audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120491381.wav
Angalia aina A na eleza chochote ambacho hukipendi kuhusu hiyo.hamna ambacho sikipendi kwa kweli.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120491381.wav
moment_4_reproductive_cdd48a45-c690-4583-8ee5-2d7aa8c5aebf_1716458768490.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?A nimependa inaiva haraka inawi na hela.Kingine ambacho kimekufurahisha katika aina A tangia tumeanza jaribio letu mpaka sasa hivi ni kitu gani?Imeota sana vizuri na imestawi fresh imekuja imetoa maua mapema kabla yaa hizi ingine.Unaweza ukanipa maelezo zaidi kitu ambacho unakipenda kuhusu aina A?Aina A nii nikiangalia inawai inawai hata hela kama unawai hela unaweza ukapata hela mapema maana inaiva haraka.Nieleze zaidi kitu ambacho unakipenda kuhusu aina A?Aina A imeota vizuri na haijaota vibaya.Una maelezo mengine ya ziada kuhusu unachokipenda kuhusu aina A?Aina A imetoa watoto sana kuliko hizi zingineSawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_cdd48a45-c690-4583-8ee5-2d7aa8c5aebf_1716458768490.wav
moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633580934.wav
Nini unakipenda kuhusu aina C.Aina C bwanaaa imeee mbe mvua zimezidi sina nnachokipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633580934.wav
moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438808094.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?.kwenye upande wa kitalu A nimependa imejitahidi sana kuzaa maharage yake yamezaa vizuri na yamesimama bila shida kwahiyo hakuna shida yeyote.
generated_audios/moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438808094.wav
moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400493732.wav
angalia ainaa B na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina B. aina B nimeipenda maanaa imeota vizuri.mmm.naaa na ukuaji wake iko vizuri sana. kingine ambacho una kipenda kuhusu aina B unaweza kutueleza.aaa aaa ku ku kupandwa yenyewe imekuwa vizuri na uu kuota kwake imekuwa vizuri.kingine unaweza kueleza ambacho una kipenda kuhusu aina B. kinginee kidogo tuu ina shambuliwa tu na wadudu lakiniii aina shida kwa umlio wake navyoona.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400493732.wav
moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038125466.wav
Nini una una usichokipenda kuhusu aina B? aina A?Kwenye aina A hapa kitu ambacho sijakipenda maharage yani yameota moja moja maeneo manegine hamna.Kingine a,mbacho hujapenda kwenye hii aina A? kitu ambacho hakijakuvutia kwenye haya maharage.Kitu amabcho hakijanivutia kwenye haya maharage kwenye aina A ni uotaji wake sio mzuri.Ahaaa uotaji wake ulikuwaje?Uotaji wake ni ni yani imeota ni kidogo yani uotaji wake ni machache sehemu nyingine ipo sehemu nyingine hamna.Ahaa.Ayaa
generated_audios/moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038125466.wav
1690622936117.wav
kwa ujumla ni tricot gaini hujaipenda zaidi kuliko zote? ni tricot B aah sawa
generated_audios/1690622936117.wav
moment_4_reproductive_96197074-61a4-4605-8621-565699b2acf3_1715843652960.wav
Penda kuhusu aina B…....Kuhusu aina B.Mmmh.Kama nilivyokwambia.Hhh.Ni mazuriii.Mmh.Ila sasa huwa yana yanakuwa soko lake ni ndogooo.Mmmh.Mmh.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_96197074-61a4-4605-8621-565699b2acf3_1715843652960.wav
moment_3_vegetative_6e36f1a7-8577-4ca4-a264-e1e6901b1d68_1713255883302.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Naona ambacho nimekiona kwenye aina hii ya malage kwanza uotaji unaota vizuli alafu yanakuwa alafu yametoa mauwa vizuli alafu naaa majani yake yamekuwa mapana.Ye unaeza ukaelezea kwa undani zaidi kwenye aina hii.Naona kuusu hii haya malage naona hali yake si mbaya yamekuwa mazuli.
generated_audios/moment_3_vegetative_6e36f1a7-8577-4ca4-a264-e1e6901b1d68_1713255883302.wav
1691148753396.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula? Kwa aina A punje zake ni ndogondogo, kwahiyo icho kitu sikukipenda naamini hata ukiingiza sokoni watu wanaweza wakawa wasiikubali kwasabu punje zake ni ndogo, kingine? Labda kwenye matumizi ya chakula? kwenye chakula hakuna shida, haina tatizo? haina tatizo lolote iko vizuri, iko vizuri? ndiyo
generated_audios/1691148753396.wav
moment_3_vegetative_20240417_d2516dc8-3ca7-4364-8d80-bd09551798ce_1713774071871.wav
Angalia aina C na eleza chohote unachokiona amachohupendi kusu hiyo.apa kwenye aina C ambacho sikipendi haijastawi sana pia kuna sehemu haijaota vizuli.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d2516dc8-3ca7-4364-8d80-bd09551798ce_1713774071871.wav
1690354550899.wav
ni kitu gani hukupenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula hili zao ni nzuri lakini wakati lilipokua linatoa maua niliona maua mengi sana yamejitokeza nikasema imeiva lakini kwenda kuangalia huku chini halina tena ile mifuko
generated_audios/1690354550899.wav
moment_4_reproductive_c7c517c6-6cb7-44e6-a8da-cfb373e3a497_1715070528334.wav
nini usichopenda kuhusu aina A.ambacho sijapenda ni kwamba yana yana uzao wake kwa ukanda huu ni kidogo mno nikidogo mno.
