text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
HABARI ZA KIMATAIFA |
MATUKIO YA KUSISIMUA |
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa leo wamejiunga na Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema. |
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam. |
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu na aliyepata kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi, Edward Lowassa atangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapibnduzi (CCM) na kujiunga na Chama Kikuu cha Upinzani cha Chadema hii leo. |
Lowassa ametangaza rasmi hii leo na kueleza namna mchakato mzima wa kumpata mgombea wa CCM ulivyo kuwa. |
Lowassa na mkewe wamekabidhiwa kadi zao za uanchama hii leo mbele ya viongozi wa vyama vya upinzani vya CUF,NLD na NCCR Mageuzi na matangazo hayo yanaoneshwa moja kwa moja na Azam TV pamoja na ITV. |
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. |
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Mh.Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa (mwenye umvi) akiwa na viongozi wa UKAWA katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam. |
Mh.Edward Lowassa akiwa katika hadhara ya mamia kujibu maswali katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimpa kadi ya uanachama Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Regina Lowassa leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho,Mh.Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa leo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . |
Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli jijini Dar es Salaam jioni ya leo mara baada ya kutangaza rasmi azma yake ya kujiunga na ukawa. |
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa katika Hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es Salaam jioni hii alipokuwa akitangaza azma yake ya kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA. |
Mh.Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akiteta jambo na Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
UVCCM YAMNG’OA KAMANDA WA VIJANA WILAYA YA ARUMERU MKOANI ARUSHA MATHIAS MANGA April 20, 2016 |
KAMATI YA MISS TANZANIA YAZINDUA MSIMU MPYA WA MASHINDANO YA UREMBO YA MISS TANZANIA 2016 JIJINI ARUSHA April 4, 2016 |
TANZANIA NA BURUNDI ZATAKIWA KULEGEZA MSIMAMO NDANI YA EAC April 4, 2016 |
Kipimo Cha Wema wa Mungu Ni nini? _ Strictly Gospel |
NAMNA YA KUOMBA |
Heri ya Mwaka Mpya 2017 |
Kufurahia thawabu ya kashfa ya uongo…. |
Angel Bernard wimbo wa pamoja na Mercy Masika -Huyu Yesu |
Je, Ni sawa Kupiga picha ukiwa katika Maombi kisha unaituma kwenye mtandao? |
Kipimo Cha Wema wa Mungu Ni nini? |
1Nyakati 16:34 – Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
“Bwana Ni Mwema/God is good” ni maneno ambayo ni maarufu kati ya wakristo. Lakini, pengine, siyo kila mtu akiulizwa Ni kwa nini anasema Bwana ni mwema anaweza kuwa na jibu lililonyooka. |
Je, ni nini KIPIMO cha Wema wa Mungu katika maisha yetu? |
Ni kwa sababu ya afya njema? Au kwa sababu ya Mali na Elimu? |
Yule mlemavu wa viungo vya mwilini au Masikini apataye mlo wake kwa shida, Naye Je, anayo sababu ya kuimba kwamba Bwana yu Mwema? |
Wale watoto wa mitaani au Wahanga wa vita ambao viungo vya mwili vilipunguzwa kwa kulipukiwa na bomu, Je, wana sababu ya kusema Bwana ni Mwema? |
Ni nini kipimo cha wema wa Mungu? |
← UTABIRI kuhusu Viongozi wa Kisiasa |
Kwenye andiko hili WANA WA MUNGU ni watu gani?? → |
ukweli ni kuwa wema wa mungu ni dhahiri maishani mwetu hata kama hatna mahtaji yaliyo haja ya amioyo yetu. |
mama wa watoto wengi au mgumba |
WEMA WA MUNGU ni pale wote tuna nafasi sawa ya kukubaliwa na yeye tunaporudi kwake kwa toba na kumaanisha. |
hii inamaanisha haki ya mungu juu ya maisha ya mwanadamu haitokani na sifa fulani fulani maishani mwetu, ispokuwa ni moyo wa uchaji. |
kutumia vigezo vya kuwa na! na kutokuwa na! ni confusion ambayo shetani huutumia kuondoa uhakika kwa wana wa Mungu kuwa Mungu ni mwema kwao. |
uthamani mkubwa ktk mambo ya mwanadamu ni yeye kumjua , na kujulikana na Mungu.(KUKUBALIWA NA MUNGU) |
