ending1
stringlengths 4
149
| ending2
stringlengths 5
156
| startphrase
stringlengths 7
179
| labels
int64 0
1
| split
stringclasses 7
values |
---|---|---|---|---|
Anette huwa na mikono laini mno | Anette huwa na mikono migumu sana | Anette ana Mikono laini kama mto | 0 | sw |
Anette huwa na mikono laini mno | Anette huwa na mikono migumu sana | Anette ana mikono laini kama changarawe | 1 | sw |
Ala! Benjamin uko na haraka leo | Ala! Benjamin huna haraka hata? | Ala! Benjamin una haraka kama ambulensi iliyo na mgonjwa mahututi | 0 | sw |
Ala! Benjamin uko na haraka leo | Ala! Benjamin huna haraka hata? | Ala! Benjamin, Una haraka kama siafu aliyebeba kitoweo | 1 | sw |
Muangalie anavyong'aa nyusoni na kupendeza | Muangalie alivyochafuka nyusoni leo | Muangalie anavyong'aa nyusoni kama nyota | 0 | sw |
Muangalie anavyong'aa nyusoni na kupendeza | Muangalie alivyochafuka nyusoni leo | Muangalie anavyong'aa nyusoni kama chokoraa | 1 | sw |
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia mno | Olentuku alipoibiwa mshale alikasirika mno | Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia kama mtoto yatima | 0 | sw |
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia mno | Olentuku alipoibiwa mshale alikasirika mno | Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia kama mtoto wa mfalme | 1 | sw |
Khalid hawezi kuficha tabasamu anapomuona Michelle | Khalid hufichua meno yake meusi anapomuona Michelle | Khalid hutoa tabasamu ya dhahabu anapomuona Michelle | 0 | sw |
Khalid hawezi kuficha tabasamu anapomuona Michelle | Khalid hufichua meno yake meusi anapomuona Michelle | Khalid hutoa tabasamu ya kibogoyo anapomuona Michelle | 1 | sw |
Mkora alituchangaya alipotuibia Nairobi | Mkora alijichanganya mwenyewe alipojaribu kutuibia Nairobi | Mkora alikuwa na werevu kama nyani alipotuibia | 0 | sw |
Mkora alituchangaya alipotuibia Nairobi | Mkora alijichanganya mwenyewe alipojaribu kutuibia Nairobi | Mkora alikuwa na werevu kama kondoo alipojaribu kutuibia | 1 | sw |
Tony ana miguu kubwa sana | Tony ana miguu ndogo sana | Tony ana Miguu mikubwa kama Nyani | 0 | sw |
Tony ana miguu kubwa sana | Tony ana miguu ndogo sana | Tony ana Miguu ndogo kama siafu | 1 | sw |
Maria alikuwa na wasiwasi alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu | Maria hakuwa na wasiwasi wowote alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu | Maria alikuwa na wasiwasi kama mtoto aliyepoteza pesa za mamaye | 0 | sw |
Maria alikuwa na wasiwasi alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu | Maria hakuwa na wasiwasi wowote alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu | Maria alikuwa na wasiwasi kama Ng'ombe aliyeshiba alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu | 1 | sw |
Tunashauriwa tuwe waangalifu tulivuka barabara | Huwa wanakaidi ushauri wa kuwa waangalifu wanapovuka barabara | Tunashauriwa kuwa waangalifu kama daktari tunapovuka barabara | 0 | sw |
Tunashauriwa tuwe waangalifu tulivuka barabara | Huwa wanakaidi ushauri wa kuwa waangalifu wanapovuka barabara | Wao huwa waangalifu kama walevi wanapovuka barabara | 1 | sw |
Hakutaka kuskia tena kutoka kwao | Alitaka kusikia kila walichosema | Alikuwa jiwe alipojaribu kuongea naye | 0 | sw |
Hakutaka kuskia tena kutoka kwao | Alitaka kusikia kila walichosema | Alitega sikio kama mama wa mboga sokoni | 1 | sw |
Bibi harusi alitembea kwa Maringo | Bibi Arusi hakutembe kwa Maringo | Bibi Arusi alitembea kama tausi | 0 | sw |