generated_audios/moment_4_reproductive_c7c517c6-6cb7-44e6-a8da-cfb373e3a497_1715070528334.wav
moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450483354.wav
Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?A mi nimeipenda kwa sababu ni nzuri kweli uzazi wake ni mzuri sijaona kibaya kwenye A.
generated_audios/moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450483354.wav
moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924669727.wav
kitu gani ambacho labda hakikupendezi kwenye aina hii ya maharage ya njano?maharage haya mi yananipendeza tu.aah ok.
generated_audios/moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924669727.wav
moment_3_vegetative_20240417_7871992e-0cdd-440b-88ad-02ca2851d92b_1714549254091.wav
...Ayaaaa nini unapenda kuhusu aina A.Aina A naipendaaa kwasababuuu inawahi yani kwenye mbegu zote nlizopanda hii ndo ya kwanza kuwahi kuanza kutoa mauwa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7871992e-0cdd-440b-88ad-02ca2851d92b_1714549254091.wav
1690277703145.wav
na ni kwanini umependa kuchagua B, naomba unielezee sifa za kilimo kwenye B ah nimeipendelea kwa sababu inaonekana kama vile hii sasa niliyokwisha otesha imenileteamazao mengi kidogo zaidi ya hii, lakini pia hii inastahimili ukame kwa maana hiyo sasa jua llikiwaka inauwezo wa kustahimili kwahiyo ndo maana nimependelea
generated_audios/1690277703145.wav
moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096410999.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Siipendi.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096410999.wav
moment_3_vegetative_20240417_d5bb4fdb-ffd9-4dee-8db3-579166d455fb_1713950536050.wav
Angalia aina A eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo. Aina A kwa kweli nikiangalia ni mbegu ambayo niliifurahia na nina uzoefu nayo sana kwa sababu aina A mimi niliwahi kupata mbegu ya Serikali ambayo kwa jina lao la kitaalamu wanaita Seriani 94 lakini aina A hio inavumilia sana ukame na pamoja na hivyo kufuatana na hali ya hewa sisi Lwande tiuliwahi sana kupanda kufuatana na msisimuko kwamba tupande kwa pamoja kwa aina flani kwa sababu ya kufanya utafiti lakini sisi msimu wetu kwa kweli ilikuwa kwanzia mwezi wa 3 tarehe 25 sio tarehe 19 tuliyoipandia hapo tulipata changamoto kidogo ya wiki moja au siku 5 yani kulikuwa na ukame wa mvua baada ya kupanda maharage yaliota kwa shida sasa aina A hio uvumilivu wake na kitu ninachosifia uvumilivu wa ukame hivyo hatimae ilitokea kuvumilia na baada ya wiki mvua ilirudi tena maharage yale yako chini na yaliota vizuri changamoto ilikuja kutokea baadae wakati wa uotaji wakati inachomoza basi kuna wadudu waliendelea kushambulia majani huku na ndege kwa sababu ilikuwa kwamba tayari ndo nimepanda peke yangu pale mimi rasmi kwa shamba lote zima nilikuwa bado sijaanza kupanda kwa hio ndege walihamia hapo kwenye hivi viplot vya majaribio kwa lweli ilitokea changamoto sana kwa aina A mpaka mimi inanipa masikitiko kwa sababu imebaki mashina kadhaa tu tofauti na mashina tulivyopanda kila mstari mmoja ulikuwa na mashina takribani thalasini thelathini lakini hatimaye ilikatwa sana kama mnavyoona kuna visiki vilibaki tu hivi na baadhi ya mashina yalibaki lakini ni mbegu bora kwanza haina mikono haitambai ni inasimama wima na hatimaye japo inachelewa kutoa maua maana hii inatoa maua ikiwa na siku 35 nilivyoendelea kuifuatilia utoaji wake wa maua badala ya siku thelathini kama vile aina nyingine unayoona kule C iliendelea kuwa na siku 30 maua tayari yameshakuwa ni mazuri lakini hioi hapa changamoto iliotokea lakini ni mbegu bora ni mbegu bora sana kwa kusifia .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d5bb4fdb-ffd9-4dee-8db3-579166d455fb_1713950536050.wav
moment_3_vegetative_8b581b9a-9b02-44e2-9d49-11cafd2bdea8_1713334640400.wav
Mmmh ukiangalia aina B iii kitu gani ambacho uu ujakipenda kutoka kwenye aina ii.Aaah kwa kweli mimi ni ….Mmmm.mimi ni …..Mmm.Eeee kwaaa kwa elimu yako.Mmm.Mimi kama mimi nimelizika.Mmm.Eeee kwa elimu yako.Mmm.Eeee.Mmm saa.
