id
int64
1
26.7k
translation
translation
19,071
{ "dav": "Kumeria idime?", "swa": "Utamaliza leo?" }
6,108
{ "dav": "Wana wadumwa kireti", "swa": "Watotot wametumwa mjini" }
25,539
{ "dav": "Waenda lomba mbangenyi.", "swa": "Ameenda kuomba pangoni" }
12,609
{ "dav": "W'ana w'aghorokie.", "swa": "Watoto walikuwa na nidhamu sana." }
10,487
{ "dav": "Dekunda dikaie na w'uhakika angu kula mndu wadima kushoma na kwandika.", "swa": "Tunataka kuhakikisha kwamba angalau kila mtu anaweza kusoma na kuandika." }
7,192
{ "dav": "Magome mrongo irandadu", "swa": "Pesa sitini" }
18,624
{ "dav": "Nyama kilo imweri ikata", "swa": "Nyama kilo moja itatosha" }
19,962
{ "dav": "W'andu w'iko na isu w'echua ichi kifumbu", "swa": "Wendawazimu wamejaa mtaani" }
12,553
{ "dav": "Omoni ni ofisaa wa kala kwa Wizara ya Elimu na Michezo.", "swa": "Yeye ni afisa wa zamani katika Wizara ya Elimu na Michezo" }
82
{ "dav": "Defwana kulindia mazingira", "swa": "Tunapaswa kuhifadhi mazingira." }
10,706
{ "dav": "Mghenyu wapo wanyame sana.", "swa": "Rafiki yangu ni mtulivu sana." }
278
{ "dav": "Washomi waka wengi wa mashomo tofauti", "swa": "Wasomi wamekuwa wengi wa masomo tofauti" }
9,862
{ "dav": "Zera mkwako kokohe hao", "swa": "Ambia mkeo ulikuwa wapi" }
23,807
{ "dav": "W'andu w'a mzaw'o w'emlegha.", "swa": "Watu wa kwao walimkataa" }
19,128
{ "dav": "Kwaw'uya mkongo?", "swa": "Umekuwa mgonjwa?" }
24,902
{ "dav": "Waniw'ikia vindo vingi.", "swa": "Ameniekea chakula kingi" }
13,007
{ "dav": "Ondaroghua mndwaw'omi wape.", "swa": "Alienda kumtembelea mmewe." }
5,641
{ "dav": "Kwa marina ghapo nadaw'angwa Mwabili", "swa": "Kwa majina yangu, naitwa Mwabili" }
24,540
{ "dav": "W'aw'wadwa nikubecha chembelele.", "swa": "Wameshikwa na kuteuka " }
23,989
{ "dav": "W'adadaya machi ghenywa.", "swa": "Wanachota maji ya kunywa" }
21,767
{ "dav": "W'adaw'ida w'a mbololo w'eka na zua", "swa": "Wataita wa mbololo wakona ubishani" }
7,105
{ "dav": "Sufuria eka na w'usiri", "swa": "Sufuria iko na usinzi" }
18,675
{ "dav": "Kuselale nisevikie", "swa": "Usilale kabla sijafika" }
1,670
{ "dav": "Kuenje koshi ghadi", "swa": "Peleka mmbwa shambani" }
23,335
{ "dav": "Nikukabie angu ndekukunde kunisikira?", "swa": "Nikupigie ama hutaki kunisikia?" }
19,030
{ "dav": "Mbeu ra mapemba", "swa": "Mbegu ya mahindi" }
15,117
{ "dav": "Kwafuma hao itanaa?", "swa": "umetoka wapi sai" }
18,160
{ "dav": "Nekunda nijimangishe inimoni", "swa": "Nataka nijitegemee mimi mwenyewe" }
9,180
{ "dav": "Kwaw'uka mana?", "swa": "Umeamka salama?" }
16,900
{ "dav": "Idime ni Jumapili", "swa": "Leo ni jumapili" }
23,123
{ "dav": "Sijie kufuma ikwau ", "swa": "Sijakula tangu jaja" }
12,119
{ "dav": "Nikii chidimagha kubonywa eri kuhakikisha deko na sere na w'ulindiri.", "swa": "Nini kinafaa kufanywa ili kuhakikisha amani na usalama?" }
1,042
{ "dav": "Nakunda kumangu ngera nedeka oho.", "swa": "Natamani sana ningekuwa wewe." }
1,811
{ "dav": "Ngarai yapo yabarika", "swa": "Karai yangu imepasuka" }
22,523
