id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
5924 | 35 | tafadhali punguza tambo | audio_volume_down |
5925 | 22 | nipe habari za mwisho kuhusu mgomo wa walimu | news_query |
5926 | 22 | tafuta habari za hivi punde kuhusu iphone | news_query |
5927 | 22 | nipe habari kuhusu iphone | news_query |
5928 | 56 | tafadhali washa kitengeneza kahawa na uanze wyre chuki | iot_coffee |
5929 | 22 | ni habari gani za hivi punde kutoka c. n. n. | news_query |
5931 | 22 | ni habari zipi za hivi karibuni kwa yahoo news | news_query |
5932 | 38 | badilisha hadi wakati wa mombasa | datetime_convert |
5933 | 0 | nipe muda nairobi | datetime_query |
5934 | 0 | ni wakati gani wa nairobi | datetime_query |
5935 | 13 | nimeondoka leo mwavuli | weather_query |
5936 | 13 | nahitaji kofia yangu leo | weather_query |
5938 | 45 | cheza muziki wa jazz niupendao | play_music |
5939 | 45 | cheza baadhi ya nyimbo za chakacha | play_music |
5940 | 45 | cheza nyimbo mpya za ibada | play_music |
5941 | 22 | uhuru kenyatta | news_query |
5942 | 22 | shughuli za kigaidi | news_query |
5944 | 13 | mwambie mama nitachelewa jioni hii | weather_query |
5945 | 50 | kumbusha rafiki yangu akachukue kazi kesho | calendar_set |
5946 | 13 | hali ya hewa iko aje huko | weather_query |
5947 | 45 | cheza orodha yangu ya muziki nambari moja | play_music |
5949 | 45 | kutoka kwa orodha ya kucheza yangu chuja nyimbo za ibada na unichezee sasa hivi | play_music |
5951 | 25 | niambie utani fulani wa kuchekesha ili nicheke | general_joke |
5956 | 13 | nivae buti za majira ya baridi ninapoenda dukani | weather_query |
5959 | 46 | nataka unyamaze | audio_volume_mute |
5960 | 16 | bidhaa yoyote nzuri ya chakula cha haraka | takeaway_order |
5961 | 16 | chakula yoyote ya bei ya chini | takeaway_order |
5962 | 16 | ofa ya mlo ya chakula cha haraka chochote | takeaway_order |
5963 | 45 | unaweza kunichezea wimbo huu wa mapenzi tafadhali | play_music |
5964 | 45 | tafadhali nichezee wimbo wa rada ibadilike | play_music |
5967 | 16 | nataka kula kitu unaweza niagizia chakula | takeaway_order |
5969 | 45 | nichezee moyo mashine | play_music |
5971 | 13 | hali ya hewa ya ikoje leo | weather_query |
5972 | 52 | tafadhali unaweza toa kengele zilizowekwa katikati ya saa mbili na saa tatu | alarm_remove |
5973 | 23 | nikona kengele imewekwa kabla saa kumi na mbili asubuhi | alarm_query |
5975 | 0 | unaweza kuniambia nini tarehe ya leo | datetime_query |
5976 | 45 | weka wimbo ufuatao katika dakika tano | play_music |
5978 | 38 | badilisha wakati wa mashariki hadi wakati wa magharibi | datetime_convert |
5979 | 0 | nionyeshe wakati katika jijini nairobi | datetime_query |
5980 | 0 | ni saa ngapi kenya sasa hivi | datetime_query |
5981 | 23 | nifahamishe kuhusu kengele ulizoweka | alarm_query |
5983 | 23 | naimbie saa ya kengele ambayo umeweka | alarm_query |
5986 | 16 | weka agizo la piza ya pilipili kutoka java | takeaway_order |
5987 | 16 | tupatie spaghetti kutoka chicken inn | takeaway_order |
5991 | 57 | muziki ninao penda zaidi ni upi | music_query |
5992 | 57 | ni nini nimecheza zaidi | music_query |
5993 | 57 | hii ni aina gani ya muziki nimejiingiza | music_query |
5994 | 13 | je unafikiria mvua itanyesha kesho | weather_query |