generated_audios/moment_3_vegetative_8b581b9a-9b02-44e2-9d49-11cafd2bdea8_1713334640400.wav
moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216095742.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?.Aina A napenda kwasababu labda ina kamba na ingeendelea zaidi kama ningewai kwa wakati labda ingezaa zaidi kulikooo au ingeendelea vizuri kuliko sasaiviÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216095742.wav
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603081897.wav
Tunaendelea na maswali angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hapa nnavyoangalia hakuna kitu nnacho kichukia.hakuna kabisa.hakuna.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603081897.wav
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106074018.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.aina B napenda kwa sababu maharage yake yameota vizuri sana na yanashusha pia vizuri yani yako vizuri kiujumla.
generated_audios/moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106074018.wav
moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961227874.wav
Sasa ndugu mkulima naomba pia uiangalie iyo iyo aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hujakipenda kuhusu aina hiyo C….Aina C naipenda naipenda tena naipenda sana kwasababuuu hii hapa niii niii ni mbegu nzuri kwasababu jinsi ilivyotulia aah kwakweli haina sababu ya kusema kwamba nisiipende naipenda.Mmmh.Naipenda.Hamna ka kasoro kokote ambako huja hujapenda kwenye aina hiyo C.Hapana.Ndio.Ka kasoro hakuna.Eeeh.Ila ndio hivo tu kasoro enyewe ilikuwa tu ivo vitoto vikawa vinakaukakauka kulingana na ukame lakiniii naipenda.Sawa.Eeeh.Asante sana.
generated_audios/moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961227874.wav
moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304060867.wav
nini unapenda kuhusu aina C.aina C vilevile ina ladha ila uivaji wakee sio sawa na aina B na sio sawa na aina A na aina B uivaji wake kidogo una chelewa.
generated_audios/moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304060867.wav
1690612697583.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula Inashambuliwa na wadudu na inashindwa kuvumilia hali ya hewa
generated_audios/1690612697583.wav
1690466341527.wav
Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? B
generated_audios/1690466341527.wav
moment_3_vegetative_9f565709-4ed9-4a6e-82c5-072406850812_1713513854273.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.naa naki nayapenda kwa sababu yana majani mapana, mh,na yana ukijani mzuri.mmh.na kingineee ni marefu tu yamerefuka vizuri eee.
generated_audios/moment_3_vegetative_9f565709-4ed9-4a6e-82c5-072406850812_1713513854273.wav
moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821813062.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?kwenye maharage haya aina B kitu ambacho sikipendi katika kuipanda naona hayaoti yote ynanaota moja moja.je kunakitu kingine ambacho unakiona hupendi kuhusu aina B ?ahaa aina B kitu ambacho sikipendi kingine kwa sasa sijakiona.sawa sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821813062.wav
moment_4_reproductive_9b172d2a-048d-40f0-b828-93491d16501b_1716128849027.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C.Kuhusu aina C ambacho sipendii.mmh.inaonekana hakuna cho maharage hayavumilii kabisa hakuna kabisa yameharibika kabisa na hali ya hewa.mmh.mvuaa kwa sababu mvua imezidii.mmh.hayavumilii kabisaa yameharibika kabisa hakuna kabisa.mmh.eeh.kingine?.hakuna.
generated_audios/moment_4_reproductive_9b172d2a-048d-40f0-b828-93491d16501b_1716128849027.wav
1690445684313.wav
kwa ujumla , aina gani ya tricot uliipenda zaidi? aina gani! eeeh, ni A, B au C? aah, shambani kwangu,? eeee B
generated_audios/1690445684313.wav
1690441222756.wav
Ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya tricot A kwa biashara au matumizi ya chakula sanasana biashara biashara inaweza kukufanya uipende zaidi ndio ah sawa Na umeangalia vitu gani zaidi mpaka useme kwa biashara na chakula ndio kutokana na illivvyo , yani kutokana na ilivyo inaonekana kwenye biashara inafaa lakini kwenye chakula sio sana
generated_audios/1690441222756.wav
moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958224243.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo .aah C hii mimii sio kwamba siipendi naipenda tu ila tu ni kwa ajili msimu huu tumewahi saana ndo maana imefa imekuwa hivi lakini hii ai ai haina tatizo tu yani.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958224243.wav
1690965863176.wav
kwa hiyo kwa ujumla hakuna kitu ambacho hujakipenda kuhusu A ata kwenye chakula kwenye chakula iko vizuri ata kibiashara? ata kibiashara iko vizuri
generated_audios/1690965863176.wav
moment_3_vegetative_c3596ea9-e168-4e4e-869b-6b0ea311e7fa_1713504635570.wav
angalia aina A alafu unieleze chochote unachokipenda kuhusu aina A.aina A?eee.naipenda kwanza inawahi kuu inastawi vizuri,mmh. inawahi kuzaa,mmh. inaa, pia kwenye biashara pia huwaa inasoko.mmmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_c3596ea9-e168-4e4e-869b-6b0ea311e7fa_1713504635570.wav
moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784705202.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?.hii C haina utofauti na A kule kwenye A uotaji wake umekuwa mzuri isipokuwa hauko katika hali inayotakiwa kwasababu ya mfululizo wa mvua.
