id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
7839 | 32 | matukio yanayofanyika kati ya saa mbili asubuhi na saa kumi na moja jioni leo | calendar_query |
7841 | 50 | nikumbushe kuchukua chakula cha mbwa zaidi kwa pet house kenya kesho saa moja na ishirini mchana | calendar_set |
7842 | 50 | nikumbushe kuwa nahitajika kwenda kwa hannah kuhusu mradi wa hisabati jumanne ijayo saa nne usiku | calendar_set |
7845 | 32 | nimetengeza ukumbusho ngapi | calendar_query |
7848 | 50 | nijulishe siku inayotangulia safari yangu ya california | calendar_set |
7849 | 50 | niambie ni lini miadi yangu ya pili ya daktari itafanyika | calendar_set |
7850 | 50 | niarifu mimi lini kodi inadaiwa | calendar_set |
7853 | 50 | madarasa ya tenisi ya kila wiki yanaanza kesho na yataisha mei tarehe moja | calendar_set |
7854 | 50 | weka ratiba ya mkutano na naibu rais siku ya jumatatu | calendar_set |
7855 | 50 | weka mkutano kati yangu na mwalimu wa mwanangu ijumaa hii | calendar_set |
7856 | 50 | weka mkutano na idara ya rasilimali watu wa mwisho wa mwezi | calendar_set |
7857 | 32 | mkutano wangu wa saa sita mchana unafanyika wapi leo | calendar_query |
7858 | 32 | mazoezi ya besiboli yanafanyika wapi kesho | calendar_query |
7859 | 42 | itanichukua muda gani kuendesha kwa tamasha la wanavokali kesho | transport_query |
7860 | 50 | nina mazoezi kwenye wrigley kesho saa kumi na mbili | calendar_set |
7861 | 50 | nikumbushe kesho saa mbili asubuhi kwamba nina mkutano wa chakula cha mchana kwenye chumba cha mkutano | calendar_set |
7862 | 50 | naenda tamasha la awak nairobi machi tarehe ishirini na nne | calendar_set |
7864 | 50 | unaeza nijulisha ikifikia saa nane asubuhi | calendar_set |
7865 | 48 | weka kengele ya jioni hii saa mbili usiku | alarm_set |
7866 | 32 | nina nini kwenye ratiba kesho asubuhi | calendar_query |
7868 | 32 | nini iko kwa ratiba yangu ya saa tatu hadi saa tano asubuhi kesho | calendar_query |
7869 | 30 | toa tukio kutoka kwa kalenda | calendar_remove |
7872 | 32 | ni saa ngapi ndipo mkutano wa jumatatu unaanza | calendar_query |
7873 | 32 | nina mikutano mingapi ya ushirika wiki hii | calendar_query |
7874 | 50 | nahitaji tukio la siku tatu kutoka sasa iratibiwe na sanaipei | calendar_set |
7875 | 22 | kilichotokea wiki iliyopita | news_query |
7881 | 32 | ni tukio lipi linafuata | calendar_query |
7882 | 50 | tafadhali ongeza kukata nywele hadi machi tarehe ishirini na saba saa tisa alasiri | calendar_set |
7883 | 50 | tafadhali nikumbushe kumchukua john shuleni leo saa moja jioni | calendar_set |
7884 | 50 | olly weka mkutano saa moja jioni | calendar_set |
7885 | 50 | weka mkutano saa moja usiku | calendar_set |
7886 | 50 | nikumbushe nina mkutano saa moja jioni | calendar_set |
7887 | 32 | ni mikutano ipi niliyokuwa nayo mimi wiki iliyopita | calendar_query |
7888 | 32 | tafadhali niambie maonyesho yatakuwa wapi mwaka huu | calendar_query |
7895 | 50 | nipatie ujumbe kuhusu uchaguzi kesho saa sita mchana | calendar_set |
7896 | 32 | je mimi niko na miadi kesho | calendar_query |
7897 | 32 | niko na miadi yoyote kesho | calendar_query |
7899 | 32 | leo nini kinafanyika kati ya saa tisa na saa kumi jioni | calendar_query |
7900 | 32 | niko na kitu chochote kilicho ratibiwa leo kati ya saa tisa na saa kumi jioni | calendar_query |
7901 | 32 | nina nini kinachoendelea leo kati ya saa tisa na saa kumi leo | calendar_query |
7903 | 50 | weka ukumbusho wa mkutano saa nane jioni kesho kati yangu na john | calendar_set |
7904 | 50 | nina mkutano kesho saa nane mchana na john weka hilo kwenye kalenda yangu | calendar_set |
7905 | 50 | fungua mkutano wa tukio la ratiba ya kalenda | calendar_set |
7906 | 50 | mkutano wa tukio | calendar_set |
7909 | 32 | ninahitaji kuchukua watoto kutoka kwa chochote leo | calendar_query |
7910 | 30 | ghairi mkutano yangu ya saa mbili asubuhi kesho | calendar_remove |
7911 | 30 | ondoa chajio na mike kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
7913 | 30 | ondoa tukio kutoka siku ya jumatatu | calendar_remove |
