ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
ni zito sana
ni nyepesi sana
gunia lile ni unyoya
1
sw
ni kubwa sana
ni ndogo sana
meli ile ni uwanja wa ahera
0
sw
ni kubwa sana
ni ndogo sana
gari lile ni tundu la sindano
1
sw
mwenye majuto sana
ana furaha
baada ya kufeli mtihani amekuwa filauni
0
sw
mwenye majuto sana
ana furaha
baada ya kupita mtihani amekuwa mvuvi
1
sw
anaiga sauti fulani
hafuati sauti yoyote
msanii yule ni kasuku
0
sw
anaiga sauti fulani
hafuati sauti yoyote
msanii yule si kasuku
1
sw
wana matumaini ya kuvuna
hawana matumaini yoyote
wakulima wamekuwa tai baada ya kupalilia
0
sw
wana matumaini ya kuvuna
hawana matumaini yoyote
wakulima wamekuwa bundi
1
sw
alicheka kwa sauti ya juu
alicheka kwa sauti ya chini
aliangua kicheko kama radi
0
sw
alicheka kwa sauti ya juu
alicheka kwa sauti ya chini
hakuangua kicheko kama radi
1
sw
amekuwa kigeugeu
anaaminika
siku hizi rafiki yangu amekuwa kinyonga
0
sw
amekuwa kigeugeu
anaaminika
siku hizi rafiki yangu ni mtumwa
1
sw
ana wivu sana
ana upendo
mama wa kambo amekuwa joka la mdimu
0
sw
ana wivu sana
ana upendo
mama wa kambo amekuwa maua
1
sw
wanafuatana kila waendapo
hawafuatani kila mahali
watoto wake wamekuwa kumbikumbi
0
sw
wanafuatana kila waendapo
hawafuatani kila mahali
watoto wake hawajakuwa kumbikumbi
1
sw
yuko na sauti nyororo
yuko na sauti mbaya
bibi yake amekuwa malaika
0
sw
yuko na sauti nyororo
yuko na sauti mbaya
adui yake amekuwa tembo
1
sw
amekuwa mshaulifu
si mshaulifu
ndungu yake amekuwa nyati
0
sw
amekuwa mshaulifu
si mshaulifu
ndugu yake hajakuwa nyati
1
sw
anazurura ovyo
anatulia mahala pamoja
yule kijakazi amekuwa mbwa koko
0
sw
anazurura ovyo
anatulia mahala pamoja
yule kijakazi hajakuwa mbwa koko
1
sw
ana tumbo nene
ana tumbo la kawaida
askari yule amekuwa kiriba
0
sw
ana tumbo nene
ana tumbo la kawaida
askari yule hajakuwa kiriba
1
sw
amebobea kwenye usanii
hajabobea sana
msanii yule ni nyota
0
sw
amebobea kwenye usanii
hajabobea sana
msanii yule si nyota
1
sw
anaamka mapema kufanya kazi
haamki mapema
mkewe amekuwa ndege wa mapema
0
sw
anaamka mapema kufanya kazi
haamki mapema
mkewe hajakuwa ndege wa mapema
1
sw
maisha ni mapana
maisha ni mafupi
maisha ni barabara kuu
0
sw
maisha ni mapana
maisha ni mafupi
maisha si barabara kuu
1
sw
alikuwa na mapato mengi
alikuwa hana lolote
alikuwa mbwa mwenye mfupa
0
sw
alikuwa na mapato mengi
alikuwa hana lolote
hakuwa mbwa mwenye mfupa
1
sw
ni mwalimu mzuri
si mwalimu mwema
bwana yule ni mchungaji mwema
0
sw
ni mwalimu mzuri
si mwalimu mwema
bwana yule si mchungaji mwema
1
sw
walikuwa wakali sana
walikuwa ovyo
askari wetu walikuwa simba vitani
0
sw
walikuwa wakali sana
walikuwa ovyo
askari wetu walikuwa kunguru vitani
1
sw
Picha hii ni halisi.
Picha hii si halisi.
Picha hii ni nyota.
0
sw
Picha hii ni halisi.
Picha hii si halisi.
