audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
moment_3_vegetative_20240417_d6046bb3-c6bf-4ff4-bf0d-72e050ea7483_1714133593295.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A.Aina A inaonekana inashambuliwa sana na wadudu.Mmmh.Kwaiyo ndo icho kitu ambacho sijakipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d6046bb3-c6bf-4ff4-bf0d-72e050ea7483_1714133593295.wav
moment_3_vegetative_eaa7cf2b-7b8c-4d31-84e8-7affe920f7fb_1718006153990.wav
eeh elezea chochote unachokipenda katika eneo lako laaa B?B eeee changamoto niliyoiona B eeeeunachokipendaninachokipenda?eeh ulichoona kizuri kwenyeee Bkizuri B maua yametema vizuriii naya naya nafikiri yatabeba vizuriii ee changamoto iliyojitokeza kwenye B mbeguu eee azi azikuota zoteee tuseme ni asilimiaaaa ee asilimia tisini na tano zimeota.sawa hamna kingine kwenye eneo B ambacho unaweza kuelezea zaidi?aa kwenye B yaani m matokeo ni mazuri maua ni mengiii natumaini yatabeba sanaaa naaa ardhi hii imekubali hii mbegu.ok asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_eaa7cf2b-7b8c-4d31-84e8-7affe920f7fb_1718006153990.wav
moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029734047.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina hiyo?kisu, kitu sipendi aina B mbona sioni naona mbona maharage mazuri yako vizuri, au labda tunge tungefanya tupige dawa ili ipendeze zaidi? ahaaa nilikua naomba unambie tu kile ambacho hukipendi?hamna.sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029734047.wav
moment_3_vegetative_20240417_9dd79e84-1293-4c8e-a15d-d1b61df930a5_1714470652887.wav
angalia aina A na eleza chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu aina A.naipenda aina A naipenda kwasababu imestawi vizuri. kuna maelezo yoyote ambayo unaweza kutoa. amna bwana. kuhusiana na. haina shida bona.au…
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_9dd79e84-1293-4c8e-a15d-d1b61df930a5_1714470652887.wav
1690365472694.wav
Je, kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya C kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Yaani wanatakiwa hii kampuni itafute soko la uhakika la hii la C Ili iwavutie walaji, ili ioteshwe kwa wingi Kwa wingi, na pia kwenye upande wa chakula labda? kwenye suala lachkula ni tamu ni nzuri kwahiyo haina shida? sawa
generated_audios/1690365472694.wav
moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378850218.wav
angalia aina B naeleza chochote unacho kiionaa ambacho hupendi kuhusu aina B. aina B moja moja hai makamba lakini ingine haina makamba. sawa kingineee.kingine lakini imeota vizurii haina shida. sawa kuna maelezo mengine. aaa … naona ime. ongea kwa sauti kidogo. naona imestawi tena. sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378850218.wav
moment_6_postharvest_57ce1cc0-a657-46d8-be36-3693f88fe9f7_1719471922284.wav
nini ambacho umekipenda kuhusu aina A ukiiangalia?aina A nimeipendea ….ata ….yani ni nzuri ….
generated_audios/moment_6_postharvest_57ce1cc0-a657-46d8-be36-3693f88fe9f7_1719471922284.wav
moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943935095.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.aina C kwa kweliii hali zote nazipenda, uotajii utoaji mauaa ukuajii nikija kujumlisha na wingi wa mvua lakini bado yenyewe imekua na sura nziri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943935095.wav
moment_3_vegetative_05c9b41a-fff4-4cbc-a66b-51d35e308548_1712831542001.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.hii hapa ainaina aina amboo niliyependa hamna.
generated_audios/moment_3_vegetative_05c9b41a-fff4-4cbc-a66b-51d35e308548_1712831542001.wav
moment_3_vegetative_9c653fa8-5263-4460-ac5e-2b51229f792a_1718391344458.wav
ERROR..
generated_audios/moment_3_vegetative_9c653fa8-5263-4460-ac5e-2b51229f792a_1718391344458.wav
1690442152416.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya A eleza kwenye sifa za kilimo hakuna
generated_audios/1690442152416.wav
moment_3_vegetative_5d76a11c-0cc8-4c60-9677-3b551b54fe17_1714112003836.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina A?Hakuna nisichokipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_5d76a11c-0cc8-4c60-9677-3b551b54fe17_1714112003836.wav
moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782559112.wav
nini usichopenda kuhusu aina A?.hamna nisichokipenda kwasababu nisije nikaongea uongo.
