wa uhasibu | calendar_set |
6877 | 50 | panga mkutano na kim saa nane na nusu mchana ijumaa | calendar_set |
6879 | 32 | mkutano wangu wa alhamisi uko saa ngapi | calendar_query |
6880 | 32 | mkutano wangu na rasilimali watu ni lini | calendar_query |
6882 | 30 | futa mkutano wa alhamisi wiki ijayo saa nane mchana | calendar_remove |
6884 | 30 | kufuta mkutano kesho saa nne asubuhi | calendar_remove |
6885 | 50 | nzuri | calendar_set |
6886 | 50 | habari kwa wote | calendar_set |
6887 | 32 | mzuri | calendar_query |
6888 | 32 | bora zaidi | calendar_query |
6889 | 50 | bonyeza kuokoa | calendar_set |
6890 | 32 | zipi nyakati za maonyesho | calendar_query |
6893 | 50 | inachukua muda mgani | calendar_set |
6896 | 50 | ongeza miadi na daktari wangu wa meno saa nne asubuhi jumatatu ijayo | calendar_set |
6899 | 30 | ondoa matukio yote kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
6900 | 50 | nipe ukumbusho saa mbili usiku kwa ajili ya mchezo huo | calendar_set |
6903 | 30 | toa miadi na daktari wa meno wiki ijayo | calendar_remove |
6904 | 30 | futa miadi ya utunzaji wa nyasi mwezi ujao | calendar_remove |
6906 | 12 | ni tofauti sana | general_quirky |
6907 | 50 | nikumbushe kila tarehe moja ya mwezi | calendar_set |
6910 | 32 | nini kimepangwa kwa saa tatu zijazo | calendar_query |
6911 | 32 | nani aliyeratibiwa mkutano wa kesho | calendar_query |
6913 | 50 | weka tukio katika tukio la kurudia kalenda kila siku | calendar_set |
6915 | 50 | tukio la kujirudia la mkutano kila jumatatu | calendar_set |
6916 | 30 | ondoa matukio yote kwenye kalenda | calendar_remove |
6917 | 30 | ondoa matukio | calendar_remove |
6919 | 50 | weka taarifa ya miadi na daktari machi tarehe tano saa nne asubuhi | calendar_set |
6921 | 50 | kuweka taarifa kwa ajili ya tarehe kumi na moja machi kwamba mahojiano imepangwa na bwana juma | calendar_set |
6922 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu na bakari jumatatu saa nne | calendar_set |
6924 | 32 | je nina mkutano wowote leo | calendar_query |
6930 | 50 | nataka kuongeza tukio kwa kalenda yangu | calendar_set |
6931 | 50 | ongeza tukio kwenye kalenda | calendar_set |
6933 | 32 | niko na matukio gani hii wiki | calendar_query |
6934 | 12 | utasaidia vipi kwenye mkutano huu | general_quirky |
6938 | 50 | weka ukumbusho wa kuchukua watoto siku za wiki saa tisa mchana | calendar_set |
6940 | 50 | nikumbushe kuwa na uzidushi na bosi leo saa saba mchana | calendar_set |
6941 | 50 | kumbuka kunikumbusha kuhusu mkutano wa mteja saa kumi jioni | calendar_set |
6942 | 50 | andaa tukio | calendar_set |
6943 | 50 | weka tukio la kalenda | calendar_set |
6944 | 50 | fungua kalenda uweke tukio | calendar_set |
6945 | 32 | nina mikutano mingapi kesho | calendar_query |
6947 | 32 | nina miadi yoyote kesho alasiri | calendar_query |
6949 | 50 | tafadhali nikumbushe mkutano ujao na bosi utakuwa jumatatu ijayo saa tano asubuhi | calendar_set |
6950 | 48 | tafadhali weka kengele ya mkutano wangu na timu saa tisa jioni ijumaa ijayo | alarm_set |
6951 | 50 | nataka unikumbushe mkutano ujao na rafiki wangu wa kike itakua saa mbili usiku jumapili ijayo | calendar_set |
6953 | 30 | ondoa yote kutoka kwenye kalenda | calendar_remove |
6954 | 50 | weka arifa kuhusu mkutano wangu jumanne ijayo | calendar_set |
6955 | 50 | weka taarifa ya mkutano na bosi | calendar_set |
6956 | 50 | nijulishe saa moja kabla ya mkutano wangu | calendar_set |
6957 | 30 | safisha kalenda yangu | calendar_remove |
6960 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu saa nane mchana | calendar_set |
6961 | 50 | ongeza ukumbusho wa mkutano saa nane mchana | calendar_set |
6965 | 32 | ni ukumbusho gani unaosubiri leo jioni | calendar_query |
6966 | 32 | vipi mimi vikumbusho vyote vinavyosubiri | calendar_query |
6969 | 30 | nafaa kufanya nini leo | calendar_remove |
6970 | 30 | futa tukio | calendar_remove |
6971 | 30 | ghairi tukio | calendar_remove |
6972 | 30 | ondoa tukio | calendar_remove |
6975 | 50 | tafadhali nikumbushe kuhusu kazi itakayokuwa kilifi kesho | calendar_set |
6976 | 32 | ni nini nafaa kukumbuka mchana huu | calendar_query |
6977 | 32 | unaweza kunisoma makumbusho yangu yanayofuata | calendar_query |
6978 | 32 | soma kumbusho zangu zijazo mchana huu | calendar_query |
6979 | 32 | nilisahau chochote | calendar_query |
6981 | 32 | onyesha ukumbusho | calendar_query |
6982 | 32 | niambie kuhusu matukio ya hivi punde yanayozunguka mji wangu | calendar_query |
6984 | 32 | orodhesha matukio yote ya halloween yanayofanyika nairobi | calendar_query |
6986 | 32 | nipatie ratiba kamilifu ya wiki ijayo | calendar_query |
6987 | 50 | tafadhali nikumbushe siku ya kuzaliwa ya mjomba joe kila tarehe nne mei | calendar_set |
6988 | 50 | tafadhali eka ukumbusho wa sherehe ya ofisi jumamosi ijayo | calendar_set |
6989 | 50 | tafadhali nikumbushe miadi yangu na daktari julai tarehe kumi na tatu | calendar_set |
6993 | 50 | weka ukumbusho wakati flani | calendar_set |
6995 | 50 | nitahadharishe katika | calendar_set |
6996 | 30 | futa tukio linalofuata | calendar_remove |
6998 | 30 | futa tukio la baadaye | calendar_remove |
6999 | 50 | ongeza tukio | calendar_set |
7001 | 50 | tengeneza tukio | calendar_set |
7002 | 50 | weka tukio la kalenda kurudiwa kila mwaka katika tarehe hii | calendar_set |
7003 | 50 | nikumbushe kila mwaka tarehe hii ya | calendar_set |
7005 | 50 | panga mkutano na allen kesho | calendar_set |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.