audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
1690529520060.wav
ni kitu gani ambacho hukukipenda kwa B kwa biashara au ni kwa matumizi ya chakula sikuipenda kwa chakula
generated_audios/1690529520060.wav
moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459412405.wav
nini unakipenda kuhusu aina A.aina A nimeipenda kwa sababu inastawiii kwahiyo nimeipenda.
generated_audios/moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459412405.wav
moment_3_vegetative_036d105d-485d-4316-9182-06b09efa10cf_1715070089471.wav
Angali aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hukipendi kuusu aina hiyo.Hakuna ambacho sikipendi mwanangu.Naomba unielezee zaidi.Imeota vizuri haijakataa kuota piyaa utoaji wake wa mauwa piya haya ujakataa kabisa.je! Kuna kitu kingine chochote unakichukia kuusu aina hii.Hayakuna.Asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_036d105d-485d-4316-9182-06b09efa10cf_1715070089471.wav
moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712849037627.wav
nini usichopenda kuhusu aina c?nisichokipenda kwenye aina C inatoa kambakamba nyingi ambayo haifai kuchanganya naaa mazao mengine.
generated_audios/moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712849037627.wav
moment_4_reproductive_2d862ea7-a150-4151-a62c-d2747133dbaa_1717042437414.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.kundi C nimelipenda nalo pia limechelewa kuiva lakini limezaa vizuri nalo nalipenda kabisa.
generated_audios/moment_4_reproductive_2d862ea7-a150-4151-a62c-d2747133dbaa_1717042437414.wav
moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139076095.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.Aina C naipenda kwasabu inazaa vizuri....Ambacho hukipendi?.Ambacho sikipendi hamna.Hamnaaa?.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139076095.wav
moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083278922.wav
angalia aina C na elezea chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu hiyo.kwa hii aina C hakuna nisicho kipenda.
generated_audios/moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083278922.wav
1690445628803.wav
ni kitu kwa hiyo katika kitu ambacho hukukipenda kuhusu aina C kwa ajili ya matumizi ya chakula, ni kwamba huwezi ukaibakiisha mpaka kesho labda kesho, ikikaa mpaka kesho jioni kwa kweli inaharibika inaharibikaa eeee ila ni tamu
generated_audios/1690445628803.wav
1690364740277.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? Elekeza kwenye sifa za kilimo inatumia mda mrefu, Ndio ndio Inachukua mda kuiva Kwahiyo hizo ndio sifa ambazo ulizoziona ni kuu sana Okay sawa asante Hamna hamna hamna sifa nyingine ambayo hukuipenda? Maana sio mbaya sana isipokua sasa si nimeshaipenda hii Ndio, kwahiyo kwenye hii C labda Ingekua ingekua siyo nimeipenda hii hata na hii sio mbaya maana inastahimili ukame Yaani kitu ambacho hukukipenda zaidi yaani kwenye aina hii kukuza hiyo Bei tu Ni hiyo tu basi? Okay
generated_audios/1690364740277.wav
moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714034318828.wav
nini usicho kipenda kwenye aina C?aaa katika aina C aaam mi bana nisicho kipenda nikwamba mm inaonekana aina C inachelewa kutoa maua bwana, aaem eee inachelewa kuuu ku kumpa mkulima ma aa eee matokeo, lakini aina B inaonesha matokeo yapo siku za karibuni kwahiyo ma aina C ni choyo ina ee di i inachelewa kuleta matokeo bwana hicho tuaa umesema matokeo, unaweza kunielezea matokeo kwako inamanisha nini?yah nikua namanisha kwamba eee mmea unavyooo unavyotoa ma maua sasa tayari mkulima amekwisha karibia kupata matunda kutoka katika hile mimea, yaani mazao ndiyo ndiyoeee sasa ai aina C mpaka sasa inavyoonesha bado ina inachelewa aina C inachelewa hii ingine kidogo inaonekana zee A na B mm hizi hizi naona kama ngoma droo hapa lakini hii ingine inechelewa chelewa hii sawa sawaje kuna jambo lingine lolote?hapana sina jambo jingine lolotesawa asante sanaasante bana
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714034318828.wav
moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139061654.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Aina C nakipenda kwasababu zime zina mauwa vizuri na unaonekana ntapata maharage mengi.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139061654.wav
moment_3_vegetative_823f70ef-b9ab-4d96-b060-fe8e30595930_1712736226693.wav
angalia aina C na elezea chochote unacho elezea chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyi?ambacho sikipendi ni maharage ayajaota, kwahiyo hakuna chochote ambacho nakipenda.sawa sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_823f70ef-b9ab-4d96-b060-fe8e30595930_1712736226693.wav
moment_4_reproductive_0eef1125-3a9f-4070-b98a-e109886a5f1e_1716523637394.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina A NIMmependa kitu kimojaa awamu ya kwanza nilivofika nlona kama ni mbegu moja haijaota vizuri alafu ina udhaifu dhaifu ila awamu hii kidogo imenifurahisha kwambaa naona ma ma mazao yake yanaonekana tofauti na pale mwanzo sikutegemea kama yangekua hivi ko hi nayo angalau ina uwezo na nimeipenda kidogo nayo aina A.asantee.
