id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
5794
48
weka kengele katika muda wa saa moja
alarm_set
5795
40
zima
iot_hue_lightoff
5796
40
sitaki taa
iot_hue_lightoff
5798
22
iphone
news_query
5799
22
gari iliyozinduliwa hivi karibuni
news_query
5800
13
nitahitaji koti baada ya saa nne usiku katika eneo langu
weather_query
5801
13
je unafikiri naweza kuvaa champali au lazima kuvaa viatu usiku saa moja usiku
weather_query
5802
0
saa ngapi sasa
datetime_query
5803
18
mwangaza zaidi
iot_hue_lightup
5804
18
ongeza mwangaza
iot_hue_lightup
5805
24
utaweza kuwasha au kuzima hicho kifaa kwa kutumia kompyuta kibao ama tableti yako
iot_wemo_on
5806
24
unaweza kuweka ratiba za vifaa vyako na kuzidhibiti kwa mbali ukitumia muunganisho wa mtandao wa simu ya rununu
iot_wemo_on
5807
24
unaweza pia kuongeza swichi zaidi nyumbani kwako ili kudhibiti vifaa zaidi
iot_wemo_on
5808
3
je mkahawa unawasilisha
takeaway_query
5810
45
siri unaweza kucheza muziki ninayopenda sana
play_music
5811
45
alexa unaweza kucheza muziki ninaoupenda
play_music
5814
56
olly moto na tamu iliyo na soy
iot_coffee
5815
40
zima taa
iot_hue_lightoff
5817
13
hali ya hewa ya mji wa nyumbani
weather_query
5818
13
hali ya hewa ikoje katika mji wa nyumbani
weather_query
5819
45
cheza chakacha ya khadija kopa
play_music
5821
45
nataka kucheza kwa wimbo wa angelique kidjo
play_music
5822
14
zungusha juu
audio_volume_up
5825
45
weka foleni inayofuata sema nami kutoka kwa sifaeli mwabuka
play_music
5826
45
inayofuata nataka kusikiliza nakupenda sana
play_music
5827
16
agiza piza mbili kutoka java
takeaway_order
5828
16
weka agizo la piza mbili kutoka java
takeaway_order
5829
16
weka agizo la piza mbili kutoka java
takeaway_order
5833
45
raga
play_music
5834
13
kutakuwa na baridi katika siku chache zijazo
weather_query
5835
3
chakula changu cha kubeba kitafika hapa lini
takeaway_query
5836
3
chakula changu kitafika hapa lini
takeaway_query
5838
16
nataka kuagiza takeaway kutoka java
takeaway_order
5839
16
waweza niagizia pizza
takeaway_order
5841
46
kimya
audio_volume_mute
5842
46
amilisha kimya
audio_volume_mute
5843
13
alexa nahitaji mwavuli leo
weather_query
5844
13
je nijipake mafuta ya kukinga jua leo
weather_query
5845
13
alexa nijipake mafuta ya kukinga jua leo
weather_query
5846
13
nilete maji ya ziada pamoja nami leo
weather_query
5848
56
tafadhali nitengenezee kahawa ya maziwa
iot_coffee
5849
56
nataka kahawa ya maziwa tafadhali
iot_coffee
5850
56
nitengenezee kahawa ya maziwa
iot_coffee
5851
45
cheza niko juu ya mwamba
play_music
5852
45
cheza one love
play_music
5853
34
washa kifyonzi cha roboti
iot_cleaning
5855
34
washa kifyonzi
iot_cleaning
5857
8
zima soketi ya plagi mahiri
iot_wemo_off
5858
34
anzisha kifyonzi
iot_cleaning
5859
0
ni nini leo
datetime_query
5860
0
tarehe katika nairobi
datetime_query
5861
31
punguza ukali wa taa
iot_hue_lightdim
5863
13
ni joto gani la wastani katika mji wa mangalore wiki hii
weather_query
5864
22
nipe habari za hivi punde kuhusu donald trump
news_query
5865
22
ningependa habari kuhusu uhuru kenyatta
news_query
5866
23
kuna kengele yoyote imewaka
alarm_query
5868
52
weka upya kengele
alarm_remove
5869
13
nini ripoti ya hali ya hewa ya nairobi leo
weather_query
5872
13
kuna uwezekano wa mvua kisumu kumaliza joto
weather_query
5874
13
je nivae koti kwenye bwawa
weather_query
5875
13
je nivae rinda au shati la jasho leo
weather_query
5876
43
nafurahia kuskiza wimbo huu huwa unanituliza
music_likeness
5877
43
muziki wa wimbo huu unatuliza na kuliwaza
music_likeness
5878
43
napenda sauti ya kudumu ya mwimbaji yeye ni kipenzi changu
music_likeness
5879
34
anzisha irobot
iot_cleaning
5880
34
fanya kifyonzi vumbi kianze
iot_cleaning
5881
22
niambie kuhusu habari
news_query
5883
12
ili kupata habari zaidi kuhusu tukio la kihistoria
general_quirky
5885
18
ongeza ukali wa taa
iot_hue_lightup
5887
8
zima nguvu za umeme
iot_wemo_off
5889
22
fungua programu ya kbc
news_query
5890
23
orodhesha kengele zote zilizowekwa
alarm_query
5891
23
kuna kengele zozote zimewekwa na ni gani
alarm_query
5892
13
hali ya hewa ya kenya ni baridi
weather_query
5893
13
kutakuwa na jua nairobi
weather_query
5894
45
cheza nyimbo za lwambo makiadi
play_music
5895
45
cheza billie jean ijayo
play_music
5896
45
rudia kucheza wimbo wa mawimbi
play_music
5897
0
ni siku ngapi hadi mei tarehe ishirini na tano
datetime_query
5898
0
je ni siku gani ya juma julai tarehe nne mwaka huu
datetime_query
5899
0
ni aprili tarehe kumi na tano mwishoni mwa wiki
datetime_query
5900
40
tafadhali zima taa
iot_hue_lightoff
5901
40
unaweza kuzima stima
iot_hue_lightoff
5903
23
thibitisha nimeweka kengele ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm_query
5904
23
angalia kama nimeweka kengele yoyote ya asubuhi
alarm_query
5905
45
nyimbo laini za ala
play_music
5906
48
tafadhali weka kengele kwa simu yangu ya mkononi
alarm_set
5907
48
tafadhali tega kengele ya leo
alarm_set
5908
48
tafadhali weka kengele ya siku zote
alarm_set
5909
45
cheza niko sawa ya nviiri
play_music
5910
45
cheza wimbo wa funk
play_music
5913
57
niambie jina ya mtunzi
music_query
5914
57
nionyeshe picha ya mwimbaji huyo
music_query
5915
57
nipe tarehe wimbo huu ulitoka
music_query
5916
56
anza kutengeneza cappuccino
iot_coffee
5918
31
punguza taa
iot_hue_lightdim
5920
22
ni kitu gani kinaendelea na pendekezo la bajeti la kibaki
news_query
5921
22
niambie kuhusu ujenzi wa barabara wa hivi karibuni uliofanyika kwa barabara ya kimathi
news_query
5922
14
tafadhali ongeza sauti ya kipaza sauti
audio_volume_up
5923
14
nahitaji sauti ya juu
audio_volume_up