id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
7560
50
hakikisha kunikumbusha kulipa bili zangu kesho asubuhi
calendar_set
7561
50
nikumbushe kuhusu mkutano ofisini kesho saa moja
calendar_set
7562
50
nikumbushe kwenda kwenye mkutano wangu kesho
calendar_set
7564
50
juma enda na mimi aprili tarehe tano kuona sinema ya selina
calendar_set
7566
50
ukumbusho wa hivi karibuni wa mkutano
calendar_set
7568
50
tarehe ya kujiunga
calendar_set
7572
50
nikumbushe nikifika
calendar_set
7573
50
nikumbushe kwenye eneo
calendar_set
7574
50
nikumbushe mwasiliani anapopiga simu
calendar_set
7575
50
rudia siku ya kuzaliwa
calendar_set
7576
50
rudia kila siku
calendar_set
7577
48
rudia kengele
alarm_set
7578
50
leta john aungane nami tarehe ya kumi katika mkutano ulio katika ghorofa ya tano
calendar_set
7579
50
eka siku huru ijayo kwa kalenda niende kukata nywele kwa sally's
calendar_set
7580
50
kama kuna nafasi yoyote ya mapumziko weka kikumbusho cha kumpigia simu dada yangu kuhusu ufadhili wa chuo kati ya mikutano yangu jioni hoi
calendar_set
7581
32
orodhesha mkutano wangu wa leo
calendar_query
7582
50
nikumbushe kuhusu mkutano
calendar_set
7584
32
tafadhali angalia kalenda yako nimefanya kitu
calendar_query
7585
50
tafadhali ongeza tukio kwa kalenda
calendar_set
7586
50
ongeza tukio kwa kalenda
calendar_set
7587
50
tafadhali nikumbushe kwenye saa
calendar_set
7588
50
nikumbushe nina tukio
calendar_set
7589
50
saa nikumbushe nina tukio
calendar_set
7590
32
nina mikutano mingapi leo kuanzia saa tatu hadi saa kumi na moja jioni
calendar_query
7591
32
mapumziko yangu ya chakula cha mchana ni lini
calendar_query
7592
32
kutoka saa kumi hadi saa kumi na mbili nikona mapumziko
calendar_query
7593
50
nikumbushe kuzima taa katika dakika kumi
calendar_set
7594
50
weka ukumbusho wa dakika kumi na tano ili kubadili nguo zinazofuliwa
calendar_set
7597
50
tafadhali weka tukio la kawaida la mkutano kwa safari zetu za biashara
calendar_set
7599
32
matukio gani yanaendelea wiki ijayo
calendar_query
7600
32
nina matukio yoyote yanayotokea wiki ijayo
calendar_query
7601
50
weka ukumbusho wa mkutano wa jumanne na bill
calendar_set
7602
50
weka ukumbusho wa usiku wa kuchumbiana na mume ijumaa ijayo
calendar_set
7603
48
weka kengele ya mazoezi ya soka jumamosi saa mbili asubuhi
alarm_set
7604
32
siku ya kuzaliwa ya dale ni lini
calendar_query
7605
32
tamasha la mbwa la cantonese ni saa ngapi
calendar_query
7607
50
mkutano na maria kwa dakika kumi kwenye chumba cha mkutano
calendar_set
7608
50
waulize joe na joanne kama watahudhuria mkutano wa kesho saa tano asubuhi
calendar_set
7610
52
toa kengele ya kesho
alarm_remove
7611
30
ondoa mikutano yote leo
calendar_remove
7612
32
niambie matukio yangu ya leo
calendar_query
7614
32
niambie matukio yajayo
calendar_query
7615
32
niambie kuhusu mchezo wa magongo ujao ijumaa
calendar_query
7618
50
nikumbushe mkutano wangu unaofwata na joe saa moja kabla ya mkutano
calendar_set
7619
50
nitapatana na joe lini tena
calendar_set
7621
30
ondoa matukio yangu yote kwa kalenda
calendar_remove
7622
30
ondoa matukio yote kwenye kalenda yangu
calendar_remove
7623
50
ongeza siku ya kuzaliwa kwa kila mwaka
calendar_set
7624
50
nikumbushe kulipa bili ya umeme wikendi hii saa tatu asubuhi
calendar_set
7625
50
weka tahadhari ya jumamosi saa tatu asubuhi kuelekea malipo ya bili ya umeme