5995 | 13 | je ninahitaji kuvaa slicker yangu leo | weather_query |
5998 | 38 | ikiwa ni saa kumi na mbili asubuhi hapa ni saa ngapi nairobi | datetime_convert |
5999 | 38 | kuna tofauti ya masaa magapi kati ya london na new york | datetime_convert |
6000 | 56 | unaweza tengeza kahawa | iot_coffee |
6002 | 56 | enda unitengenezee kahawa | iot_coffee |
6003 | 13 | je ninahitaji kuvaa nguo za joto leo | weather_query |
6004 | 13 | je ninahitaji kubeba mwavuli leo | weather_query |
6005 | 13 | kutakuwa na upepo leo | weather_query |
6006 | 13 | nitahitaji glavu jumanne | weather_query |
6007 | 13 | ninapaswa funga dirisha kabla ya kuondoka mchana huu | weather_query |
6010 | 3 | naeza chukua agizo kubwa la pizza inn | takeaway_query |
6011 | 0 | saa inasemaje | datetime_query |
6012 | 0 | uko na wakati | datetime_query |
6016 | 22 | je gavana amekwisha ufanya mswada mpya wa uhalifu kuwa sheria | news_query |
6017 | 0 | saa ngapi huko chicago | datetime_query |
6018 | 0 | wakati huko nairobi | datetime_query |
6019 | 23 | ningependa kujua kengele uliotuma | alarm_query |
6020 | 23 | naomba kujua kuhusu kengele uliyoweka | alarm_query |
6021 | 25 | ni utani gani wa hivi karibuni | general_joke |
6022 | 13 | ni jioni laini usiku wa leo | weather_query |
6026 | 13 | joto | weather_query |
6028 | 45 | anza vibao bora | play_music |
6029 | 13 | ninapaswa kuvaa koti asubuhi | weather_query |
6030 | 13 | chakula kitapeanwa kwenye maonyesho | weather_query |
6031 | 46 | toa kelele | audio_volume_mute |
6032 | 46 | dhibiti sauti | audio_volume_mute |
6033 | 56 | nitengeneze kahawa | iot_coffee |
6037 | 48 | niamshe saa kumi na moja na nusu | alarm_set |
6038 | 13 | je itanyesha mchana | weather_query |
6040 | 40 | hujambo zima taa tafadhali | iot_hue_lightoff |
6042 | 40 | nataka taa imebadilishwa mbali | iot_hue_lightoff |
6043 | 45 | cheza wimbo ufuatao niliyochagua | play_music |
6046 | 13 | je naweza kuvaa kaptula leo | weather_query |
6047 | 13 | je mimi ninahitaji koti ya baridi asubuhi hii | weather_query |
6048 | 13 | je nivae glavu usiku wa leo | weather_query |
6051 | 18 | eneza mwangaza chache | iot_hue_lightup |
6053 | 18 | ongeza mwangaza wa taa ni ngumu kuona hapa chini | iot_hue_lightup |
6054 | 40 | hakikisha kuwa taa ya jikoni imezimwa | iot_hue_lightoff |
6056 | 40 | zima taa ya chumba cha kulala | iot_hue_lightoff |
6057 | 45 | kwenye orodha ya kucheza checa ya kwanza | play_music |
6058 | 45 | cheza nyimbo za rap | play_music |
6062 | 24 | washa soketi ya taa | iot_wemo_on |
6063 | 24 | washa tundu la feni | iot_wemo_on |
6065 | 46 | husijibu kwa sekunde hamsini | audio_volume_mute |
6066 | 46 | usiongee | audio_volume_mute |
6067 | 45 | ningependa kusikia baadhi ya blues | play_music |
6068 | 45 | mimi niko katika hali ya baadhi ya muziki classical | play_music |
6070 | 3 | hali ya utoaji wa pilau kutoka kwa kibanda cha swahili restaurant | takeaway_query |
6075 | 45 | unaweza cheza sura yako | play_music |
6076 | 22 | unaweza kujua habari ya karibuni ya dunia kutoka jana | news_query |
6078 | 22 | kinachoendelea katika habari za ulimwengu | news_query |
6080 | 13 | nitahitaji koti langu mzito baada ya chakula cha mchana leo | weather_query |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.