audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
moment_4_reproductive_dd6b4960-99b3-446e-88a1-b2788c2f48ad_1716794742596.wav
Angalia aina B na ereza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Aina B sijaona makosa yoyote nimeona tu nakipenda tu.
generated_audios/moment_4_reproductive_dd6b4960-99b3-446e-88a1-b2788c2f48ad_1716794742596.wav
moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869591655.wav
Angalia aina C eleza chochote unachokiona ambachooo unakipenda kuhusu aina hii.Aina C nimependa tu labda uotaji wakeee kidogoni unalizisha.Sawa hakuna kingine labda umekipeendaaa juu ya uotaji?.Aah aah hamnaa...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869591655.wav
1690359994393.wav
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi? C iko vizuri
generated_audios/1690359994393.wav
1690286363798.wav
Ni kitu gani hukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula Nisicho kipenda ni kama nilivyokuambia kwamba yale maharage ni mazuri lakini shida yake ni kwamba yale maharage hayataki uchelewe yani sikupenda nilivyochelewa kuyaotesha
generated_audios/1690286363798.wav
moment_4_reproductive_36a113c0-cdfe-4983-9cd6-c6a4585a991e_1716808502294.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?.Hakuna….
generated_audios/moment_4_reproductive_36a113c0-cdfe-4983-9cd6-c6a4585a991e_1716808502294.wav
moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005812761.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina B ?aina B ina majani machache pia inashambuliwa na wadudu.
generated_audios/moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005812761.wav
moment_6_postharvest_e9f743a9-5194-4a4c-82da-aeedb0d4bf0b_1719297892248.wav
nini usichopenda kuhusu aina A?aina A kweli limeipenda kwa sababu hata kupika kake ni nzuri.
generated_audios/moment_6_postharvest_e9f743a9-5194-4a4c-82da-aeedb0d4bf0b_1719297892248.wav
1690614776678.wav
nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? eleza kwenye sifa za kilimo kwanza aina C inauwezo wa kuvumilia mvua nyingi, lakini pia inakinzana na hali ya hewa ambayo hiyo tumesema nimvua, lakini pia ukuaji wake ni mzuri lakini pia ina wateja wengi sana ukizingatia kwa mfano hiyo C sokoni kilo mpja ni elfu nne kulinganisha na hizo aina nyingine kama vile A na B
generated_audios/1690614776678.wav
moment_3_vegetative_20240417_259dd61f-f388-4086-96d0-b80039403752_1713587254657.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Maharage haya nimeyapenda sanaa lakini naona hapa kwenye uotaji hapa ndio kuna kumetokea kidogo mistake sio nzuri sana lakini nimeyapenda sana na uotaji wenyewe huu unapendeza na naupenda sana.aah labda kuna kingine ambacho hupendi kuhusu aina hii aina B?aah ninaipenda nimependa saana yo zote.aah sawa.…............
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_259dd61f-f388-4086-96d0-b80039403752_1713587254657.wav
moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924534968.wav
ni kitu gani labda unapenda kwenye aina hii ya maharage?haya napenda ni mazuri kwenye kula.eehpia uzaaji wake ni mazuri.ndio aa ok kingine ambacho labda cha kuongezea kwenye upande wa unacho kinachokupendeza?umuonekano wake pia mzuri.sawasaswaeeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924534968.wav
1690529362229.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula kitu ambacho sikukipenda kwenye hii A? ee kwa biashara au chakula kwa biashara kule umesema kitu ambacho ulikipenda kwa matumizi ya chakula au biashara , umesema ni vyote ambacho hukukipenda sasa kwenye mambo ya biashara kwa sababu ni chache
generated_audios/1690529362229.wav
1690637109589.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula? Hakuna
generated_audios/1690637109589.wav
moment_4_reproductive_12e8c350-5df6-4693-a6a9-02bf42ef67aa_1716721667081.wav
Angalia aina A na ereza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Cha kwanzaaa, hai cha kwanza haizaiii cha pili haivumiliu haivumilii ukame magonjwi aah aah magonjwaaa…..
