id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
8422
50
weka ukumbusho wa safari yangu ya ununuzi kesho saa kumi na moja jioni
calendar_set
8423
50
weka tukio la kujirudia kote kila siku mwezi huu wote
calendar_set
8424
50
weka tukio inayojirudia katika kalenda yangu
calendar_set
8427
50
ongeza miadi ya chakula cha mchana na lisa hadi januari tarehe mbili saa sita unusu mchana
calendar_set
8428
50
olly tenga muda wa chai na lisa kutoka januari mbili saa sita na nusu mchana
calendar_set
8429
50
olly ongeza chajio na jane februari tarehe ishirini saa kumi na mbili jioni
calendar_set
8432
30
ondoa mkutano wangu leo ​​saa saba mchana
calendar_remove
8433
30
futa tukio langu la mkutano wa machi kumi na tisa saa saba mchana
calendar_remove
8435
50
tafadhali weka mkutano wa kazi saa sita mchana kila alhamisi februari
calendar_set
8437
50
tafadhali tengeneza mipango ya chajio saa moja usiku kila ijumaa aprili
calendar_set
8438
12
niambie mengi kuhusu sherehe ya jamhuri
general_quirky
8439
32
tamasha linaanza saa ngapi
calendar_query
8440
30
futa matukio yote kwenye kalenda yangu
calendar_remove
8441
30
futa kalenda yangu yote
calendar_remove
8443
50
weka hili tukio kwa kalenda yangu
calendar_set
8444
32
kuna lolote kwenye kalenda langu
calendar_query
8445
50
nikumbushe ninafaa kuwa kwa maktaba wiki moja kuanzia leo saa kumi na moja
calendar_set
8448
50
nifanyie miadi jumamosi ijayo saa kumi na moja kwenye maktaba na uweke ukumbusho
calendar_set
8450
50
weka ukumbusho wa saa kumi na moja jioni kesho
calendar_set
8452
50
weka tukio kwenye kalenda yangu kila jumanne
calendar_set
8454
50
ongeza kwenye kalenda yangu ya leo edwin sifuna saa saba mchana
calendar_set
8455
32
tamasha la sauti sol lipo wapi
calendar_query
8456
32
tamasha la merika la hivi karibuni zaidi lipo lini
calendar_query
8457
32
sherehe ya siku ya kuzaliwa ni saa ngapi usiku wa leo
calendar_query
8458
32
niambie ukumbusho wangu wa huu mwezi
calendar_query
8459
32
nionyeshe kalenda yangu
calendar_query
8462
32
ni siku gani hii wiki niko na mipango
calendar_query
8464
50
nikumbushe mkutano wangu siku ya jumatano saa tatu asubuhi
calendar_set
8465
50
nitumie taarifa kuhusu mkutano wa jumatano saa tatu asubuhi
calendar_set
8467
32
niambie kuhusu matukio yangu yajayo
calendar_query
8468
32
nina matukio gani yaliyobaki leo
calendar_query
8470
30
toa matukio yote kwenye calenda mwezi huu
calendar_remove
8471
30
toa matukio yote ya mwezi uliopita kwa kalenda
calendar_remove
8472
30
ondoa matukio yote kwa kalenda
calendar_remove
8473
50
ongeza sherehe ya siku ya kuzaliwa ya jane katika mia moja ishirini na tatu kuu ya saa nane mchana kesho katika kalenda yangu
calendar_set
8475
50
tenga kwenye kalenda sherehe ya siku ya kuzaliwa kesho saa nane mchana ya jane kwa nyumba yake
calendar_set
8476
30
tafadhali futa tukio hili
calendar_remove
8477
30
unaweza futa tukio hili
calendar_remove
8478
50
tafadhali nikumbushe mkutano wangu wa saa kumi na moja jioni
calendar_set
8480
50
nikumbushe kuwa nina mkutano saa kumi na moja jioni
calendar_set
8481
50
nitumie ukumbusho wa kumpigia binti yangu siku ya alhamisi kwa ajili ya kumbukumbu yake ya miaka
calendar_set
8482
50
maadhimisho ya miaka ya mabinti zangu ni hii alhamisi nitumie ukumbusho
calendar_set
8483
50
nikumbushe jambo la kwanza siku ya alhamisi nimpigie simu binti yangu kumtakia maadhimisho mema ya miaka
calendar_set
8484
32
mkutano wa acme unafanyika wapi ijumaa
calendar_query
8485
32
mkutano wa acme unaanza saa ngapi ijumaa
calendar_query
8486
32
mkutano wa acme san diego california uko siku gani na saa ngapi
calendar_query
8488
50
