audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
1690461397294.wav
nu kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? changamoto wakati wa kuuza, hupati mnunuzi kwa uharaka
generated_audios/1690461397294.wav
moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714821117016.wav
ukiangalia hio aina C kitu gani usichokipenda kutoka kwenye aina C sasa.yaani kwenye aina C. mmh.sijaonaa sanaa yani kitu ambacho sijakipenda.mmh.ninaona ni mbegu ambayo tu iko vizuri. mmh.labda sijajui ngoja niangalie nizidi kufanyia uchunguzi. mmh.hapo mbeleni nione labda kuna mengi zaidi ambayo ya kujifunza.mmh.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19d2a0ab-99d5-49c1-84c1-a68d645222ec_1714821117016.wav
moment_4_reproductive_44e76f5b-b172-44da-afcf-7e45ffa4271c_1715837524304.wav
a kitu gani ambacho unapenda kwenye aina hii ya maharage?haya maharage mi niliyapendea uzaziaah okmmh lakina sasa uzazi wake ndo hiyo umef.
generated_audios/moment_4_reproductive_44e76f5b-b172-44da-afcf-7e45ffa4271c_1715837524304.wav
moment_4_reproductive_9b402a5a-4036-4638-a6c9-d9e1adc77d2e_1715839190569.wav
Angalia tena aina A baba na eleza chochote unachokokiona ambacho huupendi kuusu aina hiyo.Aaa aina A nikiangalia ambacho sipendi yaani narudia tena uzao kwanza ni hafifu utoaji wa mauwa ni mdogo na inaonekana hata kwenye mavuno itachelewa kuvunwa kuliko aina zingine zilizoko hapa.Mmmh.Mmm.Kingine ambacho akikuvutii.Aaa kingine ambacho hakinivutii nii yaani ni uzao haina uzao wa kutosha haiiin haijatoa mauwa vya kutosha kwaiyo ata ukiilima ni kama unapoteza muda.Ahaaa.…. Mmm.Nashkuru.
generated_audios/moment_4_reproductive_9b402a5a-4036-4638-a6c9-d9e1adc77d2e_1715839190569.wav
moment_3_vegetative_20240417_09800487-c17e-4b82-ba44-ef485b703fa6_1714467657009.wav
Nini unapenda kuhusu aina C.Nnachopenda aina C nayo inaota vizuliii ukuaji mboraaa naaa uzazi wake ni mzuli..
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_09800487-c17e-4b82-ba44-ef485b703fa6_1714467657009.wav
moment_6_postharvest_c9bfdd4c-cc41-425b-b70b-2efcfb4fc5a4_1718948875532.wav
Nini usichokipenda kwenye aina A?Kwenye aina A hamna nisichokipenda.
generated_audios/moment_6_postharvest_c9bfdd4c-cc41-425b-b70b-2efcfb4fc5a4_1718948875532.wav
1690277974998.wav
je mama ni aina gani ya tricot ambayo uliipenda zaidi kati ya aina A, B na C aina niliyoipoenda zaidi ni aina B aina B ndio ok
generated_audios/1690277974998.wav
1690877945326.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kuuza aina ya B? Hukukipenda? Sikukipenda vipi? Yaani , toa sababu yoyote kama kuna sababu amabyo ilikutokea hukuipenda, si umesema unapenda kuuza B inasababu ulizitaja huku mwishoni, sasa kama ilitokea kunasababu ambayo hukupenda kuuza hii apa aina ya B msimu huu labda ulipoona sababu hizi zimetokea hukupenda kuyauza haya maharage Haya sikupenda kuyauza kwa sasa kwa sababu ni kidogo ili nipate mbegu ya kuzalisha iwe nyingi Sababu sababu na hapa ziko tano Ni kidogo, haya, ya pili? Ya pili Unijibu, kama unahisi sababu ni hiyo moja sawa Sababu ni hiyo moja tu Haya sawa
generated_audios/1690877945326.wav
moment_4_reproductive_2b55532c-b225-445c-ba32-11af8d4ea69d_1717396946768.wav
Kwenye hii aina C kuna chochoshe ambacho hujakipenda.C hakuna.Hakunaa.Eeee.sawaa.
generated_audios/moment_4_reproductive_2b55532c-b225-445c-ba32-11af8d4ea69d_1717396946768.wav
moment_3_vegetative_5d845f1a-c261-4449-bcbf-3894fa33270c_1713418877992.wav
… nini unakipenda kulingana na haya maharage. bei yake.swala la beinaipenda sanaukiachilia swala bei kingine maji mara moja.ndio, na kingine.yako vizuri kwanza ukiangalia enyewesawa.ubaya wake ni kwamba tu haya. mmh.yanachangamoto ya ugonjwa.sawalakini yako vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_5d845f1a-c261-4449-bcbf-3894fa33270c_1713418877992.wav
moment_4_reproductive_0446a000-2dc6-4885-a7fd-a2cd934d370f_1715777464138.wav
Aaah nini unapenda kuhusu aina B ?aina B napenda kwa sababu ya uzaaji wake yamezaa hayana shida .eeeeee kwa hiyo hata kwenye soko pia itakua hayana shida .sawa.enhee.
generated_audios/moment_4_reproductive_0446a000-2dc6-4885-a7fd-a2cd934d370f_1715777464138.wav
moment_3_vegetative_1065010e-6d67-4cd5-863c-33558efbe4e4_1712728320964.wav
nini unapenda kuhusu aina B?aina B kweli ni maharage mazuri na uotaji wake ni mzuri na majani yake ni mazuri na naimani kwamba itakuwa na uzao mzuri.pia unaweza kuelezea zaidi ambacho unakiona unakipenda kuhusu aina B?aina B ni maharage mazuri na nina imani pia kwamba itakuwa na uzao mzuri.unawezaje kujua kwamba uzao wake ni mzuri kwa kuangalia?maana kwasasa nimeshaona tayari imeshaanza kutoa maua kwahiyo naimani kwamba uzao wake utakuwa ni mzuri.sawa sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_1065010e-6d67-4cd5-863c-33558efbe4e4_1712728320964.wav
moment_3_vegetative_4a63ea37-b107-47df-adcf-cafbef11a7ca_1713433700630.wav
usiepende au hupendi kulingana na maharage jinsi unavyoyatazama hata kama kuna machache ambayo yamebaki. aa changamoto yake haya ni kwamba.…uyapande kwenye wakati.mmh.ukipanda nje ya wakati.…changamoto yake ni wadudu kuathiri.ndio ndio.mwisho wa siku hata uzazi unakuwa.wa shida.wa shida ee.ee na ukiachilia mbali wadudu kuathiri na kutokana na kupandwa nje ya wakati labda una chochote cha kuzungumzia ambacho inakufanya pengine maharage haya usiyapende. aa kwa kweli hapana.