Ni kweli wakati mwingine ugumu wa maisha unafanya tuone kama Mungu si mwema, lakini kiukweli hakuna mwema kama yeye maana hata katika dhàmbi na mabaya ambayo tumemtendea bado anatusamehe bure na anaendelea kutupa pumzi bure. Kwangu Mimi naona Wema wa Mungu bado ni mkuu sana nisiyestahili. Barikiwa kwa Mada nzuri sana. |
Mtumishi wa Mungu. Asante kwa majadiliano kama haya, unatufanya tukumbuke kushukuru kwa kila jambo. Rafiki yangu aliniletea kadi ya birthday inayonipa ushauri usemao.” Usisahau kupumua”. Kwangu mimi wema wa Mungu kwangu na kwa familia yangu ni uwezo wa kupumua. Unaonipa matumaini kuwa, as long as I still breathing, there is hope for future. naweza kuwa au kutokuwa na mahitaji leo Lakini isiwe Hivyo Kesho. Hivvyo vile ninaishi, namshukuru Mungu kwa hilo. Solomon anasena ni ubatili na kuna faida gani mtu kuhangaika kutafuta mali, na anapokufa wanawe wanayatawanya hovyo. |
ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa hilo. |
Amina. Naamini Mungu ni mwema kwa kila mtu. |
Nancy on Fahamu asili na maana ya jina… |
BONAVENTURE on Fahamu asili na maana ya jina… |
Aroun on Fahamu asili na maana ya jina… |
Usiku wa kuamkia Jumatatu 26.06.2017 nimeota ndoto nikao kanisani kwa Nabii TB Joshua SCOAN Nigeria na baadhi ya watanzania na mmojawapo ni mwinjilisti wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni “B”. Nikiwa pale nilimuona Nabii TB Joshua akihubiri na baada ya kumaliza kuhubiri kipindi cha kwanza cha ibada alitoka nje, na nikabahatika kuonana nae na kujisalimiana. |
Nilijitambulisha kuwa mimi ni Yule kijana kutoka Tanzania ambaye mwaka 2012 alinaialika kanisani kwake. Nabii TB Joshua baada ya kunikumbuka alitamani kuwa rafiki yake. Niliondoka naye mpaka nje ya kanisa, tukazunguka hadi nyuma ya kanisa ambako huko niliona shimo kubwa sana, nikaanza kumuuliza swali na kumshauri. |
Na kwanini hajanijibu kuhusu swali langu la kufanya huduma katika kanisa lake? Nilibaki nikisikitika moyoni. Nikiwa natafakari, wazo likanjiia na kugundua kuwa Nabii TB Joshua alikuwa na lengo la mimi kunjifunza Kiingereza ili nifanye kazi kwa viwango vya kimataifa. Baada ya hapo niliamuka usingizini 3 asubuhi. |
Moyo wangu uliumia sana tena sana kukosa kufanya mtihani wa mwisho. Nilkuwa na masawali mengi sana kwani huo mtihani ulikuwa ni mtihani wa mwisho wa kuhitimu chuo, na kama mtu atakosa kufanya anarudia mwaka. Pia nilijiuliza hivi kaka yangu akisikia sijafanya mtihani kwa kosa la kuchelewa atanichuliaje? Niliumia sana moyoni huku nikiona aibu kwa marafiki zangu walioonekana kuwa na furaha kutokana na ule mtihani kuwa mrahisi. |
Usiku wa kuamkia Jumatatu ya tarehe 19.01.2014 Jumapili Rulea Sanga, nimeota ndoto watu wako baharini wanaogelea, nilipoaangalia juu niliona ndege ya abiria ikishuka chini kwa kukosa nguvu. Mara baada ya muda ile ndege ilidondoka chini. Nikiwa na rafiki zangu na rubani wa ile ndege pembeni mwa bahari alianza kuelezea huku akitabasamu na bila ya hofu yoyote juu ya ile ajali ya ndege. Baadhi ya watu walipoteza maisha na wengi walikuwa wakitapatapa majini wakitaka kuokolewa. |
NIMEOTA NIKO KARIBU NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE. |
Usiku wa kuamkia tarehe 28.12.2013, nimeota ndoto niko Mafinga na nikiwa Mafinga, nimeota niko sokoni na wenzangu katika lori lililopaki sokoni karibu na duka la marehemu kaka yangu Amir Sanga. Katika hilo lori kulikuwa na watu ambao walionekana ni marafiki zangu kutokea huku Dar ninakoishi kwa sasa. Niliwaonyesha rafiki zangu store ya duka la kaka yangu ambayo ilikuwa ni duka la zamani la mjomba wangu ambaye kwa sasa ni marehemu anayeitwa Lusani Sanga ( alimuuziaaga kaka yangu kipindi ni mzima), niliwaambia hao rafiki zangu, “Hii ni store ya kaka yangu, mmeiona sasa?” hawakunijibu walizidi kuangalia tu hiyo store |
Baada ya hapo nikaelekea katika eneo la Benki ya NMB. Nikiwa pale nimeota niko na Rais wa Jamhuri ya Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amevalia koti la draft, shart la light blue na suruali ya blue na viatu vyeusi. Katika eneo hilo la Benki kulijengwa ofis moja nzuri sana ambayo anatakiwa Raisi Kikwete kuhamia kutokana na muda wake wa kuwa Raisi wa nchi kuisha kwahiyo anahitaji kuwa na ofisi yake binafsi. |
