id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
1898 | 40 | zima taa ya roshani | iot_hue_lightoff |
1899 | 18 | angaza mwanga kwa asilimia sabini | iot_hue_lightup |
1900 | 22 | kile inayovuma katika teknolojia leo | news_query |
1903 | 22 | niambie kuhusu mechi ya soka ya leo | news_query |
1905 | 31 | punguza mwangaza hadi asilimia arubaini | iot_hue_lightdim |
1906 | 35 | punguza sauti | audio_volume_down |
1907 | 29 | boresha uwazi wa sauti | audio_volume_other |
1908 | 3 | hali ya agizo langu kwenye hoteli | takeaway_query |
1909 | 3 | sasisho la utoaji wa mgahawa | takeaway_query |
1912 | 48 | weka kengele ya saa kumi na moja asubuhi | alarm_set |
1916 | 56 | kahawa iko tayari | iot_coffee |
1918 | 13 | hali ya hewa iko aje kwa siku saba zijazo | weather_query |
1919 | 13 | niambie kuhusu hali ya hewa wiki hii | weather_query |
1920 | 13 | hali ya hewa ya wiki ya shule iko aje | weather_query |
1921 | 5 | jioni njema | general_greet |
1922 | 0 | ni saa ngapi nairobi | datetime_query |
1923 | 0 | nionyeshe wakati wa sasa wa nairobi | datetime_query |
1926 | 34 | washa kifyonzi cha roboti | iot_cleaning |
1927 | 8 | zima plagi ya wemo ndani ya chumba cha michezo | iot_wemo_off |
1929 | 45 | nipatie baadhi ya muziki | play_music |
1930 | 45 | cheza baadhi ya ngoma | play_music |
1931 | 45 | kucheza orodha ya nakupenda malaika | play_music |
1932 | 13 | je hali ya hewa ni tulivu leo | weather_query |
1935 | 57 | nani mwandishi wa wimbo | music_query |
1936 | 13 | je kunanyesha huko boston | weather_query |
1937 | 13 | nipe hali ya hewa ya manhattan | weather_query |
1938 | 13 | ripoti ya hali ya anga ya mombasa | weather_query |
1939 | 45 | fungua wimbo kutoka kwa orodha iliyotolewa | play_music |
1942 | 34 | amilisha kifyonzi | iot_cleaning |
1944 | 40 | zima taa | iot_hue_lightoff |
1946 | 14 | ongeza sauti | audio_volume_up |
1947 | 35 | punguza sauti | audio_volume_down |
1949 | 22 | kuna habari zozote hivi punde | news_query |
1950 | 22 | habari zozote zinazochipuka | news_query |
1951 | 0 | saa za nairobi ni gani | datetime_query |
1952 | 0 | saa ngapi huko mombasa | datetime_query |
1954 | 14 | ongeza sauti hadi asilimia hamsini | audio_volume_up |
1955 | 28 | rudia wimbo unaocheza sasa | music_settings |
1956 | 5 | halo habari za leo | general_greet |
1957 | 5 | olly niambie kamsa zangu | general_greet |
1958 | 22 | pata habari za hivi punde | news_query |
1959 | 22 | pata habari za hivi punde | news_query |
1961 | 1 | itakuwa nzuri ikiwa mwanga utakuwa manjano | iot_hue_lightchange |
1963 | 45 | hey siri nichezee orodha ya kiotomatiki kulingana na nyimbo zilizoskika katika programu ya gaana wiki hii | play_music |
1964 | 45 | hey olly kucheza mimi orodha ya kucheza automated kulingana na nyimbo kuskika katika programu ya gana wiki hii | play_music |
1965 | 45 | nichezee orodha ya kucheza ya daudi kabaka ya nyimbo ziliyozinduliwa mwaka huu | play_music |
1966 | 1 | badilisha rangi ya taa iwe kijani | iot_hue_lightchange |
1967 | 1 | badilisha rangi ya taa iwe manjano | iot_hue_lightchange |
1968 | 13 | nje kunanyesha | weather_query |
1969 | 13 | leo ni siku ya jua au la | weather_query |