generated_audios/moment_3_vegetative_4a63ea37-b107-47df-adcf-cafbef11a7ca_1713433700630.wav
moment_3_vegetative_20240417_7df08752-48ef-4e17-adff-c26a42256c36_1717998116180.wav
Na nini usichokipenda kuhusu aina A ?hakuna .hamna usichokipenda kuhusu aina A ?eee nimeipenda.sawasawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7df08752-48ef-4e17-adff-c26a42256c36_1717998116180.wav
moment_4_reproductive_5ea93754-04b7-4bdd-a507-3b6739f10d1b_1716889708908.wav
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.aina C kwa ujumla kitu tu ambacho nakiona mimi labda sikipendi sikipendi kwenye hii ina maana hii inachelewa sana kuzaa ina maana inachelewa inachukua mda mrefu sasa siwezi fahamu inaweza kuwa labda kulingana na ardhi nilivyoipanda labda inaweza kuwa ina ina rutuba nyingi zaidi labda hicho ndicho kilichosababisha imechelewa sana na mpaka sasahivi bado ndio ina inaanza kukomaa tofauti na mbegu A na B ina maana utofauti hicho ndicho ambacho mimi naona sikipendi kwasababu inachelewa kukomaa ...…aya asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_5ea93754-04b7-4bdd-a507-3b6739f10d1b_1716889708908.wav
moment_4_reproductive_3ea200b7-1e4c-4449-bbaa-d002ec8f701c_1716539274579.wav
Nini unapenda kuusu aina A.Eeeh kwenye aina A nilicho kipenda nii jinsi tu yalivyoanza vizuri kwenyeee uotaji wake inaonekana kwamba ni nzuri yamenawiri sana ndicho nilicho kipenda kwenye aina A.Ukiachana naaa uotaji kuna ninsi ilivyo nawiri wakati wa ukuwaji je! Kuna jambo lengine lolote ambalooo ukiangalia aina A ina ina inakupendeza.Aaaa akuna jambo lingine.Sawa asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_3ea200b7-1e4c-4449-bbaa-d002ec8f701c_1716539274579.wav
moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713608020055.wav
Nini unape nini usichopenda kuhusu aina A?.hakuna nnachochukia kwenye aina eyii.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713608020055.wav
1690639218302.wav
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina C kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? eeh sasa kama wenzetu wa vituo vya utafiti wataona namna ya kuiborasha mbegu C katika mambo mawili, moja ustahimilivu wa ukame kwa sababu ndio changamoto kubwa kwenye wilaya yetu lakini pili iweze kutoa punje zenye afya japokua hili ni jambo pana kidogo yawezekana inategemea na sehemu ulipopanda labda japokua mimi sikuweka mbolea yoyote nikaziacha lakini nikaja kuona imefanya vizuri kwahiyo wakifanyia kazi hayo maeneo mawili ikawa na ustahillivu wa ukame au kwa upungufu wa mvua lkini pia ikatoa punje kubwa inaweza kua mbegu nzuri pia
generated_audios/1690639218302.wav
moment_3_vegetative_ba17e5bb-2a68-4dcc-810d-787c9b04126d_1718974828573.wav
Nini usichokipenda katika C?....Katika C ni hiyo kufa tena nayo kwamba sijui sababu ni nini lakini mh inaonyesha mbegu ni nzuri ina mzao mzuri alafu sio ile yakuu ya makambaÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_ba17e5bb-2a68-4dcc-810d-787c9b04126d_1718974828573.wav
1691067945974.wav
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au kwa matumizi ya nyumbani? Ni kitu gani ambacho ulipenda kwenye hii Tricot ya C kwa biashara au kwa matumizi ya chakula? kwa biashara kwa biashara? Ipo kwa vyote inafaa, kwa vyote kwa biashara na kwa matumizi ya kula Si ndo ivyo asa, yaani tukija kwenye upande wa biashara ni kitu gani kilicho kushawishi mpaka uone kwamba hii inafaa kibiashara? Kwasabu ina bei Afu ya pili? Ni sifa gani ambayo unaona hii mbegu, hii mbegu inafaa kwa biashara? watu wanaipenda sifa ya tatu? kwa upande wa biashara? kwa upande wa biashara Ina soko,sababu nyingine kwa upande wa chakula, kwamba hii mbegu bhana hii mbegu iko safi kwa upande wa chakula kwa sababu moja mbili tatu? kwa upande wa chakula? Ani kwanini unaipenda? kwamba hii mbegu hii mbengu nzuri bhana nikiipika hii hii nzuri sana inapendeza Sifa gani
generated_audios/1691067945974.wav
1690617096250.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Elekeza kwenye sifa za kilimo Hii nazipenda hizi ina mbegu nzuri
generated_audios/1690617096250.wav
moment_3_vegetative_1bba40c1-f181-4942-a1d1-4e45581dfea2_1718083083288.wav
Nini umependa kuhusu aina A ?aina A sijai sijaipenda maana ku haistahimili ile hii hali ya hewa na inawezekana huku haioti kwa haraka haifanani na hii aina B au aina C tuseme hivo .
generated_audios/moment_3_vegetative_1bba40c1-f181-4942-a1d1-4e45581dfea2_1718083083288.wav
1690622499346.wav
ni kitu gani hukkukipenda kuhusu kukuza aina ya A eleza kwenye sifa za kilimo hakuna, kusema kweli hajuna yote ni mazuri
generated_audios/1690622499346.wav
moment_3_vegetative_6a7f4ea6-c1ca-44b2-b280-82946b550e50_1713970791875.wav
ndio, sasa ndugu mkulima angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.cha ah zan cha kwanza ni ni inaota vizuri yani hii mbegu yan nzurii afu ukuaji wake mzurii,ndio.eeh.sawa, kwahio cha kwanza namna ilivyoota,eehlakin pia na uotaji imeota vizuri.eeh.vipi kwenye kustawi labda?kustawi yani ndo imee, yani ndo ipo vizuri yani kabisa yani.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_6a7f4ea6-c1ca-44b2-b280-82946b550e50_1713970791875.wav
moment_3_vegetative_f9244243-f21b-4a56-a465-3b4648051679_1715170453595.wav
Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Aina A naipenda kwasabu inatoa mauwa mazuri naipenda kweli.Mmm unavosema inatoa mauwa vizuri unamaanisha nini.Namaanisha inaweza ikanisaidia huenda ikawa toa mauwa mazuri na mafanikio yake yakawa mazuri.je! Kuna kitu kingine chochote unacho kichukia kuusu aina hii.Kitu kingine nnachokipenda sana sana ndoo hiyo na hayo hayo marage kama ndoo aina hii naipenda labda naa kitu kingine labda nii ku kulima vizuri nikaipanda vizuri kwaiyo naipenda.Aya.Ndio.
