ending1
stringlengths 4
149
| ending2
stringlengths 5
156
| startphrase
stringlengths 7
179
| labels
int64 0
1
| split
stringclasses 7
values |
---|---|---|---|---|
Wanakwaya wale wana sauti nyororo na ya kupendeza | Wanakwaya wale hawana sauti za kuimba | Wanakwaya wale wana sauti kama kinanda | 0 | sw |
Wanakwaya wale wana sauti nyororo na ya kupendeza | Wanakwaya wale hawana sauti za kuimba | Wanawkwaya wale wana sauti mbaya kama chura | 1 | sw |
Ninamdhamini mke wangu kuliko chochote duniani | Simdhamini mke wangu vile | Ninamdhamini mke wangu kama moyo | 0 | sw |
Ninamdhamini mke wangu kuliko chochote duniani | Simdhamini mke wangu vile | Ninamdhamini mke wangu kama taka | 1 | sw |
Bernard alishindwa kuona maovu ya Maria | Bernard aliyaona maovu yote ya Maria | Ifikapo kwa maria, bernard alikuwa mwenye macho kama jongoo | 0 | sw |
Bernard alishindwa kuona maovu ya Maria | Bernard aliyaona maovu yote ya Maria | Bernard alikuwa na macho ya Tai kwa maovu ya Maria | 1 | sw |
Jirani yangu ni mkatili na mouvu | Jirani yangu ni mkarimu na mwenye upendo | Jirani yangu ni shetani | 0 | sw |
Jirani yangu ni mkatili na mouvu | Jirani yangu ni mkarimu na mwenye upendo | Jirani yangu ana roho nzuri kama malaika | 1 | sw |
Mjomba wa Lois hawachi kula | Mjomba wa Lois aliwacha kula | Mjomba wa Lois anakula kama fisi | 0 | sw |
Mjomba wa Lois hawachi kula | Mjomba wa Lois aliwacha kula | Mjomba wa Lois anakula kama mgonjwa mahututi | 1 | sw |
Jirani yetu ana watoto wengi | Jirani yetu ana watoto wachache sana | Jirani yetu ana watoto wengi kama siafu | 0 | sw |
Jirani yetu ana watoto wengi | Jirani yetu ana watoto wachache sana | Jirani yetu ana watoto adimu kama maziwa ya kuku | 1 | sw |
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka | Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimetiliwa maji | Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka kama janga | 0 | sw |
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka | Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimetiliwa maji | Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vina maji kama ziwa Victoria | 1 | sw |
Wanafunzi husimama Imara bendera inapopandishwa | Wamafunzi huyumbayumba bendera inapopandishwa | Wanafunzi husimama imara kama uti wa mgondo bendera inapopandishwa | 0 | sw |
Wanafunzi husimama Imara bendera inapopandishwa | Wamafunzi huyumbayumba bendera inapopandishwa | Wanafunzi huyumba kama mawimbi bendera inapopandishwa | 1 | sw |
Mkutano wa walimu ulichukua muda mrefu | Mkutano wa walimu ulikuwa mfupi leo | Mkutano wa walimu ulikuwa miaka na mikaka | 0 | sw |
Mkutano wa walimu ulichukua muda mrefu | Mkutano wa walimu ulikuwa mfupi leo | Mkutano wa walimu ulikawia kama mngurumo wa radi | 1 | sw |
Watoto wake hufuatana kila wanakoenda | Watoto wake hawapatani kamwe | Watoto wake hufuatana kama siafu | 0 | sw |
Watoto wake hufuatana kila wanakoenda | Watoto wake hawapatani kamwe | Watoto wake ni kama jua na mwezi | 1 | sw |
Maria hunituliza moyo anapowasili | Maria huniudhi kila anapowasili | Maria ni tabibu wa moyo wangu | 0 | sw |
Maria hunituliza moyo anapowasili | Maria huniudhi kila anapowasili | Maria ni chuma cha moto kwa moyo wangu | 1 | sw |
Wangari alikataa kufuata maelezo yetu | Wangari aliyafuata na kuyaiga maelezo yetu | Wangari alikataa kuyafuata maelezo yetu kama sikio la kufa | 0 | sw |
Wangari alikataa kufuata maelezo yetu | Wangari aliyafuata na kuyaiga maelezo yetu | Wangari aliyatii maelezo yetu kama kijakazi wa mfalme | 1 | sw |