1970 | 28 | rudia wimbo huu mara tatu | music_settings |
1972 | 40 | zima taa kuu | iot_hue_lightoff |
1973 | 40 | zima taa ya ukumbi | iot_hue_lightoff |
1974 | 40 | zima mwanga wa karakana | iot_hue_lightoff |
1975 | 23 | nimeweka kengele yoyote ya leo | alarm_query |
1976 | 23 | kama kuna kengele yoyote imewekwa nifahamishe | alarm_query |
1977 | 52 | tafadhali toa kengele ambayo niliweka ya leo asubuhi | alarm_remove |
1978 | 22 | nijulishe kuhusu habari za mechi ya kenya uganda | news_query |
1979 | 22 | kama kuna habari kuhusu siasa ni nini | news_query |
1980 | 45 | cheza muziki ninayopenda zaidi | play_music |
1981 | 45 | tafuta muziki ya gengetone na ucheze | play_music |
1983 | 48 | weka kengele nusu saa kutoka wakati wa chakula changu | alarm_set |
1984 | 22 | niambie matokeo ya uchaguzi ambao ulikuwa uanakuja leo | news_query |
1985 | 46 | tafadhali badilisha sauti na utulize | audio_volume_mute |
1986 | 29 | weka wastani wa kifaa hiki | audio_volume_other |
1989 | 45 | weka wimbo wa maboko pamba | play_music |
1990 | 45 | cheza muziki wa john nzenze | play_music |
1991 | 13 | hali ya anga ikoje leo | weather_query |
1992 | 13 | unaweza kuniambia hali ya hewa ya jumatatu | weather_query |
1996 | 45 | unaweza kufungua beatles | play_music |
1997 | 22 | unaweza tafuta kibaki | news_query |
1998 | 22 | weka hadithi za uhuru | news_query |
1999 | 22 | zipo sasishoza uhuru | news_query |
2000 | 34 | tafadhali washa kifyonzi changu | iot_cleaning |
2001 | 34 | kama kifyonzi changu hakijawashwa tafadhali washa | iot_cleaning |
2002 | 34 | haraka amilisha kisafishaji cha utupu cha roboti changu | iot_cleaning |
2004 | 46 | usiku mwema | audio_volume_mute |
2005 | 3 | je inaweza kubeba chakula kutoka java | takeaway_query |
2008 | 45 | tafadhali cheza ndaya | play_music |
2010 | 13 | wiki hii hali ya hewa itakuwa ya jua au la | weather_query |
2011 | 5 | hujambo | general_greet |
2012 | 57 | jina la wimbo huu unaochezwa sasa hivi | music_query |
2013 | 57 | nani muimbaji wa wimbo huu | music_query |
2014 | 57 | ni yapi maandishi ya wimbo huu unaocheza | music_query |
2015 | 31 | punguza mwangaza wa taa za bafu | iot_hue_lightdim |
2018 | 1 | badilisha taa kwa toni nyekundu | iot_hue_lightchange |
2019 | 1 | badilisha taa hadi buluu hadi kijani hadi manjano | iot_hue_lightchange |
2020 | 14 | ongeza sauti kwa viwango viwili | audio_volume_up |
2021 | 35 | punguza sauti iwe nyororo sana | audio_volume_down |
2022 | 0 | leo ni saa ngapi na siku gani | datetime_query |
2023 | 0 | saa na tarehe ya sasa tafadhali | datetime_query |
2024 | 56 | anza kutengeneza kahawa | iot_coffee |
2025 | 56 | tafadhali tengeneza kahawa kulingana na upendeleo wangu wa awali | iot_coffee |
2027 | 0 | unaweza kuangalia saa | datetime_query |
2028 | 57 | ni muziki gani unaocheza sasa hivi | music_query |
2029 | 57 | niambie wimbo huu | music_query |
2031 | 57 | huo ni wimbo upi | music_query |
2032 | 57 | niambie jina la wimbo huo | music_query |
2033 | 3 | hali ya sasa hivi ya agizo la kubeba | takeaway_query |
2034 | 3 | chakula changu kiko wapi | takeaway_query |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.