generated_audios/moment_3_vegetative_f9244243-f21b-4a56-a465-3b4648051679_1715170453595.wav
moment_4_reproductive_72705185-4627-4e6f-bb89-9b6442a04e41_1716115438832.wav
ndugu mkulimaa tunaendelea na maswali yetuu angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupee unakipenda kuhusu aina hio narudiaa angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hioaina C nimependa hili zao sababu limejitahidi kwenye watoto lina watoto wengi wamezaa wengi kwa hio yani linavumilia kwenye hali ya mvua nyiingii yani linavumilia kwenye yoyote ilee kwa hio inaonyesha hili ni zao ambalo zurikipi kingine ulichokipenda kuhusu aina yetu hii C.Aina C kwa kweli inajitahidi eee na iweza kutoa mazao mengiaaa kingine?.kinginee hamna ata waduduu wadudu hawajaingiaayaani unatambuaje kua wadudu wanaingia au wameingia kwenye maharage?.yaani unatambua maharage yaliyotobolewa yani yametobolewa tobolewaa eeh yaneeh sawa kingine?.kingine ni ichoo tu nmelikubali hili zao
generated_audios/moment_4_reproductive_72705185-4627-4e6f-bb89-9b6442a04e41_1716115438832.wav
1690530989985.wav
kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A Hakuna
generated_audios/1690530989985.wav
moment_3_vegetative_af6ad00e-63fc-413d-83e6-dbed334a7148_1714133515386.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio aina A.Kitu ambacho sikipendi kwenye A ukuaji wake, ukuaji wake sioo kwa wastani sana.changamoto nyingine ambayo pengine umeiona kwenye hio aina A?changamoto nyinginee, ah haina changamoto zaidi.
generated_audios/moment_3_vegetative_af6ad00e-63fc-413d-83e6-dbed334a7148_1714133515386.wav
moment_3_vegetative_20240417_61606472-029f-4188-87a5-b8782933c721_1714376267862.wav
nini usicho kipenda kuhusu aina A. yani apo kwenye aina A hakuna kisi kitu nisichokipenda naona uo utafiti wa apo huko vizuli na ayo mazao ya hapa ni mazuri hayana shida kama yataendelea kwenye utafiti uu kama tutaendelea mi haya mauyaa ya utafiti wa namba A mi naupenda.sawaa auna maelezo mengine kuhusu aina A kingine. nimeshauri tu kama utafiti huu utaendelea tuendelee na hii namba A mbona nimeipenda. sawa.aya.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_61606472-029f-4188-87a5-b8782933c721_1714376267862.wav
moment_3_vegetative_20240417_df0d73a3-f8de-40f5-953f-54f541f7b38b_1713688765037.wav
aaaa tuna endelea na maswali ndugu mkulima niniii usicho kipenda kuhusu aina A. kwa apaaa hamna ambacho nisicho kipenda hamna mmm.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_df0d73a3-f8de-40f5-953f-54f541f7b38b_1713688765037.wav
moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005776500.wav
Nini unapenda kuhusu aina B ?aina B inazaa vizuri ila ina isipokuwa ina ….inazaa vizuri pia inavumilia baridi kidogo.
generated_audios/moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005776500.wav
moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194235881.wav
nini unapenda kuhusu aina B?aina B kwakweli pia sina ninachokipenda.sawa kwahiyo hakuna chochote ambacho kili unakipenda au au kimeku vutia katika aina hii B?aina B pia naona hali ni hiyohiyo kama aina A maana mmea uliota vizuri lakini changamoto tena ni hizohizo mmea imekauka kutegemeana na hali ya wadudu.sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194235881.wav
moment_3_vegetative_20240417_5716fdcb-c51b-414d-91f9-2a3a4c06fe54_1714120764798.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina A?Nisichokipendaaa mbegu hii imechelewa sana kutoa maua.Una unaweza ukaelezea kwa undani zaidi?Hapo sio sana nimechukia kitu kimoja ambacho ndo hicho tu.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5716fdcb-c51b-414d-91f9-2a3a4c06fe54_1714120764798.wav
moment_4_reproductive_b79bcbc9-b9ef-41ca-92a0-448d7b624e4e_1718270680062.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Ambacho mimi sipendi kuhusiana na hichi kwanza kwanza huwa ah inakuwa na uhaba wa upatikanaji wa nanihii wa mbegu pili hu huwa na kushambuliwa na marazi sana ku kushinda ma ma maarage mengine aina B ndo ndo shida ambayo inakuta wananii wakazi wa huku tuna kuwa tunayatenga kuyaotesha kwa wingi ili nani kwasababu ya kushambuliwa marazi ila kwa bei ya yanakuwa na bei hususani msimu wa wa wawauoteshaji.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_b79bcbc9-b9ef-41ca-92a0-448d7b624e4e_1718270680062.wav
moment_3_vegetative_20240417_62a1df88-6d60-4916-b52a-ac261ce1629a_1714052152736.wav
nini usichokipenda kuhusu aina A.aina A hakuna naipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_62a1df88-6d60-4916-b52a-ac261ce1629a_1714052152736.wav
1690444278316.wav
na je ni kitu gani ulikipenda kuhusu aina B ukieleza kwenye sifa za kilimo nimeipenda aina B kwa sababu inaonesha ikipata mvua ya kutosha kwanza ni harage ambalo linalivutia na litakua linene kupita kiasi kuliko mengine
generated_audios/1690444278316.wav
moment_3_vegetative_20240417_bd435e19-6324-4db9-a15d-5b1c7018f1e6_1713772103429.wav
….. Nini usichokipenda kuhusu aina A ?sijaipenda maana imetobolewa na wadudu afu haijaota vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_bd435e19-6324-4db9-a15d-5b1c7018f1e6_1713772103429.wav
1690295222114.wav
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A ukielezea katika sifa za kilimo Hakuna kitu niliona kibaya cha kwake Aya, asante
generated_audios/1690295222114.wav
moment_3_vegetative_20240417_2aee4f9e-29f6-475e-9d93-1790ea103426_1713598557430.wav
