text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Wiki iliyopitaBaraza la Mitihani la Taifa (NECTA) lilifuta matokeo ya mitihani ya darasa la saba kwa shule za msingi zote za Halmashauri ya Chemba na baadhi ya shule katika halmashauri ya Kondoa, Kinondoni, Mwanza jiji na Ubungo kwa kosa la kuvujisha mitihani.
|
Waziri Mkuu amesema tayari Serikali imechukua hatua kali kwa watu wote walioshiriki katika kitendo hicho kwa sababu kinadumaza uelewa na ufikiri kwa wanafunzi, hivyo kuwaandaa watoto kuwa wategemezi.
|
“Hata hivyo, Serikali inaendelea na uchunguzi juu ya suala hili ili kubaini chanzo cha wizi huo. Walimu, kitendo cha kumpa mtoto mitihani ni sawa na kujiaibisha kwani mnaonekana hamjafanya kazi zenu ipasavyo. Sitarajii kusikia suala hili tena.”
|
Kadhalika, Waziri Mkuu ametembelea kituo cha utafiti Maruku ambapo alikagua na kupokea taarifa za shughuli za utafiti wa zao la kahawa na alitumia fursa hiyo kuwashauri wakulima wenye miti mikongwe kung’oa na kupanda mipya kwa awamu.
|
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpyaHAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
|
Picha : MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA BUNAMBIYU..SHUHUDIA KILA KITU HAPA
|
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani katika mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Bunambiyu kata ya Bunambiyu wilaya ya ...
|
HAJI MANARA AKAMATWA NA POLISI TUKIO LA KUTEKWA MO DEWJI
|
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amekamatwa na polisi kutokana na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’.
|
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI OKTOBA 13,2018
|
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU OKTOBA 15,2018
|
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OKTOBA 14,2018
|
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ambaye ni mshindi wa zabuni ya kuwekeza kwenye klabu ya Si...
|
IDADI YA WATEMBELEAJI WA MTANDAO HUU
|
Serikali yatoa sababu halisi ya kutoza ushuru wa 16% kwa petroli ▷ Tuko.co.ke
|
Serikali yatoa sababu halisi ya kutoza ushuru wa 16% kwa petroli
|
- Msemaji wa serikali ameeleza kuwa ushuru huo unanuia kupata KSh 35 bilioni kujazia upungufu wa bajeti ya 2018
|
Habari Nyingine : Baada ya kifo cha Sharon Otieno, Wakenya waorodhesha masharti 10 ya kuzingatia ukiwa na ‘sponsor’
|
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
|
Msemaji wa serikali Eric Kiraithe amewashutumu baadhi ya wabunge wanaoupinga ushuru wa 16% kwa petroli akiwataja kama wanafiki wa hali ya juu.
|
Habari Nyingine : Huyu ndiye mrembo aliyeivuruga ndoa ya Ababu Namwamba?
|
Msemaji huyo wa serikali ameeleza kuwa iwapo Rais Uhuru ataitia saini mageuzi yaliyofanywa na wabunge kusitisha ushuru huo wa 16% basi serikali itakuwa na upungufu wa KSh 35 bilioni kuifadhili miradi yake.
|
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa [email protected], [email protected] ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News
|
Kupata habari kila siku kutokaTUKO.co.ke
|
Jackie Maribe aonekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu kuachiliwa huru na mahakama
|
Jamaa asherehekea siku yake ya kuzaliwa Uganda kwa kitoweo cha nyoka wa aina ya cobra
|
Hii ni baada ya wabunge kumkataa Ben Chumo aliyeteuliwa awali akihusishwa na kashfa za ufisadi.
|
Uteuzi huo wa Cherop katika nafasi hiyo umeibua hisia kali huku baadhi ya Wakenya wakijiuliza kama nafasi hiyo ni ya jamii mmoja tu.
|
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: [email protected]
|
Kupata habari kila siku kutokaTUKO.co.ke
|
IMF inaweza kusalia na mkopo wake wa KSh 150 bilioni, Kenya haihitaji pesa hizo - Mshauri wa Rais
|
Raha kwa shule za msingi likizo fupi ya siku 5 katikati ya kila muhula ikiidhinishwa
|
Waziri wa elimu aanzisha likizo fupi ya siku 5 kwa wanafunzi wa shule za msingi
|
Ni kweli kuwa wabunge walihongwa kubatilisha ripoti ya sukari - Mbunge wa Jubilee
|
Hata kama unakamata ngumi mbili nguru, Cute, tomboy Gal Gadot^^ Hatua yako ya thamani kwa watoto katika hospitali~ Kitu nzuri na cha thamani zaidi^^ // Kwa sababu itawapa watoto wagonjwa mapenzi ya tumaini ya kushinda matatizo, Ajabu mwanamke ni takwimu ya kweli ambayo inapaswa kuonekana, Kwa watoto ambao wana mgonjwa kwa sababu ya ugonjwa, Gal Gadot mzuri na mwenye afya, Ni zawadi ambayo inapaswa kupewa watoto wagonjwa^^~~ //// - 10 days ago
|
Ame No Hi Ni Wa
|
Ili kukabiliana na tatizo la njaa, kila mkulima anapaswa kulima kwa kufuata kanuni bora za kilimo na apande mbegu bora ambazo zinahimili maji machache
|
SUBSCRIBE, LIKE, SHARE UJISHINDIE ZAWADI NONO YA SIMU BOMBA. PIA UTAKUWA WA KWANZA KUPOKEA VIDEO ZETU MPYA KUTOKA DIRA TV.