generated_audios/moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784705202.wav
moment_3_vegetative_20240417_542ad3ed-0687-456b-a50c-a3491cecf42d_1713952209744.wav
Angalia aina B na elezaa chochcote unachokiona ambacho unapenda kuhusu hiyo.eeh kundi B hapa napenda kitu kimoja ambacho miche yake imeota vizuuri kabisaa inapendeza na iko sahihi lakini kuna kitu ambacho mimi kinanipa shida kidogo .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_542ad3ed-0687-456b-a50c-a3491cecf42d_1713952209744.wav
moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944347730.wav
ni kipi unachokipenda kuhusiana na aina A?aina A nimependa tu hasa muonekano wake, muonekano unaonekana ni mzuri, na yanaonekana yameweza kuimili hali ya hewa japo mvua ni nyingi lakini muonekano yanaonekana bado yanaafya nzuri, hiyo ndo imefanya nikayapenda kwamaana yanaimili magonjwa, mvua nyingi kwahiyo yanaonekana ni mazuri.je unadhani kwanini yanaweza yakawa yanahimili magonjwa?nadhani yanaweza yakwawa yanaweza kuimili magonjwa kwasababu ime imevumilia mvua zilikua nyingi, ukiangalia ni tofauti na maharage mengine, aina hii inaonekana inaweza kuimili hali zote. sawa.na hivyo unavyoona atujapiga dawa kama yalivyo, yapo katika hali ya uwalisia na yameweza kuvumilia mpaka unavyo yaona kwahiyo sio mabaya ni mazuri. kuna kingine chochote unataka kuongezea kuhusiana na aina A ?hapana tusubiri tuone, kwa sasa inatosha.je unatarajia kutaka kusubiria uone nini?nataka nione wakati yatakapokua yametoa maua make hayo kidogo yanaonekana kama yamechelewa, yamechelewa kutoa kuandaa maua tusubiri wakati wa maua tuone yatakua anatunga maua kwa kiasi gani.ahaa kwahiyo wewe unachotaka, kitu ambacho kitakuwa kinakusaidia sana labda kutofautisha hii aina itakuwa ni kwenye jinsi inavyotunga maua, na jinsi itakavyokuja kuweka watoto. eee hatua hatua ambayo inaweza kutofautisha ni kwamba hatua ya kwanza ni kwamba kwenye hutoaji,unajua hutoaji wa maua unavyokua mzuri ndivyo utungaji wa matunda unakuwa mzuri zaidi kwahivyo vyote vitasaidia kuonesha kwamba ubora wa hii aina, mpaka sahivi bado inaonekana kuwa ni bora manake imeweza kuvumilia changamoto nyingi ambazo zimepita hapo nyuma. sawa sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944347730.wav
1690444528369.wav
je kuna kitu c hochote ulikipenda kuhusu kukuza aina A? aina A nikizunngumzia aina A, aina A ni kwamba mzao wake inaonesha vilevile mzao ni mwingi kwa wastani, inaonesha kwamba mzao, ikipata mvua ya kutosha inatoa maharage megi ndo sifa yake
generated_audios/1690444528369.wav
moment_3_vegetative_20240417_7be7fc84-9dc2-4763-9e8e-2927775e5f03_1714473164524.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina B.Aina B nikwamba kwasaabu ile mbegu haiyotiii yote kwa pamoja na nyingine haiyoti nyingine inaota kwahiyo hiyo ina itilafu kidogo nayo inaleta shida..
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7be7fc84-9dc2-4763-9e8e-2927775e5f03_1714473164524.wav
moment_3_vegetative_20240417_7b2e3b6d-e6e6-454a-8c5c-ffc60776c305_1714464848043.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachoona ambacho hukipendi eeehnaonatu yanaingia unjano mengine yamenyaa yame kauka eeehmmh mmh yamekauka ndio kingine ambacho kimekuchukiza kwenye hii aina B.ayajaota tuu.aaaah yani hayakuota.mmmmh.una kingine.hamna.ayaa asante.mmmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7b2e3b6d-e6e6-454a-8c5c-ffc60776c305_1714464848043.wav
1691217552321.wav
ni kitu gani ulichopendakuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula kwa biashara inajiuza nimeipenda kwa sababu mtu hata ukimpelekea hiyo anaona labda sawasawa na ile rozikoku anaona kama zinaenda na lakini hiyo iko kivingine labda sifa nyiingie uliyoipenda zaidi kwenye masuala ya biashara au matumizi ya nyumbani kwenye matumizi ya nyumbani mfano ,asuala ya lishe iko vizuri, iko vizuri
generated_audios/1691217552321.wav
1691142397904.wav
kwahiyo na kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula chakula iko vizuri kwasababu mwaka jana niiotesha, ila kwenye soko tu ndo ina shida hatuna uhakika kwasababu hatujawahi kuiuza
generated_audios/1691142397904.wav
moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419870460.wav
nini unachopenda kuhusu aina C?.maharage yangu yanaendelea vizuri tuu.yanaendelea vizuri.eee.kwahio unaonaa hali ya kuendelea kukua nii nzuri.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419870460.wav
1690962361653.wav
Ni kitu gani haukukipenda kuhusu kukuza aina A? Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Kuikuza? wakati unapanda hayo maharage yako mpaka hapo umefikia umevuna, haya aina ya A ni kitu gani ambacho wewe hukukipenda?