Kaka ni ninii unapenda kuhusina na aina B?Aina B nimeiona ni aina moja nzuri na ambayo inaonekana hata ukiwa wakati wa kupalilia wakati wakuafanyaje kutoa magugu ni rahisi mno kwa sababu kwanza haina kamba ya kuzuia kuzuru maharage moja kwenda nyingine ukipita unapita kiuasalama zaidi kwenye hili ime imenivutia sana kwenye hili.KingineKingine nilichokiona pia nayo nimeona kidogo kwa sbabu ya kulingana na muda ijapokua naye nilichoona uzuri wake sio mbay aiko vizuri kwenye klutoa maua maua yake sio mbnaya sana imetoa maua kwa wakti japokua haijachelewa sana lakini iko kwenye kiwango kizuri ambacho kwenye maua inaenda vizuri zaidi.Cha kuongezea kilichokuvutia unachoona kingine kilichokuvutiaKilichonivutia nimeona kwenye uotaji wake imenifurahisha mno kwenye uotsaji kwa maan ajinsi nilivopanda kwa asilimia kwa asilimia kama tisini hivi imeota vizuri tofauti na kundi A hii manake imeota ine inavoonekana imeziba kila sehemu ijapokua mengine hayakuota lakini kwa kiwango flani imejitahidi sana kuota sio sawa na kundi A manake hii inavoonekana hii muda wake ni mfupi kwenye uotaji.Nashukuru.SawasawaHauna cha kuongezea ili mimi nizidi kujifunza zaidiAhaa labda labda cha kuongezea hapa labda ili manake kuboresha kuboresha mbegu zetu hizi hizi mbegu nilichoona labda ijapokua sijagundua sana kama ni taleta madawa sana bad bado sijafaham sana kwavile nimeona sana ijaokua sio sawa na na na kundi A hii kidogo unjano wake sio mwingi haij haijadhurika kama kundi A kundi B kidogo sio mbaya sasa nimeona kidogo inmenivutia imenivutia kwa sababu ya hali halisi inavoonekana.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_2aee4f9e-29f6-475e-9d93-1790ea103426_1713598557430.wav
moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782576069.wav
nini unapenda kuhusu aina B?aina B sijaupenda kwasababu haujazaa vizuri kuota kwake haujaota vizuri ni hicho tu
generated_audios/moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782576069.wav
moment_4_reproductive_b92c9cdc-8a22-490f-b266-b0d8b11ab088_1716895363107.wav
nini usichopenda kuhusu aina A?hii ile hii hii ya ngapi?A?A?ndiyohii hapandiyohamna haya maharage ni mazuri tunaoteshagammhmmhkuna kingine?yakuhusu kupenda A?ku kutokupendahamnasawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_b92c9cdc-8a22-490f-b266-b0d8b11ab088_1716895363107.wav
moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713935859388.wav
ndio, sasa ndugu mkulima uangalie aina A na eleza chochote unachokiona ehee vipi katika uotaji wake imeota vizuri?yameota vizuri yanapendezaa.ndio.eeh.sawa, kuna ambacho hujakipenda kwenye aina hio?hapana nimependa yote.yote iko vizuri.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_2139361b-aa8d-4df2-a76e-a5b7caaf55ac_1713935859388.wav
moment_4_reproductive_d94f5e8e-56a3-407f-8e6d-ab040ea6faf7_1718284956708.wav
Nini unapenda kuhusu aina C?.Aina C inazaa alafu inakomaa kwa mda mfupi sana.Sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_d94f5e8e-56a3-407f-8e6d-ab040ea6faf7_1718284956708.wav
moment_4_reproductive_c1f2ba9f-98a3-4d90-9f37-7071d3947f9e_1715921872325.wav
Angalia aiana A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.nimeyapenda kwa sababu yamezaa sana.
generated_audios/moment_4_reproductive_c1f2ba9f-98a3-4d90-9f37-7071d3947f9e_1715921872325.wav
moment_3_vegetative_20240417_b297a8f8-9fe9-4cf0-8e3c-9bdf9db53e75_1713949148820.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?hii aina C nimeipenda kwakuwa yameota naona yana nani, yanaendelea kumea vizuri.je kitu gani ambacho kinakuvutia kwa hii aina?kinacho nivutia labda ni hii kutoa kamba tu.sasa hii kamba ita ina ina ina unadhani inamsaada gani kwenye ukuaji wa maharage au kwenye uza uzalishaji wake?nadhani yatakua yanazaa vizuri na kustawi vizuri.sawa asante, kuna jambo lingine lolote ungependa kuongezea?hapana.asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b297a8f8-9fe9-4cf0-8e3c-9bdf9db53e75_1713949148820.wav
moment_4_reproductive_44dc945b-bd33-49e8-962d-c4d48154ab87_1718351361931.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyoÉ.Nielezee?.Eeh apa ulichokipenda kwenye aina A.Kwa uzao wake eina A m uzao wake ni mzuri.Mmh.Eeh lakini isipo kwa kuuza hayana biashara.Mmh.Eeh.Sawa kingine ulichovutiwa nacho kwenye hii aina A.Kurefuka yanarefuka vizuri.Mmh.Hayana shida.Mmh.Na wala hayanaga kamba kivile.Mmh.Sanaa hayana kamba sana.Mmh.Eeeh apa si tumemalizaÉÉ aahh hamna kingine unachokipenda.Hamna kingineÉ
generated_audios/moment_4_reproductive_44dc945b-bd33-49e8-962d-c4d48154ab87_1718351361931.wav
1690360121028.wav
ni kitu gani uklichopenda kwenye aina ya C kwa bishara au kw amatumizi ya chakula? kwa biashra ni nzuri kwasababu haina gesi, na, kwa biashara ina bei nzuri sokoni inakubalika na kwa chakula haina gesi
generated_audios/1690360121028.wav
moment_3_vegetative_2bbdaaf1-6a0b-4236-8217-aa09f69110c3_1712731276671.wav
nini usicho penda kuhusu aina A?yani aina ya A kitu nisicho kipenda ni hawa wadudu kutoboa toboa haya majani, na maharage hii tumeotesha ikawa imekufa mengineyo.unaweza ukaelezea zaidi kuhusu, unavyosema kwamba kuna baadhi ya maharage yalikufa. sasa hii maharage kufa, namashaka kwamba labda ni hii tu hali ya hewa mvua ilinyesha badae mengine yakawa yame hayajaota mengine ya yakaota, shida hiko hapo. sawa nashukuru
generated_audios/moment_3_vegetative_2bbdaaf1-6a0b-4236-8217-aa09f69110c3_1712731276671.wav
moment_3_vegetative_20240417_434e7999-4443-4f75-ac0d-44bd24475ec5_1715849516768.wav
ninini unapenda kuhusu aina B?.aina B naipendaammhkwanza ina beimmhpili inaa mazao ya kurizisha yan inazaa vizurimmheehsawa naa kuna kitu chengine chochote unaweza kueleza kwa undani zaidi kuhusu kuipenda aina B?.Hapana naipenda ata kwa kula yenyewe ni nzurimmheeesawaa
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_434e7999-4443-4f75-ac0d-44bd24475ec5_1715849516768.wav
moment_4_reproductive_7a2a9910-b6f1-4a15-a4c8-1606b1616295_1715071712406.wav
angalia aina ya B na elezea chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.hakuna ninacho kipenda kwasababu mbegu haiku ota.