|
“HABARI ZA KUKUTANA NA DILLISH ZANZIBAR SIO ZA KWELI, MIMI NILIKUWA ZANZIBAR KWA KAZI ZANGU BINAFSI NA NILIKAA SIKU MBILI NIKARUDI DAR PEKEE YANGU. SIJAONANA NA HUYU DADA NA WALA SIKUWA NAE. HUO NI UZUSHI NA NDIO MAANA NILIKUWA KIMYA KWENYE HILI.”
|
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika picha ya pamoja na Youssou Ndour Waziri wa Utalii na Utamaduni nchini Senegal ambaye pia ni mwanamuziki maarufu duniani wakati alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho hayo , Youssou Ndour amewahi kufanya ziara ya kimuziki mara tatu nchini Tanzania kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Utalii na Utamaduni nchini mwake.
|
Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)Devota Mdachi kushoto na maafisa wengine wakiwa katika maonyesho ya Utalii ya FITUR ambayo ni ya tatu kwa Duniani yaliyofanyika kuanzia Januari 30 mpaka Februari 3 mwaka huu nchini Madrid nchini Hispania na kushirkisha Bodi ya Utalii (TTB), Mamlaka ya Hifadhi za Taifa ya Ngorongoro (NCAA) na makampuni zaidi ya sita ya utalii kutoka nchini Tanzania katikati ni Esther Solomon (Senior Tourist Information Officer,(TTB) , Israel Naman ({Principal Conservation Officer, (NCAA) na Maria Kirombo (Park Warden, Arusha National Park).
|
KITABU CHA KIFO NI HAKI YANGU CHAZINDULIWA RASMI
|
MTOTO WA MIAKA 8 AFUNGA NDOA NA JIMAMA LA MIAKA 61...
|
Guess huyu ni wa kusema na kutenda huh!
|
VYOMBO VYA HABARI
|
MATUKIO KATIKA PICHA
|
MAGAZETI YA LEO
|
Home » » HATUA AMBAZO ZIMECHUKULIWA DHIDI YA STANBIC BANK TANZANIA LIMITED KUHUSU USHIRIKI WAKE KUWEZESHA MKOPO WA SERIKALI WA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 600
|
HATUA AMBAZO ZIMECHUKULIWA DHIDI YA STANBIC BANK TANZANIA LIMITED KUHUSU USHIRIKI WAKE KUWEZESHA MKOPO WA SERIKALI WA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 600
|
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawamo pichani)jijini Dar es Salaam, kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali dhidi ya Benki ya Stanbic Tanzania kutokana na ushiriki wake katika kuwezesha mkopo wa Serikali wa Dola za Kimarekani Milioni 600 na Kulia kwake ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) Bw. Lila Mkila.
|
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango (katikati) akitoa tamko kwa waandishi wa habari (hawamo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kusudio la kuitoza Benki ya Stanbic faini ya shilingi bilioni 3. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile na Kushoto kwake ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Lila Mkila.
|
Mwezi Julai 2013, Benki Kuu ya Tanzania kupitia ufuatiliaji wa kawaida wa shughuli za mabenki iligundua matatizo yaliyohusiana na hasara itokanayo na mikopo na pia kuacha na kuondolewa kazini kwa viongozi waandamizi wa Stanbic Bank Tanzania Limited (Stanbic) katika muda mfupi. Kutokana na hilo, Benki Kuu iliamua kufanya ukaguzi wa kulenga (Targeted Examination) katika benki hiyo. Ukaguzi huo ni kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa Benki Kuu chini ya Kifungu 47 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006 na Kifungu 31 cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006.
|
Matokeo ya Ukaguzi wa Benki Kuu
|
Taarifa ya ukaguzi huo iliwasilishwa kwa benki ya Stanbic kwa mujibu wa taratibu, na Benki Kuu iliiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo kuchukua hatua stahiki za kurekebisha kasoro zilizoonekana. Aidha, benki ya Stanbic iliagizwa kutoa taarifa kwa Kitengo cha Financial Intelligence Unit (FIU) kilichopo Wizara ya Fedha na Mipango kuhusiana na miamala hiyo yenye mashaka katika akaunti ya EGMA kama Sheria ya Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu ya mwaka 2006 (The Anti-Money Laundering Act, 2006) inavyoelekeza. Benki ya Stanbic ilitekeleza maagizo na kutoa taarifa FIU kuhusu miamala inayotiliwa shaka.