generated_audios/moment_4_reproductive_12e8c350-5df6-4693-a6a9-02bf42ef67aa_1716721667081.wav
moment_4_reproductive_6f596f5b-9509-4225-8fdc-a4c3f5cfe5a5_1716882499471.wav
angalia aina C na eleza chochote ambacho unakiona hujapenda? Kwanini hujapenda?kwanini sijakipenda?eehhamna maharagee.yameenda wapii?.yamekauka.yamekauka na nini?.na jua.aanh.mmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_6f596f5b-9509-4225-8fdc-a4c3f5cfe5a5_1716882499471.wav
moment_3_vegetative_20240417_0988c782-6758-47b3-bdd7-f4ad62865f5d_1718001940993.wav
Na ni nini usichopenda kuhusu aina B?nisichokipenda?mmmh kutoka kwenye hii aina B .kwenye aina ya B nikaona ni kama haijatoka vizuri .sawasawa.mmmmh wakati tulipopanda haijatoka vizuri .anhaaa labda na kitu kingine ambacho hujakipenda kwenye aina hii.kwenye aina.kwenye hii aina B .aaah aina B yote haina shida .sawasawa.naipenda tu.aya.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0988c782-6758-47b3-bdd7-f4ad62865f5d_1718001940993.wav
moment_3_vegetative_20240417_514c2e6a-a1a0-4103-a23b-f014da1342e8_1713520897170.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.ninachokipenda maharage yangu yameota vizuri na yanaendelea kukua vizuri.sawa sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_514c2e6a-a1a0-4103-a23b-f014da1342e8_1713520897170.wav
moment_3_vegetative_20240417_5b99d4f1-94a7-4542-bbc9-6fd464370a5a_1714374205795.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C inastawi na naona ma ina inapenda mazingira kama haya na pia ni tamu ina ladha nzuri na inaiva mapemahivyo tu?eeeh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5b99d4f1-94a7-4542-bbc9-6fd464370a5a_1714374205795.wav
moment_3_vegetative_20240417_5a87a12e-caa5-470c-90bb-eeb2c935db0e_1713866198443.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Katika kitalu hiki namba C kilichoniflahisha...na kuki kuni kunipendeza ni kwamba uotaji wake kwanza ulikuwa wa haraka lakini pili ulikuwam yalikuwa yameota vizuli.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5a87a12e-caa5-470c-90bb-eeb2c935db0e_1713866198443.wav
1691148530101.wav
Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Haivumilii yaani tuseme haivumilii magonjwa kwasababu ikikutwa na ukungu inashambuliwa sana, kingine? ni hicho tu
generated_audios/1691148530101.wav
moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943986088.wav
nini usichokipenda kuhusu aina C?.Aina CCC mimi naona sina nisichokipenda hakuna hapa kwa sababu taratibu zote za za za sifa za mmea huu zipoo isipokua zile zenye mapungufu ni kutokana na ufu mfululizo wa tu wa mvua lakini uotajii ukuajii mauaa vimekaa vizuri.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943986088.wav
moment_3_vegetative_20240417_c755a8bf-c117-48a7-9a66-09d8c27aaad7_1713600030082.wav
ndugu mkulima tuna endelea na maswali yetu angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hakuna kitu ambacho sipendi yani naona maharage tu manzuri tena zaidi afya yakwe ninzuri.ndio.yamekuwa vinzuri.ndio.yanaonekana manzuri tu.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c755a8bf-c117-48a7-9a66-09d8c27aaad7_1713600030082.wav
moment_3_vegetative_0bf834c6-19bb-4702-88e8-3cd2f94819e7_1713339205628.wav
nini ambacho hupendi kuhusu aina C?.hapa kitu ambayo sipendi ni kama mvua inavyozidi kunyesha inaonekana inazidi kupungua.inazidi kupunguza nini?.inazidi kudhoofika hapa naona inatoa rangi ya njano.Rangi ya njan.o…kwa hiyo unafikiri nini labda inasababisha inatoa rangi ya njano?Ni mvua.mvua.eeh..kwa hiyo unapendekeza kitu gani labda.ninachopendekeza hapo?.aaah.nachopendekeza hapo mvua ningependa ingepunguza zaidi ingeendelea kukuwa vizuri zaidi.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_0bf834c6-19bb-4702-88e8-3cd2f94819e7_1713339205628.wav
moment_3_vegetative_20240417_ae4a6c9f-0160-4971-88ea-cfd5bd90c3c2_1715952365157.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Hao wadudu waharibifu.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ae4a6c9f-0160-4971-88ea-cfd5bd90c3c2_1715952365157.wav
moment_3_vegetative_20240417_a1b7ae58-a970-4c9b-94b9-e56ff28d502d_1718005860478.wav
aina aina B na eleza chochote ambacho unakipenda kuhusu hio aina, mpaka wakati huu ilipofikia yani ni kitu gani ambacho una unaona unakipenda wewe ?nilichokipenda .ndio..ile aina B ina inafaa kwa makande tena inafaa kwa biashara .kwa biashara una maanisha nini ?kwa biashara ina soko ina bei .ina bei nzuri.mmmh.sawa lakini kwa hadi ilivyofikia hatua hii ya ukuaji ni kitu gani ambacho umekipenda ?nimeipenda kwa sababu bado inamea vizuri .aaah inamea vizuri.mmmmh.sawasawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a1b7ae58-a970-4c9b-94b9-e56ff28d502d_1718005860478.wav
moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475638752.wav
nini ambacho hukukipenda kuhusu aina B?B kwa kweli nimeyapenda.