Tukiwa katika eneo hilo na watu wengi sana wakiwa wamezunguka eneo hilo na waingine wakija mahali hapo, Raisi akiwa anatabasamu alisema, “Mimi hata nikihamia hapa, siku ya kustaafu tena nikiwa katika jingo hili au ofisi hii mpya basi mtatoboa mlango mwingine katika jingo hili hili wakutokea na huko mtajenga jengo lingine la kuhamia, na huo ndio utaratibu wa mtu anayestaafu” Raisi baada ya kusema hayo niliamka kutoka usingizini. |
NDOTO NIKIWA NATEGENENEZA BENDERA YA ISRAEL NA TANZANIA YA MTUMISHI WA MUNGU TANZANIA 25.12.2013 |
Usiku wa leo kuamkia Jumanne 24.12.2013, nimeota ndoto mbaya sana ambayo nashindwa kujua ni kwanini…Nimeota niko chumbani kwangu nimelala katika kijiji cha Mtili “A” kilichoko mkoa wa Iringa. Nikaona maji yanachuruzika kuelekea kwenye godoro nililotandika chini ya sakafu. |
Mfano wa paka... |
Nikaingia chumbani kwa mama na kuona vitanda viwili kimoja kikiwa na mama mmoja amelala na huyo mama wa kanisani kwa Nabii Flora na kitandani kwa mama yangu kuna vitu viwili vya rangi ya blue na nyeusi na chumba kikiwa na mwanga wa kutosha huku kikitoa harufu ya mikojo. Tukaanza maombi , wakati tunaomba mara vile vitu viwili vikageuka kuwa miguu yaani nyayo za watu. Nikamshukuru Mungu kwa kuwa niliona amejibu maombi yetu na kumkamata adui yetu kwa kile kitendo cha vitu kugeuka na kuwa nyayo za watu. |
Nyumba ya Sanaa |
Sanaa ya Muziki wa Dansi nchini Tanzania ilianza kabla ya nchi hiyo Kupata Uhuru 1961 ,Miaka ya 1970, 1980 ndipo waliibuka wanamuziki wengi miongoni mwao ni pamoja na Mbaraka Mwishehe, Marijani Rajabu na Hussein Jumbe nae alichipukia hapo. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Akizungumza na Hussein Jumbe kuhusu safari yake ya Muziki. |
Sanaa ya Muziki wa taarab ilishamiri sana katika nchi za Afrika mashariki miaka ya 1990 ingawaje katika nchi ya Burundi inaelezwa kuwa Watanzania ndio waliowaibua wasanii wengi nchini humo. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, akizungumza na Abdul Misambano msanii wa Muziki wa Taarab akiwa ni Miongoni mwa wasanii walisaidia kuikuza sanaa hiyo katika nchi za Afrika Mashariki. |
Sinaubi Zawose ni kijana wa Kitanzania anayefanya Muziki wa asili akitokea katika familia yenye historia ya Muziki wa asili ya Kigogo sasa ameazimia kuufikisha Muziki huo mbali zaidi. Zawose amezungumzia safari yake ya kimuziki katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa. |
Muziki wa Taarabu ulianza kushamiri Miaka ya 1990 nchini Tanzania na Miongoni mwa Waanzilishi wa Bendi ya Tanzania One Theatre TOT ni Khadija Omari Kopa. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Khadija Omary Kopa katika sehemu ya kwanza ya makala hayo. |
Walianza kikiwa ni kikundi cha vijana wanane baadae ikawa bendi kamili na kusheheni muziki wa Makabila mbalimbali kutoka nchini Malawi. Katika Makala ya Nyumba ya sanaa, Steven Mumbi anazungumza na mmoja wa wasanii wa Bendi hiyo Gilbert Simchoba kuzungumzia safari ya Benki hiyo yenye miaka minne sasa. |
Mbunifu wa Mavazi Agnes Nyahoga anajivunia kuwa Mbunifu baada ya kufanya kazi ya kuuza chakula bila mafanikio na kuamua kufanya kazi Hotelini,akashawishika kujifunza ubunifu . Ungana na Mtayarishaji wa Makala ya Nyumba ya Sanaa Steven Mumbi kuhusu safari yake ya Ubunifu,na namna alivyofanikiwa kuifikia ndoto yake. |
Sanaa ya Uchoraji picha si tu imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana nchini Tanzania bali imekuwa sehemu ya maisha na ndoto ya watoto kuja kuwa wachoraji wakubwa,kwa kufanya kazi wanazozipenda Maishani. Ungana na Steven Mumbi akiongea na Mchoraji na Mwalimu wa sanaa hiyo Sige Lucas katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa |
Uchoraji wa Vibonzo umekua na umuhimu katika kufikisha ujumbe kwa njia ya Mchoro unaowaelezea wahusika kwa njia ya Mafumbo. Steven Mumbi amezungumza na Mchoraji wa Vibonzo Abdul Kingo, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa kuangazia umuhimu wa Sanaa hiyo na Faida yake kwa jamii. |