|
Mnamo 29 Septemba 2015, Benki Kuu ilipokea barua toka Idara ya Serikali ya Uingereza inayohusika na Upelelezi wa Makosa ya Kugushi na Rushwa (Serious Fraud Office - SFO) ikiiomba Benki Kuu ruhusa ya kutumia ripoti yake ya ukaguzi kama ushahidi katika kesi dhidi ya Standard Bank Plc ambayo ilikuwa ni mshirika wa Stanbic Bank Tanzania Limited katika kuwezesha mkopo wa dola za kimarekani milioni 600 kwa Serikali na kwamba ripoti hiyo ingekuwa wazi kwa umma. Benki Kuu iliijibu SFO kuwa kwa mujibu wa Sheria ripoti za Benki Kuu zinatolewa tu kwa benki au taasisi ya fedha inayohusika, hata hivyo, Benki Kuu haikuwa na pingamizi kwa SFO kutumia taarifa za ripoti hiyo kwa kuzingatia chanzo cha ripoti hiyo.
|
Hatimaye, Standard Bank Plc ilikubali makosa na ilitozwa faini ya jumla ya dola za kimarekani milioni 32.20, ambapo kiasi cha dola za kimarekani milioni 7 zinalipwa kwa Serikali ya Tanzania (dola za kimarekani milioni 6 zilikuwa ni fidia na dola za kimarekani milioni 1 ni riba).
|
Kwa kuzingatia mapungufu ya kufanya miamala iliyohusisha EGMA na pia kutokuweka taratibu madhubuti za udhibiti wa ndani, na kwa kuzingatia Kifungu 67 cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, Benki Kuu imeiandikia benki ya Stanbic barua ya kusudio la kuitoza faini ya shilingi bilioni 3. Sheria inaitaka benki ya Stanbic kutoa utetezi katika kipindi cha siku ishirini (20) ambacho kitaisha tarehe 30 Januari 2016. Endapo Benki Kuu haitaridhika na utetezi, benki ya Stanbic italazimika kulipa faini hiyo.
|
Benki Kuu imechukua hatua hizo kama onyo kwa benki ya Stanbic na ili iweze kuwa makini katika kuhakikisha kuwa shughuli zake zinaendeshwa kwa mujibu wa taratibu za kibenki na kuzingatia Sheria.
|
IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII
|
Jisajili ili upate taarifa kwa email
|
Kwa mama yake
|
Usije kusema kwa baba yake
|
Mahakama ya Zimbabwe imeamua kumpa dhamana mfanyabiashara mdogo (machinga) aliyekamatwa kwa tuhuma za kumtukana Rais Robert Mugabe kuwa ‘ni mzee asiye hai na anayeota ndoto za mchana’.
|
Mahakama hiyo imemuachia mfanyabiashara huyo ambaye ni mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara wadogo (wamachinga) nchini humo, Sten Zvorwadza kwa dhamana ya $200.
|
Mwenyekiti huyo wa wamachinga alikamatwa baada ya kukaririwa na vyombo vya habari akilaani amri ya Rais Mugabe ya kuwaondoa wamachinga wote kwenye mitaa ya jiji la Harare na kuwahamishia katika maeneo waliyotengewa kwa lengo la kulifanya jiji hilo kuwa safi kuliko majiji yote.
|
Gazeti la Harald la nchi hiyo limeripoti kuwa wamachinga wote wameondolewa mitaani na jeshi la polisi kutekeleza amri ya Rais.
|
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
|
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Novemba 14
|
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu ya Novemba 19
|
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Novemba 15
|
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili ya Novemba 18
|
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Novemba 20
|
Wa Nadharia Ya Uhakiki
|
Matumizi ya akaunti kwa Madereva
|
Luv Ya _ PicDesi.com
|
Ratiba ligi ya Mabingwa barani ulaya usiku huu #wapendasokaupdates #ucl
|
NYOTA Bongofleva, Naseeb Abdul a.k.a. Diamond Platnumz anatarajiwa kupamba shindano la kumsaka mrembo wa Miss Dar Intercollege 2012 linalotarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
|
Warembo watakaoshiriki shindano hilo wanatoka vyuo vya Biashara (CBE), Uandishi wa Habari (DSJ) na Time, Ustawi wa Jamii, Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo Kikuu Huria (OUT) ambapo taji linashikiliwa na Rose Msuya kutoka IFM, huku mshindi wa pili wa mwaka jana, Blessing Ngowi alitinga fainali za Miss Tanzania.
|
Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amemwagiza mkuu wa wilaya ya NAMTUMBO pamoja na watumishi wa wilaya ya hiyo mkoani RUVUMA waache makundi ili kuleta ufanisi wa kuwatumikia wananchi.
|
VYOMBO VYA HABARI
|
Idadi ya watu
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.