id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
8278 | 50 | weka ukumbusho tarehe kumi na tano machi na uingize jina kama mkutano | calendar_set |
8279 | 50 | weka ukumbusho machi tarehe kumi na tano kama mkutano | calendar_set |
8281 | 30 | ondoa matukio yote yaliyoratibiwa kwenye kalenda | calendar_remove |
8283 | 30 | unaweza kufuta kalenda yangu | calendar_remove |
8285 | 30 | ondoa sherehe ya siku ya kuzaliwa kwenye kalenda ya mei | calendar_remove |
8286 | 32 | nina sherehe iliyopangwa wikendi hii | calendar_query |
8288 | 30 | ondoa kile ninachopaswa kufanya tarehe ishirini na tatu machi | calendar_remove |
8291 | 50 | fungua reminder ya mkutano wa meneja jumanne wiki ijayo | calendar_set |
8292 | 50 | ongeza tukio kwenye kalenda na urudie | calendar_set |
8293 | 50 | tukio la kujirudia limeongezwa kwa kalenda | calendar_set |
8295 | 30 | futa matukio yoyote na yote | calendar_remove |
8296 | 30 | futa kalenda ya sasa | calendar_remove |
8297 | 32 | nioshe tukio la mchezo wa besiboli mombasa | calendar_query |
8298 | 32 | ni wapi boston redso game wanacheza kujao | calendar_query |
8299 | 32 | mchezo unaofuata wa soka unaanza saa ngapi | calendar_query |
8301 | 50 | nikumbushe muda wa mkutano saa moja usiku jumatatu inayofuata | calendar_set |
8303 | 50 | weka mkutano na bwana forman iwe alhamisi saa nane mchana | calendar_set |
8304 | 50 | alhamisi ni lazima nikutane na bwana juma saa nane mchana tafadhali nukuu kwenye kalenda | calendar_set |
8305 | 50 | ongeza tarehe ya chakula cha mchana kwenye kalenda yangu ya machi kumi na tano kutoka saa sita mchana hadi saa saba mchana | calendar_set |
8306 | 50 | nikumbushe kuhusu chajio na mama leo usiku kwa kalenda yangu | calendar_set |
8307 | 22 | nini kilitokea katika nairobi c. b. d. jana saa sita mchana | news_query |
8309 | 22 | ni watu wangapi walikuwa kwenye maandamano kicc hapo jana saa sita mchana | news_query |
8310 | 50 | nahitaji ukumbusho unaojirudiwa kila jumatatu saa tisa na nusu mchana | calendar_set |
8312 | 50 | tafadhali ongeza miadi ya saa kumi jioni kwa kila jumanne | calendar_set |
8313 | 32 | je siku ya kuzaliwa ya susan ipo machi tarehe moja | calendar_query |
8314 | 32 | je tarehe moja machi ni sikukuu ya kuzaliwa ya susan | calendar_query |
8316 | 50 | tafadhali ongeza machi tano kama siku ya kuzaliwa ya john | calendar_set |
8317 | 50 | machi tarehe tano ni siku ya kuzaliwa ya john tafadhali weka hii kwenye kalenda | calendar_set |
8318 | 50 | tafadhali tengeneza ukumbusho wa ijumaa saa kumi na mbili jioni | calendar_set |
8319 | 50 | usiwache nisahau nahitaji ukumbusho machi tarehe ishirini na saba mchana | calendar_set |
8321 | 12 | unaweza nieleza zaidi kuhusu tamasha hiyo | general_quirky |
8324 | 32 | niambie ratiba yangu ya kesho | calendar_query |
8326 | 50 | weka kufanya mazoezi katika kalenda yangu saa mbili asubuhi kila siku hii wiki | calendar_set |
8327 | 50 | ongeza kazi kwenye kalenda kuanzia jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi na moja hadi saa kumi na mbili asubuhi | calendar_set |
8328 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano kesho saa nane mchana | calendar_set |
8330 | 50 | unaweza kunikumbusha mkutano wa leo saa saa kumi jioni | calendar_set |
8331 | 30 | futa mkutano wangu wa kesho | calendar_remove |
8332 | 30 | toa kufanya kwangu kwa mazoezi kutoka leo | calendar_remove |
8334 | 30 | futa kalenda yangu | calendar_remove |
8335 | 30 | sitaki matukio yoyote yaorodheshwe kwa kalenda yangu | calendar_remove |
8337 | 32 | ni masaa mangapi hadi miadi na daktari yangu inayofuata | calendar_query |
8338 | 32 | lini na wapi ni sherehe ya siku ya kuzaliwa ya june | calendar_query |
8339 | 32 | jumatatu mchana iko bure | calendar_query |
8340 | 30 | futa tukio langu lijalo | calendar_remove |
8341 | 30 | futa tukio langu lijalo | calendar_remove |
8342 | 30 | tafuta tukio langu lijalo na ufute tafadhali | calendar_remove |
8344 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu | calendar_set |
8346 | 50 | jikumbushe kunikumbusha kuwa nahitaji kukumbushwa juu ya ule mkutano unahitajika uwe | calendar_set |