generated_audios/moment_4_reproductive_7a2a9910-b6f1-4a15-a4c8-1606b1616295_1715071712406.wav
moment_4_reproductive_d606ac4b-b2ae-4e86-a7d8-9fc5c6efa290_1718380989171.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina B iimezaa vizuriii na pia ina imekauka mapema.Kitu ambacho unachukia kwenye aina B.Aah kitu chochote ninachochukia kwenye aina B akuna akuna kitu chochote ambacho nnakichukia kwakweli mbegu ni nzuri komaa haraka ime kauka vizuri.Mmh.Nime ifurahia kwakweliÉSawaÉ.MmhÉ
generated_audios/moment_4_reproductive_d606ac4b-b2ae-4e86-a7d8-9fc5c6efa290_1718380989171.wav
moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944381554.wav
Ni nini usicho kipenda kuhusiana na aina A? eee hapoo sina kitu ambacho sikipendi kwenye kwenye aina hiyo kwasababu matokeo yanaridhishasawa asante
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944381554.wav
1690442245161.wav
ni kitu gani hukupenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula sikuyapenda kwa sababu ya biashara na sababu zenyewe sokoni hayana wateja wanaoyapenda
generated_audios/1690442245161.wav
1690965835673.wav
kwa hiyo umesema hii aina A ukiipika ni nzuri ina ladha nzuri ina rojo ina ladha ina rojo, tuseme ina rojo sawa
generated_audios/1690965835673.wav
1690361348049.wav
Kwa ujumla aina gani ya Tricot ulipenda zaidi? Ni A, ni B au ni C? Embu anza maana huyu ame Nimeshaanza, Kwa ujumla aina gani ya Tricot ulipend zaidi? Ni A, B au C? C Ni C?
generated_audios/1690361348049.wav
1690274591706.wav
Je kuna kitu chochote kinaweza kufanya aina ya B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ni kitu gani? Yana yana hayana gesi alafu pia yanapendwa sokoni kwaajili ya ile rangi nzuri yaliyokua nayo Rangi? aya
generated_audios/1690274591706.wav
moment_3_vegetative_20240417_4aa50242-2dfe-4f25-88a5-53c40a21c31a_1715685526716.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Hakuna kitu chochote nisichokipenda kwenye aina C, labdaa sijaelewa kwenye mfumo wa biashara utakuwa ukoje ilaa hakuna kitu chochote ambacho sijakipenda kwenye aina hiyo C.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4aa50242-2dfe-4f25-88a5-53c40a21c31a_1715685526716.wav
moment_3_vegetative_20240417_23c03b55-31f4-45f6-acd8-68a6f86680b2_1714621597875.wav
Nini unapenda kuhusu aina C.Aina C siipendi.....
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_23c03b55-31f4-45f6-acd8-68a6f86680b2_1714621597875.wav
moment_4_reproductive_a61dafb5-e9ce-4497-8b7d-a3537f17263e_1715588383651.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Aina B maharage haya nayapenda kwa sababu ya hali ya hewa ni mbaya lakini yamejitahidi kidogo.Unaweza ukaelezea zaidi?Hapana.
generated_audios/moment_4_reproductive_a61dafb5-e9ce-4497-8b7d-a3537f17263e_1715588383651.wav
moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958191999.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.aaah mbegu hii C vile vile haina tatizo yani tatizo tu ni kwamba hii haitaki mvua nyingi ikiwa sasa kwa mwaka huu imee short kwa ajili ya mvua nyingi imezidi yani sawasawa yanii sio tatizo sana .
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958191999.wav
moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869419897.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyoÉ.......Ukuaji uotaji wake ni mzuri pia hata ukuaji wake pia ni mzuri.Sawa kwahiyo ulichokipenda kuhusu aina A umesema ni huo uotaji wake na ukuaji wake huna kingine labda ambacho umekipenda kuhusu aina hii? zaidi ya hivyo ulivyoni vitaja.Kingine ni kuwahi tu kutoa tu mauwaaa.Sawa.EeehÉ...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869419897.wav
1690622629413.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula kwa matumizi ya chakula siyapendi kwa sababu yakikaa siku moja ya kesho yake yanalelembuka yanakuwaje? yanakua n a ule utelezi flani hivi hayafai kwa chakula
generated_audios/1690622629413.wav
moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713936012299.wav
nini usichokipenda kuhusu aina C?.aaa C hakuna ambayo kitu nisiokipenda.kwa hio vyote umevipenda.ee vyote nimevipenda.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713936012299.wav
1690274265044.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Hakuna Hakuna? sawa
generated_audios/1690274265044.wav
1690525589859.wav
Ni kitu gani ambacho hukukipenda kwenye hiyo varayati C? hii aina C ni mbegu ambayo inaota kwa gubu na mvuno yake ni machache
generated_audios/1690525589859.wav
moment_3_vegetative_6a7f4ea6-c1ca-44b2-b280-82946b550e50_1713970527563.wav
sawa sasa ndugu mkulima angalia aina A hio hio na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hio.ah hii apa ni nzurii ni ni ni nzuri yani mbegu, kiujumla nzuri yani.ndio.eeh.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_6a7f4ea6-c1ca-44b2-b280-82946b550e50_1713970527563.wav
moment_4_reproductive_7f9ace65-305e-463b-861f-baac21eb2bc3_1715592301942.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?Hapa sijapenda kitu.
generated_audios/moment_4_reproductive_7f9ace65-305e-463b-861f-baac21eb2bc3_1715592301942.wav
moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459437607.wav
nini usichokipenda kuhusu aina A?nisichokipenda katika aina A iimeshambuliwa sana na wadudu na baridi ikawa imeyazidi.
