text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Choki Ana Siri ya Kudorora kwa Muziki wa Dansi, Kisa cha Kuikacha Bendi Yake na Kurudi Twanga October 28, 2016 |
JAJI LUBUVA AITAKA TUME YA HAKI ZA BINADAMU KUJIFUNZA KWA TUME YA UCHUNGUZI KUIMARISHA UTAWALA BORA October 24, 2016 |
ATCL YATOA OFA YA MWEZI MMOJA KWA SAFARI ZA MWANZA October 17, 2016 |
Makamu Wa Rais Azindua Mradi Wa Ujenzi Wodi Za Wazazi October 11, 2016 |
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI SEPTEMBA 2016 UMEPUNGUA KWA ASILIMIA October 11, 2016 |
MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI ENDELEVU YA FAHARI YA TANZANIA NA TUZO KWA BIDHAA 50 ZA KITANZANIA October 8, 2016 |
NAIBU MAWAZIRI WA OFISI YA WAZIRI MKUU WATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA ELIMU YA MPIGA KURA October 8, 2016 |
WAZIRI WA FEDHA DK. PHILIP MPANGO NA UJUMBE WAKE WAENDELEA NA VIKAO VYAO NA WAKUU WA BENKI YA DUNIA October 8, 2016 |
MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKAZI DUNIANI YAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM October 5, 2016 |
MAJALIWA APOKEA MISAADA ZAIDI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MJINI DODOMA October 5, 2016 |
MAJALIWA AWASILI KIBITI KWA ZIARA YA SIKU MOJA Wednesday, 28 September 2016 September 28, 2016 |
Dk.Kigwangalla afanya ziara Hospitali za Wilaya ya Mlele na Mpanda Mkoani Katavi September 28, 2016 |
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani kuachia uongozi wake hii leo |
Baba mtakatifu Benedikti wa 16 |
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedicto wa kumi na sita anajiuzulu leo Alhamisi baada ya kuahidi kufanya hivyo mapema mwezi huu kwa sababu ya umri wake mkubwa na sababu za kiafya zinazomnfya kutoendelea katika wadhifa huo. |
Baada ya kujiuzulu kwake mchakato wa kumpata Papa mpya unaanza. |
Kujiuzulu kwa Baba mtakatifu Benedikti hii leo kunafungua milango kwa nafasi hiyo ya juu kuwakutanisha makadinali takriban 115 kutoka ulimwenguni kote kwa ajili ya kuchagua mrithi. |
Waangalizi wanaoutupia macho uteuzi huu wana matumaini kuwa Papa atakayepatikana anatarajiwa kutupia macho kwa ukaribu maswala ambayo yamekuwa Changamoto katika Kanisa hilo, hasa Mapenzi ya jinsia moja, matumizi ya Kondomu na Ndoa kwa Viongozi wa Dini. |
KAMATI ya Maadili ya Utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio Imani FM cha Dar es Salaam na Kwa-Neema FM kilichopo mkoani Mwanza pamoja na kukipiga faini kituo cha Clouds FM kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji na kutakiwa kufuta kipindi chake cha Jicho la Ng’ombe mara moja pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5. |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maadili ya Utangazaji nchini, Walter Bgoya (katikati) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam ukumbi wa habari Maelezo. |
Sehemu ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano huo leo |
Gari la Kituo cha Imani FM kilichofungiwa likiwa Idara ya Habari Maelezo leo. |
KAMATI ya Maadili ya Utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio pamoja na kukipiga faini kituo cha Clouds FM kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji. |
Vituo hivyo vya redio ambavyo vyote kwa pamoja vimefungiwa kutorusha matangazo yake kuanzia leo kwa miezi sita ni pamoja na Imani FM cha Dar es Salaam na Kwa-Neema FM kilichopo mkoani Mwanza. |
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Walter Bgoya alisema Kituo cha Clouds FM kimetakiwa kufuta kipindi |
chake cha Jicho la Ng’ombe mara moja pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5. |