Ushairi ni sanaa inayokua kila kukicha na watunzi wamekua na maana mbalimbali kuhusu ushairi, Senkoro (1988) Katika kitabu chake cha Ushairi, “Nadharia na Tahakiki” anasema ni utanzu wa fasihi utumiao mpangilio wa lugha ya mkato, picha, iliyopangwa kwa njia iletayo mapigo mahususi au yaliyomo ndani yake. Wamitila, (2008) ushairi ni utungo wa sanaa ya lugha na mpangilio maalum wa mishororo, ama kisauti na kwa maneno mateule kwa kubuni mbinu za lugha zenye mnato na mbinu nyingine za kibalagha... |
Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka Mombasa nchini Kenya Natty OJ anasema Muziki wake umefanikiwa kubadili mitizamo potofu ya vijana kuhusu Siasa,Uchumi na Maisha kwa Ujumla. Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Natty OJ Katika Makala haya. |
Nsamila; Upigaji Picha ni fursa ya ajira kwa Vijana wa Kitanzania |
Hapo awali Upigaji picha ilikuwa ni jambo la kujifurahisha na kutunza kumbukumbu za matukio ya kifamilia pekee na ilikuwa nadra sana,vijana kuwa na ndoto za kuwa wapiga picha hii leo imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana wengi. Kutana na Imani Suleiman Nsamila kijana wa kitanzania aliye jiajiri kupiga picha akizungumza na Steven Mumbi kuhusu safari yake ya upigaji picha. |
Uigizaji nchini Tanzania umekuwa na Historia ndefu na Waigizaji wamepitia vipindi tofauti tofauti licha ya changamoto zilizopo lakini bado filamu za kiswahili zimeendelea kustawi. Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumzia sanaa ya uigizaji wa Filamu za Kiswahili. |
Sanaa ya Muziki wa injili na Sheila Glory |
Katika makala haya utasikia kuhusu safari ya muimbaji wa muziki wa injili Sheilah Glory kutoka Kenya , alipotoka,alipo sasa na matarajio yake ya siku za usoni. Karibu |
Katika makala haya msikilizaji utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu na vichekesho kutoka kwa wasanii wa Timamu African Media ya Dar es Salaam Tanzania kama Ebitoke, Bwana Mjeshi na Mr. Beneficial , karibu |
Sanaa ya filamu Tanzania |
Leo katika makala haya utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu nchini Tanzania na Cloud 112 aliyetembelea studio za rfikiswahili Dar es Salaam Tanzania |
Sanaa ya Ubunifu wa mavazi |
Katika makala haya utasikia mengi kuhusu sanaa ya ubunifu wa mavazi kutoka kwa mbunifu wa Tanzania Manju Msita, Karibu |
Dazla Msanii wa kizazi kipya na ndoto za kuiwakilisha Pwani ya kenya kimataifa |
Kutana na msanii Dazla mwenyeji wa Mombasa Pwani ya Kenya ambaye amepania kuiwakilisha kaunti yake kimataifa kupitia muziki wa kizazi kipya. |
masterkif habari za kijamii na siasa 0 |
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA MWADUI FC UWANJA WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA POMBE YA NGOMANI .....KILA MTU ANACHOTA.… twitter.com/i/web/status/9…http://wwwmasterkif.blogspot.com 1 month ago |
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili... fb.me/8939onkhIhttp://wwwmasterkif.blogspot.com 4 months ago |
OKWI AING’ARISHA SIMBA DJIBOUTI Simba imefuzu hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa jumla ya... fb.me/FoT2LU76http://wwwmasterkif.blogspot.com 4 months ago |
HAPO NI MAENEO YA POSTA -DAR ES SALAAM Hapo ni maeneo ya Posta katikati ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi, mpan… twitter.com/i/web/status/1…http://www.kingkif.blogspot.com 1 month ago |
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI KATIKA VISIMA VYA GESI ASILIA, MADIMBA August 24, 2017 |
Mhe. Mahiga Ampokea Waziri wa Nchi wa Uingereza Ambaye Yupo Ziarani Nchini August 24, 2017 |
KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU August 17, 2017 |
WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO AZINDUA BODI MPYA YA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) March 8, 2017 |
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wadau wa sekta ya filamu… February 22, 2017 |
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Chad na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa February 22, 2017 |
Subsets and Splits