generated_audios/moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459437607.wav
moment_4_reproductive_01c6da65-2976-452a-875a-91e0f69ec22a_1716879591872.wav
angalia aina A na eleza chochote unakiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?aina A kitu ninachokipenda yamezaa vizuri yamejitahidi kuzaa vizuri ndio kitu ndio kitu ambacho ninakipenda
generated_audios/moment_4_reproductive_01c6da65-2976-452a-875a-91e0f69ec22a_1716879591872.wav
1690965741579.wav
Je kuna kitu chochote ulichokipenda kuhusu kukuza aina B? Rudia Kuna kitu chochote ulikipenda kuhusu kukuza hii aina B? Ni mbolea zaidi Yaani ulipenda, uliipendea nini hii B yaani unasema labda ningeipata B ningeipenda kwa ajili ya hii na hii Yaani hii namba B ningeipenda kwamba namba B ukiipiga mbolea vizuri na ikipandwa kwa wakati inaonyesha mazao yatapatikana mengi kulikoni hii namba A Sawa Kwahiyo hii ulivyoipanda na hii hii apa ipi iliyowahi kutoka au zote zilitoka kwa pamoja? Zilitoka, kutoka zinatoka kwa wakati mmoja Sawa
generated_audios/1690965741579.wav
moment_4_reproductive_dbfd1f71-49e8-4fcd-91cf-ac187d59977b_1716703578900.wav
Angalia aina C na ereza chochot unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Hakuna kwakweli…..
generated_audios/moment_4_reproductive_dbfd1f71-49e8-4fcd-91cf-ac187d59977b_1716703578900.wav
1690525436275.wav
nini ulikipenda kuhusu kukuza aina ya A ukihusianisha na sifa za kilimo aina ya A inaota vizuri, maua yake yanakuja vizuri inabeba na inakua imenenepa kidogo sio mbaya
generated_audios/1690525436275.wav
moment_3_vegetative_20240417_c755a8bf-c117-48a7-9a66-09d8c27aaad7_1713599456168.wav
mmhh ndugu mkulima angalia na eleza chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo. simu. ooo. hi hii hapa hakuna kitu ambacho sikipendii naona tu maharage yana endelea vinzuli afya yakwe ni nzuli.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c755a8bf-c117-48a7-9a66-09d8c27aaad7_1713599456168.wav
1690628670605.wav
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanyika au kukifanya aina B kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula ndio, ndio,itakua nzuri kwa sababu ya ardhi, hii inataka ardhi ya kichanga, hizi mbegu mbili ardhi ya kichanga, hiyo nyingine namba C naona udongo wowote unaapply kwake
generated_audios/1690628670605.wav
moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876386762.wav
…Angalia aina B na elezea chochote unachokioa ambacho unakipenda kuusu hiyo.Kwenye aina B naona kidogo imenilizisha kwasabu naona kama ina inameaa japokuwa siosanaa lakinii siombaya naona kama imeji imejitaidi.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876386762.wav
moment_3_vegetative_20240417_2555f469-e8e5-4ab9-9bd8-7c446033a327_1718000521833.wav
usichokipenda kuhus aina C .hamna nafasi sipendi kitu ….nazipenda zote.unapenda unapenda kila kitu.mmmmh.aya asante.…napenda …....anhaaa.mmmmhsawa
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_2555f469-e8e5-4ab9-9bd8-7c446033a327_1718000521833.wav
moment_3_vegetative_20240417_5a87a12e-caa5-470c-90bb-eeb2c935db0e_1713866124401.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Katika kitalu namba B nilicho kipendea ni kwamba kwasasa maua yake naona kama ni yame yamekuwa ni mengi kuliko vitalu vya namba namba A...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5a87a12e-caa5-470c-90bb-eeb2c935db0e_1713866124401.wav
moment_3_vegetative_20240417_5b99d4f1-94a7-4542-bbc9-6fd464370a5a_1714374232430.wav
nini usichopenda kuhusu aina c?aina C nisichopenda kwakweli ina changamoto yake namaana inashambuliwa na wadudu pale unapoachia majani wadudu wanawai kwahiyo inatakuwa inapoota tu unapalilia kwahiyo unatakuwa uwe makini na aina hiyo Csawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5b99d4f1-94a7-4542-bbc9-6fd464370a5a_1714374232430.wav
moment_4_reproductive_e3ed73e9-018f-4b31-b85b-64729bba6438_1716441269835.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Majani yake yana ambacho sikipendi majani yake yanaanza kua ya njano mapema yani yana yanaonesha kama dalili ya kukauka mapema.
generated_audios/moment_4_reproductive_e3ed73e9-018f-4b31-b85b-64729bba6438_1716441269835.wav
moment_3_vegetative_20240417_4902a28d-0ab2-45d9-babf-68d0b21f0335_1714567749025.wav
nini unapenda kuhusu aina A?.nakuhusu aina A naipenda kwasababu inatoa na kutoa nanii mzao moja kwa moja.ni hicho ulichopenda hakuna jambo lingine ulichopenda.pia imeota vizuri halafu haijaliwa na wadudu.…mmh…asante
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4902a28d-0ab2-45d9-babf-68d0b21f0335_1714567749025.wav
moment_3_vegetative_6aac8c57-6c12-4955-9ce5-6c07aa22827d_1718089933006.wav
haya samaha samahani mama naomba unielezee aina A kitu ambacho umekipenda kwenye aina A?kitu ambacho nimekipenda kwenye aina A?ndiyonaonaa uzalishaji wake ni mzuri.ndiyoeehkitu kingine?kwenye huu nanii kwenye A?eehimepitia hapo changamoto kidogo.ambacho umekipenda?ambacho nimekipenda.eehnaona hali yake sio mbaya.mmhmmh maua naona yametoka vizuri.mmhndiyohaya.
generated_audios/moment_3_vegetative_6aac8c57-6c12-4955-9ce5-6c07aa22827d_1718089933006.wav
moment_4_reproductive_91734d55-3c19-4d65-873b-95fc276ec1a5_1717053585105.wav
Ahaaa nini umependa kuusu aina hii C.Apa nimependa umesaa haukuwa apa umekuwa kidogo.Aaa kidogo apa kuna unafuu kwenye kukua.Eeee.Ahaaa.