Akifafanua zaidi Makamu Mwenyekiti huyo alisema vituo vya Imani FM na Kwa-Neema vimefungiwa kwa kosa la kufanya kazi zao kwa uchochezi jambo ambalo ni kinyume cha maadili ya tasnia ya utangazaji. Kituo cha Clouds FM kimetakiwa kutoanzisha kipindi kingine kinacho fanana na Jicho la Ng’ombe. |
Kituo cha Imani FM kinadaiwa kufanya uchochezi kwa wananchi juu ya suala la sensa ya watu na makazi huku kile cha Kwa-Neema kufanya uchochezi juu ya mgogoro wa |
uchinjaji wanyama kwa Waislamu na Wakristu mkoani Geita. |
Kamati Imevitaka vyombo vyote vya habari kufanya kazi kwa kuzingatia Kanuni Sheria na maadili ya tasnia hiyo ili kuepuka kuzua migogoro kwa wananchi ambao wamekuwa |
Hata hivyo mara baada ya ujumbe wa kamati hiyo kumaliza kusoma adhabu hizo kwa waandishi wa habari haukuruhusu maswali kwa waandishi wa habari, hivyo waandishi kubaki wameduwaa. |
GAZETI LA MWANANCHI |
Fina Mango akimuuliza Halima Mdee swali wakati wa mahojiano ya moja kwa moja katika kipindi cha Makutano |
Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Fina Mango na Mbunge wa Kawe Halima Mdee baada ya kipindi |
Mbunge wa Kawe Mheshimiwa Halima Mdee amesema watoto wa viongozi kusoma shule za binafsi maarufu kama “Academia” inachangia matokeo mabovu ya kidato cha nne kwa shule za kawaida. Mdee aliyasema hayo wakati akijibu swali la chanzo cha kushuka kwa kiwango cha ufaulu mwaka hadi mwaka wakati akiongea na Fina Mango katika Kipindi cha Makutano. “Kwa Mtazamo wangu mimi, zamani watoto wa viongozi tulikuwa tunasoma shule hizi za umma, kwa siku hizi tunawasomesha hizi shule za academia, kwa ubinafsi wetu hawa huku kwa kuwa watoto wetu hawapo hata ule moyo wa kutoa maelekezo unakuwa haupo” . |
Mdee aliongezea kusema hii yote inachangiwa na mipango ya serikali iliyowekwa kwa kiwango kikubwa sana cha fedha kushindwa kutekelezeka au kusimamiwa ipasavyo ili yaweze kutekelezeka na kutolea mfano wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari. |
(MMES II) ambao serikali ilitenga Shilingi bilioni 200 wakati huo kiwango cha ufaulu daraja la kwanza hadi la tatu ukiwa 37% ikiwa na malengo kiwango kipande hadi 70% lakini ilipofika 2009 kiwango cha ufaulu kikashuka hadi 17%, 2011 kikashuka tena hadi 9% na mwaka jana kikazidi kudidimia mpaka 5%. Mdee alisisitiza kuwa tatizo kubwa linalozikabili shule za kata ni miundombinu ya shule na maslahi ya walimu kwa kusema “Kinachojitekeza sasa ni mrundikano wa frustration za walimu, wamekata tamaa kabisa kwa sababu vipato vyao ni vidogo sana, lakini pamoja na kuwa vidogo vile wanavyotakiwa kuvipata kutokana na vipato kuwa vidogo hawavipati , na zaidi wakati walimu wanasema wanadai serikali inasema hawadai”. |
Mheshimiwa Halima Mdee alimalizia kwa kusema anadhani ni wakati sasa kama taifa lazima serikali iamue inataka kufikisha wapi elimu kwa kuwepo bajeti inayotosheleza mahitaji na kuzingatia hali halisi ya maisha na soko, na kusisitiza uwepo wa mitaala inayoeleweka tofauti na hivi sasa ambapo waalimu wanasema wanapokea maelezo tu na kujiandalia wenyewe mitaala. Pia alisisitiza uwepo wa mgawanyo wa walimu bila upendeleo kwa kila shule tofauti na sasa ambako kuna shule hazina walimu wa kutosha na pia uwepo mamlaka ya usimamizi wa elimu yenye nguvu. |
Hali katika eneo la Mashariki ya Kongo inaelezwa kwamba ni tete na ya hatari kiasi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka mgogoro mkubwa yoyote.Onyo hilo limetolewa siku ya Ijumaa na Bw. Roger Meece ambaye ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati alipokuwa akitoa taarifa kwa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa Bw. Roger Meece amelitoa toa onyo hilo, wakati Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki Moon pamoja na baadhi ya viongozi wa Afrika wanatarajiwa Februari 24 jumapili hii, kusaini Jijini Addis Abba Ethiopia, Mpango Mpya wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC. |