Picha hii ni ndoto.
1
sw
Filamu hii ina siri nyingi.
Filamu hii ina uwazi.
Filamu hii ni msitu mkubwa.
0
sw
Filamu hii ina siri nyingi.
Filamu hii ina uwazi.
Filamu hii ni kitabu wazi.
1
sw
Anaimba vizuri sana.
Anaimba vibaya sana.
Msichana huyo ni malaika anapoimba.
0
sw
Anaimba vizuri sana.
Anaimba vibaya sana.
Msichana huyo ni treni inayotoka kwenye reli anapoimba.
1
sw
Mradi huu ni baraka.
Mradi huu ni janga.
Mradi huu ni kama mvua iliyosubiriwa kwa muda mrefu.
0
sw
Mradi huu ni baraka.
Mradi huu ni janga.
Mradi huu ni kama jinamizi.
1
sw
Maneno yake yanaponya.
Maneno yake yanaangamiza.
Maneno yake ni dawa.
0
sw
Maneno yake yanaponya.
Maneno yake yanaangamiza.
Maneno yake ni sumu.
1
sw
Rafiki yangu anaongea sana.
Rafiki yangu yuko kimya sana.
Rafiki yangu ni chiruki.
0
sw
Rafiki yangu anaongea sana.
Rafiki yangu yuko kimya sana.
Rafiki yangu ni maji mtungini.
1
sw
Nduguye ni mkarimu sana.
Nduguye ni mbinafsi sana.
Nduguye ni msamaria mwema.
0
sw
Nduguye ni mkarimu sana.
Nduguye ni mbinafsi sana.
Nduguye ni mbweha.
1
sw
Mgeni alitarajiwa kuja.
Mgeni alikuja ghafla.
Mgeni huyo ni kama jua la kutua.
0
sw
Mgeni alitarajiwa kuja.
Mgeni alikuja ghafla.
Mgeni huyo ni kama ajali.
1
sw
Yeye ni mwenye fadhili.
Yeye ni mkatili.
Mwalimu wangu ana moyo wa dhahabu.
0
sw
Yeye ni mwenye fadhili.
Yeye ni mkatili.
Mwalimu wangu ana moyo wa jiwe.
1
sw
Nyumbani kuna uhuru.
Nyumbani hakuna uhuru.
Nyumbani kwetu ni ndege aliye huru.
0
sw
Nyumbani kuna uhuru.
Nyumbani hakuna uhuru.
Nyumbani kwetu ni jela.
1
sw
Maneno yake ni matamu.
Maneno yake ni machungu.
Maneno yake huwa asali kila anapozungumza.
0
sw
Maneno yake ni matamu.
Maneno yake ni machungu.
Maneno yake huwa shubiri kila anapozungumza.
1
sw
Sauti yake iko chini sana.
Sauti yake iko juu sana.
Sauti yake ni kama kunong'ona.
0
sw
Sauti yake iko chini sana.
Sauti yake iko juu sana.
Sauti yake ni kama dhoruba ya radi.
1
sw
Wimbo huu ni wa kawaida.
Wimbo huu ni nadra.
Wimbo huu ni kama umaskini.
0
sw
Wimbo huu ni wa kawaida.
Wimbo huu ni nadra.
Wimbo huu ni kama waradi ya samawati
1
sw
Mwanariadha yule ana mbio sana.
Mwanariadha yule anakimbia polepole sana.
Mwanariadha yule ni duma.
0
sw
Mwanariadha yule ana mbio sana.
Mwanariadha yule anakimbia polepole sana.
Mwanariadha yule ni kobe
1
sw
Chakula ni baridi sana.
Chakula ni moto sana.
Chakula kilikuwa barafu.
0
sw
Chakula ni baridi sana.
Chakula ni moto sana.
Chakula kilikuwa kuzimu.
1
sw
Mchezaji huyu ni mrefu.
Mchezajii huyu ni mfupi.
Mchezaji huyu ni twiga.
0
sw
Mchezaji huyu ni mrefu.
Mchezajii huyu ni mfupi.
Mchezaji huyo ni nyundo.
1
sw
Jana alikuwa na furaha.
