text
stringlengths
0
4.5k
Mwishoni mwa wiki inayomalizika leo Mamlaka hiyo ilitoa tangazo katika vyombo vya habari ilitoa taarifa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kuongeza muda wa leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya uzalishaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) (“Mwombaji”).
Hivyo basi,EWURA ina uarifu umma na wadau mbalimbali kwa ujumla kuwasilisha maoni au pingamizi ili kufanikisha uchambuzi mzuri wa maombi haya.
Itakumbukwa kuwa Januari Mosi mwaka huu Rais Dk. John Magufuli, alitengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba, katika hali inayoonesha kuwa Rais amekerwa na jaribio la Tanesco kupandisha bei ya umeme kuanzi.
Baada ya Mramba kutenguliwa nafasi yake alipewa Dk. Tito Esau Mwinuka kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO akimtoa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alikokuwa akifundisha.
Rais Magufuli, alichukua hatua hiyo siku mbili baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuiidhinisha ongezeko la asilimia 8.5 ya ya bei ya huduma za umeme kwa kilichoelezwa kuwa lengo ni kukidhi gharama za uzalishaji wa umeme.
Ongezeko hilo lilitangazwa juzi jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, aliyesimamishwa kazi, Felix Ngamlagos.
MATOKEO MAPYA YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2012 HAYA HAPA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa-Q...
MTU mmoja aliyejulikana kwa Jina la Ahamad Salum mkazi wa Kata ya Namiyonga Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara ameuawa na Mke wake Sofia Swal...
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 YATANGAZWA
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika nchini ...
ORODHA YA VIJANA 1,446 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
JESHI la polisi Tanzania limetoa ajira 1,446 kwa Vijana wa kidato cha nne wa mwaka 2011,kidato cha sita mwaka 2012 na vijana waliok...
Kundi la Simba likielekea katika mawindo yake baada ya kuona kundio la Nyati. Tukio hili lilijiri hivi karibuni katika Hifadhi ya Serenge...
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA 2012
Taarifa ambazo zimeifikia Blogu hii hivi punde zinasema kuwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi linawataka Wazazi, Walezi na wanafun...
KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA
MTAA KWA MTAA
TMRC YAZINDUA MPANGO WA HATIFUNGANI WA MIAKA MITANO WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 120
WIZARA YA MAMBO YA NJE
Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yapitishwa na Bunge
Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.
Mwanamke huyo ambaye kwa hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wazazi ya Meta akiwa na watoto wake wote wanne alijifungua majira ya saa 10 alfajiri usiku wa kuamkia Januari Mosi Mwaka huu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi na watoto wakiwa na uzito wa kawaida tofauti na matarajio ya Wengi.
Katibu msaidizi wa hospitali ya Rufaa Mbeya Mwansasu akipokea msaada huo kwa niaba ya mzazi
KATIKA hali isiyokuwa ya Kawaida Mwanamke mmoja, Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.
Kwa mujibu wa Muguuzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi aliyemfanyia huduma mwanamke huyo, Grace Konga alisema mzazi huyo ni miongoni mwa wazazi 9 waliojifungua katika Mkesha wa Mwaka mpya huku yeye akivunja rekodi kwa kujifungua watoto wanne kwa njia ya kawaida.
Muuguzi huyo alisema watoto hao walizaliwa wakiwa na uzito uliotofautiana kwa mtoto wa kwanza hadi wa mwisho kuanzia kilogramu 1.6,1.5,1.5 na 2.0 ambapo baada ya kuona hali hiyo ilibidi kumpa rufaa kwa ajili ya msaada zaidi katika Hospitali ya wazazi ya Meta ambapo wapo katika Chumba cha Joto hadi sasa.
Aidha kwa mujibu wa Muuguzi na msimamizi wa Watoto katika chumba cha Joto Sista Frolence Maisa amesema hali za watoto ni nzuri ambapo mama mzazi anahitaji kupatiwa vyakula vinavyoweza kumuongezea maziwa mengi kutokana na idadi ya watoto aliyonayo.
Kwa upande wake Mzazi wa watoto hao Aida Nakawala alisema hali yake kiuchumi siyo nzuri kuweza kumudu kuwalea watoto hao na kuongeza kuwa mume wake ni mkulima aliyemtaja kwa jina la Web Simkanda hivyo anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa wasamaria wema.
Alisema huo ni uzao wake wanne ambapo mtoto wake wa kwanza anaumri wa miaka saba, anayefuata ana miaka miwili na miezi tisa huku mwingine akiwa amefariki dunia mara baada ya kujifungua kabla ya uzao huu unaofanya kuwa na watoto Sita.
Alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa hali kama hiyo ya kujifungua watoto zaidi ya mmoja katika familia yao alisema Mama yake mzazi amewahi kujifungua mapacha wawili tu na hakuna mtu mwingine aliyewahi kuzidisha idadi hiyo ya watoto kama yeye.