Bibi harusi alitembea kwa Maringo | Bibi Arusi hakutembe kwa Maringo | Bi Arusi alitembea kama mlevi | 1 | sw |
Safari yake ilikuwa ndefu mno | Safari yake haikuwa ndefu | Safari yake ilikuwa mlima Kilimanjaro | 0 | sw |
Safari yake ilikuwa ndefu mno | Safari yake haikuwa ndefu | Safari yake ilikuwa ndefu kama unywele | 1 | sw |
Mwizi aliposhikwa aligongwa na kila mtu | Mwizi aliposhikwa hakugongwa sana | Mwizi aliposhikwa aligongwa kama kandanda | 0 | sw |
Mwizi aliposhikwa aligongwa na kila mtu | Mwizi aliposhikwa hakugongwa sana | Mwizi aliposhikwa aligongwa kama mtoto agongwavyo alale | 1 | sw |
Polisi ni watu waovu sana | Polisi si watu waovu sana | Polisi wana roho ya shetani | 0 | sw |
Polisi ni watu waovu sana | Polisi si watu waovu sana | Polisi wana roho ya mtoto | 1 | sw |
Jane ana sura nyororo | Jane ana sura ngumu | Jane ana sura nyororo kama ngano | 0 | sw |
Jane ana sura nyororo | Jane ana sura ngumu | Jane ana sura ngumu kama chura | 1 | sw |
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kwa mbali | Kaka ya Tom hana uwezo wa kunusia kwa mbali | Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kama mbwa | 0 | sw |
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kwa mbali | Kaka ya Tom hana uwezo wa kunusia kwa mbali | Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kama samaki | 1 | sw |
Mutuku amesimama wima | Mutuku hajasimama wima | Mutuku amesimama kama bendera ya chifu | 0 | sw |
Mutuku amesimama wima | Mutuku hajasimama wima | Mutuku amesimama wima kama sukuma wiki siku ya upepo | 1 | sw |
Antony wako na Boma kubwa sana | Antony hawa na boma kubwa | Boma la kina Antony ni uwanja wa ndege | 0 | sw |
Antony wako na Boma kubwa sana | Antony hawa na boma kubwa | Boma la kina Antony ni kibanda | 1 | sw |
Maria huwa hana msimamo, anapelekwa tu hivi hivi | Maria huwa na msimamo, hatingiziki | Maria hana msimamo, ni bendera | 0 | sw |
Maria huwa hana msimamo, anapelekwa tu hivi hivi | Maria huwa na msimamo, hatingiziki | Maria huwa na msimamo, ni uti wa mgongo | 1 | sw |
Mchuuzi hupiga kelele anapowasili | Mchuuzi huwa hapigi kelele anapowasili | Mchuuzi huwa kasuku anapowasili | 0 | sw |
Mchuuzi hupiga kelele anapowasili | Mchuuzi huwa hapigi kelele anapowasili | Mchuuzi huwa usiku wa manane anapowasili | 1 | sw |
Antony alilelewa awategemee wengine | Antony alilelewa asiwategemee wengine | Antony alilelewa akuwe kupe kwa wengine | 0 | sw |
Antony alilelewa awategemee wengine | Antony alilelewa asiwategemee wengine | Antony alilelewa akuwe imara kama simba | 1 | sw |
Jana nilikuwa nimeshikamana na vitu vingi | Jana sikuwa nimeshikamana na vitu vingi | Jana nilikuwa nimeshikamaa kama guluu | 0 | sw |
Jana nilikuwa nimeshikamana na vitu vingi | Jana sikuwa nimeshikamana na vitu vingi | Jana nilikuwa nimeshikamana kama changarawe | 1 | sw |
Janice alifika nyumbani akiwa na njaa sana | Janice alifika nyumbani akiwa na shibe | Janice alipofika nyumbani, alikula kama nguruwe | 0 | sw |
Janice alifika nyumbani akiwa na njaa sana | Janice alifika nyumbani akiwa na shibe | Janice alipofika nyumbani, alikula kama mgonjwa aliyepoteza hamu | 1 | sw |
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi ngumu kama adhabu | Wafungwa wengi huwa hawana kazi ya kufanya | Wafungwa wengi hufanyishwa kazi kama punda kama adhabu | 0 | sw |
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi ngumu kama adhabu | Wafungwa wengi huwa hawana kazi ya kufanya | Wafungwa wengi hufanyishwa kazi kama paka wa nyumbani | 1 | sw |