generated_audios/moment_4_reproductive_0eef1125-3a9f-4070-b98a-e109886a5f1e_1716523637394.wav
1690458583995.wav
nini ulipenda kuhusu kukuza aina B? Nimependa kukuza aina B kwa sababu, sababu ya kwanza aina B inakua vizuriina ukuaji ambao hauna msukosuko, lakini pia aaah inakomaa mapema na pia inazaa ina uzao mzuri inazaa vizuri
generated_audios/1690458583995.wav
moment_4_reproductive_adc3479b-0251-4db0-a79e-11afa4cdd2b3_1714990461936.wav
nini usichopenda kuhusu aina B.aaah mara inashambuliwa mno na maradhi ya fangasi.
generated_audios/moment_4_reproductive_adc3479b-0251-4db0-a79e-11afa4cdd2b3_1714990461936.wav
moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194323016.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C naipenda kwa sababu hii mmea imekua vizuri ushambuliaji wa wadudu naona sio mwingi maharage yaliamka vizuri sana.
generated_audios/moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194323016.wav
1690277746540.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Eee kweli hakuna nisichokipenda kwazababu kwanza ukuaji zinatoka z ote kwa wakati mmoja,na urrefu pia wa ile, hazijapishana pishana sana kwenye shamba, kwahiyo jikisema kitu ambacho sikukipenda mimi kwa asilimia kama 90 napenda aina A hizo kumi haahahahaha
generated_audios/1690277746540.wav
moment_3_vegetative_20240417_a1b7ae58-a970-4c9b-94b9-e56ff28d502d_1718005753286.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio aina .hii nimeipenda .ndio..nimeipenda hii.umeipendea kitu gani katika hii aina ?kwa aina hii ?mmmmh .nimeiona hii jinsi inavyokua itaniletea matunda baadae.sawasawa, kitu gani kingine ambacho unakipenda kwenye hii aina .hii inafaa kwa maharage, kwa makande .ndio …....na kitu kingine labda au ni hivyo tu .mi nimeipendelea tu .ni hizo tu sifa .eeeeh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a1b7ae58-a970-4c9b-94b9-e56ff28d502d_1718005753286.wav
moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378928621.wav
angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina C. aina C naipenda haina makamba lakini imeota vizuri.sawaa kingine. aina shida.aaa kuna maelezo mengine.maelezo mengine sina.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378928621.wav
moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647090366.wav
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?kiukweli haya maharage ya aina A yapo vizuri sana, yanaota vizuri na yanatoa maua vizuri na majani pia yapo vizuri uki ukiwa unasema kuhusu majani kwamba yapo vizuri, unakuwa unamanisha nini au unaweza ukanipa maelezo zaidi ukiwa unasema majani yapo vizuri.ahaa, ninasema majani yapo vizuri kwasababu, kwanza ilivyoota majani yake yalikua ni makubwa na yalikua yanapendeza sana pia unaweza ukaelezea labda kitu kingine, ukiwa unaangalia hivi unachokiona ambacho umekipenda kuhusu aina hii aaa haya maharage ni maharage aina ya Jesca, haya maharage changamoto zake hakuna sawa sawa nashukuru sana
generated_audios/moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647090366.wav
moment_6_postharvest_ab0cffdc-5d68-4f9d-8cc7-1070975b01b0_1719300107995.wav
angalia aina A na elezea chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.aina A kidogo sijaipenda maana haistahimili mazingira yangu.
generated_audios/moment_6_postharvest_ab0cffdc-5d68-4f9d-8cc7-1070975b01b0_1719300107995.wav
moment_4_reproductive_1ef24c7f-bb1f-4969-8d8a-adeb5f984950_1716963101390.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?.kwa kweli naona sijaona sana nisichokipenda kwasababu haya maharage yamezaa vizuri na yame yanaendelea vizuri na kukomaa kwake yako vizuri kwahiyo sijaona tofauti yako vizuri kwa kweli haya maharage. aya asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_1ef24c7f-bb1f-4969-8d8a-adeb5f984950_1716963101390.wav
moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762433923.wav
nIni unapenda kuhusu aina A?aina A nimependa ya umeota vizuri umeendelea vizuri ila ….