generated_audios/moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475638752.wav
moment_4_reproductive_c991c790-8127-42db-aed1-fc74316ece48_1716898561028.wav
nini unapenda kuhusu aina B?B naipenda uoteshaji wake wa karibukaribu kwa sababu haina kambaaa pia ina uwezo wa kubeba vizuri kwaiyo unafanya usafi naaa uangalizi kwa ujumla hivyo yanatija kwenyeee kwenye kwenye kwenye kwenyeee kwenye ardhi ya aina yoyote ile.sawa kuna kingine?kingineee sasala ni jitihada za wewe unavyo kwamba ukishapata mbegu kama ujakitumikia kitu sio rahisi ukakitoa lai kwa jinsi nilivyokaa na haya maharage mpaka yamefikia hatua hii nimojawapo tayari nishapata elimu yakwamba nikiwa na mbegu hii ia….. Shamba bora nimeandaa vizuri kwa wakati na uhakika wa mavuno salama.sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_c991c790-8127-42db-aed1-fc74316ece48_1716898561028.wav
moment_3_vegetative_20240417_0988c782-6758-47b3-bdd7-f4ad62865f5d_1718002036681.wav
nini usichopenda kuhusu aina C ?hamna .hamna usichokipenda.ni kwambaa wakati tu nilipopanda haijatoka vizuri yote kama tulivyopanda.sawasawa aya nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0988c782-6758-47b3-bdd7-f4ad62865f5d_1718002036681.wav
1690460229322.wav
je kuna kitu chochote ambacho unafikiri kinaweza kufanya aina ya B kua nzuri kwa ajili ya biashara su matumizi ya chakula? kwa biashara nadhani ndo inanvutia wateja kwa ajili ya ile rangi yake
generated_audios/1690460229322.wav
moment_3_vegetative_50c1da8c-4dc9-44df-a1e8-d6106485bb37_1712813354171.wav
nini usichopenda kuhusu ainaC?kuhusu aina C ni hizi kamba tu zinazopanda na ukiangalia huku kama usawa wake hautafanana na B kwa maua yaliyoko nayo kwa sasa.
generated_audios/moment_3_vegetative_50c1da8c-4dc9-44df-a1e8-d6106485bb37_1712813354171.wav
moment_3_vegetative_50d9ac99-dd8c-460f-a5e5-5bd0051f44ac_1718015951531.wav
nini umependa kuhusu aina B?imestawi vizuri pia ina majani mazuri tu .
generated_audios/moment_3_vegetative_50d9ac99-dd8c-460f-a5e5-5bd0051f44ac_1718015951531.wav
moment_3_vegetative_504335e3-af0d-4f10-8fde-84d770ecb4b7_1714230636986.wav
Angalia aina C na eleze unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Ambacho hamna ambacho sikipendi kwasababu yapo vizuri.Haya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_504335e3-af0d-4f10-8fde-84d770ecb4b7_1714230636986.wav
moment_3_vegetative_20240417_f424bb6d-3054-4987-9929-1b90e5d526fd_1714041872587.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.C naipenda inatoa majani machache lakini maua yako vizuri kwa hio C ndio naipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_f424bb6d-3054-4987-9929-1b90e5d526fd_1714041872587.wav
1690884529835.wav
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A elezea kwenye sifa za kilimo A nimeipenda kwa sababu pamoja na kwamba inachelewa lakini inahimili hali ya hewa ikiwa ngumu ya ukame na kwenye kula ladha yake ni nzuri
generated_audios/1690884529835.wav
moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633369496.wav
Nini unapenda kuhusu aina A.A naona kidogo inaaa.... A naona inauvumilivu kidogo cha mvua...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633369496.wav
moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762479292.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina B?aina B sipendi mvua ikinyesha sana itaharibika.sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_57effaf9-8c20-446c-bd0f-aed7f2326f84_1715762479292.wav
moment_4_reproductive_a05c3873-8a34-4b43-bc03-3472016ce931_1716463473962.wav
Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Aina A? aina A si hamna kitu nalichokichukia pale naona ni yako sawa tu vizuri.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_a05c3873-8a34-4b43-bc03-3472016ce931_1716463473962.wav
1690278754272.wav
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula mmmh bado hakuna kitu ambacho sijakipenda kwa sababu sijaila nijue ubora wake wala sijaipeleka sokoni ikose biashara au nikose ununuzi kutokana na kutokufahamika
generated_audios/1690278754272.wav
1690363843542.wav
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuzia aina A, eleza kwenye sifa za kilimo Nimeyapenda maana hayana gesi na ya, ni mazuri kwa kupikia
generated_audios/1690363843542.wav
moment_3_vegetative_20240417_cd77cc19-9795-4730-be16-e2f8e2346bbf_1713597418834.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Aina C naipenda kwa sababu sasa hivi ime tayari imetoa maua alafu maharage ni mazuri yanaendelea vizuri.Unaweza ukaelezea zaidi au umeishia hapo?Hapana nimeishia hapa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_cd77cc19-9795-4730-be16-e2f8e2346bbf_1713597418834.wav
moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876298606.wav
Angalia aina A nielezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.aaaah kwenye kwenye aina A naona hapa sijakipenda chochote kwasaabu naona kamaa sio nzuli sana kama nilivokua nai naihitaji.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876298606.wav
moment_3_vegetative_20240417_c0c4441b-efed-4b3a-82f8-013adc5ca39a_1713606393334.wav
Angalia tena aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hukipedni hukusiana na aina C.Aina C nimeona kama yametobolewa tobolewa na wadudu alafu kuna mashina kazaaa yameonyesha kukauka sijajua ni mdudu hapo sijaelewa kwa kweli.Kingine, kingine ambacho wewe hakijakuvutia hapo kwenye aina C?Kwakweli grupu C limenivutia kiasi, kiasi tu tofauti na haya mengine.Huna cha ku.. Natamani kuelewa kitu amabcho hujapenda hapo kwenye aina CAina C tu mimi sijapenda si nimekwambia kua yametobolewa kwanza na wadudu halafu kuna mashina yameonyesha kukauka. EeeNashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c0c4441b-efed-4b3a-82f8-013adc5ca39a_1713606393334.wav
1691218097720.wav
labda ni kiitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula aah nimependa tu si kwamba sijazipenda ila mimi nimeona tu katika hali halisi ya mbegu zile ubora, ubora wamepitwa wote
generated_audios/1691218097720.wav
1690441816663.wav
kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi A sawa
generated_audios/1690441816663.wav
moment_4_reproductive_2d862ea7-a150-4151-a62c-d2747133dbaa_1717042384769.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.kundi B hakuna chochote ambacho sikipendi
generated_audios/moment_4_reproductive_2d862ea7-a150-4151-a62c-d2747133dbaa_1717042384769.wav
moment_3_vegetative_20240417_92839649-fe11-4a42-824a-39152aa6bb41_1714467846735.wav
nini usicho kipenda kuhusu aina B. sinaa sijaona kitu palee.sawaa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_92839649-fe11-4a42-824a-39152aa6bb41_1714467846735.wav
moment_4_reproductive_c8c72b80-2c48-404f-ad94-34102c7e4a8d_1716454193966.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C?MmmkuSijakuna.HakunaSawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_c8c72b80-2c48-404f-ad94-34102c7e4a8d_1716454193966.wav
moment_4_reproductive_c8c72b80-2c48-404f-ad94-34102c7e4a8d_1716454154468.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho ukipendi kuhusu aina B?Mmmku bado sija sijaona kitu chochote.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_c8c72b80-2c48-404f-ad94-34102c7e4a8d_1716454154468.wav
moment_3_vegetative_20240417_eb5cbc43-a6d7-445c-91d4-fc263fd124fe_1714555235885.wav
Nini unapenda kuusu aina C?Aina C. Mmmh.Aina C nayo nimeipenda.Ndio.Ila mvua imeshambulia kidogo upandee wa juu kidogo.Ndio.Eee lakini mi naipenda.Sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_eb5cbc43-a6d7-445c-91d4-fc263fd124fe_1714555235885.wav
moment_3_vegetative_20240417_e30257a3-c84c-4562-a301-fd3143a5a8ed_1713681008245.wav
… tuna endelea na maswali ndugu mkulima nini unapenda kuhusu aina A naludia swali ili ulisikilize vizuli sawaa nini unapenda kuhusu A aina. aina A nimependa kuhusu ma yaniii hapa mazao yake yame stawi vizulii yamekubalii naa hamna ata ukungu kwaiyo nimeyapenda. kingine ulicho kipenda katika aina A. ustawi wake tu nimeupenda kwasabu unaonesha ata baadae una eza yakawa yakatoa mazao mengi. aa una maanisha nini unaposema yana weza yakatoa mazao mengi. namaanisha uonekanaji wake. uonekananinaji wake. eee yani apperance yake ina onesha. sawa sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e30257a3-c84c-4562-a301-fd3143a5a8ed_1713681008245.wav
moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890410996.wav
Nini ambacho hujakipenda kuusu aina A.Aina A …... …... .....Eeee.….. …...Sawa.Mmm.Kwamba haina tatizo anaisi haraka na mvua …..
generated_audios/moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890410996.wav
moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005620097.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina A ?aina A ai ai hamna hamna ninachoona kwamba hai haina madhara yoyote ….inatoa mimea vizuri ….
generated_audios/moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005620097.wav
1690972901475.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Elekeza kwa sifa za kilimo ambazo ambazo Haukupenda kwa ajili ya B kwa sifa za kilimo niambie kwa sifa za kilimo Ambazo sijazipenda? Hakuna Hakuna?