Nilimpenda Jeptoo, kila aendapo ningemfuata | Nilimpenda Jeptoo lakini Sikuenda popote angeenda | Nilimpenda Jeptoo, nikawa kivuli chake | 0 | sw |
Nilimpenda Jeptoo, kila aendapo ningemfuata | Nilimpenda Jeptoo lakini Sikuenda popote angeenda | Nilimpenda Jeptoo lakini tulitorokana kama jua na mwezi | 1 | sw |
Uwepo wake hunipendeza | Uwepo wake huniudhi | Uwepo wake ni mtulivu kama manukato kwangu | 0 | sw |
Uwepo wake hunipendeza | Uwepo wake huniudhi | Uwepo wake ni mtulivu kama tawi kwenye dhoruba | 1 | sw |
Baba ya Alice ni mkali mno | Baba ya Alice ni mzuri na mkarimu | Baba ya Alice ni pilipili | 0 | sw |
Baba ya Alice ni mkali mno | Baba ya Alice ni mzuri na mkarimu | Baba ya Alice ni mkali kama nzi | 1 | sw |
Chokoraa wa Nairobi wameshinda wakizurura | Chokoraa wa Nairobi ni wametulia leo | Chokoraa wa Nairobi wamezurura kama Mbwakoko | 0 | sw |
Chokoraa wa Nairobi wameshinda wakizurura | Chokoraa wa Nairobi ni wametulia leo | Chokoraa wa Nairobi wametulia leo kama mtoto aliyelala | 1 | sw |
Muziki wa Kenya huwa wa huruma | Muziki wake ulikuwa wa furaha | Muziki wa Kenya ulikuwa wa huruma kama aliyefiwa | 0 | sw |
Muziki wa Kenya huwa wa huruma | Muziki wake ulikuwa wa furaha | Muziki wa Kenya ulikuwa wa huruma kama aliyeshinda Lotto | 1 | sw |
Dennis hutembea haraka akienda shuleni | Dennis hutembea polepole akienda shuleni | Dennis hutembea haraka kama anayefwatwa gizani akienda shuleni | 0 | sw |
Dennis hutembea haraka akienda shuleni | Dennis hutembea polepole akienda shuleni | Dennis hutembea taratibu kama Bi harusi akienda shuleni | 1 | sw |
Nyumba yake ilikuwa na joto mno | Nyumba yake haikuwa na joto mno | Nyumba yake ilikuwa na joto kama jiko | 0 | sw |
Nyumba yake ilikuwa na joto mno | Nyumba yake haikuwa na joto mno | Nyumba yake ilikuwa na joto kama jokofu | 1 | sw |
Dada yake ni mkubwa | Dada yake si mkubwa | Dada yake ni mkubwa kama tembo | 0 | sw |
Dada yake ni mkubwa | Dada yake si mkubwa | Dada yake ni mkubwa kama tundu la sindano | 1 | sw |
Imani yake ilikuwa dhabiti mno | Imani yake ilikuwa hafifu | Imani yake ilikuwa na nguvu kama chuma | 0 | sw |
Imani yake ilikuwa dhabiti mno | Imani yake ilikuwa hafifu | Imani yake ilikuwa na nguvu kama kijiti kilichoshikilia ndovu | 1 | sw |
Maswali hayo yalikuwa rahisi | Maswali hayo yalikuwa magumu mno | Maswali hayo yalikuwa mboga | 0 | sw |
Maswali hayo yalikuwa rahisi | Maswali hayo yalikuwa magumu mno | Maswali hayo yalikuwa mawe | 1 | sw |
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu | Macho ya kijana huyo hayakuwa mekundu | Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu kama damu | 0 | sw |
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu | Macho ya kijana huyo hayakuwa mekundu | Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu kama maziwa | 1 | sw |
Eneo hilo lilikuwa na kelele mno | Eneo hilo lilikuwa tulivu mno | Eneo hilo lilikuwa na kelele kama mtoto aliyeachwa | 0 | sw |
Eneo hilo lilikuwa na kelele mno | Eneo hilo lilikuwa tulivu mno | Eneo hilo lilikuwa na kelele kama mtungi wa maji | 1 | sw |
Alipenda kula chakula na pilipili | Hakupenda kula chakula na pilipili | Alipenda kula chakula na pilipili kama mhindi | 0 | sw |
Alipenda kula chakula na pilipili | Hakupenda kula chakula na pilipili | Alipenda kula chakula na pilipili kama mtoto | 1 | sw |