generated_audios/moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762433923.wav
moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139022222.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Aina B napenda kwasababu zinazaa vizuri ila inaliwa na wadudu.Mmmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d1362dd1-15a1-461f-b87e-ec737eb72dd9_1714139022222.wav
moment_4_reproductive_c51ca0ae-f518-4798-91e2-5b992deb72f3_1716468072411.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Ni huu mnyauko tu wa majani.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_c51ca0ae-f518-4798-91e2-5b992deb72f3_1716468072411.wav
1690286155742.wav
Katika mbegu tulizokukabidhi au kukupatia ni aina gani uliipenda zaidi kutokana na wewe ulivyoenda kuifanyia kazi shambani namba A
generated_audios/1690286155742.wav
moment_3_vegetative_20240417_c4a0a3b1-e336-4d77-9bf0-3f48dd3b5f06_1716046372978.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Kwenye maharage ya aina B nimekipenda kwasababu ina majani mazuri na pia imeota vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c4a0a3b1-e336-4d77-9bf0-3f48dd3b5f06_1716046372978.wav
1690612132516.wav
Je kuna kitu chochoteambacho ulichokipenda kuhusu kukuza aina ya A? Inavumilia ukame
generated_audios/1690612132516.wav
1690878525199.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B, elekeza kwenye sifa za kilimo? Hii nimeipenda kwasababu inazaa vizuri alafu inakomaa vizuri pale shambani alafu inahimili magonjwa Okay, sasa hivo ni vitu ambavyo umevipenda, kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Nimeipenda Amna , kwahiyo hamna kitu Hamna sababu eeeh
generated_audios/1690878525199.wav
moment_3_vegetative_20240417_cd77cc19-9795-4730-be16-e2f8e2346bbf_1713597384483.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho umekipenda kuhusu hiyo?Aina A nimeipenda kwa sababu haya maharage yaliota vizuri na yanaendeea vizuri pia yana majani maa mazuri mazuri.Una kingine cha kuongezea?Cha kuongezea hapaaa sina.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_cd77cc19-9795-4730-be16-e2f8e2346bbf_1713597384483.wav
1690637239887.wav
Kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya B? elekeza kwenye sifa za kilimo Ndio nimeipenda kwa sababu ni mara ya kwanza alafu nta ntaingalia kwa mwaka huu kama kwa mwaka unaokuja Aya asante
generated_audios/1690637239887.wav
moment_3_vegetative_872b2883-b04b-4c54-a12a-f2a46ec1caf7_1715174531100.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho upendi kuusu hiyo.Akunaa.Unamaanisha nini ukisema hakuna.Sababu animi nikiangalia ni mazuri imeota vizuri.nisantee.
generated_audios/moment_3_vegetative_872b2883-b04b-4c54-a12a-f2a46ec1caf7_1715174531100.wav
1690363722285.wav
Miongoni mwa hiyo majaribio matatu hipi hukuipenda kabisa? Ni A Sawa
generated_audios/1690363722285.wav
moment_4_reproductive_c4df7a0f-d08c-4d66-83e6-593ab6d52eb5_1716270524112.wav
nini unapenda kuhusu aina A.aina A yamee komaa na yame stawi yame zaa vizurii naa nimeyapenda kwasababu yanaiva yameiva haraka kwa wakati.
generated_audios/moment_4_reproductive_c4df7a0f-d08c-4d66-83e6-593ab6d52eb5_1716270524112.wav
moment_4_reproductive_a05c3873-8a34-4b43-bc03-3472016ce931_1716463551398.wav
Angalia aina C na elezea chochote anachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Yani kwenye aina C majani yako vizuri hayana njano ni yame dedema tu kawaida ninaona ni mazuri.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_a05c3873-8a34-4b43-bc03-3472016ce931_1716463551398.wav
moment_3_vegetative_20240417_51adbafa-c637-402e-b449-f0dce8b972d0_1714544066839.wav
Aaaah ndo tunaanza nini unapenda kuhusu aina A?yan ….... A …...... ….kunawili kwaiyo watu wa ….eeeh. geukia upande huu kidogo ili sautii endaa mmmh mmh mmmh mmmh keeee anasemaaa gurupu A iliota vizuli lakini pia manjani yake mazulii.…..….. mazuli ……ehekingine ambacho umekipenda.nimekipenda kuzalisha.mmmh. mm.uzalishaji wake ani unaonaukoje.uko mzuu ko vizuli.uko uko vizuli eeeh.eeeeh kingine ambacho umekipenda kwenye hili hili hili gurupu la Aanituendeleze kuuukuzalishai mbeguiwe….aaha tuendeleze yani iendelezwe kuzalisha mbegu iwenyingi.mmmh.aah anaaa sawaa
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_51adbafa-c637-402e-b449-f0dce8b972d0_1714544066839.wav
moment_4_reproductive_49f43ea2-c5d7-4ee7-b8a7-7351c997c6e8_1715754883667.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?mvua zikiendelea kunyesha yanaharibika.yanaweza yakaharibika.mmmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_49f43ea2-c5d7-4ee7-b8a7-7351c997c6e8_1715754883667.wav
moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038690990.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?Nisichopenda kwenye aina C maharage hayajaota kwa wingi yameota sehemu moja moja ndicho ambacho sijakipenda.Kingine ambacho hakijakuvutia kwenye aina hii ya maharage?Ambacho hakijanivutia ni kama hicho nilichosema kwamba haijaota kwa wingi haijabeba vizuri. EeeeeeeAya nashukuru.