generated_audios/moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782559112.wav
moment_3_vegetative_20240417_93e6bd68-238f-4813-8aae-29f3aeb279a5_1714812308906.wav
nini unapenda kuhusu aina B.aina B nimeipenda kwasababu ina muonekano mzuri ina majani mapana iko vizuri lakini kwenye uzazi wake inachelewa haiko sawa na aina B aina A.ni hayo tu hakuna jambo lingine.hakuna.asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_93e6bd68-238f-4813-8aae-29f3aeb279a5_1714812308906.wav
1690277874410.wav
ni kitu gani ulichopenda hukusu aina hii ya mbegu B kwa biashara au kwa chakula, kati ya hivyo viwili kipi umependa zaidi kwanza mimi maharage hay napenda kwenye chakula lakini pia napenda kwa biashara kwa sabau mimi sitegemei labda niuze kwa magunia kuwauzia mabroker, nilikua natamani mimi nipeleke kwa watu wa mjini niuze kwa kilo ambayo ndo itakayoniletea hela nzuri kuliko kuuza tu kwa rumbesa ya gunia
generated_audios/1690277874410.wav
moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944912251.wav
na ni nini husicho kipenda kuhusiana na aina C?eee nisicho kipenda kuhusu aina C, kwanza yanaungua hayawezi kuvumilia hali ya hewa tofauti na makundi mengine, kundi hili linahathirika sana na mvua kwahiyo changamoto kubwa ni hiyo ndo yamefanya kwamba nisiyapende kwa sababu hivyo, ayatofautiani sana na maharage ya asili ambayo ukiangalia nayo yamehathirika na hali ya hewa hasa mvua na baridi.je kunajambo lingine lolote ambalo unaweza ukaliona kutokana kutoka kwenye hii aina C? kitu ambacho nimejifunza na ambayo nimeona kwenye hii aina hii hili uweze kupata mavuno mengi inakubidi utumie madawa, manake haya kama unavyoona hatukutumia aina yoyote ya dawa kwamba tukiangalia je yanaweza kuhimili hali ya hewa,kwahivyo hili uweze kupata manufaa kwenye haya maharage lazima utumie madawa kwajili ya kuyakinga, ni hayo tu.sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944912251.wav
moment_3_vegetative_449294c0-348a-4d24-a8c0-c20d2b2696fb_1716285327306.wav
Error
generated_audios/moment_3_vegetative_449294c0-348a-4d24-a8c0-c20d2b2696fb_1716285327306.wav
1690877118609.wav
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi kati ya sampo A, B na C, ni ipi ambayo imekuvutia? nimevutiwa sana sana na sampo A Na ni kwanini sampo A imekuvutia? yaani nilivoiona kupanda na ukuaji wake, ulikua unavutia, alafu inaa yaani ni kama vile inaopanda haraka tuseme ni kama mtoto unavomlisha ana inawahi kuchomoza, ina inatoa hata ile milimgoti inapendeza mpka ata maua yake unaona ni mazuri na uzaaji wake ni mzuri ina maharage mengi
generated_audios/1690877118609.wav
moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462723226.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C.sinaona tofauti yoyote.kuna chochote ambacho hupendi kuhusu aina C?Aah nimeipenda nimeifurahia sana.
generated_audios/moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462723226.wav
1690877946497.wav
ni kitu ulikipenda kuhusu aina B kwa bishara au matumizi ya chakula zote kwa kula, matumizi ya nyumbani, kwa biashara zote zinalipa kwa sabu ukipeleka sokoni mlaji nae atakuja na chaguo lake lakini hii A ndo umesema haina gesi hii B nayo B nayo piaa tuseme kwa ujumla hizi hazina gesi, maharage ambayo gesi sana ni haya mekundu yale, yale huaga yana gesi, na ile sumu ya mbogo ile ni maharage ambayo yana gesi
generated_audios/1690877946497.wav
moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600536383.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina C ni kwambaaa haina uzao mkubwa japo kwamba inapendeza sanaa lakini uzao wake ni mdogo sana.Saa….
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600536383.wav
moment_4_reproductive_c49355aa-a31f-4d55-8842-62100a6a7efe_1715774100614.wav
mmh ukiangalia kitalu A unaweza ukaelezea chochote ambachoo unakipenda kutoka kwenye aina A .kitalu aina A yani kimenivutia kimezaa vizuri maharage yako vizuri wala hayana ata shida .mmmh.mmh.mmh kitu kingine labda kilichokuvutia ambacho ni tofauti na na aina nyingine .yani kitalu A kilichonivutia ni uzaaji wake maana hata nikiangalia kitalu B hakijazaa kama kitalu A wala kustawi vizuri kama kitalu A .mmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_c49355aa-a31f-4d55-8842-62100a6a7efe_1715774100614.wav
1691148530101.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Haivumilii yaani tuseme haivumilii magonjwa kwasababu ikikutwa na ukungu inashambuliwa sana, kingine? ni hicho tu
generated_audios/1691148530101.wav
moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963581991.wav
… nini unapenda kuhusu mbegu A.napenda kwasababu ya ubora wake.…
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963581991.wav
