id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
8563 | 30 | futa miadi yangu ya kesho saa tisa mchana | calendar_remove |
8565 | 32 | mkutano wowote kati ya saa kumi na mbili hadi saa moja mchana | calendar_query |
8566 | 32 | niko huru kati ya saa kumi na mbili mpaka saa moja jioni | calendar_query |
8567 | 50 | panga chakula cha mchana saa nne asubuhi leo na uwaalike tiffany na jessica tafadhali | calendar_set |
8569 | 50 | nataka upange mkutano na bryce jessie na carol kesho saa tatu asubuhi | calendar_set |
8571 | 50 | tafadhali ziba ijumaa saa mbili asubuhi kwa kalenda yangu | calendar_set |
8572 | 50 | unaweza kuingiza tukio kwenye kalenda yangu | calendar_set |
8573 | 50 | fungua kalenda na uunde tukio jipya | calendar_set |
8574 | 32 | nina shughuli nyingi leo | calendar_query |
8575 | 12 | nini cha kufanya wiki hii | general_quirky |
8576 | 12 | wakati mimi busy mwezi huu | general_quirky |
8577 | 30 | ondoa kila kila kitu kwenye kalenda | calendar_remove |
8580 | 32 | mikutano ya leo ni ya saa ngapi | calendar_query |
8581 | 32 | niambie mahali mikutano yangu yote ya leo itakua | calendar_query |
8582 | 32 | nionyeshe mikutano ya siku ya leo | calendar_query |
8583 | 50 | ongeza tukio la mwezi wa julai tarehe kumi na tatu inayoitwa siku ya kuzaliwa | calendar_set |
8584 | 50 | tafadhali weka sherehe ya siku ya kuzaliwa kwangu kwenye kalenda | calendar_set |
8586 | 32 | niko na nini kwa ratiba ya leo | calendar_query |
8587 | 32 | ratiba ya leo | calendar_query |
8588 | 50 | panga ratiba ya mkutano na juma mnamo aprili tarehe moja saa nne asubuhi | calendar_set |
8589 | 50 | tafadhali panga mkutano wangu na ri uwe saa nne asubuhi aprili tarehe moja | calendar_set |
8590 | 50 | leta kalenda na upange mkutano na ri tarehe moja aprili saa nne asubuhi | calendar_set |
8591 | 50 | weka ukumbusho kesho saa nane jioni | calendar_set |
8593 | 48 | weka kengele ya kesho saa nane mchana | alarm_set |
8595 | 50 | je nina wakati wowote wa miadi ya daktari jumanne asubuhi | calendar_set |
8596 | 32 | kalenda ni lini mkutano wangu wa kifedha utafanyika ijumaa | calendar_query |
8597 | 32 | tafadhali niambie mkutano wa kifedha ni lini | calendar_query |
8599 | 50 | nikumbushe asubuhi kupigia mamangu | calendar_set |
8600 | 32 | nipe taarifa zaidi kuhusu ratiba ya tukio la machi tarehe thelathini alexa | calendar_query |
8601 | 32 | ni tarehe gani ya tukio lililopangwa februari tarehe ishirini | calendar_query |
8603 | 32 | alexa anwani ni gani ya tukio lililo ratibiwa januari tarehe moja | calendar_query |
8604 | 50 | nahitaji kuandaa mkutano na sarah kesho | calendar_set |
8605 | 50 | nahitaji kuandaa mkutano na sarah kesho alexa | calendar_set |
8607 | 50 | mpigie linda umkumbushe anichukue kwa kuchezea mpira | calendar_set |
8608 | 50 | nataka kujulisha kikundi changu kuwa eneo lime badilika | calendar_set |
8610 | 32 | sherehe itaanza lini | calendar_query |
8611 | 32 | nini ratiba ya mkutano | calendar_query |
8613 | 30 | futa tukio langu la karibuni | calendar_remove |
8614 | 50 | panga tukio kwa kila jumatano | calendar_set |
8615 | 50 | ongeza tukio kila ijumaa ya pili ya mwezi | calendar_set |
8616 | 50 | ongeza tukio la kila jumatatu pekee | calendar_set |
8617 | 50 | nikumbushe kunywa dawa yangu kila siku saa moja usiku kwa wiki mbili zijazo | calendar_set |
8620 | 50 | weka tarehe inayojirudia kwenye kalenda yangu | calendar_set |
8623 | 50 | waweza nikumbusha juu ya mkutano wangu kesho | calendar_set |
8624 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu wa mchana huu tafadhali | calendar_set |
8625 | 50 | nitumie ukumbusho wa mkutano wangu usiku wa leo | calendar_set |
8627 | 32 | tukio litachukua muda upi | calendar_query |
8628 | 50 | nikumbushe kila siku saa kumi na moja asubuhi | calendar_set |
8629 | 50 | nikumbushe kila mwanzo wa mwezi | calendar_set |
8630 | 50 | nikumbushe kila mwezi tarehe kumi na tano | calendar_set |
8632 | 30 | unaweza toa hiyo kwa kalenda yangu | calendar_remove |