generated_audios/moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038690990.wav
moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807440883.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.aina C naipenda sana sana kwasababu ni maharage yaliota haraka sana ndani ya siku kama nne yalianza kujionyesha kwamba zinatoka ardhini na maharage kitalu namba C bado pia naipenda sana ni maharage ya wakati mfupi kwasababu ndani ya siku thelathini tu niliona maharage yote yalibeba maua yani na mpaka sasahivi yana hali ya kuwa na mifuko kwa wakati huu navyoongea na bado yana maua kwahiyo ni maharage ambayo niliona na niliipenda kwasababu ni ya mda mfupi sana.aya asante hamna jambo lingine.jambo lingine niku nikuona pia kwamba yana halii ya kamba ila si kwa wingi kwasababu yanajionesha yana kamba lakini siyo kwa wingi kwahiyo niliipenda kwa hali ambayo yako kwasasa.aa asantee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d65c7cd3-3923-4b7b-a046-c1c0aaf834c5_1714807440883.wav
moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120566392.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.B naona hakuna ambacho sikipendi .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7422ce29-cdaf-4cb0-826d-8ecda4382b7c_1714120566392.wav
moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126514802.wav
nini usicho penda kuhusu aina C.aina C naona maharage haya stawi vizuri yalikuwaa sasa yana onekana hali ya hewa ya mvua imenyesha nyingi sana.kwa hiyo ime kuwaje?imekuwa maharage yana onekana watoto wana ma baka mabaka ya madonda madonda.kipi kingine usicho penda aina C.nisicho penda yani yana onekana maarage yana madonda donda meusi meusi.aah.eeh watoto walio zaliwa wale wana madonda madonda.aah unaweza ukaelezea zaidi kufikia hitimisho hilo.hakuna.kwamba umesema yana madonda madonda una maanisha nini?kulingana na hali ya hewa yani mvua imenyesha nyingii halafu yana onekana hali ya hewa maarage yana madonda madonda.eeh.kwasababu ya hali ya hewa mvua imenyesha vibaya.eeh.labda mchanga umebadirika hali ya hewa.eeh kipi kingine usicho penda kuhusu aina hii?yani ni maarage yana wengine watoto wengine hayana watoto.mhh.yana madonda madonda.sawa sawa.eeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126514802.wav
moment_4_reproductive_65af4b20-0d1e-4737-be4e-d182cd28d0b4_1716629328017.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?....Aina A napendaaa kwasababu kwanza ni uvumilivu wa ukame naa magonjwa kwasababu nikicheki aina A imepataaa hata upepo na baridi kali iliopita majuzi hapa lakini kwamba yenyewe bado inastahimili magonjwa kwahiyo ndo sifa yake.
generated_audios/moment_4_reproductive_65af4b20-0d1e-4737-be4e-d182cd28d0b4_1716629328017.wav
moment_3_vegetative_20240417_4d19ba4d-1f01-43c4-ad5e-a55ccc1dec85_1715587087556.wav
angalia aina B na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.B inaonekana inazaa sana na ni nzurii na inakubali kwa ukanda wa kwetu imepanda juu na ina watoto wengi.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4d19ba4d-1f01-43c4-ad5e-a55ccc1dec85_1715587087556.wav
1690874468613.wav
Ukiangalia kwa sifa za shambani, kitu gani hukukioenda kuhusu kukuza aina B?
generated_audios/1690874468613.wav
moment_3_vegetative_06b69dee-5e3b-413a-964a-a0be569855e9_1715177284643.wav
Nini usichopenda kuusu aina C.Amna chochote nacho kichukia.Asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_06b69dee-5e3b-413a-964a-a0be569855e9_1715177284643.wav
1691243482810.wav
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya nyumbani Kwa biashara, kwa biashara Ulipenda kwa biashara lakini kwenye Biashara ni vi yaani ni sifa ipi sasa kwa nini umependa kwa biashara kwenye hiyo B Kwa sababu ya uzalishaji wake ni mzuri Sababu nyingine ambayo unaweza kufikiria? Sababu ya pili yaani kwa ujumla hiyo uzalishaji wake ukiwa mzuri si nina pata na ni mazao mengi na nikipata mazao mengi si ndio inaniongezea uchumi
generated_audios/1691243482810.wav
1690444411190.wav
je ni kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula hakuna
generated_audios/1690444411190.wav
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546620089.wav
Angalia aina C na eleza chochote ambacho hakiku uja ambacho umekipenda?Hapa kidogo umeota.Ooo.Ila tatizo haukukua.Aah kuota uliota ila tatizo haukukua.Eee.Kingine ambacho umekipenda?Mvua imenyesa sana mpaka imesababisha haujakua.Ndio.Eee.Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546620089.wav
moment_4_reproductive_89456981-1f79-4267-8dd5-257d79cf96f4_1715765640381.wav
nini usichopenda kuhusu aina B.aina aina B pale hamna ambacho sijakipenda ila kama vile nyoo inaogopa maradhi tu.
generated_audios/moment_4_reproductive_89456981-1f79-4267-8dd5-257d79cf96f4_1715765640381.wav
moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029694024.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?aina B napenda sababu ni mzao, mazao yake ni mazuri yanatoa maua mapema alafu yanamaji mapana.aaa ume ume umeongelea swala la mimea mizuri, unaweza kunielezea kiundani zaidi kuhusiana na hii mimea kuwa mizuri?ee kiundani zaidi hii mimea inaonekana katika hii ardhi imekubaliana na huu mmea ndo maana imekuwa mazuri.kwako wewe uzuri uzuri unamaanisha nini?nikitu kimependeza na kinazaa vizuri.sasa naomba unambie unioneshe labda, unambie vitu ambavyo vinakufanya wewe uwone labda huu mmea ni mzuri?vitu vinae fanya nione huu mmea mzuri inamajani mapana, alafu ina maua mengi, alafu imezaa mapema. ahaa hivyo ndo vitu vinavofanya wewe uwone mmea ni mzuri?ndiyo.Je kuna jambo lengine lolote ambalo unaweza ukaongezea kuhusiana na hii B ?kitu nayoongezea aa sidhani.sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029694024.wav
moment_3_vegetative_20240417_48100a7b-0686-45fa-a657-f89fe6916bb9_1718087703663.wav
aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.hamna isipokua ni ndege tu kidogo ilishambulia .sawasawa.mmmmheee kwa ndege kushambulia unamaanisha nini ?wakati ilipoo toka ndege ilishambulia matawi yake .sawasawa.mmmh kwa sababu huku kidogo ni porini .aaahaa sawa, aya asante .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_48100a7b-0686-45fa-a657-f89fe6916bb9_1718087703663.wav
moment_3_vegetative_61eeefc4-dd5d-4a93-a183-ac137da33236_1713250757103.wav
Ehee haya na ukiangalia tena iyoyo aina A unafikili ni kitu gani ambacho ujakipenda kutokana na utunzaji au ukuzaji wa aina iyo.Sioni mbona vyote naona sawa tu.Unavosema unaona sawa unaweza ukaelezea kidogo eee.Eeee kuelezea ntashindwa ….. Naona iko vizuli tu apa nilikuwa nacheka yani mi.