Hata hivyo kutokana na kuguswa kwa mahitaji ya binti huyo na wanawe kikosi cha blog ya www.mbeyayetu.blogspot.com ambacho kilifika kumjulia hali kiliguswa na hali hiyo na kujitolea kamsaada kadogo hivyo kuwaomba wadau wengine kumsaidia mama huyo ili aweze kuwalea vizuri watoto wake.
Kwa Maelezo zaidi Bofya Picha hii
Wasiliana nae moja kwa moja
Jiunge nasi Kwa Barua Pepe
MPYAA KABISA :TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/16
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa ...
MPYA KABISA : TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA YALE YA QT 2014 HAPA
MPYA: TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2015 HAPA
MPYA: TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 KWA MKOA WA MBEYA
HAYA NDIO MATUKIO MAKUBWA YALIYOTOKEA 2013 MKOANI MBEYA NA KURIPOTIWA NA MBEYA YETU BLOG.
TAZAMA MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE ZA MBEYA
MPYA KABISA: TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA MKOA WA MBEYA HAPA
Blogu ya Larrybway91 imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Rapa maarufu nchini, Geez Mabovu ambaye amefariki Dunia nyumbani kwao alipozaliwa mkoani Iringa alipokwenda wiki chache zilizopita.
Kwa mujibu wa mtandao wa Bongo5, umeeleza kwamba Mabovu alifikwa na umauti baada ya kuugua mfululizo na kuongeza kuwa marehemu anatarajiwa kupumzishwa katika makazi yake ya milele siku ya Alhamisi.
Wadau na mashabiki wa muziki wa Hip-Hop wameendelea kutoa salamu za pole kwa familia ya marehemu.
Mabovu atakumbukwa kwa ustadi wake wa kuimba, kushambulia jukwaa na kuachia ngoma kali ikiwemo ya ”mtoto wa kiume” ambayo ilitokea kuwabamba sana mashabiki kipindi hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Mungu aiwekee roho ya marehemu pema peponi Ameeen
GEEZ MABOVU ALAZWA BAADA YA KUUGUA GHAFLA MUDA MCHACHE KABLA YA KUFANYA SHOW MKOANI IRINGA.
TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.
PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKILA UJANA MKOANI MTWARA
← MAMA MZAZI WA KIM KARDASHIAN ANASA KWA SERENGETI BOY
NGOMA MPYA : STAMINA FEAT. NEY WA MITEGO - HUKO KWENU VIPI
SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.
TOP 10 YA WASANII MATAJIRI BARANI AFRIKA.
NANI ZAIDI? TAZAMA MASTAA WAKUBWA DUNIANI WA KIKE WAKIWA KATIKA VAZI LA UFUKWENI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli
Kuna kitu kinaitwa ‘visingizio’ au ‘excuses’ kwa Kiingereza. Visingizio ni sababu ambazo mtu anatoa kwa kushindwa kufanya kitu fulani, ingawa ukweli ni kwamba hataki kufanya kitu hicho. Wanasiasa wanatumia visingizio.
Hata Rais John Magufuli ameanza kutoa visingizio. Baada ya kuahidi kuutafutia suluhu mgogoro wa Zanzibar, Rais Magufuli hatimaye kapata kisingizio cha kukwepa kazi hiyo kwa kisingizio cha kuheshimu sheria na uhuru wa tume.
Akihutubia wazee wa Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni, Dk Magufuli alikataa kuingilia mgogoro wa Zanzibar kwa sababu anaheshimu sheria inayoipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) uhuru wa kuamua mambo yake.
Alisema, “Naheshimu sheria, ZEC inao uhuru wa kuamua mambo yake, haiwezi kuingiliwa na yeyote…kama kuna mtu anataka tafsiri ya sheria aende mahakamani. Mahakama iko hapo, hutaki kwenda, halafu unamwambia Magufuli ingilia, siingilii na nitaendelea kukaa kimya.
Yeyote atakayeleta fyokofyoko ajue vyombo vya ulinzi vitamshughulikia.” Hata hivyo, kauli yake ilikatisha tamaa Watanzania waliokuwa na mategemeo makubwa kwa Rais Magufuli kuwa angetafuta suluhu ya mgogoro wa Zanzibar kutokana na kauli yake aliyoitoa Novemba 20 wakati akifungua Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Magufuli alisema:
“Kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau wa siasa hususan vyama vya CUF na CCM tutahakikisha kuwa yanayoikabili Zanzibar yanamalizika kwa salama na amani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie busara na hekima tumalize kwa utulivu na amani.”
Ambao hatukushangaa ni wale ambao hatukuwa tumesahau kuwa pamoja na umahiri wake wa kutumbua majipu na ‘kumwaga data’, Magufuli ni rais kwa sababu yeye ni mwanasiasa.
