id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
1752
45
cheza nyimbo zote za sauti sol
play_music
1753
45
cheza nyimbo zote za rock
play_music
1754
45
cheza nyimbo zote kutoka favorite ya orodha ya kucheza
play_music
1755
18
ongeza taa
iot_hue_lightup
1757
18
alexa ongeza mwangaza wa taa
iot_hue_lightup
1758
22
uchumi wa kenya ukoje na vipi kwa sasa
news_query
1761
22
toa sasisho za hivi punde kwenye uhuru kenyatta
news_query
1762
0
saa ngapi huko kenya sasa hivi
datetime_query
1764
22
tafadhali nipatie sasisho ya kriketi
news_query
1765
22
tafadhali nipe usasisho wa soka
news_query
1766
22
tafadhali nipatie sasisha ya mpira wa magongo
news_query
1767
38
badilisha elfu mbili mia tatu na thelathini kutoka g. m. t. pamoja na mia nne thelathini hadi g. m. t. mia mbili
datetime_convert
1768
38
badilisha elfu moja na thelathini kutoka g. m. t. pamoja na mia mbili thelathini hadi g. m. t. mia sifuri
datetime_convert
1772
48
tafadhali weka kengele ya saa kumi na moja jioni
alarm_set
1773
48
niamshe saa kumi na mbili asubuhi
alarm_set
1775
45
tafadhali cheza wimbo unaofuata
play_music
1776
45
cheza do re mi
play_music
1779
13
kuna baridi huko
weather_query
1780
13
natumai hali ya hewa ni jua huko
weather_query
1781
13
naweza kujua hali ya hewa kule
weather_query
1782
45
cheza nakupenda na inayofuata ni furaha
play_music
1783
45
tafadhali cheza wimbo baikoko
play_music
1785
40
tafadhali zima taa za jikoni
iot_hue_lightoff
1787
35
punguza sauti
audio_volume_down
1788
14
ongeza tambo ziende juu
audio_volume_up
1789
13
je hali ya hewa ni baridi
weather_query
1790
57
niambie muziki wangu unapenda
music_query
1792
5
habari za mchana
general_greet
1795
0
ni tarehe gani leo
datetime_query
1797
0
leo ni
datetime_query
1798
45
cheza muziki ninayoipenda zaidi
play_music
1799
45
changanya tena na ucheze muziki
play_music
1800
13
je unafikiri itanyesha leo
weather_query
1801
49
je ni yapi mapato ya nchi ya marekani
qa_factoid
1802
22
bei ya mafuta ya brent crude sasa
news_query
1806
0
dakika ngapi kupita saa kumi jioni
datetime_query
1809
45
kucheza wimbo ambao sikusikia kutoka mwezi uliopita
play_music
1810
45
anza muziki kwenye orodha ya kucheza
play_music
1813
56
nahitaji kahawa tafadhali ikiwezekana moto
iot_coffee
1814
56
tafadhali nisaidie ninywe kahawa bila sukari
iot_coffee
1815
56
olly agiza kahawa moja kutoka mkahawa wa starbucks
iot_coffee
1816
56
itisha kahawa moja kwa mkahawa wa starbucks
iot_coffee
1817
56
agiza kahawa moja kutoka mkahawa ulio karibu zaidi
iot_coffee
1819
0
wakati na tarehe ya leo
datetime_query
1820
34
washa kisafishaji cha roboti
iot_cleaning
1821
34
washa kisafishaji cha roboti baada ya saa moja
iot_cleaning
1822
34
anzisha kusafisha kisafishaji cha roboti
iot_cleaning
1824
43
mimi napenda nyimbo kutoka
music_likeness
1825
22
niambie habari za hivi punde za nairobi
news_query
1826
22
niambie kuhusu habari za hizi punde kuhusu kisumu
news_query
1828
22
niambie habari zinazochipuka nairobi
news_query
1829
5
habari unafanya nini
general_greet
1835
57
niambie nani mwimbaji wa wimbo huu
music_query
1836
57
niambie urefu na viwango vya nyota
music_query
1837
57
huo ni wimbo wa shakira
music_query
1838
45
tafuta na ucheze nyimbo bora zaidi za simba wa nyika
play_music
1841
13
nibebe mwavuli leo kazini
weather_query
1842
13
je jua litawaka mombasa wikendi hii
weather_query
1843
13
kutakuwa na joto zaidi hapa wiki ijayo
weather_query
1844
13
je kutaganda usiku kucha
weather_query
1846
16
niaje google niaje nipigie mkahawa wa kichina ulio karibu kwa chakula ya kubeba
takeaway_order
1847
16
niagize mahamri ya jibini kutoka kwa chicken inn
takeaway_order
1848
45
niimbie
play_music
1849
45
weka rekodi
play_music
1850
0
saa ngapi kwenye saa
datetime_query
1851
0
ni sekunde ngapi zimeachwa kukamilisha saa hii
datetime_query
1852
31
kuna mwangaza mkali hapa
iot_hue_lightdim
1853
31
ningependa chumba kisicho na mwangaza mwingi
iot_hue_lightdim
1854
0
saa ngapi sasa
datetime_query
1856
14
juu
audio_volume_up
1857
35
chini
audio_volume_down
1859
22
niletee habari ya karibuni ya teknolojia
news_query
1860
22
snap ikawa hadharani kwa umma bado
news_query
1861
22
je snap inafanya vyema baada ya i. p. o.
news_query
1863
23
mimi nimeweka kengele yoyote
alarm_query
1864
23
kengele gani zimewashwa sasa hivi
alarm_query
1865
13
joto saa hii
weather_query
1867
13
maelezo ya hali ya hewa sasa
weather_query
1868
13
olly maelezo ya hali ya hewa sasa
weather_query
1869
0
ni tarehe ngapi leo
datetime_query
1873
43
wimbo bomba
music_likeness
1875
45
cheza sitini
play_music
1876
45
cheza kumi bora
play_music
1878
57
ni wimbo upi wa bahati niliusikiliza jana jioni unaweza kuucheza tena
music_query
1879
57
olly huo wimo wa mbilia bel niliouskia jana jioni unaweza kuucheza tena
music_query
1880
14
ongeza sauti kidogo
audio_volume_up
1882
14
sisikii kitu chochote
audio_volume_up
1883
57
jina ya huo wimbo ni gani
music_query
1884
22
ni habari zipi kutoka k. b. c. sasa hivi
news_query
1885
22
nipe vichwa vya habari kutoka sky news
news_query
1886
22
ni nini iko kwenye habari ya k. b. c.
news_query
1887
45
kucheza nyimbo ya mwisho
play_music
1889
41
washa taa za disco
iot_hue_lighton
1890
1
wacha tuwe na mwanga wa joto kwenye chumba cha mbele
iot_hue_lightchange
1891
13
hali ya hewa leo iko aje
weather_query
1892
57
ni nini ambacho ameimba
music_query
1893
57
huo ni ule wimbo wa nviiri
music_query
1895
48
weka kengele saa kumi na moja asubuhi
alarm_set
1896
40
zima taa ya chumba cha kulala
iot_hue_lightoff
1897
40
zima taa ya sebuleni
iot_hue_lightoff