id
int64
1
26.7k
translation
translation
19,221
{ "dav": "Idimei ukanirasha dakosana", "swa": "Leo akinigombeza tunakosana" }
22,011
{ "dav": "Magho gharedwa na mkokotenyi shighadi", "swa": "Mawe yammeletwa na mkokoteni hapo nje" }
23,631
{ "dav": "Ukacha aha dedanya na omoni", "swa": "Akija hapa ongea na yeye." }
15,601
{ "dav": "Idawati jepoiswa", "swa": "Dawati lilitengenezwa" }
13,133
{ "dav": "W'eiw'a mifugho rape.", "swa": "Waliiba mifugo yake." }
8,953
{ "dav": "Mumaiza wawesumbua wandu", "swa": "Shetani anawasumbua watu" }
6,098
{ "dav": "Kizenya chadeghedeka", "swa": "Terere imenawiri" }
15,575
{ "dav": "Owonyerwa chia ye ishi", "swa": "Alishauriwa jinsi ya kuishi" }
9,766
{ "dav": "Iriko jedeka shighadi", "swa": "Jiko lilikuwa nje" }
6,051
{ "dav": "Mlungu w'adinekie ilaghiro jhiboie", "swa": "Mungu alitupatia habari njema" }
11,278
{ "dav": "Wana werereda vindo vaw'o.", "swa": "Watoto walileta chakula chao." }
21,467
{ "dav": "Mayo wacha enda kumzighane.", "swa": "Mama yako amekuja nenda umamuangalie" }
14,240
{ "dav": "Isi de w'anake w'atini ela daw'adia ghaja gha mkiri.", "swa": "Sisi ni watoto wachanga lakini tumeshikilia yale ya Mwokozi." }
24,556
{ "dav": "Odeka mkongo ngelo ndacha kwaw'o.", "swa": "Alikuwa mgonjwa wakati mrefu kwwao" }
7,661
{ "dav": "W'esera nikuredia nao", "swa": "Ngojea nitakuletea nawe" }
2,441
{ "dav": "Wafunikira Sangu", "swa": "Amefunika ndoo" }
1,241
{ "dav": "Iri ndege rawesea mboamboa.", "swa": "Ndege hao wanatua kwa usalama." }
18,640
{ "dav": "Kupata mwana ni irasimio", "swa": "Kupata mtoto ni baraka" }
1,631
{ "dav": "Mbanga reko aha", "swa": "Pango ziko hapa" }
11,950
{ "dav": "O ma -weee ai!", "swa": "Mama yangu!" }
23,665
{ "dav": "Wadakushingaa mavuda pacha.", "swa": "Huwa anajipaka mafuta mengi." }
14,844
{ "dav": "Dereko na ngelo riboie", "swa": "Tulikuwa na wakati mzuri." }
25,619
{ "dav": "W'omi w'azoya kukia.", "swa": "Wanaume wameanza kuokoka" }
23,194
{ "dav": "Nalemelwa ni kudeka.", "swa": "Nimeshindiwa kupika." }
14,860
{ "dav": "Orekoghe mwana wa w'omi orew'eseriagha mnyangonyi", "swa": "Kulikuwa na mvulana aliyekuwa akingoja mlangoni" }
9,374
{ "dav": "Sena dedojha vindo viboie, marenge, maduma, mwemba, marughu na chughu", "swa": "Tena tulikuwa tunakula vyakula vizuri kama maboga, nduma, wimbi , ndizi na mbaazi" }
22,734
{ "dav": "Da kuw'ika vilambo hao?", "swa": "Sasa utaweka wapi vitu?" }
15,584
{ "dav": "Ni mlacha sana", "swa": "Ni mrefu sana" }
20,460
{ "dav": "Mori ghwaw'esia law'uke", "swa": "Mwezi unasiha kesho kutwa" }
20,557
{ "dav": "Kanikunda nichagha", "swa": "Nitakuja ukinitaka" }
9,795
{ "dav": "Naw'ejighwa ni vala", "swa": "naumwa na vidole" }
26,122
{ "dav": "Maw'ughanga ghalemana na m'mbi ghwake.", "swa": "Madawa yalishindikana na mwili wake" }
14,699
{ "dav": "Ihi yatesia kuhoresha ngozi isasaghiraa na kuibonya ihoo.", "swa": "Hii itasaidia kutuliza ngozi inayowasha na kuifanya iwe nyepesi" }
