id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
3680
57
msanii wa huu wimbo ni nani
music_query
3681
57
wimbo huu ni wa mtindo gani
music_query
3682
57
nani muimbaji wa wimbo huu
music_query
3684
57
google nimesikiliza nyimbo gani angalau mara kumi
music_query
3685
45
tafadhali nichezee orodha ya nyimbo yangu ya kilatini
play_music
3687
45
ningependa kuskiza rap muziki sahii
play_music
3688
14
fanya hii ikuwe na sauti ya juu kiasi
audio_volume_up
3689
14
ongeza sauti ya spika
audio_volume_up
3690
46
kuwa umenyamaza kwa dakika thelathini
audio_volume_mute
3691
13
ni joto gani la sasa huko austin
weather_query
3692
20
tafadhali rudia sentensi ya mwisho kutoka hicho kitabu
play_audiobook
3693
48
olly nahitaji kengele iwekwe ya saa kumi na moja na nusu asubuhi kesho
alarm_set
3696
48
google weka kengele yangu ilie kwa saa moja
alarm_set
3697
24
washa hii soketi
iot_wemo_on
3698
43
tupac ndio muimbaji wangu bora
music_likeness
3699
43
inabidi uangalie kofi yeye ndiye bora zaidi
music_likeness
3703
23
ni kengele gani zimewekwa za hii wiki
alarm_query
3706
0
leo ni tarehe tisa
datetime_query
3707
13
hali ya hewa itakuwa aje tarehe
weather_query
3709
57
wimbo huu ulirekodiwa wakati gani
music_query
3710
45
kumekimya sana huku
play_music
3711
45
piga kelele
play_music
3715
43
tafathali hifadhi maoni yangu kuhusu wimbo huu
music_likeness
3716
43
tafathali weka kila kitu ambacho ninacho kwa huu muziki
music_likeness
3719
0
ni wakati gani mimi kukaa katika uganda sasa hivi
datetime_query
3722
0
ni wakati gani katika nusu ya mashariki yetu sasa hivi
datetime_query
3726
0
nionyeshe tarehe ya leo
datetime_query
3728
45
ggoogle tafuta na ucheze huwezi kushindana ya goodluck gozbert
play_music
3729
45
okonkwo ya mejja
play_music
3730
22
tafadhali niambie rasimu ya kuchagua wa houston texans wa hivi karibuni
news_query
3731
22
nahitaji kujua habari yote mpya ya draft ya sofapaka
news_query
3732
22
nitumie habari yote ya draft ya sofapaka
news_query
3733
1
olly fanya taa kuwa ya bluu tafadhali
iot_hue_lightchange
3735
1
olly geuza kuwa taa za rangi nyekundu
iot_hue_lightchange
3736
35
tafadhali punguza sauti ya kipaza sauti
audio_volume_down
3737
35
punguza sauti kwa kipaza sauti
audio_volume_down
3738
35
tafadhali rekebisha vipaza sauti kwa kiwango ya chini kidogo yenye starehe
audio_volume_down
3739
22
onyesha habari za dunia ya leo
news_query
3740
22
toa habari mpya za dunia
news_query
3743
57
jina la wimbo huu ni nini na nani anaimba
music_query
3745
56
nahitaji kahawa
iot_coffee
3746
56
nataka kahawa
iot_coffee
3747
22
google nijulishe wakati kuna habari yoyote kuhusu uhuru
news_query
3748
22
niweke nimesasishwa na habari za dhoruba za karibuni zaidi
news_query
3751
22
maarufu tuko
news_query
3752
22
habari ya hivi punde
news_query
3753
34
washa kifyonzi
iot_cleaning
3755
22
naaeza pata muhtasari ya kinachoendelea na mbio sasa hivi
news_query
3756
45
cheza rhumba ijayo
play_music
3757
45
fanya happy birthday uwe wimbo unaofuata
play_music
3759
48
niamshe saa moja asubuhi
alarm_set
3760
48
nahitaji kengele ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm_set
3763
18
alexa ongeza mwangaza wa taa
iot_hue_lightup
3764
48
weka kengele ya saa tatu asubuhi
alarm_set
3765
48
tafadhali niwekee kengele
alarm_set
3766
48
niwekee kengele ya kesho
alarm_set
3767
45
cheza baadhi ya pop
play_music
3770
23
orodhesha kengele
alarm_query
3772
23
tafadhali nisomee kengele zangu
alarm_query
3773
13
unaweza kunipa ripoti ya hali ya hewa
weather_query
3776
1
badilisha taa kuwa nyekundu
iot_hue_lightchange
3777
1
nataka taa za rangi ya machungwa sasa
iot_hue_lightchange
3778
45
cheza orodha ya kucheza ya spotify
play_music
3781
45
ningependa kusikia orodha ya kucheza niliyounda kwa ajili ya harusi yangu
play_music
3782
45
tafadhali chagua orodha ya bongo kutoka miaka ya tisini
play_music
3783
13
hali ya hewa inakaa aje nairobi
weather_query
3786
40
zima taa kwa chumba cha wageni
iot_hue_lightoff
3787
0
kipima muda ni nini huko kenya
datetime_query
3788
0
ni saa ngapi pwani magharibi
datetime_query
3789
25
sema mzaha unaoweka tabasamu usoni mwangu
general_joke
3791
1
nipatie taa za rangi nyekundu
iot_hue_lightchange
3792
46
nahitaji kunyamazisha kipaza sauti
audio_volume_mute
3793
14
wacha kunyamazisha kipaza sauti kwa sasa
audio_volume_up
3794
46
nataka kunyamazisha kipaza sauti
audio_volume_mute
3795
13
kuna digrii ngapi huko houston sasa hivi
weather_query
3797
1
badilisha taa
iot_hue_lightchange
3798
1
badilisha rangi za taa
iot_hue_lightchange
3799
1
badilisha taa ziwe waridi
iot_hue_lightchange
3800
13
hali ya hewa itakuwaje kesho huko mumbai
weather_query
3802
13
nionyeshe kesho hali ya hewa ya mumbai
weather_query
3805
13
hali ya hewa wiki hii
weather_query
3806
13
hali ya hewa ya kesho
weather_query
3807
13
hali ya hewa nairobi wiki hii
weather_query
3808
18
kuleta taa
iot_hue_lightup
3810
14
ongeza tambo za kipaza sauti
audio_volume_up
3813
46
nyamazisha iliyowezeshwa hadi niseme hivyo
audio_volume_mute
3814
13
je kutakuwa na baridi kesho
weather_query
3815
13
kusini kutakuwa na joto kesho
weather_query
3816
45
cheza wimbo unaofuata kwenye orodha
play_music
3817
45
cheza wimbo ya kwanza kwa albamu unaofuata
play_music
3818
45
rhumba yangu ya kwanza nayopenda zaidi kwenye mpangilio
play_music
3820
43
kumbuka wimbo wa sasa kama wa kushangaza tafadhali
music_likeness
3821
43
wimbo wa sasa unakadiriwa kuwa na nyota tatu
music_likeness
3824
22
habari ya karibuni ya ndege za nairobi
news_query
3825
22
orodhesha hadithi za gari za sasa
news_query
3826
57
olly nini hii inacheza saa hizi
music_query
3827
57
ni wimbo gani unaocheza sasa hivi
music_query
3828
52
nahitaji kufuta kengele ya kanisa jumapili saa tano asubuhi
alarm_remove
3830
52
sihitaji tena kengele ya kila siku ya saa kumi na moja jioni
alarm_remove
3831
45
nataka kusikiza bongo tafadhali
play_music