Wafisadi serekalini wataharakishwa na polisi | Wafisadi serekalini hawanyiwi kitu kamwe | Wafisadi serekalini watabebeshwa mbio kama gari la miraa | 0 | sw |
Wafisadi serekalini wataharakishwa na polisi | Wafisadi serekalini hawanyiwi kitu kamwe | Wafisadi serekalini wanabebeshwa mbio kama kreti la mayai | 1 | sw |
Usifanye kazi nyingi, utachoka alafu ulale sana | Usipofanya kazi nyingi, hutachoka ulale | Usifanye kazi nyingi kisha ulale kama paka | 0 | sw |
Usifanye kazi nyingi, utachoka alafu ulale sana | Usipofanya kazi nyingi, hutachoka ulale | Alikuwa amechoka akalala kama Mamba | 1 | sw |
Henry alizaliwa na miguu refu | Henry alizaliwa na miguu ndogo | Henry ana miguu mirefu kama mbuni | 0 | sw |
Henry alizaliwa na miguu refu | Henry alizaliwa na miguu ndogo | henry ana miguu mirefu kama jongoo | 1 | sw |
Alitushuku tukiingia na kutuangalia kwa macho kali | Hakutushuku kamwe tulipoingia na vifaa | ALipotushuku alituangalia kwa macho kali kama tai | 0 | sw |
Alitushuku tukiingia na kutuangalia kwa macho kali | Hakutushuku kamwe tulipoingia na vifaa | Alikuwa na macho kali jama jongoo tulipoingia | 1 | sw |
Omar alioa binti mnene na mwenye umbo zuri | Omar alioa binti mnene na mwenye hana umbo zuri | Omar alioa binti mwenye umbo zuri kama chupa | 0 | sw |
Omar alioa binti mnene na mwenye umbo zuri | Omar alioa binti mnene na mwenye hana umbo zuri | Omar alioa binti mwenye umbo zuri kama nambari nane | 1 | sw |
Gerad alimaliza shule akijua mengi mno | Gerad alimaliza shule na hakujua chochote | Gerad alisoma akajua mengi kama mtandao | 0 | sw |
Gerad alimaliza shule akijua mengi mno | Gerad alimaliza shule na hakujua chochote | Gerad alisoma na akajua mengi kama mtoto mchanga | 1 | sw |
Imani ana siri nyingi | Imani hapendi kuficha chochote | Roho ya imani ni msitu | 0 | sw |
Imani ana siri nyingi | Imani hapendi kuficha chochote | Roho ya imani ni jua la mchana | 1 | sw |
Onyango anapenda kupayuka maneno yasiyomhusu | Onyango huweka siri za wengine kwa moyo | Onyango ni kipaza sauti | 0 | sw |
Onyango anapenda kupayuka maneno yasiyomhusu | Onyango huweka siri za wengine kwa moyo | Onyango ni mtungi wa maji | 1 | sw |
Kimani alimpenda na kumbembeleza mke wake | Kimani hakumpenda mke wake | Kimani alimdekeza mpenzi wake kama yai | 0 | sw |
Kimani alimpenda na kumbembeleza mke wake | Kimani hakumpenda mke wake | Kimani alimdekeza mpenzi wake kama punda | 1 | sw |
Alichelewa akapata ukumbi umejaa | ALifika mapema akakosa mtu ukumbini | Alipata ukumbi umejaa kama laini ya kupiga kura | 0 | sw |
Alichelewa akapata ukumbi umejaa | ALifika mapema akakosa mtu ukumbini | Alipata ukumbi umejaa kama jangwa | 1 | sw |
Rossie alikuwa mjeuri kwa ushauri | Rossie alikuwa mtiifu kwa ushauri | Rossie alikuwa mjeuri kama mtoto aliyekataa kula | 0 | sw |
Rossie alikuwa mjeuri kwa ushauri | Rossie alikuwa mtiifu kwa ushauri | Rossie alikuwa mjeuri kama mtundu aliyeitiwa chakula | 1 | sw |
Siku yake ya kubatizwa, alivalia rinda jeupe | Hakuvalia rinda jeusi siku yake ya kubatizwa | Alivalia rinda jeupe kama mawingu siku yake ya kubatizwa | 0 | sw |
Siku yake ya kubatizwa, alivalia rinda jeupe | Hakuvalia rinda jeusi siku yake ya kubatizwa | Alivalia rinda jeupe kama makaa siku yake ya kubatizwa | 1 | sw |
Bibi ya John aliraukia kazini | Bibi ya John alichelewa kazini | Bibi ya John alirauka mapema kama jimbi kuenda kazini | 0 | sw |
Bibi ya John aliraukia kazini | Bibi ya John alichelewa kazini | Bibi ya John alirauka mapema kama kuku mgonjwa kuenda kazini | 1 | sw |