tafadhali weka tukio la saa nne asubuhi mwezi mmoja na siku mbili kutoka sasa la kuwa na uuzaji wa karakana kwenye nyumba yangu
calendar_set
8489
22
nini kilifanyika nairobi asubuhi huu
news_query
8490
32
niambie vidokezo mia mbili vya mkutano wa mchana huu
calendar_query
8492
32
ratiba yangu ikoje leo
calendar_query
8495
32
ratiba yangu ya kesho asubuhi iko aje
calendar_query
8497
32
nina nini kwa ratiba yangu ya kesho asubuhi
calendar_query
8499
50
weka mkutano wa kila wiki ijumaa saa tatu asubuhi
calendar_set
8500
50
niarifu saa moja kabla ya miadi yangu ya saa nane alasiri kwenye muuzaji wa magari
calendar_set
8501
50
tafadhali nikumbushe saa kumi na moja jioni leo kuwa nina tukio saa mbili asubuhi
calendar_set
8502
50
weka tukio mpya
calendar_set
8503
32
nina vikumbusho vingapi vinasubiri
calendar_query
8504
32
ninahitaji kukumbuka nini
calendar_query
8505
32
nini iko kwa kalenda yangu mwezi huu
calendar_query
8506
32
miadi yangu ijayo ni ya lini
calendar_query
8507
32
nina shughuli gani wiki hii
calendar_query
8508
32
kuna mpishi yeyote wa nyama asiye kazini wikendi hii
calendar_query
8509
32
kuna tukio la kupika pilipili hii wikendi
calendar_query
8511
32
kuna matukio yoyote ya groove awards yanayokuja sarit centre
calendar_query
8512
50
weka ukumbusho wa kwenda kuona filamu na ron marchi tarehe ishirini na saba
calendar_set
8514
32
je nina fursa zozote kwenye ratiba yangu ya kesho
calendar_query
8515
32
olly ninao ufunguzi wowote kwa ratiba yangu ya kesho
calendar_query
8517
50
weka kumbusho tarehe nne aprili kuona daktari wa meno
calendar_set
8518
50
weka ukumbusho kwa saa tisa kamili
calendar_set
8519
50
nikumbushe wakati huu
calendar_set
8521
50
weka ukumbusho kwenye kalenda
calendar_set
8523
50
unda tukio jipya kwenye kalenda yangu
calendar_set
8524
50
nikumbushe tukio lifuatalo
calendar_set
8526
30
toa sampuli ya mkutano kwenye programu ya kalenda
calendar_remove
8527
30
ghairi mkutano wa saa tisa
calendar_remove
8529
13
nipe hali ya hewa ya merced saa tisa mchana
weather_query
8530
32
nina miadi gani kati ya saa saba mpaka saa tisa mchana
calendar_query
8531
6
pata matukio ya mtaa
recommendation_events
8532
6
pata matukio ya mtaa
recommendation_events
8533
50
nikumbushe kuhusu miadi ya daktari wa meno kwa masaa mawili
calendar_set
8534
50
nijulishe kuhusu miadi yangu ya daktari wa meno saa nane mchana
calendar_set
8536
50
nikumbushe kujaza fomu ya maombi ya chuo kila siku mbili baada ya sasa hivi
calendar_set
8537
50
nikumbushe kununua zawadi mara moja asubuhi na mara moja jioni
calendar_set
8538
50
nikumbushe kulipa bili zangu mwanzo wa kila mwezi
calendar_set
8540
50
niambie baadae kuhusu
calendar_set
8542
32
miadi yangu leo ni gani
calendar_query
8544
30
futa matukio zote zangu kwa kalenda
calendar_remove
8545
30
futa kalenda yangu
calendar_remove
8546
30
futa kalenda yangu safi
calendar_remove
8547
30
ondoa tukio la kalenda ijayo
calendar_remove
8550
32
wakati wa wakati ni sherehe ya likizo katika ofisi
calendar_query
8551
32
ni siku gani ya wiki kunalo tukio la youth charity
calendar_query
8552
50
weka mkutano na tom jumanne saa tatu asubuhi
calendar_set
8554
30
futa sherehe ya krismasi kanisani jumatano ijayo
calendar_remove
8555
30
ondoa mchango wa yatima aprili
calendar_remove
8556
30
futa chakula cha mchana cha kazi hii ijumaa
calendar_remove
8557
50
kila jumatano saa kumi na moja jioni nikumbushe nikutane na rashidi
calendar_set
8558
50
fanya jumatano saa kumi na moja jioni daima uwe mkutano na phil kwenye kalenda yangu
calendar_set
8560
32
nahitaji kufanya chochote baadae
calendar_query
8561
32
niangalilie kalenda yangu
calendar_query