Kama mwanasiasa, siyo kwamba Rais Magufuli hajui kuwa kauli yake kuwa hawezi kuingilia mgogoro wa Zanzibar siyo sahihi. Siyo kwamba Rais Magufuli hajui kuwa anao uwezo wa kuingilia suala la Zanzibar kisiasa.
Anajua vyema ila mazingira ya kisiasa ndani ya chama chake yanamlazimisha kufanya alivyofanya. Katika hotuba yake, Rais Magufuli alizungumzia suala la kuingilia uchaguzi kiujumla ujumla. Hata hivyo, ‘kuingilia’ suala la uchaguzi kuna maana pana.
Ni kweli kwamba Rais Magufuli hana mamlaka kisheria kuingilia mchakato wa uchaguzi kwa maana ya shughuli za tume katika mchakato mzima wa kusimamia uchaguzi ikiwamo kuandikisha wapigakura, kusimamia uteuzi wa wagombea waliopendekezwa na vyama vyao, kuratibu kampeni, kusimamia upigaji kura wenyewe na kutangaza matokeo.
Rais Magufuli anaweza kuingilia kisiasa kwa maana ya kuongea na viongozi wenzake wa Zanzibar na kuwasihi uchaguzi usogezwe mbele na kushawishi mazungumzo ya pande mbili husika yaanze upya, kwa masilahi ya taifa na hususan kwa masilahi ya usalama wa nchi.
Pamoja na ukweli kuwa rais angeweza kufanya walau jitihada za aina hiyo, Rais Magufuli ameamua hatoingilia mgogoro huo kwa sababu chama chake kishapiga hesabu zake za kisiasa na kugundua mazungumzo ya kisiasa hayana masilahi kwao.
Wanasema ndege mjanja hukimbiza bawa lake, woga wa Rais Magufuli wa kuingilia mgogoro wa Zanzibar umekuja baada ya kugundua kuwa mgogoro huo ni sawa na maji yenye kina kirefu yanayohitaji ujuzi na ujasiri kuogelea.
Hivyo basi, tunaomtaka Rais Magufuli kuingilia mgogoro wa Zanzibar kimsingi tunamtaka rais aende kinyume na masilahi ya chama chake.
Matokeo ya hali hii ni kuwa CCM watashinda viti vyote na watatawala visiwani humo raha mustarehe miaka mitano ijayo. CUF watalalamika lakini hawawezi kufanya kitu chochote zaidi ya kupeleka fitina kwa wafadhili!
Hiyo ndiyo fikra ya CCM. Rais Magufuli ameanza kuelewa kuwa mambo ya uadilifu na haki anayoyahubiri yana ukomo wake katika utekelezaji. Kwa mfano, hizo nadharia hazina nafasi Zanzibar na jitihada yoyote ya kuzilazimsha ni kutengeneza uadui na kundi la wahafidhina ndani ya chama chake, wakati huohuo akiwa katikati ya vita nyingine kubwa zaidi ya kutumbua majipu.
Nina hakika Rais Magufuli atakuwa amejifunza kutokana na kampeni ya bomoabomoa ambayo iliijengea Serikali uadui na watu wengi ambao ndiyo hasa waliombeba na kumuunga mkono wakati wa uchaguzi.
Kwa mtazamo mwingine, uamuzi wa Magufuli unathibitisha zile kauli zilizowahi kutamkwa na mmoja wa mawaziri wake kuwa muungano na Zanzibar ni kwa ajili ya masilahi ya kiusalama ya Tanzania ambayo ni kuzuia makundi ya wenye misimamo mikali kuingia visiwani humo.
Chanzo: Mwananchi
Z’bar kuadhimisha siku ya kifua kikuu
PICHA YA WIKI # 09 _ BONGO CELEBRITY
VICHWA VYA HABARI
Mwongozo huu wa namna ya utoaji wa huduma za Baraza la Vyombo vya
kutoa habari muhimu kuhusu aina nyingi ya huduma zinazotolewa, kanuni
zinazosimamia utoaji huduma hizo, matarajio ya wateja, njia za kusuluhisha
matatizo na kuwafidia wale wanaoathirika kwa huduma ya kiwango cha chini.
Mwongozo huu pia unatoa nafasi kwa marekebisho ya mara kwa mara ya
Irene Uwoya Kazini Siku Chake Kabla ya Ndoa
Maneno Ya IRENE UWOYA Baada ya kutoka MSIBANI kwa NDIKUMANA.
mwalimar.ru
ASANTE SANA KWA MAELEKEZO MAZURI MAANA NINAYO MAANDALIZI YA KUANDIKA HADITHI.
naomba usaidizi kwenye uchanganuzi wa matumizi ya chuku kwenye riwaya hii ya kufa kuzikana?
mwongozo ni kile ulichonacho baada ya kusoma riwaya
@DennisShonko NILIVYODHALILISHWA KWA KUZUNGUMZA LUGHA YA KISWAHILI
@DennisShonko UFANISI WA TAMASHA YA KISWAHILI MWAKA WA 2017—BURUBURU