generated_audios/moment_4_reproductive_91734d55-3c19-4d65-873b-95fc276ec1a5_1717053585105.wav
moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714040812858.wav
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?mimi kitu ambacho labda ninaweza kuona kidogo kina matatizo kwa mawazo yangu, nilikuwa nafikiri kwa hali ya hapa kwetu harai huu upandaji kidogo unanitia mashaka kwamba hii miraba ambayo centimeter hamsini naona kama ni nizaidi, kama labda ingewekwa centimeter thelathini ingekuwa vizuri kama ukipanda hivyo unaweza ukavuna vizuri zaidi, ndio mawazo yangu sawa sawandiyoje kwaku kwamtazamo labda ukitazama, kwakutazama mimea je jambo lingine ambalo alikuvutiijambo ambalo alinivutii ni kwamba hii mimea nikiiangalia inaonesha udhaifu haioneshi kunawiri kama kawaida nilivyo zoea maharage yanavyo nawiri, kwahivyo hii inahitaji labda utaalamu zaidi kwanini haioneshi kunawiri ikawa kijani inayo pendeza inakuwa mpauko pauko, sijaelewa sababu ni ninisawa umeongelea maswala ya kunawiri, je kunawiri kunaweza kukawa kunachangia nini?kunawiri ninaamini kwamba mmea ukinawiri kunakuwa na nguvu, kwasababu naamini kunawiri kunaanzia kwenye mizizi, na hile mizizi inatengeneza chakula kinakuja kwenye mti wenyewe na majani, basi hata matunda yake yanakuiwa na nguvu zaidi mradi hisi zidi, maana wakati mwengine tunapandaga kwenye mbolea linakuwa la hovyo hovyo tu linakuwa na matunda machache sana, kwahivyo kunawiri kuna mambo mengi, inatakiwa pawe pawazi labda na mimea yenyewe kama hii sasa hivi isije ikawa labda imenawiri sana kupita kiasi, ikinawiri kiasi na matunda yake yatakuwa mengi ndivyo tulivyo zoeasawa sawandiyoje kuna jambo lengine lolote?jambo ambalo mimi ningeliomba, sipendelei kupanda bila ku nani kuwa na na mbolea kabisa, kupanda kwa mbolea nafikiri itakuwa vizuri zaidi, kuliko jinsi tulivyo shauriwa kwamba fanya unavyo fanya siku zote hili tuone matokeo, kwasababu wataalamu walivyo nambia nambia ukipanda kama maharage yako unapalilia vizuri na hapa upalilie kama unaachaga pori ufanye hivyo hivyo ilituone matokeo, hii nimefanya hivyo hivyo na siku sikuweka mbolea yoyote ilinione matokeo nijifunze zaidi ni hivyo tu sawa sawa asanteeee
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714040812858.wav
1690278704531.wav
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya C kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ndio labda hii hii C ukataka kuifanya kua ni ya biashara ili upate faida nyingi ni lazima utafute shamba kubwa, utumie mbolea utafute pia na mtaji Ndio ndio Na pia uitafutie soko mwenyewe Na pia uitafutie soko mwenyewe Sawa na kwa upande wa chakula? Kwa upande wa chakula yanafanya vizuri maana mtu yoyote anaweza akatumia hata mwenye vidonda vya tumbo anatumia maana hayana gesi ndio ndio Kwa hiyo yanafaa kwa chakula
generated_audios/1690278704531.wav
moment_4_reproductive_00517240-9e93-4fd2-94b2-54b60c07a9f6_1716471182715.wav
Nini usipenda kuhusu aina B? usichokipenda kuhusu aina B.Aina B naipenda.Kuna chochote ambacho hukipendi kwenye aina B?Hamna naipenda.Hakuna ambacho hakikufurahishi kwenye aina B?Mmmhnku
generated_audios/moment_4_reproductive_00517240-9e93-4fd2-94b2-54b60c07a9f6_1716471182715.wav
moment_3_vegetative_20240417_4d19ba4d-1f01-43c4-ad5e-a55ccc1dec85_1715587060700.wav
angalia aina A na eleza chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hii inaonekana kwamba ni fupi sana na uzao wake unaonekana kwamba ni mdogo.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4d19ba4d-1f01-43c4-ad5e-a55ccc1dec85_1715587060700.wav
moment_3_vegetative_dd9aabed-e0d2-4790-8fa6-88a92bf42c47_1718025739502.wav
Usichokipenda katika aina C.Hamna nisichokipenda aina CÉ
generated_audios/moment_3_vegetative_dd9aabed-e0d2-4790-8fa6-88a92bf42c47_1718025739502.wav
1690885130360.wav
je ni aina gani ya hii tricot ambayo umeipenda zaidi C
generated_audios/1690885130360.wav
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza kuhusiana na hii aina.Kidogo ni majani.Unavyosema majani unamaanisha nini.Majani imenawiri kidogo majani ni mazuri na nimeweka mbolea mbolea ya samadi lakini sasa sijajua ni nini tatizo mpaka leo kidogo ndo nilivyoweka mbolea ya samadi ndio kidogo ikasogeasogea ndio mpaka sahivi ikabadilisha rangi ya majani ikawa mazuri majani ilikuwa imenyongonyea.Kwani rangi ya majani ilikuaje unavyosema rangi ya majani ilikuaje.Ilikuwa njano.Anhaa.Mmh.Naomba jitahidi kunielezea zaidi nataka kuelewa.Nanii majani wakati inaanza kuu ilivyoota iliota vizuri baada ya kufika hatua fulani majani ikabadilisha rangi ikawa ya njano, baaada ya kuona imekuwa ya njano mikaenda kuchukua mbolea ile ya mbuzi nikamwaga kidogo hapo ikanyeshewa na mvua sasa nikaona baada ya kukaa wiki moja nikaona ikabadilisha rangi ikawa ya kijani.Yaani kilichokupendeza kwenye hii aina. Ilivyoweka majani imenipendeza sahivi ndio imeanza kuweka maua kwahiyo sio mbaya tangia nimeweka mbolea ndio inaanza kuweka maua. Kwa sasa sio mbaya inakuja kuja wakati nimetumia kuweka mbolea ya samadi.Anhaa. Nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
moment_3_vegetative_504335e3-af0d-4f10-8fde-84d770ecb4b7_1714230594467.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokipenda kuhusu aina hiyo?Aina hiyo hipo vizuri nayamesimama vizuri kiujumla.Umependezwa na nini hapo kwenye aina C?Kwa sababu yamesimama vizuri yapo tofauti na menzake.Unaweza ukatwambia huo utofauti.Ndio.Yes twambie huo utofauti?Wenda udongo huko tofauti na wenzake japo hupo pamoja lakini sehemu inaonekana hiko nzuri.Eee kipi ninacho tofautisha kati ya aina hiyo C na aina nyingine?Mengine hayapo kama yenzake kwasababu mengine yana ukijani mzuri mengine hayana ukijani vizuri.Kuna nini kwenye aina C kilichokuona kwamba ukipende kuliko aina nzingine?Kwasababu yana utofauti yapo vizuri kuliko yenzake.Nini hicho kilichofanya yawe mazuri kuliko yenzake?Wenda kuna rutuba kuliko sehemu hii hapa ya aina B.Uzuri wake huo unaouona ni nini nini ambayo we unaona kwamba yako vizuri nini?Wenda kuna mbolea aina C.Umeyaonaje hadi uhisi haya yako vizuri yani?Uzuri wake kwa sababu yapo tofauti na yenzake.Uzuri huuo nambie unaenza uka ukanambia uzuri huo ni nini?Wenda mabadiliko ya maharage yapo tofauti tofauti ndo maana yamesiimama vizuri.Maharage yamebadilika nini unavyoyaangalia haya aina C yamebadilika nini haya.Yapo tu vizuri kiujumla.Ebu nambie uzuri wake huo ndo nautaka huo uzuri ambao ukupenda uone kwamaba A tofa hiko tofauti na A iko tofauti na B umeupenda nini kwenye aina C.Kama nilivyokwambia nimependeza na jinsi ulivyo tofauti na wenzake.Sawa lakini sasa kilichokupendeza sasa hicho ndo nakitaka unambie ebu angalia angalia hicho ndo nataka unambie hicho?Kilicho nipendeza ni wenda ni rutuba zipo pamoja lakini pale kuna rutuba zaidi kuliko penzake.Eee maharage yenyewe sasa rutuba sawa sasa kwenye maharage yenyewe kilichokuendezesha ni nini.Yapo vizuri yame yameanza kutoa maua kuliko yenzake hayana afya vizuri yana afya lakini sio sana kuliko aina C.Sawa asante.Tayari ikaje.
