id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
7994
30
futa matukio yote kwenye kalenda yangu
calendar_remove
7995
30
futa matukio ya sasa yangu kwenye kalenda
calendar_remove
7996
30
futa tukio yangu ijalo ya kalenda
calendar_remove
7997
32
tukio langu lijalo la kalenda ni nini
calendar_query
7998
30
futa tukio langu linalofuata kwenye kalenda
calendar_remove
8000
30
tafadhali futa impangilio yangu ya chakula cha mchana kutoka kwa ratiba ya machi ishirini na tatu
calendar_remove
8002
30
futa miadi yangu kesho
calendar_remove
8003
30
ghairi mkutano yangu ya ijumaa
calendar_remove
8006
50
oliver atanitumia barua pepe alhamisi na tafadhali weka miada ya kalenda ya mkutano kulingana na tarehe ambayo atatoa kwa hio barua pepe
calendar_set
8007
32
nina uteuzi wa daktari wa meno jumatatu asubuhi ukweli ama uwongo
calendar_query
8008
32
uteuzi wa daktari wa meno ni jumatatu
calendar_query
8009
30
geuza mpango wangu toa tukio langu lijalo
calendar_remove
8010
30
sasisha kalenda yangu na ufute tukio linalofuata
calendar_remove
8011
32
nionyeshe matukio yangu ya mwezi
calendar_query
8012
32
niambie mikutano ninazo kwa wiki
calendar_query
8015
32
nina mpango hii usiku kweli
calendar_query
8016
32
nina sherehe kesho hifathi kwenye kalenda yangu
calendar_query
8017
50
ongezea mkutano na mama jumapili ijayo
calendar_set
8018
50
ongeza sherehe katika jiji la new york jumamosi hii
calendar_set
8019
50
niokolee alasiri hii kwa mkutano wangu
calendar_set
8020
50
weka ukumbusho wa mkutano ya kesho na james
calendar_set
8021
50
nataka ukumbusho wa mkutano wangu wa ijumaa
calendar_set
8022
32
nini kinafanyika wikendi hii
calendar_query
8023
32
nini kimewekwa wikendi wiki tatu kutoka sasa
calendar_query
8024
32
twafanya nini wiki ijayo
calendar_query
8026
50
tafadhali weka mkutano wa kesho kwenye kalenda yangu
calendar_set
8028
32
nimepanga matukio gani leo
calendar_query
8030
32
ni matukio gani niliyopangiwa leo
calendar_query
8031
32
ni lini miadi yangu ya daktari wa meno kwenye kalenda
calendar_query
8032
32
mchezo wa shule ya justin ni tarehe gani
calendar_query
8034
50
kumbusha mimi kwenda kununua mboga leo
calendar_set
8036
50
nikumbushe kuanza sufuria saa nane
calendar_set
8038
50
tafadhali weka ukumbusho kwa ajili yangu kwa kitu wa wakati fulani
calendar_set
8040
50
unaweza nikumbusha kitu wakati fulani
calendar_set
8041
32
mkutano wangu unaofuata unaanza saa ngapi
calendar_query
8045
32
ni matukio gani yaliyopangwa hii wiki
calendar_query
8048
50
ile siku ya kuzaliwa ya dada yangu mtumie maua
calendar_set
8049
50
hakikisha ume pigia yaya usiku wa tarehe ya ijumaa
calendar_set
8050
50
ongeza tukio kwenye kalenda
calendar_set
8051
50
ongeza kwa kalenda daktari k saa tisa na nusu jioni mnamo machi saba
calendar_set
8052
50
siku ya kuzaliwa ya mume wangu ni lini mwaka huu
calendar_set
8053
32
nafanya kazi tarehe ishirini na nne
calendar_query
8054
30
futa matukio yote kuanzia machi tarehe saba
calendar_remove
8060
32
ni watu wangapi watakuja kwa chajio cha usiku wa leo
calendar_query
8064
32
ni lini ninahitaji kulipa bili
calendar_query
8065
32
rehani yangu yatoka lini
calendar_query
8066
32
ni saa ngapi tamasha huanza rasmi
calendar_query
8067
32
ripoti safu la tamasha na nyakati za kuanza
calendar_query
8070
50
nikumbushe kupatana na sarah huko brew bistro ya lavington mchana
calendar_set
8071
0
ni siku ya ishirini na mbili siku ya jumanne
datetime_query
8074
50
ongeza tukio jipya la kesho saa kumi na moja jioni kukutana na sarah kwenye ukumbi wa michezo