{ "dav": "Sidimagha kuoghosha vilambo", "swa": "Sitaweza kuosha viombo." }
11,751
{ "dav": "Mbaa waw'iaja na malkia linu luma lwa penyu.", "swa": "Mkuu atakula na malkia jioni hii." }
13,416
{ "dav": "Jesu nio chia ya loli na irangi.", "swa": "Yesu ndiye njia ya kweli na uzima." }
8,607
{ "dav": "Namneka", "swa": "Nimewapa" }
25,928
{ "dav": "Ndeumanyire ngera huw'o waw'ew'ona", "swa": "Hjajajua kama vile anaona" }
23,657
{ "dav": "Ukaw'uya niko niendagha.", "swa": "Akirudi ndo nitaenda." }
10,346
{ "dav": "Isanga jerebonyere w'usaghui lii?", "swa": "Ni lini nchi ilifanya uchaguzi?" }
9,939
{ "dav": "apa woka na mruna", "swa": "Babangu ako na ndugu yake" }
16,870
{ "dav": "Kusemkongode mwana", "swa": "Usimgote mtoto" }
4,043
{ "dav": "Ndekune kilambo chiseepukikagha kwa maisha.", "swa": "Hakuna kitu kisichoepukika katika maisha." }
21,014
{ "dav": "Idime nimoni naw'eja magome gha chama", "swa": "Leo ni mimi nitapokea pesa za chama" }
18,876
{ "dav": "Vua yawecha", "swa": "Mvua inakuja" }
6,355
{ "dav": "Kwafanane nao", "swa": "Umefanana naye" }
7,200
{ "dav": "Makanisa gha Daw'ida ni mengi", "swa": "Makanisa ya Taita ni mengi" }
13,227
{ "dav": "Wasindamkuma mumi.", "swa": "Anashinda akimsifu mumewe." }
16,042
{ "dav": "Mzigo ghwa laghaya", "swa": "Mzigo umepotea" }
2,276
{ "dav": "Neloswa niko dilonyi", "swa": "Niliota nikiwa usingizini" }
13,567
{ "dav": "Nesindarumbuta uji wa mbelele.", "swa": "Nilikuwa nikinywa uji uliotengenezwa kwa unga wa ndizi zilizokaushwa." }
4,983
{ "dav": "Mdi ghwadafunya kiju.", "swa": "Mti unatoa kivuli." }
5,138
{ "dav": "Msighe noko.", "swa": "Miache huko" }
19,388
{ "dav": "Ghenda kimbiri, nikunugha", "swa": "Tangulia nitakufuata" }
11,289
{ "dav": "Osea kidombo kifumbinyi ukija kwa kuboilwa.", "swa": "Alikaa kwenye kiti na kula kwa furaha." }
6,046
{ "dav": "Chumba cheka na meza na vifumbi vidadu", "swa": "Chumba kina meza na viti vitatu" }
16,219
{ "dav": "Malagho ghiandikilo", "swa": "Maneno yaliyoandikwa" }
12,644
{ "dav": "W'andu w'ose w'aw'eseria majibu gha M'baa wa isanga.", "swa": "Kila mtu anasubiri majibu ya rais." }
19,980
{ "dav": "Kakunda w'uki nikabie simu ", "swa": "Ukitaka asali nipigie simu" }
12,559
{ "dav": "W'ukulima ghwa chai ghoko na w'asi mungi.", "swa": "Ukulima wa chai una changamoto nyingi." }
17,221
{ "dav": "Na Irumaghio jadareda kumanga", "swa": "tegemeo limeleta msimamo" }
16,071
{ "dav": "Wanake ni marasimio kwa kila familia", "swa": "Watoto ni baraka kwa kila familia" }
13,215
{ "dav": "Ilagho jiboie ni angu wapatire kazi.", "swa": "Jambo zuri ni kwamba amepata kazi." }
2,617
{ "dav": "Omoni wadachora.", "swa": "Yeye ni mchoraji" }
16,139
{ "dav": "Mbuwa iri riko mghondinyi radapata vua mbaha", "swa": "Mashamba yenye yako milimani hupata mvua nyinyi" }
14,797
{ "dav": "Polisi w'ikamghiria na kuw'uya naomoni", "swa": "polisi walimzuia na kuondoka naye." }
6,854
{ "dav": "Devalwa ituku jimweri", "swa": "Tulizaliw siku moja" }
13,475
{ "dav": "Ow'adwa ni isama hata wasodera aighu.", "swa": "Ameshikwa na mafua hata anapumua kwa shida." }