generated_audios/1690972901475.wav
moment_3_vegetative_20240417_a998343f-9d37-41a4-a2b1-e075b52482be_1713438795989.wav
Naomba unielezee nini usichopenda kuhusu aina A?aah aina A ambacho mimi sijakifurahia kwasababu ni maharage ambayo haina wateja wengi sana kwa sababu ainasemekana aina A ukiitumia kama mboga ina gesi sana kwa hiyo walaji wake ni wachache mtu akiwa na tatizo la vidinda vya tumbo mtu hawezi kuitumia inatumika kwa mara chache sanaahaa,hata dukani ukiweka uuzaji wake ni tofauti na hmaharage mengine.aahaa.asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a998343f-9d37-41a4-a2b1-e075b52482be_1713438795989.wav
1690962320251.wav
Nini ulipenda kuhusu kukuza zaidi aina ya A Sababu ya soko Sababu nyingine? Sababu nyingine? sababu nyingine,
generated_audios/1690962320251.wav
moment_3_vegetative_08d87426-ff7b-48a9-aa23-29d3105f8079_1718097235273.wav
aina C ambacho haujakipenda kabisa tena?hiyo siyo mbegu bora.ndiyommh kingine?aa nam naaa mmvua ilivyonyesha tu mau ma majani yake yake yanapukutikammhkwahiyo hai haivumilii na mpaka sahivi haijazaaokmmhook.
generated_audios/moment_3_vegetative_08d87426-ff7b-48a9-aa23-29d3105f8079_1718097235273.wav
moment_4_reproductive_0ae3cc83-6ec0-4109-aad0-3803df7bc828_1716535376965.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.aina C naipenda uzaaji wake inazaa vizuri.
generated_audios/moment_4_reproductive_0ae3cc83-6ec0-4109-aad0-3803df7bc828_1716535376965.wav
moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791427336.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.sipendi kutegemeana kwamba inatobolewa na wadudummh.halafu kutoshambuliwa tena na wadudu kwahiyo hicho ndio sikipendi zaidi.mmh inashambuliwa ama haishambuliwi.inashambuliwa.mmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791427336.wav
moment_4_reproductive_983969f6-6dac-42aa-a8f7-f96f990eeab2_1716375300123.wav
Angalia C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C?Aina C ni maana yake ni kwamba haijaota vizuri halafu haijatoa mnanii haija haijaota vizuri maana yake haina hata hata majani yake haijaota vizuri.Kingine ambachoo hukipendi kuhusu aina C?Ni kwamba haioti vizuri hai aizai vizuri hii.Kingine.Hamna.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_983969f6-6dac-42aa-a8f7-f96f990eeab2_1716375300123.wav
moment_3_vegetative_a85af22b-fac6-4b23-b168-69cac752cb71_1713257568137.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Aaah kwa kweli hakuna.
generated_audios/moment_3_vegetative_a85af22b-fac6-4b23-b168-69cac752cb71_1713257568137.wav
moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083265923.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.nisicho kipenda kwa aina B uzaaji wake ni tofauti naa aina zingine.uzao wake ukoje yani una onekanaje.yani inaonyesha kama vilee inaa watoto kidogo.
generated_audios/moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083265923.wav
1691145509027.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina B? Ah kwenye kukuza hakuna kitu ambachon labda hakijanifurahisha, sababu tangia nilivyoipanda imeenda vizuri mpaka navuna
generated_audios/1691145509027.wav
1690623173062.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhsu kukuza aina B? hakuna
generated_audios/1690623173062.wav
moment_3_vegetative_ba17e5bb-2a68-4dcc-810d-787c9b04126d_1718974698287.wav
Usichokipenda katika AÉKatika A nisichokipenda ni hivo tu ime imekufakufaÉ..
generated_audios/moment_3_vegetative_ba17e5bb-2a68-4dcc-810d-787c9b04126d_1718974698287.wav
moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133586958.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.…. Aina A nimeipenda kwasababu imeota vizuli pia imekuwa vizuli hata uzaaji wake ni wa kawaida ndo mana naipenda.
generated_audios/moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133586958.wav
moment_4_reproductive_188a1abf-c757-4103-ab3a-1b6871ef4f5c_1717757133507.wav
kuna kitu chochote ukiangalia aina C na na ueleze chochote ambacho unachokiona ambacho hukipendi kuhusu aina Caaah hamna kituhamna ambacho hukipendina nazipenda hiii zote aina hiziaaah sawa sawa .eeeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_188a1abf-c757-4103-ab3a-1b6871ef4f5c_1717757133507.wav
moment_4_reproductive_73060620-b863-476f-8b42-21c4cc1f1ae3_1716013315664.wav
Angalia ainaC na eleza chochote unachokipenda kuhusu aina hiyo?Kwenye aina C sijavutiwa na chochoteHmna ta kimoja kilichokuvutia?Hapana.
generated_audios/moment_4_reproductive_73060620-b863-476f-8b42-21c4cc1f1ae3_1716013315664.wav
moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876483909.wav
Mm angalia aina C na eleza chochote unachkiona ambacho hupendi kuusu hiyo.eeeeh aina C naah nahisi naona nivileviletu kama imedumaa baazi ya mimea lakinii naona mingine imeenda vizuli lakini naona naona kama imejitahidi kwenye upande wakumea baazi ya mimea ndo imedumaa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876483909.wav
moment_6_postharvest_375dbeef-319c-4f3d-9724-2e4878b50586_1718973016504.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokipenda kuhusu hiyo.Hakuna nilichopenda kwa sababu hakuna kilichomea baada ya kuotesha.