calendar_set
7626
50
tengeneza kiandiko cha kulipa lipa bili ya stima na unikubushe jumamosi saa tatu asubuhi
calendar_set
7629
50
nikumbushe mkutano wa kesho
calendar_set
7632
50
tafadhali unaweza kuweka maombi ya saa sita mchana kila ijumaa
calendar_set
7633
50
nahitaji uweke maombi ya saa sita mchana kila ijumaa
calendar_set
7634
50
kwa jumapili tatu zinazofuata nikumbushe kwamba nina darasa la yoga mchana
calendar_set
7635
50
weka tukio la jumapili hii na jumapili mbili zinazofuata kuwa nina yoga saa sita mchana
calendar_set
7636
50
tenga darasa la yoga mchana katika karenda yangu jumapili tatu zinazofuata
calendar_set
7637
50
ongeza ukumbusho wa siku ya kuzaliwa tarehe nne septemba
calendar_set
7638
50
ongeza miadi ya daktari wa meno kwa ijumaa saa kumi na moja
calendar_set
7639
50
ongeza kukata nywele kwa miadi yangu jumamosi mchana saa kumi
calendar_set
7640
32
nimekua wapi kwa siku kumi na tano za kwanza mwezi huu
calendar_query
7641
13
nipe hali ya hewa kwa siku tano zilizopita
weather_query
7642
13
nionyeshe utabiri wa hali ya hewa kwa siku tatu tatu zijazo
weather_query
7643
32
ni tukio gani lililokuja
calendar_query
7644
32
soma matukio yajayo
calendar_query
7645
50
kumbusha matukio yajayo
calendar_set
7647
32
niambie kuhusu kikumbusho chochote kinachosalia
calendar_query
7648
30
ondoa tukio kwenye kalenda
calendar_remove
7649
30
futa matukio yote kwa kalenda
calendar_remove
7650
50
weka arifa kabla ya tukio hili
calendar_set
7651
50
weka hii kabla ya tukio
calendar_set
7652
50
kabla ya tukio hili weka arifa
calendar_set
7656
50
alexa nipe orodha yangu ya kufanya ya leo
calendar_set
7657
50
nipe orodha yangu ya kufanya kwa leo
calendar_set
7658
50
alexa ni nini kipo kwenye kalenda yangu leo
calendar_set
7659
32
toa miadi yote ya leo baada ya saa tisa jioni
calendar_query
7661
32
ratiba yangu ikoje baada ya saa tisa mchana leo jioni
calendar_query
7663
32
unaweza kusoma mikutano yangu leo
calendar_query
7667
50
rudia tukio hili kila ijumaa kwa kalenda yangu
calendar_set
7668
50
katika wiki ijayo rudia tukio hili saa nne asubuhi kila siku
calendar_set
7669
50
niambie siku ya kuzaliwa kwa mama yangu
calendar_set
7670
50
nijulishe siku ya maadhimisho ya mwaka
calendar_set
7671
32
ni matukio yangu gani yanayokuja
calendar_query
7672
32
orodhesha matukio yangu yajayo
calendar_query
7673
32
soma matukio yangu yajayo
calendar_query
7674
50
weka ukumbusho kwa mkutano ujao
calendar_set
7677
32
sema mengi kuhusu hii tukio
calendar_query
7678
32
tukio limeahirishwa kwa madhumuni gani
calendar_query
7679
32
ongea mingi kuhusu hii tukio
calendar_query
7681
30
futa miadi yangu yote na daktari juma wiki hii
calendar_remove
7683
50
ongeza tukio hili kwenye kalenda yangu
calendar_set
7685
50
ongeza mike na jack kwenye kalenda ya tamasha
calendar_set
7687
50
mike na jack wanapaswa kuongezwa kwenye kalenda ya tamasha
calendar_set
7689
32
nilikuuliza unikumbushe chochote
calendar_query
7691
32
nataka maelezo zaidi kuhusu sherehe ya chai ya kila mwaka
calendar_query
7692
32
jua zaidi kuhusu sherehe ya kila mwaka ya chai
calendar_query
7694
32
je kuna kitu chochote cha kufurahisha kinafanyika ijumaa
calendar_query
7696
30
ondoa mkutano ulioratibiwa wa tarehe nne oktoba saa sita mchana
calendar_remove
7698
50
nikumbushe baadaye
calendar_set
7700
30
safisha kalenda yangu yote
calendar_remove