generated_audios/moment_3_vegetative_61eeefc4-dd5d-4a93-a183-ac137da33236_1713250757103.wav
1690968897612.wav
ni kitu gani hukukipenda kkuhusu kukuza aina ya A? kukuza kukuza aina ya A nimependa kwa sababu haukukipenda! sina hamna? mmm
generated_audios/1690968897612.wav
moment_3_vegetative_20240417_1116e803-7603-4bea-bfb4-00e0cfe8b208_1713597474567.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Aaa yani nisichokipenda yana yanachelewa kidogo kutoa maua kwa haraka kuliko A.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_1116e803-7603-4bea-bfb4-00e0cfe8b208_1713597474567.wav
moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890470796.wav
Aina C nini ambacho umekipenda kwenye aina C.Aina C ….. …..Saa na inakomaa mapema na marahe yake yanakuwa kama imara ivi.
generated_audios/moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890470796.wav
moment_3_vegetative_5ab9417b-4989-47f8-8542-34078289b4ea_1718013468358.wav
Usichokipenda katika mbegu AÉ.Ina chukua mda kuota ina inaota kwa tabuÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_5ab9417b-4989-47f8-8542-34078289b4ea_1718013468358.wav
1690441092431.wav
nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya mbegu A? nimependa kukuza mbegu A kutokana na ubora wake ulivyo
generated_audios/1690441092431.wav
1690278433652.wav
katika hizi aina tatu ipi hukuipenda yani unaipenda kwa uchache? ambayo naipenda kwa uchache sana ni aina A
generated_audios/1690278433652.wav
moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924657560.wav
haya kitu gani ambacho kinakupendeza kwenye aina hii?njano nzuri kwenye kula.ndiyopia hata yakiwa mabichi ladha yake ni tamu.ndiyondiyo na ukiacha mbali kwenye ladha kingine labda ambacho kinakupendeza?muonekano wake rangi yake pia nzuri.sawasawaeeehlabda kuna kingine cha kuongezea ikiacha radha radha rangi … unae kipi kingine cha kuongezea?pia kwenye uuzaji wa mabei.wamabei.
generated_audios/moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924657560.wav
1690446001878.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula apo kwenye hiyo maswali mawili apa kwenye biashara na matumizi ya chakula bado hujjaitumia ee sijaitumia sawa
generated_audios/1690446001878.wav
1691149749938.wav
kitu gani ulichokipenda kuhusu aina A kwa ajili ya biashara au matumizi A kwa kua ni maharage ninayoyafahamu kwanza ukila hayana gesi alafu sokoni pia unaweza ukauza haraka
generated_audios/1691149749938.wav
moment_4_reproductive_ec69eb21-573f-441d-ba74-c935f191ca2c_1715929993479.wav
nini unapenda kuhusu aina A ?hakuna nachokipenda.hakuna unachokipenda.mmmhkwa sababu gani ?kwa sababu ya hali yenyewe .kwa sababu ya hali yenyewe.hali ya maharage.ndioyalivyokuwa.yalivyokuwa.mmmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_ec69eb21-573f-441d-ba74-c935f191ca2c_1715929993479.wav
moment_4_reproductive_e4a75e5d-fe35-4553-b67f-c10ddaa6d892_1716965040728.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C kokweli yakiwa madogo yalikuwa yanaendelea vizuri na ukuaji wake ukawa ni mwepesi kuliko yote lakini mimi naona nimazuri hata na yenyewe kwa sababu ugonjwa ni ule ule niile kunyauka bila kusababishwa na hii kunyauka yangeniletea maana nzuriii.mmhmmhsawammh.
generated_audios/moment_4_reproductive_e4a75e5d-fe35-4553-b67f-c10ddaa6d892_1716965040728.wav
moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381940683.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?nahiyo pia uotaji wake nayo haijaota vizuri mmh sasa siwezi kujua nitaipenda vipi kwa sababu si kwa kuota haijaota vizuri sijai sijapendezwa nayo pia.kuna kingine?hapana.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381940683.wav
moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475578822.wav
ukiangalia aina A umependa nini?A nimeyapenda ni mazuri.mh.mmh.
generated_audios/moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475578822.wav
moment_4_reproductive_7f9ace65-305e-463b-861f-baac21eb2bc3_1715592351447.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A?Aina A hapa nilichopenda kuhusu hapa hali ya hewa ya mvua imearibu mimea yangu imearibika na mvua.Kuna kingine cha kuongezea?Sina.
