id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
3975
48
tafadhali niamshe saa mbili asubuhi
alarm_set
3976
48
weka kengele yangu ya saa mbili asubuhi
alarm_set
3977
48
nishtue saa mbili asubuhi
alarm_set
3978
13
je hali ya hewa mombasa ikoje
weather_query
3979
13
je kuna joto nje sasa hivi hawaii
weather_query
3981
45
tafadhali washa spotify playlist yangu
play_music
3983
46
wacha hiyo
audio_volume_mute
3984
46
tafadhali kuwa mtulivu
audio_volume_mute
3985
48
tafadhali unda kengele ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm_set
3987
48
tafadhali unaweza weka kengele ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm_set
3988
22
citizen
news_query
3990
22
citizen
news_query
3991
40
unaweza zima taa
iot_hue_lightoff
3994
0
siku gani ya juma ni krismasi
datetime_query
3996
22
zipi habari katika eneo langu
news_query
3998
22
alexa nini kanaendelea leo
news_query
3999
22
nini kinaendelea leo
news_query
4000
22
ni nini kilifanyika jana katika zora
news_query
4002
45
cheza rap
play_music
4004
18
ongeza mwangaza wa taa za sebuleni
iot_hue_lightup
4005
18
ongeza taa sebuleni nusu njia
iot_hue_lightup
4006
18
ongeza mwangaza
iot_hue_lightup
4007
28
anza kuchanganya
music_settings
4009
31
fanya taa kung'aa kidogo
iot_hue_lightdim
4010
31
tafadhali ongeza giza kwa taa
iot_hue_lightdim
4011
34
niwashie kifyonzi
iot_cleaning
4014
52
toa kengele zangu zote
alarm_remove
4015
52
toa kengele yangu ya ku amka
alarm_remove
4016
52
olly ondoa kengele yangu ya ku amka
alarm_remove
4018
52
olly ondoa kengele zangu za sasa
alarm_remove
4019
0
likizo ijayo ni lini
datetime_query
4021
0
ni siku ngapi katika mwezi huu
datetime_query
4022
22
taarifa za habari
news_query
4025
8
zima
iot_wemo_off
4027
1
fanya taa iwe nyekundu
iot_hue_lightchange
4028
1
rangi taa nyekundu
iot_hue_lightchange
4029
45
cheza bongo flava mbadala
play_music
4030
45
cheza nani kama wewe
play_music
4032
45
hits zipi ya leo ya country
play_music
4035
1
nyeupe
iot_hue_lightchange
4036
1
taa kijani
iot_hue_lightchange
4037
40
patipati
iot_hue_lightoff
4038
16
agiza piza kutoka pizza inn
takeaway_order
4039
3
ninaweza kuagiza piza ya kuwasilisha wapi
takeaway_query
4041
45
cheza safari ya samburu wa les wanyika
play_music
4042
34
tafadhali washa kifyonzi
iot_cleaning
4044
34
anza utupu sasa tafadhali
iot_cleaning
4045
57
huu wimbo ni wa nani
music_query
4047
3
je java wanawasilisha
takeaway_query
4049
3
thibitisha kama java wanawasilisha
takeaway_query
4050
25
tafadhali niambie utani
general_joke
4051
13
kuna theluji sasa hivi
weather_query
4052
13
je ni joto nje
weather_query
4053
13
je kuna jua nje kwa wakati huu
weather_query
4054
45
cheza daima
play_music
4056
45
cheza pete yangu
play_music
4057
45
unaweza cheza zilizopendwa tafadhali
play_music
4059
43
mimi nafurahia kweli rock and roll
music_likeness
4060
40
zima taa sebuleni mwangu
iot_hue_lightoff
4061
1
tafadhali badilisha rangi ya taa ntakuambia wakati wa kuacha
iot_hue_lightchange
4062
3
mkahawa huu unaleta
takeaway_query
4063
3
wataniletea mimi
takeaway_query
4064
3
mahali hapa hufanya beba
takeaway_query
4066
0
unaweza kuniambia ni saa ngapi huko new york
datetime_query
4067
0
unajua ni siku gani
datetime_query
4068
0
tafadhali nijulishe tarehe ya leo
datetime_query
4069
0
wakati wa sasa
datetime_query
4070
14
ongeza sauti tafadhali
audio_volume_up
4071
35
tafadhali punguza sauti
audio_volume_down
4072
35
waweza weka hiyo chini
audio_volume_down
4074
34
tafadhali washa kifyonzi roboti yangu
iot_cleaning
4075
34
amilisha kifyonzi cha roboti
iot_cleaning
4076
40
weka taa katika chumba cha kulala changu katika hali ya kuzima
iot_hue_lightoff
4078
40
kuzima taa za chumba cha sebuleni
iot_hue_lightoff
4079
23
kengele yangu ya kesho asubuhi imewekwa wakati gani
alarm_query
4080
48
nahitaji kuweka kengele kesho saa sita mchana ya kunikumbusha kunywa dawa
alarm_set
4082
40
tafadhali zima taa za jikoni
iot_hue_lightoff
4085
56
unaweza kuchemsha birika
iot_coffee
4087
43
muziki mzuri
music_likeness
4089
45
cheza orodha yangu kucheza ya ishirini ya juu
play_music
4091
14
nataka sauti kwenye vipaza sauti vyangu
audio_volume_up
4092
46
nyamazisha spika zangu kwa dakika nahitaji kupiga simu
audio_volume_mute
4093
13
je jana kulikuwa na upepo
weather_query
4095
48
tafadhali weka saa yangu ya kengele ya saa mbili asubuhi
alarm_set
4096
48
nahitaji kengele iwekwe ya saa mbili asubuhi
alarm_set
4097
22
nini kinatokea leo
news_query
4098
22
ni nini kichwa cha habari hivi punde
news_query
4099
23
kuthibitisha tu uliweka kengele ilie saa mbili asubuhi
alarm_query
4100
22
habari ya kisiasa
news_query
4101
22
nini kilichotokea jana
news_query
4102
22
habari mpya zaidi za dunia
news_query
4103
57
nini hii tunaskiza
music_query
4105
13
je mvua itanyesha siku chache zijazo jijini nairobi
weather_query
4106
13
je kutakuwa na dalili gani kesho kisumu
weather_query
4107
23
kengele gani zimewekwa kwa simu ya mkono
alarm_query
4108
23
kuna kengele ya saa kumi asubuhi
alarm_query
4109
8
zima soketi yangu ya plagi mahiri
iot_wemo_off
4110
24
washa washa soketi ya plagi mahiri yangu
iot_wemo_on
4113
38
kubadilisha muda wa sasa kutoka ist kwa e. s. t.
datetime_convert
4115
45
sijakua nikiskia mobeto zozote tafadhali weka albamu zao za kwanza saba
play_music