11,542
{ "dav": "Iguo naendie nikauza mbogha raenga.", "swa": "Jana nilienda nikauza mboga nyingi." }
22,015
{ "dav": "Ikanisa jaw'eaghwa sena wu'wi'shi", "swa": "Kanisa linajengwa tena upya" }
1,596
{ "dav": "Naweenda Wughangenyi", "swa": "Naenda hosptali" }
26,589
{ "dav": "Waenda mbuw'enyi wandalindia saw'au.", "swa": "Ameenda shambani kulinda tumbili" }
10,648
{ "dav": "Nyonyi nderiborie.", "swa": "nan" }
7,538
{ "dav": "Ochikanyika mwindi wamba waghwa", "swa": "Alivunjika mguu alipoanguka" }
15,314
{ "dav": "Dedamba icho lumalwakenyi", "swa": "Tulisafiri jzi jioni" }
25,605
{ "dav": "Warwa nguw'o rirashukie .", "swa": "Amevaa nguo zimeraruka" }
11,359
{ "dav": "Nafuma aha andu idakoni.", "swa": "Ninatoweka mahali hapa sasa." }
23,089
{ "dav": "Naw'esasaghilwa ni maghu", "swa": "Nawashwa sana na miguu" }
5,602
{ "dav": "Mkeku wawelegha nisevine", "swa": "Mama anaogopa nisicheze" }
16,708
{ "dav": "Finyingo isingie ni ya nguku", "swa": "Nyama tamu ni ya kuku" }
24,670
{ "dav": "Ngolo redu darifunya kwako.", "swa": "Tunakupa mioyo yetu" }
9,601
{ "dav": "kwakuvavira na seji kokeghe kwakukucha", "swa": "Umejiumiza na vile ulikuwa umejikunja" }
5,119
{ "dav": "M'mbi ghwapo ghwawenija", "swa": "Naumwa na mwili" }
8,061
{ "dav": "Namila ndembe", "swa": "Nimemeza dawa" }
17,225
{ "dav": "Sharia na Kaung'a", "swa": "Sheria na dhambi" }
23,292
{ "dav": "Niw'ikie mfunguo ghwapo ghusekecha laghaya", "swa": "Niekee ufunguo wangu uije ukapotea" }
21,894
{ "dav": "Naw'ekunda kuenda njumonyi itakoni.", "swa": "ninataka kuenda kanisani saa hizi" }
7,566
{ "dav": "Chia yachua mazozo", "swa": "Barabara imejaa matope" }
4,661
{ "dav": "Vichula vadima kukaia na ngozi idendere.", "swa": "Chura wanaweza kuwa na ngozi laini." }
14,369
{ "dav": "Ilagho ibaa ni kurumaghiana inyo w'eni kwa inyo w'eni.", "swa": "Jambo kubwa ni kuwa wavumilivu wenyewe kwa wenyewe." }
23,939
{ "dav": "Ndomunibonyaa kilambo chingi.", "swa": "Hamtanifanya kitu chochote" }
2,716
{ "dav": "Wafunga mabao awi.", "swa": "Wamefunga mabao mawili" }
3,526
{ "dav": "Chia ya mafanikio yadima kukaiya ikurie ela yadimika.", "swa": "Njia ya mafanikio inaweza kuwa ngumu lakini inawezekana." }
20,473
{ "dav": "Mwarogholwa ni w'aeli w'ose", "swa": "Watakatifu wote wamewapa salamu" }
441
{ "dav": "Da dibonyaa wada.", "swa": "Sasa tutafanyaje." }
8,062
{ "dav": "Nanyorwa", "swa": "Nimenyongwa/ nimekabwa koo" }
16,001
{ "dav": "Angu ni huwo-lee", "swa": "Ama ni hivyo" }
1,394
{ "dav": "Nguwo iri reka na ubunifu wa kisasa shuu.", "swa": "Nguo hizi zina ubunifu wa kisasa sana." }
8,835
{ "dav": "Aha dalima sukuma na tindi niro niwonagha rawebonya nicha zaidi aha dawida. ", "swa": "Hapa Sukuma wiki na nyanya ndio hufanya vyema sana hapa Taita." }
1,901
{ "dav": "Andenyi ya Nyumba koka na choka", "swa": "Ndani ya nyumba kuna nyoka" }
14,753
{ "dav": "Wadederie varo vape va shwa kwa shwa va chashighadi ya isanga.", "swa": "Alitetea safari zake za mara kwa mara nje ya nchi" }