generated_audios/moment_4_reproductive_7f9ace65-305e-463b-861f-baac21eb2bc3_1715592351447.wav
moment_4_reproductive_72705185-4627-4e6f-bb89-9b6442a04e41_1716115346303.wav
aangalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hio.unjano unjano tu apa ndo ambao sijaupenda.unjano unjanoeeh.kipi kingine ambacho hujapendezwa nacho katika aina hio.kitu ambacho sijapendezwa navyoo ni ukungu ukungu wa maharage tu wadudu wadudu wametoboa toboamh.eeh.hamna kingine?hamna kingine.
generated_audios/moment_4_reproductive_72705185-4627-4e6f-bb89-9b6442a04e41_1716115346303.wav
1690525989256.wav
ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa za kilimo, yani aina C ni kipi ulipenda sana kwenye sifa za kilimo kwanza inajitahidi kuvumilia ukame, pili haishambuliwi sana na wadudu haishambuliwi sana na wadudu? ndio mmmm wadudu, kingine tatu kwenye swala la manunuzi pia watu wanaipenda wanaipenda sana
generated_audios/1690525989256.wav
moment_3_vegetative_1a1e4190-9908-4e31-8f47-4fe333b1fb0f_1718023391058.wav
Nini unachokipenda katika aina C?..C nimeipenda vilevile kwasababu haina kambaÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_1a1e4190-9908-4e31-8f47-4fe333b1fb0f_1718023391058.wav
moment_3_vegetative_20240417_6205a4da-6fb7-45cf-ba12-68e7fe3f1648_1713764960444.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.aina C inashambuliwa sana na wadudu na pia uotaji wake si mzuri sana.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_6205a4da-6fb7-45cf-ba12-68e7fe3f1648_1713764960444.wav
moment_4_reproductive_558c4ab2-2303-4ff3-b645-8aed3fa12de5_1717653798009.wav
Nini usichopenda kuhusu aina C?Sipendi kitu chochote kuhusu maharage aina C, maharage haya yanatoa maua kwa haraka na yanakomaa kwa wakati
generated_audios/moment_4_reproductive_558c4ab2-2303-4ff3-b645-8aed3fa12de5_1717653798009.wav
moment_4_reproductive_22d3f2a5-551e-4762-965a-e729ca59a1cb_1717584768132.wav
Angalia aina A na elezea chcochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina A naiona yani aina A haijatoa watoto vizuri, sijui ni bado sijautambua kabisakingine ambacho unakipenda kuhusu aina A?Kingine aina A yani naipenda tu kutokana kwa maua na majani ilivokaa ….
generated_audios/moment_4_reproductive_22d3f2a5-551e-4762-965a-e729ca59a1cb_1717584768132.wav
moment_3_vegetative_20240417_9dd79e84-1293-4c8e-a15d-d1b61df930a5_1714470692023.wav
angalia aina A na eleza chochote unacho kiona ambacho upendi kuhusu aina A.naipendaaina A naipenda kwa sababu ni nzuri haina shida bali imestawi vizuri.kuna kitu chochote ukipendi kuhusu aina A.amna naipenda tuu.unaweza kutoa maelezo yoyote kuhusu ambacho ukipendi kuhusu aina A.aaamna.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_9dd79e84-1293-4c8e-a15d-d1b61df930a5_1714470692023.wav
moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381860167.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.hiyo kwakweli sijai si… jawahi kuiotesha sam nikaielewa ndo maana siielewi sana lakini kwakula ni nzuri kula nimeila ni nzuri.kuna kingine?hapana.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_bdf2397c-af01-4d88-b914-0eb43b8f2cee_1714381860167.wav
moment_4_reproductive_12ac3617-e25e-45fe-9ff7-d659deaf7335_1715069279860.wav
angalia aina A na elezea chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.ninacho kipenda maharage kweli ni mazurii yamezaa mpaka yana anguka kwaajiri ya uzao.ukiangalia zaidi kuhusu aina A kuna kingine ambacho unacho kipenda kuhusu aina A.ninacho kipenda kweli haya maharage ni mazuri ingekuwa hata ni shamba kubwa mtu umepanda haya maharage ni mazuri sana.sawa nashukuru.
generated_audios/moment_4_reproductive_12ac3617-e25e-45fe-9ff7-d659deaf7335_1715069279860.wav
moment_3_vegetative_20240417_53966a4b-041a-4a65-8b33-ad749869f191_1714046028504.wav
nini husichopenda kuhusu aina C?hamna ambacho sijakipenda yako sawa nanime yapenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_53966a4b-041a-4a65-8b33-ad749869f191_1714046028504.wav
moment_3_vegetative_20240417_470efafc-e125-4b4e-b995-2d08b95c484f_1713859545897.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.nimeipenda aina C kwa sababu imekaa vizuri katika shamba na kutoa maua vizuri.…..
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_470efafc-e125-4b4e-b995-2d08b95c484f_1713859545897.wav
moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133639329.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Ainaa B nimeipenda kwasabu imeota vizuli pia nayo imekuwa vizuli katika uzaaji wake ndo imezaa nayo vizuli kabisa.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133639329.wav
moment_4_reproductive_f4f3502d-bcfa-4fe5-8453-caed76ed3b50_1716471636088.wav
nini usicho kipenda kuhusu aina C.hakuna nisicho kipenda kuhusu aina C kwa sababu haijaota.
generated_audios/moment_4_reproductive_f4f3502d-bcfa-4fe5-8453-caed76ed3b50_1716471636088.wav
moment_3_vegetative_20240417_f9c1bc8c-253c-4caa-bb3c-a16ba145bd92_1718024802186.wav
Niambie ambacho usip kipenda katika aina A.Aina A?.Mmh.Hakuna nsichokipenda, ni nzuriÉ..