“Kwa ujumla hali ni tete mkubwa bila ya onyo”. Akaliambia Baraza Kuu na kuongeza . “ Ninatoa wito kwa Baraza hili kutoa kila aina ya msaada na ushirikiano ili Brigedi mpya itakayoogeza nguvu iweze kupelekwa DRC mapema iwezekanavyo”. Akielezea zaidi kuhusu hali hatari ilivyo nchini humo. |
Mkuu huyo wa MONUSCO anasema imefikia katika ukomo wa kutisha. Yakiwamo pia matatizo ya kibinadamu ambapo inakadiriwa zaidi ya watu 316,000 wameyakimbia makazi yao. Vile vile akaongeza kuwa kuzorota kwa hali ya usalama katika jimbo hilo kunachangiwa na kuongezeka kwa shughuli za kundi la wake anayefahamika kama Gedeon, kutoroka anajihusisha na makundi mengine ya wanamgambo likiwamo la Katangais Kata. Akizungumzia kundi la M23 ambalo mwaka jana liliteka Goma ambayo ni mji mkuu wa Jimbo la Kivu kwamba, ingawa kundi hilo linaonyesha kutulia lakini hakuna ushahidi kuwa limerudisha nyuma vikosi vyake au kubadili mkao wa kijeshi. |
Bw. Rogers Meece ambaye pia ni Mkuu wa |
uwa, mapigano kati ya wapiganaji wa M23 na Jeshi la Kitaifa la DRC ( FARDC) yamesabisha karibu watu milioni kuyakimbia makazi yao katika eno la Kivu Kaskazini. bila na ya hatari wakati wowote kunaweza kuzuka mgogoro hali katika eneo la Kusini- Mashariki ya Jimbo la Katanga Mayi -Mayi hasa baada ya kiongozi gerezani mwaka 2011 na kwamba MONUSCO, amelieleza Baraza Kuu Amefafanua zaidi kwa kusema , |
wa taaarifa kwa ajili ya matumizi ya UN, |
kwamba teknolojia hiyo inatakiwa kupelekwa haraka iwezekanavyo. |
Bw. Rogers Meece pia amezungumzia uwezekano wa kuongeza nguvu za kijeshi au |
Brigedi pamoja na kuongeza mamlaka zaidi zaidi ya utekelezaji na wajibu |
amani nje ya utaratribu wa jadi wa kulinda amani wa UN. |
Akasema, ni imani yake kwamba uongezaji wa nguvu ya ziada ardhini ni muhimu sana |
matumizi ya nguvu. |
Jeshi la kutuliza amani lililoko hivi sasa katika DRC |
teknolojia ya kisasa ya ndege |
Katibu ACT Wazalendo kumshtaki Rais Magufuli, Mwanasheria Mkuu wa |
15 kutoa ushahidi kesi ya Zitto Kabwe |
Mwaka 1980 akiwa amefikia nyumbani kwa wajomba zake maeneo ya Mwananyamala, Dar es Salaam akitokea Iringa, Abdul Ridhiwani akiwa na umri wa miaka 16, zikasikika habari za kuondoka kwa mpiga kinanda wa Juwata Jazz, Waziri Ally katika bendi hiyo. |
Safari yake ya jijini Dar es Salaam ilikuwa ni kwa ajili ya kuendelea na elimu ya juu katika Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim baada ya kumaliza darasa la saba mkoani Iringa, lakini ghafla akajikuta akiangukia katika muziki. Ilikuwaje? |
Kwa hiyo sehemu hiyo ilikuwa ni yeye na Mponda tu na akatakiwa kuonyesha ujuzi wake. Hata hivyo, chini ya Mponda, Ridhiwani hakuweza kuonyesha maajabu yaliyokuwa yakisubiriwa, alifeli kufanya kile ambacho Waziri alikuwa akikifanya katika bendi hiyo. |
Wakati Ridhiwani akiendelea kujiuliza, kiongozi wa bendi hiyo, Said Mabera ‘Dokta’ alikuwa akiingia ndani ya ukumbi huo akitokea Mnazi Mmoja kwenye makao Makao Makuu ya Jumuiya ya Wafanyakazi (Juwata). |
Akiwa katika mlango wa kuingia ndani ya ukumbi akamuona kijana mdogo akipapasa kinanda kwa kufuata nyayo za Waziri Ally aliyeikacha bendi hiyo na kujiunga na The Revolution (sasa The Kilimanjaro, Wana Njenje). |
Tangu Oktoba 1980, Abdul Ridhiwani Pangamawe amekuwa mwanamuziki wa bendi hiyo na kuachana na masuala ya shule. Na ndiye mwanamuziki wa pili kukaa muda mrefu katika bendi hiyo bila ya kutoka baada ya Mabera. |
Katibu ACT Wazalendo kumshtaki Rais Magufuli, Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
Meneja wa zamani Benki ya Wanawake kortini |
1 Kitaifa Katibu ACT Wazalendo kumshtaki Rais Magufuli, Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