generated_audios/moment_6_postharvest_375dbeef-319c-4f3d-9724-2e4878b50586_1718973016504.wav
moment_3_vegetative_c04f18a0-4913-4923-8761-b02695db88a6_1713447663153.wav
Mmmh tupo aina C ukiangalia aina C unaeza ukaniambia ni kitu gani ambacho hujafanyaje unachokipenda kutoka kwenye aina C.Aaa nimekipenda kwasababu zimeota vizuri afu zieota kwa wingi.Mmm.Alafu pia zii bado japo kidogo zingine azijaaota chache.Mmm.Lakini izo zilizoota zimeanza kutoa mauwa.Mmm.Kulinganisha na izo za aina zingine.Mmm.Eeee.
generated_audios/moment_3_vegetative_c04f18a0-4913-4923-8761-b02695db88a6_1713447663153.wav
moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462559915.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina A.Aina A Nimeona maharage yamestawi vizuri.kingine unachokipenda kuhusu aina A tangia tumeanza utafiti mpaka sasa hivi?amna tofauti nlioona.kitu gani ambacho unakipenda ulichoki kilichokuvutia kwenye aina A?marage nimeona niki ni mazuri sana.kuna chochote zaidi ulichokipenda kwenye aina A?Hamna enhrr.
generated_audios/moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462559915.wav
1690529389889.wav
je ni tricot ipi ambayo hukuipenda zaidi B B? mmmm
generated_audios/1690529389889.wav
moment_6_postharvest_7f3915b8-9331-40ca-a460-6909bc96ed81_1719294221028.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina B nimependa rangi ni nzuri na lakini pia uzazi wake ni mzuri inashusha mifuko mingi zazidi ya kumi na nane lakini piakwenye ladha ladha yake ni nzuri sana na uivaji wake ni lisaa limoja tu unakuta yameshaiva.Sawa.
generated_audios/moment_6_postharvest_7f3915b8-9331-40ca-a460-6909bc96ed81_1719294221028.wav
1690551024822.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula? mimi kwa upande wangu haina tatizo
generated_audios/1690551024822.wav
moment_3_vegetative_20240417_08b02ab2-2d13-446c-b22f-fe2c9345168f_1715604115141.wav
Nini usichopenda kuusu aina B.Mmmh kwa kweli hakuna.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_08b02ab2-2d13-446c-b22f-fe2c9345168f_1715604115141.wav
moment_6_postharvest_dc7ab7a2-28b2-4c5c-8115-957b378611de_1719295857831.wav
nini usichopenda kuhusu A.hakuna.
generated_audios/moment_6_postharvest_dc7ab7a2-28b2-4c5c-8115-957b378611de_1719295857831.wav
moment_4_reproductive_18d6d844-b353-496a-84bf-df217dcca609_1716452939808.wav
nini unapenda kuhusu aina C?kuhusu aina C hakuna yaani aina C nimeipenda kulingana naona imezaa vizuri hakuna sababu ambayo yakuichukia aina C.
generated_audios/moment_4_reproductive_18d6d844-b353-496a-84bf-df217dcca609_1716452939808.wav
1690278016312.wav
na je ni nini ulikipenda zaidi kuhusu B kwenye sifa za kilimo B nimeipnda kwa sababu zifuatazo kwanza ina rangi nzuri, pili yake ina mazao mengi na inavumilia ukame pia ninaipenda zaidi kwasababu hata ukiipeleka sokoni kwa jinsi ilivyoonekana imefanya vizuri itapata soko
generated_audios/1690278016312.wav
moment_3_vegetative_20240417_7052568d-f2c5-4083-9b78-500986a60dd9_1716090483325.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Napenda kwasababu aina ya A ina maua mazuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7052568d-f2c5-4083-9b78-500986a60dd9_1716090483325.wav
moment_3_vegetative_20240417_01344267-630c-4761-80e3-c9df1753aa8d_1714547040102.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina A.Haina uzazi mzuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_01344267-630c-4761-80e3-c9df1753aa8d_1714547040102.wav
moment_4_reproductive_9153b6ec-9ef2-4138-a6db-bcb6717e97a0_1715927155737.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu aina iyo.Aina C ambacho sipendi niii marage haya yalivyo.Mmm.Hayaja zaa vizuri mengine.Mmm.Haa yani yanaonekana bado machanga yenyewe ni yanachelewa sana nadhani nii ni ni ni mbegu ya mda mrefu.Mmm.Eee yani ukomaji wake utachukua mda mrefu kwasabu nitofauti na hizi zingine yani haii kitalu C hionyeshi hata dalili ya kukomaa ni kwamba bado machanga zaidi.Mmm.Eee hapo sijapenda kwasabu ya hivyo ilivo.Kingine cha kuongezea ambacho hujapenda kwenye aina C.Aina C ambacho sijakipenda ni yalivyo ni kwamba mbegu hiyoo aaaa labda iboreshwe na ipandwe tofauti na tulivyopanda ipande mbele yaani kwenye mwezi wa pili na dhani itakuwa ndo mda wake ikipandwa mwezi wa tatu itachukua mda mrefu kukomaa maana kwa nnavyoona bado changa lakini kitalu C yamesha komaa mpaka wiki ijayo labda nitayatoa lakini.Eeee kitali C tena au.Aaaa kitalu B.Ahaaa.Ehee yani kitalu B yanaonekana yamesha komaa na wiki ijayo naweza nikayatoa lakini kitalu C hayana dalili yeyote bado machanga.Mmm.Kwahiyo hii nim inaonyesha ni mbegu ya mda mrefu.Saawa nashkuru.Mmm.