22,545
{ "dav": "Matuku gha kitoi ni mrongo ina", "swa": "Siku za mwizi ni arobaini" }
12,093
{ "dav": "Uhu umangagha udede kwa w'undu ghwa polisi nani?", "swa": "Msemaji wa polisi ni nani?" }
24,048
{ "dav": "Idime vua yaneka w'andu ngelo.", "swa": "Leo mvua imepatia watu wakati" }
15,686
{ "dav": "Mwatulituli warima", "swa": "Simu imezima" }
21,580
{ "dav": "Mbeo idime yaw'ew'eta kweli.", "swa": "Upepo unapiga sana leo" }
24,068
{ "dav": "W'ikakajhoka lugongo w'asoda sa kichula.", "swa": "Wakipanda milima huwa wahema kama chura" }
53
{ "dav": "Kusesighe ndodo rako rifo", "swa": "Usiache ndoto zako zikufe." }
13,841
{ "dav": "Jingi mzi ndeghuchaakailwa ni wandu.", "swa": "Kwamwe mji hautakuwa na watu wanoishi hapo." }
3,650
{ "dav": "Kazi iboie yadakundika kuvumilia.", "swa": "Kazi nzuri inahitaji uvumilivu." }
26,367
{ "dav": "W'ekotereghe ela w'ikalegha.", "swa": "Waliulizwa lakini wakakataa" }
6,878
{ "dav": "Naliwa kukudukia mazee", "swa": "Nimesahau kukubebea" }
13,596
{ "dav": "W'adaw'da w'engi ni W'akristo ela w'amu ndew'ine dini.", "swa": "Wataita wengi ni Wakristo lakini wengine hawana dini." }
23,415
{ "dav": "Magome ghake nigho ghaw'ebonya nimerie ichi chaghu", "swa": "Pesa zake ndizo zinanifanya nimalize kazi hii" }
3,808
{ "dav": "Kutesia wazima kwadima kubonya maghaluso mabaa.", "swa": "Kusaidia wengine kunaweza kufanya tofauti kubwa." }
11,992
{ "dav": "Simanyire ngaka nisemerie ihi kazi nibonyagha w'ada.", "swa": "Sijui nisipomaliza kazi hii nitafanya nini." }
19,327
{ "dav": "Nikafuma siw'uyagha!", "swa": "Nkiienda sitarudi!" }
22,178
{ "dav": "Iruw'a jakala shuu ata ndekuendagha andu kungi", "swa": "Jua limekua kali ata huezi enda mahali" }
15,152
{ "dav": "Na kwaw'eaminia kuw'uya kwa Jesu?", "swa": "Na pengine siku za usoni unaona kutakuwa vipi?" }
12,745
{ "dav": "Orelwa w'uda ghoombochua ndoe raw'o.", "swa": "Alipigana vita vya kukomboa ardhi zao." }
2,546
{ "dav": "Na sasa nikakotia kwa ngelo ya miaka inya yawecha kwawewona mlamba ghwa Dawida Tuweta ghukaiya hao?", "swa": "Na nikiuliza kwa miaka nne inayokuja unaona pori ya Taita Taveta ikikaa wapi?" }
7,808
{ "dav": "kedu ni kula", "swa": "kwetu ni mbali" }
6,611
{ "dav": "Nashorodoka", "swa": "Nimeteleza" }
2,707
{ "dav": "Kishere chaturuka.", "swa": "Kibuyu kimetoboka" }
15,571
{ "dav": "Fwandi yesichwa", "swa": "Beberu alichinjwa" }
1,174
{ "dav": "Iri nguwo ni ra mtindo ghwa itana.", "swa": "Nguo hizi ni za mtindo wa kisasa." }
21,532
{ "dav": "Namzera unidumie magome", "swa": "Nimemuambia anitumie pesa" }
2,298
{ "dav": "Mwana wawelila shu", "swa": "Mtoto analia sana" }
25,407
{ "dav": "Mapemba ghose ghaoma shwaw'ori.", "swa": "Mahindi yote yamekauka haraka" }
4,875
{ "dav": "Bahari eko na nyamandu ndazi.", "swa": "Bahari ina viumbe wengi." }
5,413
{ "dav": "Chia ipoiye ye shoma ni kubonya ghisefwane", "swa": "Njia nzuri ya kujifunza ni kwa kufanya makosa." }
7,646
{ "dav": "Turua io mbao", "swa": "Toboa hiyo mbao" }