8633 | 50 | niambie wakati tukio linaanza | calendar_set |
8634 | 50 | nikumbushe wiki moja kabla ya malipo ya kadi yangu ya mkopo yanadaiwa | calendar_set |
8636 | 30 | unaweza kufuta miadi ya daktari niliyokuwa nayo jumanne | calendar_remove |
8637 | 30 | unaweza kuondoa tukio linalofuata kwenye kalenda yangu | calendar_remove |
8638 | 30 | sihitaji kumwona daktari tena waweza ondoa hilo tukio | calendar_remove |
8639 | 50 | unaweza panga tukio jumatatu saa kumi na mbili kwa mcdonalds | calendar_set |
8641 | 50 | nikumbushe kuhusu mkutano wangu wa biashara saa tisa na dakika arubaini na tano mchana | calendar_set |
8643 | 32 | je ratiba ya tarehe hii ikoje | calendar_query |
8644 | 32 | hujambo olly ajenda ya tarehe ni ipi | calendar_query |
8645 | 32 | habari waeza soma taarifa ya tarehe hii | calendar_query |
8646 | 32 | nina vikumbusho vyovyote ambavyo vinangoja kwenye foleni yangu | calendar_query |
8647 | 32 | nina vikumbusho gani vinasubiri | calendar_query |
8648 | 50 | nikumbushe mkutano wa mauzo wa saa moja asubuhi alhamisi hii na uuongeze kwenye kalenda | calendar_set |
8649 | 50 | niko na mkutano wa mauzo hii alhamisi saa moja asubuhi tafadhali nikumbushena ongeza kwa kalenda | calendar_set |
8650 | 50 | ongeza ukumbusho wa arifa na tukio la kalenda alhamisi saa moja asubuhi wenye leo ya mkutano wa mauzo tafadhali | calendar_set |
8652 | 50 | nijulishekuhusu tukio kwa kalenda yangu | calendar_set |
8654 | 50 | ongeza tukio lililoitwa sherehe ya kuhitimu ya dan tarehe tano mwezi ya mei arboretum | calendar_set |
8656 | 50 | nahitaji kuongeza tukio mei tarehe tano mwaka wa elfu mbili na kumi na saba eneo la thika kwa ajili ya sherehe ya kuhitimu ya danny | calendar_set |
8657 | 30 | tafadhali futa kila kitu kutoka kwa kalenda yangu | calendar_remove |
8658 | 30 | ninahitaji kufutwa kila kitu kutoka kwa kalenda tafadhali | calendar_remove |
8659 | 30 | tafadhali futa kalenda yangu kabisa | calendar_remove |
8660 | 50 | weka ukumbusho wa jumanne saa tatu asubuhi | calendar_set |
8661 | 50 | ongeza kazi kwenye kalenda yangu kwa kila ijumaa | calendar_set |
8662 | 50 | ongeza siku ya malipo kwenye kalenda yangu kwa kila alhamisi nyingine | calendar_set |
8663 | 6 | matukio yapi yanafanyika kampala wikendi hii | recommendation_events |
8664 | 6 | ni matukio gani yanayoendelea huko malindi wikendi hii | recommendation_events |
8665 | 30 | futa kila kitu kutoka kwa kalenda yangu | calendar_remove |
8669 | 32 | kwa mwezi ujao nina siku ngapi ya mkutano inayopatikana ambayo ni rahisi kwa ajili yangu | calendar_query |
8671 | 32 | je tamasha la busu lipo lini | calendar_query |
8673 | 32 | mkutano wangu ni upi wa saa tatu mchana | calendar_query |
8675 | 32 | nani anaenda kwenye mkutano wangu saa tatu asubuhi | calendar_query |
8678 | 50 | panga upya mkutano | calendar_set |
8680 | 32 | nina mikutano leo | calendar_query |
8682 | 30 | futa matukio | calendar_remove |
8683 | 30 | ondoa tukio lililoko kwenye kalenda | calendar_remove |
8684 | 32 | siku ipi ni siku ya malipo | calendar_query |
8686 | 12 | ni maelezo gani kuhusu jamhuri | general_quirky |
8687 | 50 | unaeza ongeza jina ya mahali kwa kalenda | calendar_set |
8688 | 50 | tafadhalo ongeza superbowl kwa kalenda | calendar_set |
8689 | 50 | weka chajio na dadangu iwe jumamosi | calendar_set |
8690 | 50 | nina chajio na dada yangu jumamosi hii | calendar_set |
8691 | 32 | je nina matukio yoyote yaliyoratibiwa leo | calendar_query |
8695 | 32 | aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo | calendar_query |
8696 | 50 | ratibu mkutano na ali siku ya jumanne | calendar_set |
8698 | 50 | niekee jumanne tarehe ishirini na moja saa nne na al | calendar_set |
8700 | 32 | nijulishe kuhusu mikutano | calendar_query |
8701 | 50 | weka kalenda ya tarehe na saa na mtu huyu | calendar_set |
8702 | 50 | ongeza tukio la siku na saa na watu hawa | calendar_set |
8703 | 50 | ongeza kwenye kalenda tarehe na saa hii na watu hawa | calendar_set |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.