3 Kitaifa Simu za mkononi zatajwa kuwa msaada kwa wanawake kiuchumi |
4 Kitaifa 15 kutoa ushahidi kesi ya Zitto Kabwe |
Mwanzo MTAZAMO WANGU : Sakata la uhaba wa Sukari, hongera JPM lakini… |
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ametoa yake ya moyoni na kutoa tuhuma kwa jeshi la polisi nchini kufuatia baadhi ya polisi kumpiga ndugu yake ambaye juzi alikwenda naye mahakamani kusubiri kesi ya Tundu Lissu. |
Wema Sepetu anasema kuwa ndugu yake huyo kwa sasa anapatiwa matibabu hospitalini kufuatia kipigo alichopata kutoka kwa polisi hao kwa kile anachosema kuwa kijana huyo alipigwa kufuatia kupita katika mlango wa mahakama. |
"Ninachojua mimi ni kwamba binadamu ana haki ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya ndugu yake... Imeniuma sana kilichomtokea kaka yangu jana, Only now nakuja kujua kwamba alichukuliwa na polisi wakaenda kumpiga mpaka sasa yupo hospitali amelazwa. Kosa lake ni kupita pale mlango wa mahakamani na akasema kabisa yupo pamoja na mimi na mama yangu" alisema Wema Sepetu |
Hata hivyo Wema Sepetu anasema wakati anasubiri kesi ya Tundu Lissu juzi mahakamani alikuja kuitwa na polisi na kuambiwa kuwa aondoke eneo hilo na arudi nyumbani kwake |
"Maana jana tulivyokuwa tumekaa tunasubiri kesi ya Mh. Tundu Lissu itajwe, Nilikuja kuitwa walitaka niondoke eneo hilo na nirudi nyumbani... Nilikuwa mkali kidogo, wakanijia na huyo kaka yangu ambaye alisema kuwa yupo pamoja na mimi" alisema Wema Sepetu |
Mwishoni mwa mwezi wa pili mwaka huu msanii Wema Sepetu alifanya maamuzi magumu na kuamua kuhama chama kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya msanii huyo kutuhumiwa na serikali kuwa anajihusisha na Uuzaji na matumizi ya madawa ya kulevya ambapo mpaka sasa bado kesi yake inaendelea katika Mahakama Kuu Tanzania (KISUTU) |
SHULE ZA AL MUNTAZIR, KSIJ KUTOA ELIMU K WA WATOTO WENYE UMRI WA ZAIDI YA MWAKA MMOJA HADI 18 |
Waziri Mwakyembe atembelea Maeneo yaliyotumika katika harakati za Ukombozi na ya kihistoria Mkoani Iringa |
Msukuma: Miongoni mwetu yoyote anaweza kufuata kutekwa na kuuawa. |
Wamiliki wa mabasi mkoani Mwanza, wamesema kwamba wameingiwa na hofu ya usalama wa maisha yao baada ya mwenzao Samson Josia kupotea katik... |
Mwalimu Wa sekondari afariki baada ya kupewa barua ya kuhamishiwa shule ya Msingi |
Jakaya Kikwete atoa kauli juu ya polisi Tanzania |
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi Tanzania kwa kuweza kufanikisha kukamatw... |
Katibu wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Taifa, Mhe. Rodrick Lutembeka amefunguka na kusema kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TS... |
Kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam Tanzania, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa kama April 26 mwaka huu wat... |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird alipokuwa akihutubia. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi cha maelezo ya Mradi wa Uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani, (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird pamoja na viongozi wengine katika eneo la bandari jijini Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro (kushoto) na Mrisho Mpoto, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa wakiimba wimbo wa Amka Tufanye Kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam. |
HABARI iliyotufikia hivi punde inaarifu kuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi (pichani). Anaandika Mroki Mroki-dailynewstzonline blog. |
Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wake, Gerson Msigwa inaeleza kuwa Ngalamgosi amesimamishwa kazi kuanzia leo Juni 11,2017’ |
Subsets and Splits