id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
2036 | 3 | ni muda wa kiasi gani hadi nipokee chakula changu | takeaway_query |
2037 | 1 | badilisha taa kuwa nyekundu | iot_hue_lightchange |
2038 | 1 | kubadilisha kutoka kwa buluu hadi taa za manjano | iot_hue_lightchange |
2039 | 13 | kunapendeza leo | weather_query |
2041 | 13 | hali ya hewa ya leo ni nzuri | weather_query |
2043 | 40 | sihitaji taa | iot_hue_lightoff |
2044 | 40 | sihitaji taa | iot_hue_lightoff |
2045 | 31 | mwangaza ni mwingi mno | iot_hue_lightdim |
2046 | 46 | sitaki sauti | audio_volume_mute |
2047 | 35 | punguza tambo | audio_volume_down |
2048 | 46 | zima vipaza sauti | audio_volume_mute |
2049 | 13 | angalia hali ya hewa ya jiji kwenye orodha huanza na a | weather_query |
2050 | 13 | angalia hali ya hewa ya jiji la alabama | weather_query |
2051 | 13 | niambie ripoti ya hali ya hewa ya leo ya jiji la mombasa | weather_query |
2052 | 40 | zima taa za sebuleni | iot_hue_lightoff |
2053 | 34 | fanya iroomba yangu isafishe sebuleni | iot_cleaning |
2054 | 34 | fanya iroomba ioshe nyumba | iot_cleaning |
2055 | 43 | hifadhi wimbo huo kwa wakati nitahitaji kushangilia | music_likeness |
2059 | 13 | kunanyesha | weather_query |
2060 | 45 | nichezee baadhi ya rhumba | play_music |
2061 | 45 | tafadhali cheza muziki ya benga | play_music |
2063 | 13 | niambie hali ya hewa ya wiki hii | weather_query |
2064 | 13 | hali ya hewa itakuwa aje wiki hii | weather_query |
2065 | 13 | hali ya hewa iko aje wiki hii | weather_query |
2066 | 22 | nambari za ushindi za bahati nasibu ya lotto zilikuwa gani jana | news_query |
2067 | 22 | kuna aliyeshinda bahati nasibu ya powerball jana | news_query |
2068 | 29 | kiwango cha sauti | audio_volume_other |
2070 | 46 | zima kipaza sauti | audio_volume_mute |
2071 | 45 | cheza nakupenda malaika | play_music |
2072 | 45 | nataka kusikiliza fally ipupa kwenye tamasha la moja kwa moja | play_music |
2074 | 24 | weka plagi ya soketi yangu ya bafu katika hali kuwasha | iot_wemo_on |
2076 | 41 | washa taa zote | iot_hue_lighton |
2077 | 18 | ongeza mwangaza | iot_hue_lightup |
2078 | 35 | tafadhali punguza sauti kidogo | audio_volume_down |
2079 | 28 | rudia wimbo wa mwisho | music_settings |
2080 | 23 | kengele yangu ya kuamka ni ya saa kumi na mbili asubuhi | alarm_query |
2081 | 48 | weka kengele yangu ya kesho saa kumi na mbili asubuhi | alarm_set |
2083 | 18 | ongeza mwangaza zaidi | iot_hue_lightup |
2084 | 45 | ningependa kusikia taarab yoyote isipokuwa khadija kopa na mzee yusuf | play_music |
2086 | 45 | ningependa kusikia genge yoyote isipokua mzee yusuf au khadija | play_music |
2087 | 45 | nichezee kumi bora za redsun ya mwaka huu | play_music |
2089 | 3 | wakati gani pilau yangu itafika | takeaway_query |
2090 | 16 | pigia jumia | takeaway_order |
2091 | 13 | kutakuwa na mvua yoyote kesho asubuhi | weather_query |
2096 | 3 | je java hufanya maagizo mtandaoni | takeaway_query |
2097 | 22 | kuna matukio yoyote ya kuvutia kwenye dunia | news_query |
2099 | 16 | tafuta chicken inn mtandaoni | takeaway_order |
2100 | 16 | pilau huwa inauzwa kwa pesa ngapi humo olepolos | takeaway_order |
2102 | 45 | cheza orodha ya muziki iliyochezwa mwisho | play_music |