generated_audios/moment_4_reproductive_9153b6ec-9ef2-4138-a6db-bcb6717e97a0_1715927155737.wav
moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304073954.wav
nini usicho penda kuhusu aina C.kwa kwelii aina C mi naona vile vile ni sawa tu na na na aina zote tu sioni kama ina tatizo.
generated_audios/moment_6_postharvest_fa245905-de97-4b58-ada3-140f3c183fd3_1719304073954.wav
moment_3_vegetative_20240417_aa3c03c7-fe9e-434f-b870-f1b3fc3b720b_1714655421573.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Nilipenda uotaji wake uliota vizuri maua nayo yametoka vizuri ila changamoto nyingine kwa mfa kwa mfano kundi A kuota yani mbegu zingine hazijatoka ndo hicho kilicho ambacho sijakipenda.Haya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_aa3c03c7-fe9e-434f-b870-f1b3fc3b720b_1714655421573.wav
moment_4_reproductive_89c5118a-310b-4b66-ac23-4bf6ac58007e_1715934688441.wav
Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Ambachi hukipendi sasaAmbacho sikipendi ni kutokana kwamba naona haijazaa vizuri.Kingine ambacho unaona hakijakuvutia?Ni hilo tu.
generated_audios/moment_4_reproductive_89c5118a-310b-4b66-ac23-4bf6ac58007e_1715934688441.wav
moment_3_vegetative_20240417_b93c55a1-5150-4056-af25-ca034206f4a5_1716123665437.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Haina shida hii.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b93c55a1-5150-4056-af25-ca034206f4a5_1716123665437.wav
1691149871349.wav
na je kuna kitu ulipenda kuhusu aina B? Eee nimeipenda kwa sababu hata shambani inafanya vizuri inafanya vizuri unamaanisha nini yani maana yake kiwango chake sio cha chini kama A Ina mavuno inazalisha vizuri kwa hiyo hata kwa matumizi ya nyumbani unaweza ukatumia kwasaabu mavuno yake sio madogo
generated_audios/1691149871349.wav
1690445371539.wav
kwa ujumla aina gni ya tricot uliipenda zaidi, katika hizi mbeggu tatu ipi uliipenda kati ya A, B,na C C C uliipenda ee eee
generated_audios/1690445371539.wav
moment_3_vegetative_30ad206b-4e57-424e-bba6-82250f818aae_1716285392669.wav
Error
generated_audios/moment_3_vegetative_30ad206b-4e57-424e-bba6-82250f818aae_1716285392669.wav
1690639115215.wav
je kuna chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina C aaah C, sifa ambayo niliona ni kwamba miche mingi iliota, ilikua na miche mingi kama nakumbuka vizuri lakini japokua kuna sehemu niliandika, lakini miche mingi iliota lakini kama unavyojua sisi hatuangalii tu idadi ya miche kwa sababu tunaweza kumaintain miche yote ikaota hata pale ambapo, haukugerminate tukapanda tena, tunachoangalia ni mbegu inayokuvutia na unatoka mche wenye afya na unatoa mazao mengi
generated_audios/1690639115215.wav
moment_3_vegetative_20240417_de9a32ae-836d-46be-b1f5-2e77dc826ed1_1713958099976.wav
angalia aina A na elezea chochote unachokipenda kuhusu hiyo.Aina A napenda majani na inatoa maua.ukiwa unaangalia kuhusu maua majani yake yanaonekanaje.Majani yake yanaonekana mazuri na ni mapana na inapanda juu.sawasawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_de9a32ae-836d-46be-b1f5-2e77dc826ed1_1713958099976.wav
moment_3_vegetative_20240417_de39c7a9-3020-4ead-ae0a-6fb2daef29c9_1713941128387.wav
angalia aina C na eleza chcohote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyoAina C kitu ambacho siki, maharage yote ni mazuri, majani yake ni mapana hayana ata shida yanatoa toa maua sio mbaya.Ukiangalia zaidi hamna ambacho hukipendi kwenye aina CHamna kitu sikipendi naona yote ni mazuri tu mbona haina ata shida.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_de39c7a9-3020-4ead-ae0a-6fb2daef29c9_1713941128387.wav
1690360194243.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa za kilimo aina ya C haina changamoto inakubaliana na mazingira na hali ya hewa hiyo haina tatizo
generated_audios/1690360194243.wav
moment_6_postharvest_708c0289-a2d7-451b-a09c-def2cacdddaf_1718966920933.wav
Angalia aina B na elezea chochote ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina B kitu ambacho nakipenda ni uivaji wake, kitu amabcho nakipenda ni rangi aina ya maharage ilivyo lakini ni nzuri.
