id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
8704
50
weka mkutano wa januari tarehe ishirini na tano
calendar_set
8705
50
tarehe ishirini na tano januari eka mkutano wa saa sita
calendar_set
8706
50
ongeza tarehe na wakati kwa kalenda na hawa watu
calendar_set
8708
32
angalia kalenda kwa matukio
calendar_query
8709
32
siendi kazi siku ya kumbukumbu
calendar_query
8710
32
je halloween ipo ijumaa mwaka huu
calendar_query
8711
32
angalia kalenda yangu ya leo
calendar_query
8712
32
angalia ajenda yangu ya leo
calendar_query
8713
30
ondoa chakula cha mchana kwenye mgahawa la machi tarehe ishirini na tano
calendar_remove
8715
32
nina miadi jumatano ijayo
calendar_query
8716
32
ratiba yangu ni bure leo
calendar_query
8717
32
miadi ya daktari ni lini
calendar_query
8718
50
weka miadi ya ijumaa ijayo
calendar_set
8719
50
ongeza harusi kwenye kalenda yangu
calendar_set
8720
50
ongeza usiku wa wasichana kwenda nje kwenye kalenda yangu
calendar_set
8721
50
ongeza mipango ya chajio kwenye kalenda yangu
calendar_set
8722
32
niko na shughuli yoyote inayoendelea jumamosi saa kumi na moja jioni
calendar_query
8724
32
siku ya kumbukumbu yangu ni hivi karibuni
calendar_query
8725
32
siku gani dnio maadhimisho ya miaka
calendar_query
8726
30
toa kila tukio
calendar_remove
8727
30
futa matukio yote
calendar_remove
8728
30
ondoa matukio yote
calendar_remove
8733
30
tafadhali hamisha tarehe zote kwenye tupio
calendar_remove
8734
32
ni vikumbusho zipi ninazo leo
calendar_query
8735
32
rudia ukumbusho zangu za jana
calendar_query
8737
30
ondoa ratiba yangu ya tarehe hii
calendar_remove
8738
30
toa tukio kwenye kalenda
calendar_remove
8739
30
futa matukio
calendar_remove
8740
48
weka kengele ya saa nane mchana
alarm_set
8742
32
nimepanga nini jumatatu ijayo kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa mchana
calendar_query
8743
30
futa tukio lifuatalo kwa kalenda yangu ili nisiione tena
calendar_remove
8744
30
waweza ondoa tukio lifwatalo nililoalikwa kwenye kalenda
calendar_remove
8745
30
tafadhali ondoa tukio lifwatalo kwenye kalenda ambalo nimeliongeza
calendar_remove
8746
50
nikumbushe kuchukua john kutoka uwanja wa ndege saa mbili leo usiku
calendar_set
8747
50
kumbuka kuwa ninahitaji kuwasilisha mgawo wangu wa hesabu leo usiku saa tano
calendar_set
8748
50
weka alama oktoba tarehe kumi na tatu mwaka huu kama siku yangu ya kuzaliwa
calendar_set
8750
50
mkutano jumanne mchana
calendar_set
8754
50
ratibu miadi yangu na daktari ijumaa saa nane jioni
calendar_set
8756
50
olly unaweza tafadhali kuongeza uhifadhi wa chakula cha jioni yangu kwenye kalenda yangu
calendar_set
8757
50
mkutano saa mbili asubuhi hadi saa sita alasiri
calendar_set
8758
50
nikumbushe kuhusu mkutano saa mbili asubuhi hadi saa sita mchana
calendar_set
8759
32
tukio liko wapi leo
calendar_query
8760
32
vipi kuhusu tukio hili
calendar_query
8761
32
sherehe iko wapi
calendar_query
8763
32
una mpango gani usiku wa leo
calendar_query
8768
32
siku ya akina mama ni siku ya jumapili
calendar_query
8770
30
ondoa tukio la kalenda ijayo
calendar_remove
8772
30
ondoa safari iliyopangwa julai nne
calendar_remove
8773
32
niambie nini kiko kwenye ratiba julai tarehe saba
calendar_query
8775
50
ukumbusho mpya saa tisa mchana
calendar_set
8776
50
weka ukumbusho saa tisa mchana
calendar_set
8777
50
tukio jipya la kalenda la ndoa ya albert