moment_3_vegetative_20240417_3c5fa5ac-0944-4b5a-8935-6ae951af1b24_1714383622422.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo? aina C hii mbegu inaitaji maji mengi kwahiyo histaili ukame pili hii mbegu mda mrefu ilishatoka kwenye soko haiko kwenye soko kabisa maana ishapotea na kama sahivi ndo mnaianzisha mpaka hawa watu wa waikubali tena bado ni shuuli.kuna chochote unachokipenda kuhusiana na hiyo mbegu?aahiyo mbegu hapana.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3c5fa5ac-0944-4b5a-8935-6ae951af1b24_1714383622422.wav
moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600284109.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo…Ketika hii aina A apa kitu ambacho nimetokea kwa naweza sema nakipenda au kuvutiwa nacho hhm cha kwanzaaa kiangalia huu uzai wa maharage yenyewe kwanza jinsi yalivyo yakoo…... utofauti ni mengine kwasababu yenyewe uzuri kuenzie kuenzia kwenye majani majani yana majani mapana uzao hhm kwasaabu ndo tunauona kama jinsi ilivyo mauwa yanavyotoka vizu naweza kusema kwamba ni uzao uzao unaeza kua ni sahihi uzao ni mzuri ndomana naweza sema kwamba nayapenda kwahaya,kwa kingine aah katika ukuaji nahisi kwamba unaeza kuwa ni mzuri kwasaabu inavyoendelea kutokaa jinsi ilivyooteshwa mbaka kufikia apo hivi inazidi kuwa sahihi inazidi kuwa zuri na kuvutia zaidi...Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600284109.wav
moment_3_vegetative_20240417_3fcd0bca-fde9-468a-8a6d-d5a0671b2ca0_1714314817419.wav
Angalia aina A na eleza chochote ambacho hupendi kuhusu hiyo?Kwa kweli nisiseme uongo hamna ambachooo sikikubali yani vyote navikubali.Haya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3fcd0bca-fde9-468a-8a6d-d5a0671b2ca0_1714314817419.wav
moment_3_vegetative_61eeefc4-dd5d-4a93-a183-ac137da33236_1713250859725.wav
Na kwenye aina iyoiyo B ukiiangalia tena unaona kitu gani ambacho wewe ukipendi au ujakipenda kutoka kwenye waa aina iyo wa mbegu ii.… amna kitu ambacho sijakipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_61eeefc4-dd5d-4a93-a183-ac137da33236_1713250859725.wav
moment_3_vegetative_c894e022-ff07-4157-aa4f-d25fad252473_1713281274905.wav
Na ukiangalia aina iyoyo B kitalu icho wewe nii kitu gani ambacho unaki ukipendi ujakipenda kutoka kwa kutoka kwenye aina iyo ya malage.Aaaa mimi nafikili kwamba nisichoki ambacho sikipendi.Mmm.Ni kule kunyauka.Mmm.Kunyauka kwake kule ndio kuna nifanya mimi nisipende.Mmm.Eeee.
generated_audios/moment_3_vegetative_c894e022-ff07-4157-aa4f-d25fad252473_1713281274905.wav
1691142333944.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? aina B, haina, yote nimeipenda mmm, haina shida ata kwenye haina shida, ata kula, tushakula sana hiyo mmeizoea ata uzazi wake, ata hali ya hewa huku imezoea sawasawa!
generated_audios/1691142333944.wav
moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958017141.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona amabacho hukipendi kuhusu hiyo.aah katika mbegu hii yaa A yanii hakuna chochote kile nii nisichokipenda .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958017141.wav
moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594534331.wav
Nini unachokipenda kuhusu aina B?Aina B naipenda kwasababu mavuno yake yanakuwaga mengi zaidi ya A.Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594534331.wav
moment_3_vegetative_20240417_f3e92951-cc57-4421-be18-412211440439_1715774222325.wav
ni nini unapenda kuhusu aina A?nampenda maana inastawi vizuri.eeheealafu inatoka yote kwa pamoja.sawaa.mmhunaweza kunieleza kwa zaidi kwa undani zaidi unachopenda kuhusu aina A?aina ya A?eeh tofauti na hivyo ulivyonieleza sifa zako uku nasifa zingine unazozipenda kuhusu aina A?ndo hizo tu napenda hivyo.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_f3e92951-cc57-4421-be18-412211440439_1715774222325.wav
1690363934007.wav
Je kuna kitu chochote unafikiria kinaweza kufanya aina ya A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa kweli sijui
generated_audios/1690363934007.wav
moment_3_vegetative_ef860715-99d6-40be-bdbf-d546e94311b9_1718010401741.wav
sasa baba naomba uni…….. Chochote unachokiona ambacho unaki…..penda kuhusu aina A?hii aina A?mmhnaona inakimbia harakandiyonainaaa toa maua na naona inaa inaa toa mzao wa haraka harakammheeh mamaok unaweza ukaelezea zaidi uzuri waaa aina A?uzuri wa aina A?mmhni nzurimmhmpaka niii ikue ee tujue mbegu yake ni vipi ili tuweze kufanyajemmhkujiendeleza nayo.aaaheehsawa kuna kinginekingine?mmhaa kingine ni kumuomba mungu tu tupate mazao mazuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_ef860715-99d6-40be-bdbf-d546e94311b9_1718010401741.wav
1690286568443.wav
Kipi kimekufanya uipende mbegu C pia Nayo pia inavumilia
generated_audios/1690286568443.wav
1690295110655.wav
ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa ya kilimo C ni nzuri maana haina gesi tumboni, alafu C ina biashara
generated_audios/1690295110655.wav