16,466
{ "dav": "Choki radaluma wandu.", "swa": "Mazingira ni mali yetu." }
14,769
{ "dav": "Alan oenda madukenyi kila ituku na waratumia isaa jimweri angu masaa aw'i", "swa": "Alan alikwenda madukani kila siku na alitumia saa moja au mbili" }
13,109
{ "dav": "W'urighiti ghobarwa ghoko gali nandighi.", "swa": "Matibabu ya upasuaji yana gharama sana." }
433
{ "dav": "Maw'onyero aighu ya tee.", "swa": "Maonyo kuhusu uongo." }
25,971
{ "dav": "Wanineka mariw'a gha duu.", "swa": "Amenipa maziwa bure" }
18,744
{ "dav": "Ogh'ende kimonu", "swa": "Alienda ng'ambo" }
7,018
{ "dav": "Inda radaredwa ni w'uchafu", "swa": "Chawa huletwa na uchafu" }
451
{ "dav": "Neremkemieghe worinyi.", "swa": "Nilimpinga waziwazi." }
19,509
{ "dav": "Naw'edafuna manga mw'ishi", "swa": "Natafuna muhogo mbichi" }
22,091
{ "dav": "W'ei ni ini nibonyere ukakabana na mumi wake", "swa": "Ati ni mimi nilianya akapigana na mume wake." }
3,415
{ "dav": "Kaiya na chawucha na marasimio ghako.", "swa": "Kuwa na shukrani kwa baraka zako." }
1,565
{ "dav": "Naenda wada nguluma", "swa": "Naenda kuvua samaki" }
8,914
{ "dav": "Wana wapoilwagha ni kusarigha shu", "swa": "Watoto hupenda kucheza sana" }
9,339
{ "dav": "Ujha mghosi oka na ngolo ipoie", "swa": "Yule mzee ana moyo mzuri" }
7,033
{ "dav": "Naw'efuma shighadi", "swa": "Natoka nje" }
9,613
{ "dav": "nawekuw'ikiria andonyi", "swa": "Najilaza chini" }
5,647
{ "dav": "Mwana umweri", "swa": "Mtoto mmoja" }
4,630
{ "dav": "Iruwa jadareda ndighi.", "swa": "Jua hutoa nishati." }
2,779
{ "dav": "Chai chawurwa.", "swa": "Chai imeiva" }
24,682
{ "dav": "Kitoi chedekorwa.", "swa": "Mwizi alichomwa" }
10,507
{ "dav": "Ndee walalia ndoe nduu.", "swa": "Baba yake analala kwenye sakafu tupu." }
8,126
{ "dav": "Chiwiriri yaniluma", "swa": "Sisimizi imeniuma" }
15,551
{ "dav": "Chaghu Cheoma", "swa": "Alipigwa kalamu" }
12,731
{ "dav": "Ushirikianagha na mashindano ghichagha.", "swa": "Atashiriki katika mashindano yajayo." }
9,171
{ "dav": "Ikumi na iw'i", "swa": "Kumi na mbili" }
22,568
{ "dav": "Waenjero W'usi.", "swa": "Alipelekwa Wusi." }
23,741
{ "dav": "Mkunde w'oruw'o na shida rake.", "swa": "Mpende ivyo ivyo na shida zake." }
3,476
{ "dav": "Kuwadana kwadima kubonya malagho ghikaie ghiangue.", "swa": "Ushirikiano unaweza kufanya mambo kuwa rahisi." }
12,814
{ "dav": "W'abonya ndisha ya mifugho raw'o kireti.", "swa": "Wanalisha mifugo yao mbugani." }
10,430
{ "dav": "Mshapa wakunde uchurie w'abonyi kazi w'amu mori ghuchaa.", "swa": "Msimamizi anataka kuajiri wafanyikazi zaidi mwezi ujao." }
23,640
{ "dav": "Kwaki mwaw'ebulana?", "swa": "Kwanini munapigana." }
25,309
{ "dav": "w'elelwa ni mka ndee.", "swa": "Walilelewa na bibi ya baba yao" }
16,390
{ "dav": "Kazi yapo yekunda kufikiria sana", "swa": "Kazi yangu inahitaji ubunifu." }
18,006
{ "dav": "Ndeuna bahati", "swa": "Yeye hana habari" }