calendar_set
8075
32
leo mimi nina tarehe ya chakula cha mchana
calendar_query
8076
32
ni leo wakati karatasi yangu inatoka
calendar_query
8077
50
nikumbushe kupata barua ndani ya dakika kumi
calendar_set
8080
32
nina miadi yoyote kesho
calendar_query
8081
32
nina muda wa mapumziko jumanne ijayo ili kupanga mkutano
calendar_query
8082
32
wakati wa mkutano utaanza
calendar_query
8086
50
ningependa kusasisha kalenda yangu
calendar_set
8087
30
naweza kuondoa ukumbusho
calendar_remove
8088
32
ni lini nina mtihani hiyo
calendar_query
8090
32
miadi yangu ni saa ngapi siku ya jumamosi
calendar_query
8092
32
niko huru siku ya jumapili
calendar_query
8093
32
mkutano utakuwa wapi
calendar_query
8094
32
wakati mkutano unaanza
calendar_query
8095
32
waeza nieleza miadi yangu ya wiki hii
calendar_query
8096
32
unaweza kunifahamisha kuhusu kile kinachonisubiri wiki hii
calendar_query
8098
30
habari google tafadhali niondolee ratiba zote za ijumaa
calendar_remove
8099
30
hi google tafadhali ondoa mpango wa chakula cha jioni alhamisi
calendar_remove
8102
50
alexa onyesha kwenye kalenda yangu kuwa sipatikani leo
calendar_set
8103
50
weka alama katika kalenda yangu kama sipatikani leo
calendar_set
8104
30
tafadhali futa miadi yote ya leo
calendar_remove
8105
30
alexa tafadhali futa miadi zote za leo
calendar_remove
8106
50
weka sherehe ya jirani wiki ijayo
calendar_set
8108
30
futa tukio linalofuata la kalenda
calendar_remove
8109
30
ondoa tukio linalofuata kwa kalenda
calendar_remove
8111
50
ongeza siku ya kuzaliwa ya maria tarehe ishirini na mbili kwa kalenda yangu
calendar_set
8113
50
tafadhali eka sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mary tarehe ishirini na mbili saa moja usiku
calendar_set
8114
32
mikutano gani ilifanyika kati ya januari moja na januari kumi na mbili
calendar_query
8115
32
kati ya mei moja na desemba thelathini na moja ni mikutano gani ilifanyika
calendar_query
8117
50
nijulishe dakika thelathini kabla mkutano yangu saa tisa alasiri kesho
calendar_set
8118
50
nikumbushe kuwa nina mkutano saa tisa alasiri kesho
calendar_set
8120
32
sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mary ni usiku wa leo
calendar_query
8121
50
badilisha tukio la siku ya kuzaliwa kwa mamangu kurudia kila mwaka siku hiyo hiyo
calendar_set
8123
32
nina miadi yoyote inayokuja
calendar_query
8124
32
niambie nini kinaendelea wiki hii
calendar_query
8128
57
nipe habari zaidi kuhusu otile brown
music_query
8130
32
nimetembea umbali gani asubuhi hii
calendar_query
8131
32
nilichoma kalori ngapi kati ya saa tisa na saa kumi na moja leo
calendar_query
8134
50
kuweka salio saa sita mchana ya chakula cha mchana
calendar_set
8135
50
nikumbushe mkutano wangu wa saa tisa mchana kesho masaa manne kabla
calendar_set
8136
50
saa tano asubuhi kesho nikumbushe kuhusu mkutano yangu ya saa tisa mchana
calendar_set
8137
50
nikumbushe kuhusu mkutano ya kesho saa tisa mchana masaa manne kabla
calendar_set
8138
32
ni usiku wa leo mwezi kamili
calendar_query
8139
32
ni alhamisi kesho
calendar_query
8141
50
panga kizuizi cha wakati tupu wa saa mbili siku ya jumamosi
calendar_set
8142
50
tafadhali ongeza sherehe ya kuzaliwa jumamosi jioni
calendar_set
8143
50
ongeza sherehe usiku katika salio langu
calendar_set
8144
50
ongeza sherehe ya kuadhimisha ndoa juma pili hii
calendar_set
8145
30
futa miadi yangu saa saba kesho
calendar_remove
8147
30
ondoa tamasha kutoka kwa matukio ya kalenda
calendar_remove