Viatu vya Leah vinapendeza mno | Viatu vya Leah havipendezi kabisa | Leah ana viatu maridadi kama almasi | 0 | sw |
Viatu vya Leah vinapendeza mno | Viatu vya Leah havipendezi kabisa | Leah ana viatu maridadi kama makaa | 1 | sw |
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa | Mke wake anapenda kelele na kuvurugwa | Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa kama mtoto | 0 | sw |
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa | Mke wake anapenda kelele na kuvurugwa | Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa kama mfungwa | 1 | sw |
Ombi lake la kazi lilikawia mno | Ombi lake la kazi halikukawia kamwe | Ombi lake la kazi lilichukuwa muda kama ahadi za serikali | 0 | sw |
Ombi lake la kazi lilikawia mno | Ombi lake la kazi halikukawia kamwe | Ombi lake la kazi lilichukuwa muda kama mngurumo wa radi | 1 | sw |
Walimvamia mwizi Gikomba alipojulikana | Hawakumfanyia mziwi chochote walipomshika | Walimvamia mwizi kama mvua Gikomba alipokamatwa | 0 | sw |
Walimvamia mwizi Gikomba alipojulikana | Hawakumfanyia mziwi chochote walipomshika | Walimvamia mwizi kama vipepeo walipomshika | 1 | sw |
Alianguka akaumia vibaya | Alianguka lakini hakuumia | Aliumia kama mwizi aliyepigwa na umati | 0 | sw |
Alianguka akaumia vibaya | Alianguka lakini hakuumia | Aliumia kama mja aliyeumwa na mbu | 1 | sw |
Muwe wa sofia ni katili | Mume wa Sofia ni mkarimu | Mume wa Sofia ni Katili kama muasi | 0 | sw |
Muwe wa sofia ni katili | Mume wa Sofia ni mkarimu | Mume wa sofia ni Katili kama jongoo | 1 | sw |
Alituletea mtoto aliyetusumbua usiku kucha | Alituletea mtoto mtulivu mno | Alituletea mtoto msumbufu kama nyani | 0 | sw |
Alituletea mtoto aliyetusumbua usiku kucha | Alituletea mtoto mtulivu mno | Alituletea mtoto msumbufu kama maiti | 1 | sw |
Nilipenda kuzurura sana ututoni mwangu | Sikupenda kuzurura utotoni mwangu | Nikiwa mtoto nilipenda kuzurura kama mbwakoko | 0 | sw |
Nilipenda kuzurura sana ututoni mwangu | Sikupenda kuzurura utotoni mwangu | Nikiwa mtoto nilipenda kuzurura kama milima | 1 | sw |
Ilimbidi awajibike alipopata mtoto | Alishindwa kuwajibika hata alipopata mtoto | Alipojifungua, alianza kuwajibika kama mwanafunzi anayekalia mtihani wa kitaifa | 0 | sw |
Ilimbidi awajibike alipopata mtoto | Alishindwa kuwajibika hata alipopata mtoto | Alipojifungua, alianza kuwajibika kama chokoraa mapipani | 1 | sw |
Ungonjwa ulimdhaifisha | Ingawa alikuwa mgonjwa, alijitahidi kazini | Alipogonjeka, alianza kuwa mdhaifu kama barafu iliyowekwa kwa jua | 0 | sw |
Ungonjwa ulimdhaifisha | Ingawa alikuwa mgonjwa, alijitahidi kazini | Alipongojeka, alianza kuwa mdhaifu kama almasi | 1 | sw |
Alitarajia kuishi maisha marefu | Alitarajia kuaga dunia mapema | Alitarajia kuishi maisha marefu kama mabonde na mito | 0 | sw |
Alitarajia kuishi maisha marefu | Alitarajia kuaga dunia mapema | Alitarajia kuishi maifa marefu kama nzi | 1 | sw |
Janet hunipendeza usiku na mchana | Janet hunichukiza usiku na mchana | Janet ni ua la waridi | 0 | sw |
Janet hunipendeza usiku na mchana | Janet hunichukiza usiku na mchana | Janet ni kiganja cha moto | 1 | sw |
Ujumbe wa kifochake ulienea kwa muda mfupi | Ujumbe wa kifo chake haukufika mbali | Ujumbe wa kifo chake ulienea kama upepo | 0 | sw |
Ujumbe wa kifochake ulienea kwa muda mfupi | Ujumbe wa kifo chake haukufika mbali | Ujumbe wa kifo chake ulienea kama upepo | 1 | sw |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.