7914 | 32 | maelezo ya matukio | calendar_query |
7915 | 32 | habari zaidi ya matukio yaliyopangwa | calendar_query |
7917 | 50 | nahitaji ukumbusho wa kumpigia mama yangu simu saa tisa mchana | calendar_set |
7921 | 30 | futa matukio zote zimepangwa | calendar_remove |
7923 | 32 | mkutano yangu ni saa ngapi | calendar_query |
7924 | 32 | mkutano wangu uko wapi | calendar_query |
7925 | 32 | mkutano wangu ni na nani | calendar_query |
7926 | 32 | matukio yapi yapo kwenye ratiba yangu hii wiki | calendar_query |
7928 | 50 | tukio jipya chakula cha mchana forodhani | calendar_set |
7929 | 50 | ongeza kwa kitabu cha tukio kilabu cha nyumba ya debbie jumatano usiku | calendar_set |
7931 | 50 | nikumbushe juu ya mtihani wa macho yangu huko walmart tarehe ishirini na sita | calendar_set |
7932 | 50 | olly nikumbushe kuhusu mtihani yangu wa macho huko walmart tarehe ishirini na sita | calendar_set |
7933 | 50 | weka miadi yoyote ya tukio hii kwenye kalenda yangu | calendar_set |
7934 | 50 | nijulishe nikiwa na siku tatu nje ya tukio hili kwa kalenda yangu | calendar_set |
7935 | 50 | nikumbushe siku ambayo tukio hili linatakiwa kufanyika | calendar_set |
7936 | 32 | nini kilichopangwa leo | calendar_query |
7937 | 32 | tukio hii imepangwa siku gani | calendar_query |
7938 | 32 | tafadhali niambie kumbusho hii ya tukio imewekwa kuwa siku gani | calendar_query |
7940 | 32 | ni ipi miadi yangu ifwatayo | calendar_query |
7941 | 32 | olly niambie nini kinachoendelea kesho | calendar_query |
7942 | 32 | niambie nini kinaendelea kesho | calendar_query |
7943 | 32 | matukio ya leo | calendar_query |
7944 | 32 | angalia hii mikutano kwenye kalenda | calendar_query |
7948 | 50 | ongeza tukio hii kwenye kalenda yangu | calendar_set |
7949 | 50 | tenga kando siku hii kwa tukio hii la kalenda | calendar_set |
7950 | 50 | ninahitaji uongeze tukio hii kwenye kalenda yangu | calendar_set |
7951 | 32 | nini kinaendelea kati ya saa tisa na nusu na saa kumi | calendar_query |
7952 | 32 | nina lolote linaloendelea saa kumi na moja | calendar_query |
7954 | 30 | tafadhali unaweza kupuuza sherehe ambayo nitaenda wikendi hii kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
7957 | 50 | ninahitaji tukio hili kwa mzunguko unaojirudia kwenye kalenda yangu | calendar_set |
7958 | 50 | ongeza harusi ya valia jumamosi ijayo saa mbili | calendar_set |
7960 | 53 | futa kila kitu kwenye menyu | lists_remove |
7961 | 30 | futa mikutano yangu yote | calendar_remove |
7962 | 30 | rekebisha kalenda | calendar_remove |
7963 | 32 | nina vikumbusho vyovyote vinavyokuja | calendar_query |
7964 | 32 | olly nataka kujua ikiwa nina vikumbusho mpya yoyote | calendar_query |
7965 | 32 | nigetaka kujua kama niko na kikumbusho chochote kipya | calendar_query |
7967 | 12 | niambie mengi kuhusu hiyo filamu | general_quirky |
7973 | 32 | tukio lipi lipo kwenye kalenda yangu leo | calendar_query |
7974 | 32 | nina nini iliyopangwa leo | calendar_query |
7976 | 32 | ni kanuni gani ya mavazi ya usiku wa leo | calendar_query |
7979 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wiki ijayo | calendar_set |
7982 | 30 | ondoa matukio yote ya leo | calendar_remove |
7983 | 30 | futa mikutano na kazi zote za leo | calendar_remove |
7984 | 30 | futa matukio yote leo kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
7985 | 30 | futa hili tukio ya machi tarehe tatu | calendar_remove |
7986 | 30 | unaweza futa tukio hili la sherehe ya chajio | calendar_remove |
7987 | 30 | ondoa tukio hili kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
7988 | 32 | angalia ratiba yangu ya kesho usiku kwenye kalenda | calendar_query |
7989 | 32 | kuna nini alasiri ya tarehe kumi na nne ambayo ningeweza kwenda na mapacha wa miaka miwili | calendar_query |
7991 | 50 | unaweza ongeza kwenye kalenda yangu tukio la ijumaa ijayo | calendar_set |
7992 | 50 | andika kwenye kalenda langu niko na tukio ijumaa ikujayo | calendar_set |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.