generated_audios/1690962361653.wav
moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963643011.wav
nini unachokipenda kuhusu aina B?.hakuna ninacho hakuna ambacho sikipendi.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963643011.wav
moment_3_vegetative_eefba714-f1aa-40a8-ad55-0e21693fb325_1713332435983.wav
Analia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.napenda maharage yameota vizuri na yaa yanaendelea kukua vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_eefba714-f1aa-40a8-ad55-0e21693fb325_1713332435983.wav
moment_3_vegetative_19bfb486-5a6b-4776-a5fa-b803c9d8f0b9_1714470620203.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.aina B iliotaaa ya kwanzaa lakinii ni zaifu alafuu hai yani inapukutika kwa haraka sana kwa sababu ya ukungu yani ni dhaifu.
generated_audios/moment_3_vegetative_19bfb486-5a6b-4776-a5fa-b803c9d8f0b9_1714470620203.wav
moment_4_reproductive_4d82110b-d4a7-43fb-8c83-a566d64f1e69_1716467261962.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?Ni majani yake.Yana tatizo gani?Yamesha nanii leta kutu.Kuna kingine labda?Hamna.
generated_audios/moment_4_reproductive_4d82110b-d4a7-43fb-8c83-a566d64f1e69_1716467261962.wav
moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714820951405.wav
eenhe uk tunahamia B sasa ukiangalia B sasa unaweza kuniambia chochote unachokipenda kutoka aina B.mh aise uongo dhambi yaani kwenye B sizaani lakini kitu ambacho nilichokipenda sisijaona.mmh yaani sijapenda chochote.mmh.kiukweli.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714820951405.wav
moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594486947.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A?Kwasababu tu yaani maua yake ukikosea tu kidogo yana yanaweza yakakukata hata mavuno.Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594486947.wav
moment_3_vegetative_20240417_d7dfbe99-5d0f-4d38-b33b-4cc2fca55b23_1714378755803.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo? aina C nimeipenda sana kwa sababu nilivyootesha imeota kwa pamoja ikakua kwa pamoja sasahivi inatoa maua karibu mengi niya aina C ambayo ni rosekoko kwahiyo hata kwa chakula nayo pia ni nzuri sana hata kwa biashara pia ni nzuri sana ndiyo.kuna kingine?kingine labda uwezeshwaji tu hamna wa kuweza kupata mbegu ya kutosha na kilimo ndo hivyo kinasuasua lakini ubora wa mbegu ni nzuri sana.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d7dfbe99-5d0f-4d38-b33b-4cc2fca55b23_1714378755803.wav
moment_3_vegetative_20240417_42d0a2bb-8f97-45ae-a6be-acc97709f244_1717997118687.wav
Na ukiangalia pia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hii .chochote ninachokiona hapa.eee ambacho hukipendi.ni kwamba ile ambayo imekauka kwenye nini kule au ni wadudu au ni nini maana ni imenyauka kama mizizi ime imeliwa kwa chini .anhaa.ila kwa sura ni nzuri .anhaa ko huja hujapenda kuwa haijakuwa nzuri .haijakuwa nzuri.anhaa aya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_42d0a2bb-8f97-45ae-a6be-acc97709f244_1717997118687.wav
moment_4_reproductive_44ad2754-0ab8-4f52-9563-3b793b2b0249_1715750192064.wav
Nini uschokipenda kuhusu aina C?.Nasema hamna imetengemaa iko vizuri tu….
generated_audios/moment_4_reproductive_44ad2754-0ab8-4f52-9563-3b793b2b0249_1715750192064.wav
1691149706887.wav
aah nini ulipenda ulipenda kuhusu kukuza aina A kwa sifa ambazo ziko shambani mmmm A umependa sifa ggani kuhusu A kitu gani umekipenda zaidi shambani inakomaa haraka kwa shambani ndo napenda ee nyingine kwa shambani kwa shambani hiyo ndo sifa yake
generated_audios/1691149706887.wav
moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713935794835.wav
nini unapenda kuhusu aina B?.navipenda kutegemeana na uotaji wake na uvumiliaji wa ukame. mmh.koo vyote navipenda.mmh.mmh.kivipi labda unaweza kueleza vizuri?.mmh napenda kutegemeana na na ukuaji wake uko vizuri.enhe.na naa kunanilia kwake kuko vizuri chini.kufanyaje?.kuu ku ku kuvumilia tu ukame wake ambao wa kwenda chini, maua yake kuko vizuri.aaah.mmh.mmh.mi mwenzio nilipeleka mtoro asaa...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713935794835.wav
moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943159521.wav
sawa, sasa ndugu mkulima tuko kwenye aina ya BNdio ya mbegu zetu tuko kwenye kitalu B apa sawa.angalia aina hio B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.aah kwa aina B ya mbegu yetu hii ni nzuri.ndio.naa nimevutiwa sana kwakua inatoa kamba ndefundio. na kamba hizi huwa zinatoa mauwa na maharage yanazaa mpaka kwenye urefu wa kamba zake.sawa.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943159521.wav
1690894130029.wav
kwa ujumla ni tricot gani hukuipenda zaidi? A
generated_audios/1690894130029.wav
moment_4_reproductive_e04e35a1-a757-47cc-ac58-12d80d50e7b9_1716353099468.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona unapenda unakipenda kuhusu hiyo?nakipenda kwasababu kimezaa japokuwa ni kidogo.