generated_audios/moment_3_vegetative_504335e3-af0d-4f10-8fde-84d770ecb4b7_1714230594467.wav
1690278709115.wav
je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina C? ukielezea kwenye sifa za kilimo, je ipo yoyote ambacho ulipenda! aina hii ya C nilipenda kuona ni aina geni ya mbegu kwahiyo wakati nazipanda nilitegemea kutokuapa matokeo mazuri kutoka kwake
generated_audios/1690278709115.wav
1691068510056.wav
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya A Kuna kitu chochote ulikipenda? Hapana Eleza kwenye sifa za kilimo Ni kwanini hapana Kwasababu inashambuliwa na wadudu Inashambuliwa? Na wadudu Alafu sifa nyingine ya pili Haivumilii ukame Kwamba sio nzuri kwa kilimo, is umesema kwamba sio nzuri A hiyo eeh Kwa nini sasa
generated_audios/1691068510056.wav
moment_3_vegetative_70198d08-33c9-4415-b85a-0171b9bdb821_1713334258126.wav
angalia aina B na eleza chochote na unachokipenda kuhusu aina hiyo.nimeona yameota vizuri na yanaendelea kukua vizuri…naendelea kukua vizuri.kivipi yani.yameota vizuri yanakua vizuri.yanakua vizuri.mmh.ukisema yanakua vizuri unamanisha kitu gani?.… kukua vizuri yani kama hali yake itakuwa nzuri.itakuwa nzuri sawasawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_70198d08-33c9-4415-b85a-0171b9bdb821_1713334258126.wav
moment_4_reproductive_d1aebcbc-27a6-407b-9b1b-62c674a7044d_1716527107953.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.kwa kweli aina B nimei nimeipenda kwa sababu imezaa vizuri nayo ingawa mengine yameedumaa kidogo lakini ni hivi yamezaa kwa kweli.
generated_audios/moment_4_reproductive_d1aebcbc-27a6-407b-9b1b-62c674a7044d_1716527107953.wav
moment_3_vegetative_20240417_22eeb7c5-a8b9-4624-ae8e-1d024ec08fe6_1714313236003.wav
Aaah tunaendelea na maswali angalia aina A naaa eleza kitu chochote ambacho uuu hukipendi kuhusu aina hiyo.Hapa katika aina A hakuna kabisa ambacho sikipendi.Hakuna.Hakuna kabisa.Hakuna kabisaaa.eeeeh hakuna.hakuna sababu ambayo inakufanya usipende.yaani apa hakuna sababu ata mojaa.hakuunaa.eee.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_22eeb7c5-a8b9-4624-ae8e-1d024ec08fe6_1714313236003.wav
moment_6_postharvest_7f3915b8-9331-40ca-a460-6909bc96ed81_1719294238159.wav
Angalia aina B na elezea chochote ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Aina B kitu amabcho sipendi ni kitu kimoja tu inakua na gesi hiyo tu sipendi gesi.
generated_audios/moment_6_postharvest_7f3915b8-9331-40ca-a460-6909bc96ed81_1719294238159.wav
moment_3_vegetative_20240417_12ed6e4b-2eb9-497f-a80c-3215f1bdd0bd_1713947261084.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A?Hapa nisichokipenda ni haya majani ambayo yamekuwa na rangi fulani kama ya njano hio kwa kweli sikupenda kwenye haya maharage hayanivutii.Ukiwa unasema kuna baadhi ya majani haupendi kuhusu hii aina A yanaonekanaje hayo majani au yapo upande gani wa shina la mmea.Rangi hiyo ya majani ambayo siyapendi yanaonekana upande wa chini kwenye shina la maharage. Kuna kingine ambacho unakiona hukipendi kuhusu aina A.Hapana.Sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_12ed6e4b-2eb9-497f-a80c-3215f1bdd0bd_1713947261084.wav
moment_3_vegetative_20240417_9b8eb960-ed89-4c7b-8ec1-612d514abc77_1714572609708.wav
Nini unapenda kuhusu aina C.Aina C nimeipenda kwasaabu pia imewai kuteremsha mifukooo inaonyesha kwamba kama inawaai lakini uzao wake pia ni mdogo.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_9b8eb960-ed89-4c7b-8ec1-612d514abc77_1714572609708.wav
moment_3_vegetative_20240417_d5ad80c6-40e5-472c-9c1e-5ded741730d8_1714459387159.wav
Nini unapenda kuhusu aina A.Napenda kwasababu kwanza iliota vizuri katika uotaji A ilikuwa ndio number one kwa uotaji ilikuwa nzuri sana B na C ilikuwa iko shida kidogo lakini baadae ndio ikawa inajeleta hali nzuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_d5ad80c6-40e5-472c-9c1e-5ded741730d8_1714459387159.wav
moment_3_vegetative_20240417_12db6eaa-2fd2-4f1c-8876-c8f2bec8da00_1713862098139.wav
nini unapenda kuhusu aina C?.Aina C naipenda kwanza moja ilivy ilivyopandwa iliota haraka pili inastawi vizurii tatu inatoa mauwa vizuri, nne haishambuliwi na wadudu sana.mmh kitu kingine labda.kitu kingine.mmh.kitu kingine inavulimia ukame.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_12db6eaa-2fd2-4f1c-8876-c8f2bec8da00_1713862098139.wav