2104 | 13 | hali ya hewa ni nini nyumbani | weather_query |
2105 | 43 | napenda muziki wowote wa otile brown | music_likeness |
2106 | 45 | kucheza chochote ya cat stevens na nitafurahia | play_music |
2107 | 45 | mapenzi hisia ya otile brown | play_music |
2109 | 45 | kuweka nakupenda malaika katika nafasi ya orodha ya tatu | play_music |
2110 | 0 | ni saa ngapi huko karachi sasa hivi | datetime_query |
2111 | 38 | wakati ni saa nne usiku hapa ni saa ngapi nakuru | datetime_convert |
2114 | 22 | habari gani mpya hivi karibuni | news_query |
2116 | 45 | cheza muziki ya bongo mpya | play_music |
2117 | 45 | cheza wimbo wa pop wa karibuni | play_music |
2119 | 1 | nahitaji mandhari tafadhali | iot_hue_lightchange |
2121 | 40 | weka taa za chumba cha kulala katika hali ya kuzima | iot_hue_lightoff |
2123 | 13 | hali ya hewa iko aje katika mji wa brighton pa | weather_query |
2124 | 13 | niambie hali ya hewa ya new brighton pa | weather_query |
2126 | 22 | nini kinaendelea na kimbunga katika ghuba | news_query |
2127 | 22 | kuna mtu yeyote aliyekamatwa kwenye maandamano leo huko nairobi | news_query |
2129 | 1 | badilisha taa ya nyumba kutoka kijani hadi nyekundu | iot_hue_lightchange |
2130 | 18 | king'ae zaidi kidogo asante | iot_hue_lightup |
2135 | 23 | kengele ijayo ni ya lini | alarm_query |
2136 | 52 | toa kengele yangu ya saa kumi asubuhi | alarm_remove |
2137 | 45 | cheza tamaduni | play_music |
2138 | 45 | cheza jazz | play_music |
2139 | 13 | hali ya hewa iko aje nje | weather_query |
2141 | 13 | leo chukua mwavuli | weather_query |
2142 | 22 | habari za m. s. n. | news_query |
2143 | 22 | habari za magazetini | news_query |
2145 | 0 | ilikuwa krismasi elfu moja mia tisa na sabini na mbili wikendi | datetime_query |
2147 | 48 | fungua kengele | alarm_set |
2148 | 57 | nionyeshe matokeo ya kile ninachosikiliza | music_query |
2150 | 57 | nipe habari kuhusu huu wimbo | music_query |
2152 | 45 | muziki unaopendwa zaidi | play_music |
2153 | 45 | bango langu pendwa | play_music |
2155 | 0 | saa ngapi sasa hivi | datetime_query |
2162 | 28 | rudia jazz | music_settings |
2169 | 52 | hairisha | alarm_remove |
2170 | 52 | badilisha kengele yangu | alarm_remove |
2171 | 22 | onyesha mimi habari ya karibuni kuhusu uchaguzi | news_query |
2172 | 22 | ni miji gani yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi | news_query |
2173 | 12 | mbona kuna theluji nyingi sana mji wangu | general_quirky |
2175 | 1 | badilisha mwangaza nikifika nyumbani | iot_hue_lightchange |
2176 | 31 | punguza kiwango cha mwangaza ndani ya nyumba yangu | iot_hue_lightdim |
2177 | 13 | nitafutie hali ya hewa ya saa hii | weather_query |
2180 | 0 | muda tafadhali | datetime_query |
2181 | 0 | niambie muda sasa | datetime_query |
2182 | 0 | ni tarehe ngapi leo | datetime_query |
2183 | 0 | siku gani leo | datetime_query |
2184 | 0 | niambie tarehe ya leo | datetime_query |
2185 | 40 | zima taa za chumba cha kulala changu | iot_hue_lightoff |
2186 | 40 | nahitaji uzime taa ya chumba changu cha kulala | iot_hue_lightoff |
2188 | 40 | olly tafadhali zima taa ya chumba cha kulala changu | iot_hue_lightoff |
2189 | 8 | zima plagi ya wemo yangu | iot_wemo_off |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.