generated_audios/moment_4_reproductive_e04e35a1-a757-47cc-ac58-12d80d50e7b9_1716353099468.wav
moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887984786.wav
angalia aina C pia na eleza chochote ambachoo unaona hujakipendaapa ninavyoangalia niseme ukweli kwa apaa yani apa ….. Yani napenda sana kwa sababu hiki ki aina ya C ata unavyoangalia hayajawa na njano yaharibikesawa.yako kijaniisawaa.eeh hata saivi unavyoangalia kama mvua inanyesha lakini mvua imeama muda mrefuu lakini unavyoangalia ni kijani tuu mbegu yenyewe ni nzurii.sawa.mmh.sawa ahsantee.
generated_audios/moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887984786.wav
moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716043919516.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Napenda kuhusu aina A kwamfano inakuza kidogo.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716043919516.wav
moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943277505.wav
sawa sasa ndugu mkulima hapa tupo kwenye kitalu C au aina C ya mbegu zetu ndioeeeh angalia hio aina C na ueleze chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.aina C nimeipenda kwakua ni mbegu nayoinayoota vizurindio.na inastawi vizuri ikiwa kwenye eneo lenye mbolea nzuri ndio.eeh ni nzuri tu haina shida lakini changamoto zipoonaam.nadhani tutazidi kuzielezea kadiri utakavouliza maswali .sawa.lakini kwa kuonekana ni mbegu nzuri ikipandwa kwenye eneo zurii itatoa maendeleo mazuri kwa mkulima.asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943277505.wav
moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381968959.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina C?aina C nimeipendelea maana imeota vizuri imenitamanisha naiko vizuri yaani hata nikiiangalia naifurahia ndo nimeipendezewa nayo.kuna chochote ambacho hukipendi kuhusu aina C?hapana
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381968959.wav
1690877769274.wav
je ni kitu gani chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina B, eleza kwenye sifa za kilimo, ulipenda nini kwenye hii tricot B, kua B ilikua na nini sifa zake labda? sifa zake ina sifa zake yenyewe! ndio ee lakini sasa ni vile mtu kwenye vitu viwili vitatu, lazima uwe umependezewa na hiyo namna, labda unaweza ukakuta mwenzangu nae amependezewa na hiyo, haina sifa mbaya haina nanii mbaya ni ya kawaida tu
generated_audios/1690877769274.wav
moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762511583.wav
Angalia aina C na eleza chochcote ambacho hupendi kuhusu aina hio.aina C nacho sipendi mvua ikinyesha sana yataharibika.yataharibika.
generated_audios/moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762511583.wav
moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684737259.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Sina.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684737259.wav
moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222694695.wav
Ni nini unapenda kuhusu aina A?Hapa nimependa kwa sababu maharage yenyewe yanaonesha kua yana uwepesi wa kuukua kuzaa yani kuota na kukua na kuu kuzaa haraka kwahiyo katika hilo nimependa.Ni hicho tu?Eee.Asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222694695.wav
moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664905481.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina C kidogo naipenda kwa sababu inastahimili hali kidogo ambayo ni ngumu, na inavumilia.
generated_audios/moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664905481.wav
1690445776937.wav
Je kuna kitu chochote unafikiri tunaweza tukaibadilisha hii C iwe nzuri kwa matumizi ya biashara au chakula hii C, sasa mimi ningeibadilisha kama ni mimi iwe ya njano sasa iwe ya njano ee
generated_audios/1690445776937.wav
1690286300338.wav
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula nyumbani Aina A nilichokipenda uzao wake naona utakua mzuri kulingana na nilivyoona
generated_audios/1690286300338.wav
moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780188747.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.nimeyapenda kwa sbabau yana makaka mengi na ni mazuri.ndiyo.eeeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780188747.wav
moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791289502.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiana ambacho unakipendi kuhusu hiyo?naipenda kutegemeana na imebeba watoto wengi na inawahi kukomaa.
generated_audios/moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791289502.wav
moment_4_reproductive_c6c31d6e-2c15-4891-94d6-e0165015ee5f_1717670575801.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Aina A nimeyapenda maharage yabatoa maua kwa haraka pia yanaiva kwa haraka
generated_audios/moment_4_reproductive_c6c31d6e-2c15-4891-94d6-e0165015ee5f_1717670575801.wav
moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222779312.wav
Ni nini unapenda kuhusu aina B?Ninapenda kwa sababu maharage yenyewe yaa kwanza yana mikia yananifurahisha yako vizuri.Ni hicho tu? Mmmh yana mikia na ya pia yaa nijapo kuwa yanachelewa kidogo kutoa maua lakini yapo vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222779312.wav
moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807505712.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?.nilichokiona kwa upande wa kitalu namba C ni upande wa wadudu wanaogonga majani ndio sikuipenda bali siyo kwa kasi sana ile inayoathiri zaidi inajionyesha tu kwamba sikuipenda kwasababu yana hali ya kugongwa gongwa ambayo siku tumiaa dawa ya aina ya aina yoyote ningetumia almost inawezekana ikawa haikugongwa sasa lakini kwasababu ni kitalu ambacho sikupiga dawa naona pia hata na ugongaji huo imegongwa lakini siyo ya kuathiri sana kwahiyo ndio kitu ambayo sikupenda ndani ya kitalu namba C. aya asantee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807505712.wav
moment_4_reproductive_ce3b7f50-3e8e-4f04-8fc2-49632479c762_1715672888703.wav
mmmh ukiangalia aia C pia unaweza ukanambia kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye aina C .kwenye aina C na yenyewe ina zaa vizuri ila ni changamoto hiyo hiyo na yenyewe kwenye ugonjwa .mmmh.maana naona kwenye kitalu namba B C vimeshikwa kidogo na ugonjwa ee lakini havina tofauti na na A ila sema tu huo ugonjwa ee lakini hata kuzaa zinazaa vzuri hayo ambayo yamebaki yapo vizuri .mmmhlabda ndio hiyo hiyo ardhi tuseme imechangia .