Walikuwa pamoja kila siku | Waliachana kwa umbali sana | Walikuwa pamoja kama nywele kwa nyingine | 0 | sw |
Walikuwa pamoja kila siku | Waliachana kwa umbali sana | Walikuwa pamoja kama Marekani na Kenya | 1 | sw |
Alikuwa mwereve darasani | Hakuwa mwerevu darasani | Alikuwa mwerevu kama sungura | 0 | sw |
Alikuwa mwereve darasani | Hakuwa mwerevu darasani | Alikuwa mwerevu kama samaki | 1 | sw |
Kwake kulikuwa na joto mno | Kwake hakukuwa na joto kamwe | Kwake kulikuwa na joto kama jehanamu | 0 | sw |
Kwake kulikuwa na joto mno | Kwake hakukuwa na joto kamwe | Kwake kulikuwa na joto kama chini ya bahari | 1 | sw |
Mtoto aliyejifungua alikuwa mzito mno | Mtoto aliyejifungua alikuwa mwepesi | Mtoto aliyejifungua alikuwa nanga | 0 | sw |
Mtoto aliyejifungua alikuwa mzito mno | Mtoto aliyejifungua alikuwa mwepesi | Mtoto aliyejifungua alikuwa mabawa | 1 | sw |
Sebuleni yake ilikuwa telezi mno | Sebule yake ilikuwa imekauka mno | Sebule yake ilikuwa telezi kama siagi | 0 | sw |
Sebuleni yake ilikuwa telezi mno | Sebule yake ilikuwa imekauka mno | Sebule yake ilikuwa telezi kama kokoto | 1 | sw |
Alinipendeza sana siku nzima | Aliniudhi siku nzima | Alinipendeza kama sharubati | 0 | sw |
Alinipendeza sana siku nzima | Aliniudhi siku nzima | Alinipendeza kama mtoto asieacha kulia | 1 | sw |
Alituchelewesha kwa kutembea polepole | Hakutuchelewesha kwa kutembea haraka | Alituchelewesha kwa kuwa na miguu ya kobe | 0 | sw |
Alituchelewesha kwa kutembea polepole | Hakutuchelewesha kwa kutembea haraka | Hakutuchelewesha kwa kuwa na miguu kama ya swara | 1 | sw |
Alichomwa na jua sana siku nzima | Hakuchomwa na jua kamwe | Alichomwa na jua kama mpasua-mawe siku nzima | 0 | sw |
Alichomwa na jua sana siku nzima | Hakuchomwa na jua kamwe | Alichomwa na jua kama mgonjwa aliye kwenye wodi | 1 | sw |
Mtihani ulipokaribia, Otieno alianza kutia bidii | Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mzembe | Mtihani ulipokaribia, Otieno alibadilika mchwa | 0 | sw |
Mtihani ulipokaribia, Otieno alianza kutia bidii | Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mzembe | Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mchwa | 1 | sw |
Matumaini yake yalipanda alipopata habari | Matumaini yake yalishuka alipopata habari | Matumaini yake yalipanda kama ndege alipopata habari | 0 | sw |
Matumaini yake yalipanda alipopata habari | Matumaini yake yalishuka alipopata habari | Matumaini yake yalipanda kama changarawe alipopata habari | 1 | sw |
Mama Aziza na dada yake walifanana sana | Mama Aziza na dada yake walikuwa tofauti sana | Mama Aziza na dada yake walikuwa shilingi kwa nyingine | 0 | sw |
Mama Aziza na dada yake walifanana sana | Mama Aziza na dada yake walikuwa tofauti sana | Mama Aziza na dada yake walikuwa usiku na mchana | 1 | sw |
Mama Otis alipenda busu la mumewe | Mama Otis hakupenda busu la mumewe | Mama Otis alipenda busu la mumewe kama asali | 0 | sw |
Mama Otis alipenda busu la mumewe | Mama Otis hakupenda busu la mumewe | Mama Otis alipenda busu la mumewe kama Mungu apendavyo dhambi | 1 | sw |
Sandra alituandalia chakula kitamu sana | Sandra hakutuandalia chakula kitamu | Sandra alituandalia chakula kitamu kama asali | 0 | sw |
Sandra alituandalia chakula kitamu sana | Sandra hakutuandalia chakula kitamu | Sandra alituandalia chakula kitamu kama ndimu | 1 | sw |
Beatrice alikuwa na matumaini kwa mumewe | Beatrice hakumtumaini mumewe kamwe | Beatrice alimtumainin mumewe kama tasa anayetafuta mtoto | 0 | sw |