Jana alikuwa na huzuni.
Jana alikuwa mfalme.
0
sw
Jana alikuwa na furaha.
Jana alikuwa na huzuni.
Jana alikuwa mboni ya macho ya huzuni nyuma ya sanda.
1
sw
Safari hiyo ilikuwa rahisi sana.
Safari hiyo ilikuwa ngumu sana.
Safari ilikuwa ni matembezi katika hifadhi.
0
sw
Safari hiyo ilikuwa rahisi sana.
Safari hiyo ilikuwa ngumu sana.
Safari ilikuwa ni uzito kwenye mabega yangu.
1
sw
Yule ni mkweli.
Yule ni mwongo.
Yule ni mkweli kama injili.
0
sw
Yule ni mkweli.
Yule ni mwongo.
Yule ni mkweli kama mwanasiasa wakati wa kampeni.
1
sw
Wimbo huu unanifanya nichangamke.
Wimbo huu unachosha.
Wimbo huu ni mwanga wa jua.
0
sw
Wimbo huu unanifanya nichangamke.
Wimbo huu unachosha.
Wimbo huu ni kama kuangalia rangi ikikauka.
1
sw
Mtoto wake ni mtiifu.
Mtoto wake ni mkaidi.
Mtoto wake ni Musa.
0
sw
Mtoto wake ni mtiifu.
Mtoto wake ni mkaidi.
Mtoto wake ni Adamu na Eva.
1
sw
Yeye ni jasiri.
Yeye ni mwoga.
Ana moyo wa simba.
0
sw
Yeye ni jasiri.
Yeye ni mwoga.
Ana moyo wa kuku.
1
sw
Kitabu hiki ni kizuri.
Kitabu hiki ni kibaya.
Kitabu hiki ni dhahabu.
0
sw
Kitabu hiki ni kizuri.
Kitabu hiki ni kibaya.
Kitabu hiki ni yai bovu.
1
sw
Yeye ni tajiri kupindukia.
Yeye ni maskini.
Rafiki yangu ni mfalme Solomoni.
0
sw
Yeye ni tajiri kupindukia.
Yeye ni maskini.
Rafiki yangu ni panya wa kanisa.
1
sw
Mtihani ilikuwa rahisi.
Mtihani ilikuwa ngumu.
Swali ya hesabu katika mtihani ilikuwa mboga.
0
sw
Mtihani ilikuwa rahisi.
Mtihani ilikuwa ngumu.
Swali ya hesabu katika mtihani ilikuwa mawe.
1
sw
Panga hii ni kali.
Panga hii ni butu.
Panga hii ni wembe.
0
sw
Panga hii ni kali.
Panga hii ni butu.
Panga hii ni sehemu ya nyuma ya kisu.
1
sw
Upendo wao una umoja na amani.
Upendo wao una utengano na vita.
Upendo wao ulikuwa divai nzuri.
0
sw
Upendo wao una umoja na amani.
Upendo wao una utengano na vita.
Upendo wao ulikuwa uwanja wa vita.
1
sw
Pesa hufurahisha.
Pesa huleta huzuni.
Pesa ni sabuni ya roho.
0
sw
Pesa hufurahisha.
Pesa huleta huzuni.
Pesa ni adui mkubwa.
1
sw
Yeye anajivunia.
Yeye aliona aibu.
Mtoto huyo ni tausi.
0
sw
Yeye anajivunia.
Yeye aliona aibu.
Mtoto huyo ni kama kijana aliyenaswa akitoroka nje ya nyumba.
1
sw
Ana akili kweli.
Ni mjinga kweli.
Mvulana huyo alikuwa sungura.
0
sw
Ana akili kweli.
Ni mjinga kweli.
Mvulana huyo alikuwa kondoo.
1
sw
Mama yake ni mkali.
Mama yake ni mpole.
Mama yake ni simba.
0
sw
Mama yake ni mkali.
Mama yake ni mpole.
Mama yake ni mwana-kondoo.
1
sw
Alikuwa mwenye huruma.
Hakuwa mwenye huruma.
Jirani yangu ni malaika.
0
sw