generated_audios/moment_4_reproductive_ce3b7f50-3e8e-4f04-8fc2-49632479c762_1715672888703.wav
moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758212166.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina B bhana hamna nilichokipenda.Kwa sababu gani?Aina B imearibiwa sana na mvua.
generated_audios/moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758212166.wav
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354199496.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Aina A naipenda kutokana na majani yake jinsi yalivyo alafu kuna maua maua yake yamechanua vizuri.Hasa wewe umependa nini kwenye aina hii?Kwenye A na B … Mmmh kwenye A napenda sana maua yame yako mengi sanaJe unaweza ukanambia sababu zozote za kuipenda aina hii ya mbegu?Aina hii ninaipenda kwa sababu inakua ina inarefuka alafu pia inachanua mapema inatoa maua mengi.Unaweza ukaelezea zaidi au umeishia hapo?Mimi nimeishia hapo.
generated_audios/moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354199496.wav
moment_3_vegetative_20240417_a4b8b0ea-f9e6-4e9e-bcfd-505b1576ef0d_1718085539627.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.hamna.hamna ambacho hukipendi.mmmh.sawa asante .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a4b8b0ea-f9e6-4e9e-bcfd-505b1576ef0d_1718085539627.wav
moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859265512.wav
Nini usichopenda kuusu aina A.Yaani kuhusuuu kishamba cha aina A.Mmm.Hakuna chochote nisichokipenda katika kishamba hichi naonaa utaratibu wake.Mmm.Sio mmbaya kwaiyo nakuridhika naaa kishamba hiki cha aina A sioni sababu ya kwamba kuna chochote ambacho sikipendi ndani ya kishamba hiki.Nashkuru.Aya asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859265512.wav
moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133654551.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Aina B nimeipenda.
generated_audios/moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133654551.wav
moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400594333.wav
angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu aina C. aina maharage basii unaa yako vizuri naa kupandwa kwake vizurii kwa ujumla aina shidaa.kuna chochote unachoeza kueleza ambacho una kipenda kuusu aina C. …
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5d16e114-b6c7-4f7d-a5e2-afae32e1f83b_1714400594333.wav
moment_3_vegetative_20240417_c9a436b8-f2c1-4c24-b224-c619533561a7_1719230731894.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?.Nisichokipenda aina C ni kwamba yana yan yanaogopa ya wadudu na yalizidiwa na mafriko na matopeÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c9a436b8-f2c1-4c24-b224-c619533561a7_1719230731894.wav
moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715679310368.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Katika aina C kitu ambacho nimekipenda maharage haya yamekua vizuri eeh katika ukuaji wake yamekua vizuri na yalikua yanapendeza sana kwa hicho ndio sababu ambayo imenifanya niweze kupenda hii aina C.
generated_audios/moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715679310368.wav
moment_3_vegetative_50518876-fff6-4dc8-bb54-41fb97ab3b52_1712827651110.wav
nini husichopenda kuhusu aina B?jambo ambalo sijafurahishwa sana ni swala la uhotaji kidogo haikuwa ma mazuri, sijajua ni changamoto ya ardhi, sijajua ni hali ya tabia ya nchi, ndo jambo ambalo alikunifurahisha sana, lakini jambo lingine ni majani yake kushambuliwa kidogo na wadudu jambo ambalo sijafurahishwa sana kwenye maharage haya ambayo ni ya group B. pia kuna kingine ambacho unakiona kuhusu aina B ambacho ukipendi?aah kwakweli jambo lingine ambalo sijafurahishwa sana ni swala hilo tu la uotaji kutokuwa mbaya lakini, kwa upande mwengine aaa sina shaka sanaa.sawa sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_50518876-fff6-4dc8-bb54-41fb97ab3b52_1712827651110.wav
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza kuhusiana na hii aina.Kidogo ni majani.Unavyosema majani unamaanisha nini.Majani imenawiri kidogo majani ni mazuri na nimeweka mbolea mbolea ya samadi lakini sasa sijajua ni nini tatizo mpaka leo kidogo ndo nilivyoweka mbolea ya samadi ndio kidogo ikasogeasogea ndio mpaka sahivi ikabadilisha rangi ya majani ikawa mazuri majani ilikuwa imenyongonyea.Kwani rangi ya majani ilikuaje unavyosema rangi ya majani ilikuaje.Ilikuwa njano.Anhaa.Mmh.Naomba jitahidi kunielezea zaidi nataka kuelewa.Nanii majani wakati inaanza kuu ilivyoota iliota vizuri baada ya kufika hatua fulani majani ikabadilisha rangi ikawa ya njano, baaada ya kuona imekuwa ya njano mikaenda kuchukua mbolea ile ya mbuzi nikamwaga kidogo hapo ikanyeshewa na mvua sasa nikaona baada ya kukaa wiki moja nikaona ikabadilisha rangi ikawa ya kijani.Yaani kilichokupendeza kwenye hii aina. Ilivyoweka majani imenipendeza sahivi ndio imeanza kuweka maua kwahiyo sio mbaya tangia nimeweka mbolea ndio inaanza kuweka maua. Kwa sasa sio mbaya inakuja kuja wakati nimetumia kuweka mbolea ya samadi.Anhaa. Nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
moment_4_reproductive_4163ffdb-2d43-4052-ace9-d5884a86949c_1716353507909.wav
angalia C na eleza chochote ambacho unakiona unakipenda kuhusu hiyo?katika hii hi kitalu kitalu C nimefurahishwa naa uzaaji wake lakini pia uwepesi wake wa ku wa kukomaa upesi.sawa.nimefurahishwa.