calendar_set
8779
50
nikumbushe kuangalia tanuri katika dakika kumi na tano
calendar_set
8780
50
weka ukumbusho ya saa sita unusu ya mkutano na bosi
calendar_set
8784
32
tarehe ya tukio hili iko haki
calendar_query
8785
50
ratiba mkutano wetu na wafanyi kazi kazi kuhusu bonasi
calendar_set
8787
6
natafuta sikukuu spesheli yoyote tanzania
recommendation_events
8789
50
jitayarishe kwa mkutano kabla ya tukio kuanza
calendar_set
8790
32
ningependa kujua zaidi kuhusu tukio lililoratibiwa
calendar_query
8792
32
ni maelezo gani ya hii tukio
calendar_query
8793
32
angalia kalenda
calendar_query
8794
32
nina lolote nililopanga leo
calendar_query
8796
32
onyesha ma kumbusho ya leo
calendar_query
8797
32
tafadhali niambie ni lini ndoa ya bwana jim
calendar_query
8798
32
tafadhali nieleze sherehe ya kuzaliwa ya jenny
calendar_query
8799
32
waeza nijulisha wakati tutahitajika kulipa bima ya gari
calendar_query
8801
32
nieleze ni vikumbusho gani ninavyo siku ya leo
calendar_query
8804
50
weka ukumbusho kwenye kalenda ya
calendar_set
8806
50
nikumbushe kuhusu mkutano yangu ya jumatatu na peter francis dakika kumi na tano kabla ya mkutano
calendar_set
8807
50
nijulishe kama mikutano yangu iko jumatatu
calendar_set
8809
50
weka mkutano na peter francis hii jumatatu saa nane mchana
calendar_set
8810
50
panga mkutano jumatatu hii na peter francis mchana
calendar_set
8811
50
nijulishe wakati saa tatu zimepita
calendar_set
8812
50
weka ukumbusho ya chajio saa kumi na mbili jioni tarehe jumatano kwenye chanja ya kuchomea nyama ya bonefish
calendar_set
8813
30
tafadhali safisha kalenda yangu
calendar_remove
8814
30
enda kwa siku ya tukio na ufute
calendar_remove
8815
30
nenda kwa mwezi wa tukio na ufute
calendar_remove
8816
30
enda kwa mwaka wa tukio na ufute
calendar_remove
8817
50
ongeza sherehe ya siku ya kuzaliwa ya eva hapo jam roller saa sita na nusu mchana mnamo tarehe saba mei
calendar_set
8818
50
unaweza kuongeza chajio cha siku ya kuzaliwa ya ndugu yangu pale rusk ya machi tarehe ishirini na tatu
calendar_set
8819
50
tafadhali ongeza mkutano wangu wa biashara saa nne asubuhi ofisini na bill
calendar_set
8820
32
kuna matukio yoyote yajayo
calendar_query
8821
32
habari za matukio yanayokuja
calendar_query
8823
32
nina mkutano na nani januari tarehe kumi na tisa alasiri
calendar_query
8826
50
nikumbushe kupiga simu benki alhamisi ijayo
calendar_set
8827
50
alhamisi ijayo nahitaji kukumbushwa kupiga simu benki
calendar_set
8830
30
futa data yote kwenye kalenda
calendar_remove
8831
30
futa data yote kutoka kwa kalenda
calendar_remove
8832
30
toa data kutoka kwa kalenda
calendar_remove
8833
30
safisha kalenda yangu siku iliyobaki
calendar_remove
8835
30
futa kila kitu kwenye kalenda yangu kwa wiki mbili zijazo
calendar_remove
8836
50
ongeza kwenye kalenda tarehe moja oktoba saa nane mchana chakula cha mchana na ann
calendar_set
8837
50
oktoba moja saa nane mchana chakula cha mchana na ann
calendar_set
8838
32
ni matukio gani yajayo
calendar_query
8839
32
ni lipi tukio linalofuata kuja
calendar_query
8840
32
tukio linalofuata limepangwa saa ngapi
calendar_query
8841
50
ongeza kwenye kalenda kila mwaka mei tarehe mbili ni siku ya kuzaliwa kwa mary
calendar_set
8843
50
panga mkutano na laura
calendar_set
8844
30
futa maelezo yote kwa kalenda yangu
calendar_remove
8845
30
fanya kalenda yangu tupu
calendar_remove