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_f9c1bc8c-253c-4caa-bb3c-a16ba145bd92_1718024802186.wav
moment_4_reproductive_1c77129f-acc8-46a6-a59c-aa7fe63dadae_1715771043586.wav
mmh ni kitu gani ambacho wewe kinakuvutia au unakipenda kutoka kwenye ainaaa C?.aina C cc naipenda kwasababu inazaa vizuri.mmh.ee kwahiyo kitu ambacho sikipendi ni kwamba haioti vizurii ee hivo tu lakini inazaa vizuri ila kuota ndio changamoto.
generated_audios/moment_4_reproductive_1c77129f-acc8-46a6-a59c-aa7fe63dadae_1715771043586.wav
1691068641990.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu gani ambacho haukukipenda kwenye mbegu ya Tricot ya A, kibiashara Haina soko Alafu ya pili? Haipendwi na watu Afu ya tatu? Biashara sio nzuri Kibiashara, sio nzuri kwa nini? Hainunuliki Hainunuliki, ya nne? Ya nne ni nini? Hainunuliki Bado mbili Haina bei
generated_audios/1691068641990.wav
1690639218302.wav
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina C kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? eeh sasa kama wenzetu wa vituo vya utafiti wataona namna ya kuiborasha mbegu C katika mambo mawili, moja ustahimilivu wa ukame kwa sababu ndio changamoto kubwa kwenye wilaya yetu lakini pili iweze kutoa punje zenye afya japokua hili ni jambo pana kidogo yawezekana inategemea na sehemu ulipopanda labda japokua mimi sikuweka mbolea yoyote nikaziacha lakini nikaja kuona imefanya vizuri kwahiyo wakifanyia kazi hayo maeneo mawili ikawa na ustahillivu wa ukame au kwa upungufu wa mvua lkini pia ikatoa punje kubwa inaweza kua mbegu nzuri pia
generated_audios/1690639218302.wav
1690962381446.wav
Ni kitu gani ulichopenda zaidi kuhusu aina ya A, kwa biashara au matumiza ya chakula? Ni biashara
generated_audios/1690962381446.wav
1690278565514.wav
je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu aina A, hiyo ya mbegu A, na inawezekana tukiachana na changamoto za mvua kuna kitu chochote kimekufanya uipende hii mbegu A? mimi nadhani nimeipenda sana Kwasababu kutokana na ukame na mbegu yenyewe si kwamba ilikua ni nyingi etiilikua tu ni kidogo ambazo ni punje za kuhesabu,, lakini bado yamezalisha hii ambayo bado naona ni mengi kulinga na mbrgu ,vile vipunje tulivyowiweka ardhini
generated_audios/1690278565514.wav
moment_3_vegetative_20240417_4730a39f-f7db-4b58-bfcf-8906692c97df_1713857824741.wav
angalia aina B ba eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.ok katika aina B ni kweli imeota lakini nyingi sana zimekufa zilizoota ni nzuri zinavutia kiukweli lakini zilizokufa pia zipoo kiukweli sijapenda izoo zili ambazo zimekufa kiukweli zinaonyesha kua sio vizurii.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4730a39f-f7db-4b58-bfcf-8906692c97df_1713857824741.wav
moment_3_vegetative_4a16b1a9-45c9-485a-ac81-865f942c2d57_1713764392029.wav
aina ya B maharage yanastawi vizuri yana kamba, ni mbegu nzuri haina tatizo, imestawi safii.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_4a16b1a9-45c9-485a-ac81-865f942c2d57_1713764392029.wav
moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423382528.wav
labda changamoto za haya maharage chipi ambacho hukipendi kulingana na haya maharage ya … ukikaa hapo jinsi unavyoitizama.kwa especially haya maharage.…changamoto zake itokee labda mabadiliko hali ya hewa kuwepo na ukame.ok.ee labda lakini hayana changamoto.hayana changamoto.……kama tulivyoongea awali.……
generated_audios/moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423382528.wav
moment_4_reproductive_01e14d17-dac9-4f88-99d9-c42d6ae26baa_1717044796416.wav
nini usichopenda kuhusu aina A?.hakuna chochote mabacho sijapenda vyotee nimevipenda maharage yamezaa vizuri yamekauka.