Beatrice alikuwa na matumaini kwa mumewe | Beatrice hakumtumaini mumewe kamwe | Beatrice alimtumainini mumewe kama mja aliyehukumiwa kifo | 1 | sw |
Wafula alitembea gizani kwa ushupavu bila kuogopa | Wafula alitembea gizani akiwa na woga | Wafula alikuwa shupavu kama mwanajeshi akitembea gizani | 0 | sw |
Wafula alitembea gizani kwa ushupavu bila kuogopa | Wafula alitembea gizani akiwa na woga | Wafula alitembea gizani akuwa shupavu kama kondoo anayeingizwa kichinjioni | 1 | sw |
Maria aliingia kwangu akinukia manukato | Maria aliingia kwangu akinuka vibaya | Maria aliingia kwangu akinukia manukato kama binti ya malkia | 0 | sw |
Maria aliingia kwangu akinukia manukato | Maria aliingia kwangu akinuka vibaya | Maria aliingia kwangu akinuka kama kondoo aliyenyeshewa | 1 | sw |
Dennis alikuwa na haraka kuelekea nyumbani | Dennis hakuwa na haraka kamwe | Dennis alikuwa na haraka kama risasi | 0 | sw |
Dennis alikuwa na haraka kuelekea nyumbani | Dennis hakuwa na haraka kamwe | Dennis alikuwa na haraka kama ndumakuwili | 1 | sw |
Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi | Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu | Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi kama mwizi | 0 | sw |
Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi | Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu | Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu kama bahari | 1 | sw |
Garissa kumekauka lakini kuna upepo kama ufuo wa bahari | Garissa kumekauka na hakuna upepo | Garissa kumejaa upepo kama ufuo wa bahari | 0 | sw |
Garissa kumekauka lakini kuna upepo kama ufuo wa bahari | Garissa kumekauka na hakuna upepo | Garissa kumejaa upepo kama ndani ya kisima | 1 | sw |
Wananchi walijitokeza kwa wingi kumskiza rais | Wananchi hawakujitokeza kumskiza rais | Wananchi walijaa kama mchanga kumskiza rais | 0 | sw |
Wananchi walijitokeza kwa wingi kumskiza rais | Wananchi hawakujitokeza kumskiza rais | Wananchi walijitokeza kwa wingi kama mayai ya Ng'ombe kumskiza rais | 1 | sw |
Wabunge wanajulikana kuwa wafisadi sana | Wabunge wengi si wafisadi siku hizi | Wabunge ni fisadi kama polisi | 0 | sw |
Wabunge wanajulikana kuwa wafisadi sana | Wabunge wengi si wafisadi siku hizi | Wabunge ni fisadi kama kasisi | 1 | sw |
Hakuna anayemwamini Lesly ni mwongo wa ahadi | Lesly ni mwaminifu, ahadi zake atatimiza | Lesly ni kigeugeu kama Kinyonga | 0 | sw |
Hakuna anayemwamini Lesly ni mwongo wa ahadi | Lesly ni mwaminifu, ahadi zake atatimiza | Lesly ni kigeugeu kama mwanasiasa | 1 | sw |
Beatrice alikataa kufuata Masharti ya mwalimu | Beatrice alifuata masharti yote ya mwalimu | Beatrice alikaidi masharti kama mbuzi anayechezewa kinanda | 0 | sw |
Beatrice alikataa kufuata Masharti ya mwalimu | Beatrice alifuata masharti yote ya mwalimu | Beatrice alikaidi masharti kama mlinzi wa malkia | 1 | sw |
Umemaliza shule na ukakuwa maarufu hivi punde | Umemaliza shule na hakuna anayekutambua | Umemaliza shule ukakuwa maarufu kama rais wa nchi | 0 | sw |
Umemaliza shule na ukakuwa maarufu hivi punde | Umemaliza shule na hakuna anayekutambua | Umemaliza shule ukakuwa maarufu kama mtoto wa kati | 1 | sw |
Hakupenda kuelezea alichohisi rohoni | Alipenda kupayuka kila alichohisi | Roho yake ilikuwa kufuli lililofungwa | 0 | sw |
Hakupenda kuelezea alichohisi rohoni | Alipenda kupayuka kila alichohisi | Roho yake ilikuwa mchana wa jua | 1 | sw |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.