generated_audios/moment_4_reproductive_4163ffdb-2d43-4052-ace9-d5884a86949c_1716353507909.wav
1690286130431.wav
je kuna kitu chochote ulipenda kuhusu kukuza aina ya B ukuzaji wa B napenda kwa sababu kwa upande wa kuuza inavuta wateja kwa sababu inashiba, inakua manene
generated_audios/1690286130431.wav
1690440936876.wav
kwa ujumla ni aina gani ya tricot ambayo umeipenda au nni aina gani ya majaribio ambayo umeyapenda katika hizo mbegu ni A
generated_audios/1690440936876.wav
moment_3_vegetative_1885f6d1-5725-4ab8-9260-71df99632259_1712821831843.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho upendi kuhusu aina hiyo?nayapenda sijaona kitu ambacho sipendi hayana shida.ukiyaangalia hanh nini ambacho labda unaona kwamba hiki labda ndo kinaweza kitu ambacho enyewe yanakuwa tofauti na mengine labda au ndo tabia ambayo hujaipena?sijaona tabia ambayo sijaipenda maana yanaenda vizuri yanatoa maua kwa wakati yanastawi kwain kutokana na jinsi yalivyo kwa saabu saabu megu ni tofauti yale majani yake ni membamba yanaonyesha tu kwamba mbegu si azifanani kah….. Hayana shida yako vizuri.asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_1885f6d1-5725-4ab8-9260-71df99632259_1712821831843.wav
moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419753353.wav
nini usichopenda kuhusu aina A.Mvua bado inaendelea kunyeshaa. ndioo.kanaharibika maharage.kanaharibika?.eee.kanaharibikaje.mvua.na mvua?.eee.yanaharibika kivipi?.yanakua ya njano.yanakua ya njano.eee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b73904f6-9325-4b6b-a708-146d20a2abe7_1713419753353.wav
moment_4_reproductive_97020161-50b8-4ef8-baab-f262d20172de_1716869658683.wav
Nini usichokipenda kuusu aina C.Aina C nayo pia nimeipenda ipo vizuli.
generated_audios/moment_4_reproductive_97020161-50b8-4ef8-baab-f262d20172de_1716869658683.wav
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina A ninaipenda kwasababuuu wa imeota vizuri kwa asilimia tisini labda na tisa yotee imeota vizuriÉ.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136.wav
moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848627827.wav
nini unapenda kuhusu aina A?ninachokipenda kwenye aina A inatoa maua kwa wakati na maua yake pia ni mengi.
generated_audios/moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848627827.wav
moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314348022.wav
nini usichopenda kuhusu aina B.hakuna nisicho kipenda.
generated_audios/moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314348022.wav
moment_4_reproductive_73383b0c-06b7-4205-81be-f386cba4e7c1_1716377027000.wav
nini unapenda kuhusu aina A?.aina A naona imezaa imezaa kuliko aina A imezaa.
generated_audios/moment_4_reproductive_73383b0c-06b7-4205-81be-f386cba4e7c1_1716377027000.wav
moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096523366.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Siipendi kwasababu imeota mojamoja na hiyo mojamoja ikatoa majani ya kukauka.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19280af0-fc29-4e6a-a13a-6ad00d14caed_1716096523366.wav
moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664858603.wav
Angalia aina B na ellezea chochote ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina B kitu ambacho sipendi kidogo haiwezi kustahimili hali mbaya ya hewa.Una maana gani?Ninamaana kwamba haistahimili vizuri.Asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_725b543c-11d3-4b16-b12c-78139e941996_1717664858603.wav
1690874393340.wav
inazaaa sana na hata kukua inakua vizuri sawa kwahiyo ni kuzaa sana na kukua vizuri mmmmm sawa inavumilia baridi sawa
generated_audios/1690874393340.wav
moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713936035259.wav
ndio ndugu mkulima angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina hio.hii apa nimeipenda.ndio.nzuri kabisa inapendeza.vipi kwenye uotaji imeota vizurii ….uotaji umeota vizuri lakini changamoto yake kidogo yani vijani vinajikunja kunja lakini sio sana.sawa.eeh.
generated_audios/moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713936035259.wav