generated_audios/moment_4_reproductive_01e14d17-dac9-4f88-99d9-c42d6ae26baa_1717044796416.wav
moment_4_reproductive_3b53d4ef-a2e8-47a6-8626-0a714f436465_1716204502633.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?.Aina B ina tofauti kidogo kwasaabu ina inapata magonjwa ya hali ya hewaaa inaungua majani mapema.Sawa.Eeeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_3b53d4ef-a2e8-47a6-8626-0a714f436465_1716204502633.wav
moment_3_vegetative_20240417_904c3f04-b1bf-4f57-8908-b8958f367e42_1713969016059.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Eeee aina A hiii nayo hiko vizuri tu lakini sio zaidi sana kama mbegu zingine za B na C kwa sababu hii inaonekana ina majani na inachelewa kutoa maua alafu tu inamea tu bado haijaonesha kuweka hata maua wakati zina utofa zina zina …. na zingine.Asaa sawa lakini ambacho unakipenda hapo kwenye hiyo aina A ulichopendezwa nacho.Ni majani yake majani yake majani yake yale yako vizuri iwapo hayana maua hata mmoja ambao utofauti wake sasa ni kama mbegu fulani ni ngumu kutoa maua iwapooo muda imepandwa siku moja lakini inaonekana ngumu kutoa maua kitu hicho kikanifanya nisiipende sana A.Haya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_904c3f04-b1bf-4f57-8908-b8958f367e42_1713969016059.wav
moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713935895612.wav
ndio sasa uangalie aina A na eleza chochote ambacho unakiona.imependezaa.iko vizurii?iki vizuri sanaa yani.sawa.eeh.kuna chochote ambacho hujakipenda kwenye aina hii.aah nimeipenda.sawa.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713935895612.wav
moment_3_vegetative_bd005b48-cc43-4100-a925-59f53cdddf65_1712730040482.wav
nini husicho penda kuhusu aina B?hakuna nisicho kipenda nayapenda sana yani yapo vizuri kiujumla.sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_bd005b48-cc43-4100-a925-59f53cdddf65_1712730040482.wav
moment_4_reproductive_ec69eb21-573f-441d-ba74-c935f191ca2c_1715930085103.wav
Nini usichopenda labda kuhusu aina C ?vyote.vyote.ee.hakuna unachokipenda.mmmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_ec69eb21-573f-441d-ba74-c935f191ca2c_1715930085103.wav
moment_3_vegetative_20240417_58d26ae5-03e9-44f7-a54a-17fdf8c04fe5_1715597251659.wav
Nini unapenda kuhusu aina C?C nimeipenda maana imefunga zaidi kuliko A na B ndo iliyozidi vizuri zaidi kustawi vizuri.Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_58d26ae5-03e9-44f7-a54a-17fdf8c04fe5_1715597251659.wav
moment_4_reproductive_c1030c5b-88b7-4c19-9e9c-fe9b4c902aa2_1716451848431.wav
nini unapenda kuhusu aina A?ina uzao mwingi naa inastamili magonjwa.
generated_audios/moment_4_reproductive_c1030c5b-88b7-4c19-9e9c-fe9b4c902aa2_1716451848431.wav
moment_6_postharvest_dc7ab7a2-28b2-4c5c-8115-957b378611de_1719295895802.wav
nini usicho penda kuhusu C.hakuna.
generated_audios/moment_6_postharvest_dc7ab7a2-28b2-4c5c-8115-957b378611de_1719295895802.wav
moment_3_vegetative_20240417_a22e485b-f788-4c3d-af5b-9bf0f591338f_1715689901311.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokipenda ambacho unakipenda kuhusu hio.aina B mi naipenda kwa sababu ya utamu wake na radha yake ni sawa tu na aina A yanii ni mazuri ukiyawahi kuyaotesha wakati wa ambapo hamna mvua yanakuja vizuri yana utamu wake ni mzuri bei yake ni sawa na ile lakini japo itashuka kidogo lakini sio sawa na ile ya A lakini ni mazuri kweli kwa kuotesha uku ata ukanda wa kwetu yanakuja vizuri kabisa .sawa.eee.na unaweza kunieleza kwa undani zaidi kuhusu hii aina B unachokipenda kwa undani zaidi.kwa undani labda yani eeh yani sijui nikwambiaje yaani uzuri wake kwanza ni matamu sawa na yale lakini japo yanazidi yale yale yatazidi kidogo .mmh.ee na hata chakula chake watu wengi wanakitumia na hayaleti gesi tumboni wala ukipikia chakula chake hakileti yani kuna maharage mengine ukiyatumia huwa ata ukilaza kile chakula chake kinalendemka hivi lakini haya hayalendemki hayaleti ule uta nanii na wala hakiharibiki hakichachi sawa na mengine labda aa kuna mengine ukiyalaza au uki ukiyatumia yana chakula uki ukiacha labda chakula ukita labda umepika leo mchana unataka upike mara moja ukienda kupika jioni unakuta yamechacha lakini hawa huwa hayachachi .sawa.mmmhzaidi sifa yake zaidi unachokipenda zaidi .…. Yani sijui nielezeje kwa saabu saizi yani siko nanii yani sijaka sawa …..sawa.eee lakini sifa zake ni nyingi kweli kweli na ni nzuri kweli na watu wanayapenda .ndo izo nyingi sasa ndo kama mojawapo ushasema hiyo ya kula enhee na nyinginezo.hata kwenye bei huwa yanauzika vizuri .sawa.eee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a22e485b-f788-4c3d-af5b-9bf0f591338f_1715689901311.wav
moment_4_reproductive_6f06f971-dfd3-4e65-8fa2-7c8bd69d936b_1716802642066.wav
Nini unapenda kuhusu aina A.Nayapenda kwasababu ya uzazi yote…...
generated_audios/moment_4_reproductive_6f06f971-dfd3-4e65-8fa2-7c8bd69d936b_1716802642066.wav
1690874505412.wav
na kwenye upande wa biashara na chakula, labda kitu gani kwenye Bkinaweza kikausumbua sokoni labda kwenye kuuza au kwenye chakula kinaweza kuhusu B kuhusu B? mmmm kitu kingine kinachosumbua labda mambo ya teknolojia
generated_audios/1690874505412.wav