8348 | 32 | niambie kinachofanyika alhamisi ijayo | calendar_query |
8351 | 32 | ni kanuni gani ya mavazi kwa sherehe | calendar_query |
8352 | 50 | tafadhali nukuu kwenye kalenda yangu kuna matibabu kila jumanne saa tano asubuhi | calendar_set |
8353 | 50 | weka mkutano wangu wa bajeti kila ijumaa saa nane | calendar_set |
8354 | 50 | weka ukumbusho wa mazoezi ya viungo kila jumatano saa tisa | calendar_set |
8355 | 32 | kuna likizo tarehe ishirini na mbili | calendar_query |
8356 | 32 | likizo ya benki ipo lini | calendar_query |
8357 | 50 | tafadhali ongeza tukio hili | calendar_set |
8359 | 50 | nikumbushe kuhusu hili kesho | calendar_set |
8360 | 50 | nikumbushe siku mbili kabla ya | calendar_set |
8361 | 50 | nikumbushe kila jumanne kwenda kwa dobi | calendar_set |
8362 | 50 | unaweza kuniwekea ukumbusho wa kwenda kwenye mazoezi ya mpira wa kikapu ya watoto wangu kila ijumaa usiku | calendar_set |
8363 | 32 | nina lolote limepangwa kesho kuanzia saa sita hadi saa tisa mchana | calendar_query |
8364 | 32 | wapi natakiwa kuwa jumatano kuanzia saa nane hadi saa tano | calendar_query |
8365 | 50 | nahitaji kumbukizi ya saa nane usiku kila siku ya kumjulia hali mama | calendar_set |
8367 | 50 | panga mkutano wangu na bwana luka fadhili kesho saa saba mchana alasiri baada ya chakula cha mchana | calendar_set |
8368 | 50 | panga mkutano na tom cruise leo saa kumi na mbili jioni | calendar_set |
8369 | 30 | hujambo olly ondoa mipangilio yangu yote ya leo | calendar_remove |
8370 | 30 | sasa siri futa miadi yangu yote kwa kalenda ya leo | calendar_remove |
8371 | 30 | hujambo olly tarehe ishirini futa kalenda yangu | calendar_remove |
8374 | 48 | tengeneza tukio na kengele ya mkutano katika masaa mawili | alarm_set |
8375 | 50 | tengeza ukumbusho wa kengele ya kalenda | calendar_set |
8376 | 50 | weka kikumbusho cha kengele cha kalenda | calendar_set |
8378 | 6 | matukio yepi yanayo chipuka | recommendation_events |
8379 | 6 | je kuna matukio yanayokuja | recommendation_events |
8380 | 30 | habari siri ghairi chochote kilichopangwa kinachofuata kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
8381 | 32 | tukio la machi kumi na tisa saa mbili nane mchana linahusu | calendar_query |
8382 | 32 | soma taarifa kuhusu tukio la kalenda la machi kumi na tisa saa nane mchana | calendar_query |
8383 | 32 | je nina matukio yoyote mwishoni mwa wiki hii | calendar_query |
8386 | 50 | nikumbushe saa mbili jioni kufua nguo chafu | calendar_set |
8389 | 50 | nikumbushe jumatatu saa nane mchana kuwa na mkutano na andrew | calendar_set |
8391 | 50 | weka ukumbusho wa mkutano | calendar_set |
8392 | 50 | mkutano tafadhali weka ukumbusho | calendar_set |
8393 | 50 | nikumbushe kila ijumaa kwenda kwa mchezo wa mpira wa kikapu wa mwanangu | calendar_set |
8395 | 50 | nikumbushe mkutano wangu kesho saa tisa mchana | calendar_set |
8396 | 50 | weka ukumbusho wa mkutano jumatano saa saba mchana saa | calendar_set |
8397 | 50 | lazima niende kwa mkutano ijumaa mchana unaweza nikumbusha | calendar_set |
8398 | 50 | tafadhali ongeza ununuzi kwenye maduka tarehe ishirini na sita machi saa sita mchana | calendar_set |
8399 | 50 | ongeza patana na dave katika subway ilio weber aprili nne saa kumi na moja jioni | calendar_set |
8400 | 32 | je niko huru ijumaa mchana | calendar_query |
8401 | 32 | je mkutano wangu na bob uko kesho saa tisa mchana | calendar_query |
8403 | 12 | tafadhali nipe habari zaidi | general_quirky |
8405 | 32 | nina matukio gani kesho | calendar_query |
8406 | 30 | futa matukio yote ya kesho | calendar_remove |
8407 | 32 | ni matukio gani ninayo kwa wiki hii ijayo | calendar_query |
8408 | 30 | toa tukio yangu ya chajio ya kesho | calendar_remove |
8411 | 50 | weka tukio kwenye kalenda | calendar_set |
8412 | 50 | tafadhali nikumbushe | calendar_set |
8416 | 50 | nikumbushe kazini nikuwe na mkutano na dave ijumaa | calendar_set |
8419 | 32 | je nina vikumbusho vyovyote leo | calendar_query |
8420 | 32 | kuna kitu napaswa kufahamu ya | calendar_query |
8421 | 50 | ninahitaji kuweka ukumbusho wa kwenda kwa mkutano wa kazi ijumaa saa nane alasiri | calendar_set |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.