id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
4279 | 43 | mimi hupenda muziki arobaini bora | music_likeness |
4280 | 43 | mimi napenda muziki wa soft rock | music_likeness |
4281 | 43 | napenda nyimbo za chakacha | music_likeness |
4282 | 45 | cheza wimbo kutoka ninazopenda sana yangu | play_music |
4284 | 18 | ongeza mwangaza wa taa | iot_hue_lightup |
4285 | 13 | ni joto gani la juu zaidi wiki hii | weather_query |
4286 | 18 | ongeza mwangaza wa taa | iot_hue_lightup |
4288 | 0 | ni saa ngapi sasa hivi | datetime_query |
4289 | 18 | kuna giza sana humu ndani ongeza mwangaza wa taa | iot_hue_lightup |
4293 | 32 | ni vikumbusho vipi vinavyokuja | calendar_query |
4294 | 23 | unaweza niambia kuhusu arifa nimeweka | alarm_query |
4295 | 45 | tafathali cheza embara mbamba | play_music |
4296 | 45 | ningependa kusikiliza | play_music |
4297 | 14 | ongea kwa sauti ya juu | audio_volume_up |
4298 | 14 | ongeza sauti ya spika | audio_volume_up |
4300 | 1 | fanya taa ziwe taa za sebuleni ziwe katika rangi ya mchungwa | iot_hue_lightchange |
4303 | 45 | tafuta baadhi ya muziki wa bango ya nzenze na uicheze | play_music |
4304 | 45 | cheza kamata dem na jua cali | play_music |
4306 | 45 | cheza wimbo wa josky kiambukuta sango ya mawa | play_music |
4307 | 0 | ni saa ngapi nairobi sasa hivi | datetime_query |
4308 | 0 | ni wakati gani katika eneo la saa la pasifiki wakati huu | datetime_query |
4310 | 22 | nini unachosema kuhusu uhuru kenyatta kwenye mada hii | news_query |
4311 | 22 | tafadhali nitafutie habari za hivi punde za p.e | news_query |
4314 | 13 | hali ya hewa ni yenye mawingu usiku wa leo | weather_query |
4315 | 40 | zima taa za chumba changu | iot_hue_lightoff |
4316 | 40 | zima zima taa zote | iot_hue_lightoff |
4320 | 43 | mimi napenda muziki wa salsa | music_likeness |
4322 | 40 | zima taa za chumba changu | iot_hue_lightoff |
4323 | 40 | zima taa sasa | iot_hue_lightoff |
4324 | 45 | cheza ninanoki ya nameless | play_music |
4325 | 45 | cheza kanungo ya willy paul | play_music |
4327 | 13 | je ni baridi sana kwenda kuogelea | weather_query |
4328 | 13 | nini utabiri wa siku tano | weather_query |
4329 | 57 | unaujua wimbo unaocheza simuni mwangu | music_query |
4330 | 57 | wimbo unaocheza unaitwaje | music_query |
4332 | 45 | cheza nyimbo za bongo | play_music |
4333 | 27 | nini kinatokea kwa sasa kwenye twitter | social_query |
4335 | 57 | ni muziki gani unacheza | music_query |
4337 | 0 | ni saa ngapi kenya | datetime_query |
4340 | 16 | onyesha chakula za swahili hapa karibu | takeaway_order |
4341 | 14 | ongeza sauti ya spika | audio_volume_up |
4342 | 35 | punguza sauti ya vipaza sauti | audio_volume_down |
4343 | 14 | ongezea sauti ya vipaza sauti hadi asilimia hamsini na tano | audio_volume_up |
4344 | 43 | kiwango cha wimbo huu nyota tano na kuokoa rating | music_likeness |
4345 | 43 | kumbuka wimbo huu ni mzuri lakini ni wa polepole sana kufanya nao mazoezi | music_likeness |
4348 | 0 | saa ngapi huko kenya | datetime_query |
4349 | 0 | niambie saa za nairobi | datetime_query |
4350 | 0 | ni saa ngapi ya mchana huko kisumu | datetime_query |
4351 | 0 | saa ngapi kenya | datetime_query |