generated_audios/moment_6_postharvest_708c0289-a2d7-451b-a09c-def2cacdddaf_1718966920933.wav
moment_3_vegetative_20240417_de6319d2-795e-41cc-ad26-359a21713230_1714462439721.wav
nini usicho kipenda kuhusu aina A. aina A nisicho kipenda palee nii uotwaji wake ulikuwaaaa mbayaa na baada ya kuota ilivyo toa jani la pili kufika jani la tatu ilikuwa ikishambuliwa sana na wadudu kwa ndio ambacho sikipendi kwenye aina A. unaweza kunieleza zaidi kitu ambacho ukipendi kwenye aina A.aaaa kilichooo nifanya nisi kipende kabisa ni ile uotaji wake ikuwa afifu. je una maelezo mengine usicho kipenda kuhusu aina Aaaa maelezo mengine kwa kweliii sina ni hayo tu niliyo yaeleza
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_de6319d2-795e-41cc-ad26-359a21713230_1714462439721.wav
moment_3_vegetative_20240417_653c881e-deea-4171-b710-ff2abd7ea9fa_1713676968774.wav
nini usicho usichopenda kuhusu aina B.kwa kwa B ambacho sijakipenda kwenye kuota hayajaota vizuri.mmh na huna sababu nyingine ya kutokuyapenda .yakutoyapenda labda tu kwasababu yanaonekana pia kwa maua kama yamechelewa kuliko mbegu A, B,A pamoja na C.mmh.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_653c881e-deea-4171-b710-ff2abd7ea9fa_1713676968774.wav
moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715678966980.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Katika aina A kitu ambacho nimekipenda ni kwamba haya maharage yamejitahidi kuzaa kwa kiasi fulani.Kuna kitu kingine ulichokipenda?Hapana ni hicho tu.
generated_audios/moment_4_reproductive_becbdf98-051d-4097-abf9-8d849c7e1cfe_1715678966980.wav
moment_3_vegetative_20240417_4f4f9545-33a4-495e-b811-807dc20bcc02_1713514030710.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.Yaani hamna hamna ambayo nisichokipenda ila kwa ajili maharage yamekufa kwa wingii wa mvua.mvua.mmh.kwa hio hakuna kitu ambacho unakipenda.eee.sawa sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4f4f9545-33a4-495e-b811-807dc20bcc02_1713514030710.wav
moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440679571.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?ee aina C changamoto ni ile ile yaani majibu yake yanakuja pamoja kwamba wakati wa kupanda kuna baadhi ya mashimo hayakuota hapo ndipo niliona kwambaa aa aina kama itakuwa hivi ndiyo takuwa lakiniii huu ni uharibifu baadhi mdogo mdogo kwahiyo matatatizo mengi katika aina hii pia vilevile hayapo.sawammhmmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440679571.wav
moment_3_vegetative_20240417_538d7625-7bb6-460b-99ba-e94e5332424a_1714478336750.wav
angalia aina A na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina A. aina A mi naona imeota vizurii afu majani yake ni mazuri aijaliwa na wadudu kitu kingine ni nii kwamba ile yanii marefu kuliko hii afu majani yake ina pendeza na ina vutia wateja maelezo yangu ndio hayo.kuna kitu kiingine unachoweza kunieleza kuhusu aina A unacho kipenda. ai apana. sawaa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_538d7625-7bb6-460b-99ba-e94e5332424a_1714478336750.wav
moment_3_vegetative_20240417_653c881e-deea-4171-b710-ff2abd7ea9fa_1713677042782.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.aina C ninaipenda.mmh.kwasababu mpaka sasahivi enyewe inaonesha ina imeanza kutoa ina maharage kabisa .ndio.ambayo inaonekana ni mbegu nyepesi.ndio.ee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_653c881e-deea-4171-b710-ff2abd7ea9fa_1713677042782.wav
moment_4_reproductive_b311a4e1-122f-4829-b3a7-1512f7773adf_1716529657202.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina A?Hapa kwenye aina A ina watoto kidogo halafu haijashambuliwa sana na wadudu ndo maana hapa nimepapenda.Kuna chochote ambacho umekipenda kwenye aina A tangia tumeanza jaribio mpaka sasa hivi?Hapo mimi nilichokipenda ni kwamba haishamburiwi na wadudu hamna kitu kingine.
generated_audios/moment_4_reproductive_b311a4e1-122f-4829-b3a7-1512f7773adf_1716529657202.wav