4352 | 0 | nipe muda katika p. s. t. | datetime_query |
4354 | 13 | hali ya hewa ya sasa denver iko aje | weather_query |
4356 | 34 | vacuum capeti ya sebuleni | iot_cleaning |
4357 | 34 | ombwe kisafisha zulia kutoka kwenye zulia | iot_cleaning |
4358 | 16 | agiza kuku wa kukaanga kutoka kwa chicken inn kupitia ubereats | takeaway_order |
4363 | 0 | wakati wa huko cairo tafadhali | datetime_query |
4364 | 0 | saa ngapi huko kisumu | datetime_query |
4365 | 0 | saa ngapi huko nakuru | datetime_query |
4366 | 25 | tani zozote za kuchekesha | general_joke |
4367 | 0 | sasa ni saa ngapi huko nairobi | datetime_query |
4368 | 56 | nataka kahawa | iot_coffee |
4369 | 18 | unganisha kwa taa | iot_hue_lightup |
4370 | 14 | ongeza sauti hadi kiwango cha saba kwa kifaa cha kucheza muziki | audio_volume_up |
4371 | 45 | wimbo wangu huu | play_music |
4372 | 45 | nataka kuskia wimbo wangu ninayopenda zaidi | play_music |
4373 | 45 | cheza wimbo wangu bora zaidi | play_music |
4374 | 23 | hakikisha kengele zilizowekwa | alarm_query |
4378 | 3 | pepinos hupeana huduma ya kuchukua kuenda nayo | takeaway_query |
4379 | 3 | naeza pata ya kuchukua kutoka java | takeaway_query |
4380 | 3 | je carnivore watatoa huduma ya kubeba chakula | takeaway_query |
4381 | 52 | toa kengele yangu ya mapema zaidi ya kesho | alarm_remove |
4382 | 13 | hali ya hewa ikoje wiki ijayo pande ya pasadena ca | weather_query |
4384 | 13 | je hali ya hewa itakuwa joto au baridi kesho | weather_query |
4385 | 57 | nasikiliza wimbo gani | music_query |
4386 | 57 | habari za hivi punde zaidi kuhusu traki | music_query |
4388 | 18 | ongeza mwanga wa chandelier hadi juu zaidi | iot_hue_lightup |
4389 | 29 | unaweza kubadilisha sauti | audio_volume_other |
4390 | 35 | zima sauti | audio_volume_down |
4392 | 22 | nini ya hivi karibuni kwenye k. t. n. | news_query |
4393 | 16 | tafadhali niagize pizza na mbawa kutoka kwa chicken inn sasa | takeaway_order |
4394 | 16 | agiza kuku wa kuchoma na aletwe saa kumi na moja jioni ya leo usiku | takeaway_order |
4395 | 14 | tafadhali ongea kwa sauti | audio_volume_up |
4396 | 14 | olly tafadhali ongea | audio_volume_up |
4397 | 35 | unaeza ongea kwa utulivu zaidi tafadhali | audio_volume_down |
4399 | 22 | ni habari ipi ya jaribuni kutoka k. b. c. | news_query |
4401 | 13 | nitahitaji kubeba br leo | weather_query |
4403 | 13 | nitahitaji kujibebea mwavuli leo | weather_query |
4404 | 0 | kuwa saa yangu | datetime_query |
4405 | 46 | zima sauti | audio_volume_mute |
4406 | 46 | nyamazisha sauti | audio_volume_mute |
4407 | 45 | cheza albamu | play_music |
4409 | 45 | neema ya d.d.c. mlimani park | play_music |
4410 | 45 | imbisha mkono wa bwana | play_music |
4411 | 45 | sitisha muziki | play_music |
4413 | 13 | kuna theluji seattle | weather_query |
4414 | 13 | itanyesha nairobi jumanne ijayo | weather_query |
4415 | 57 | huu wimbo uko kwenye albamu ipi | music_query |
4416 | 0 | saa ngapi huko nairobi | datetime_query |
4417 | 0 | saa ya wellington nz | datetime_query |
4418 | 0 | nipe muda katika nakuru | datetime_query |
4419 | 45 | changanya orodha ya mazoezi yangu | play_music |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.