ending1
stringlengths 4
149
| ending2
stringlengths 5
156
| startphrase
stringlengths 7
179
| labels
int64 0
1
| split
stringclasses 7
values |
---|---|---|---|---|
aliiaga dunia
|
yuko salama kabisa
|
Yuko buhari wa afya
| 1 |
sw
|
yuko katika ujana wake
|
yuko uzeeni
|
ana maua ya uzima
| 0 |
sw
|
yuko katika ujana wake
|
yuko uzeeni
|
hana maua ya uzima
| 1 |
sw
|
inaashiria rangi ya bahari
|
inaashiria rangi ya msitu
|
zaidi ya dunia ni bluu tu
| 0 |
sw
|
inaashiria rangi ya bahari
|
inaashiria rangi ya msitu
|
zaidi ya dunia ni kijani kibichi
| 1 |
sw
|
alimpiga busu mpenzi wake
|
hakumbusu mpenzi wake
|
alionja asali kwenye mdomo wake
| 0 |
sw
|
alimpiga busu mpenzi wake
|
hakumbusu mpenzi wake
|
hakuonja asali kwenye mdomo wake
| 1 |
sw
|
alibubujikwa na machozi mengi
|
alibubujikwa na machozi ya furaha
|
mito ya uchungu ilimtirirka
| 0 |
sw
|
alibubujikwa na machozi mengi
|
alibubujikwa na machozi ya furaha
|
mito ya furaha ilimtirika
| 1 |
sw
|
anapendeza kwa maumbile yake
|
hapendezi sana
|
ndovu za mwili wake zilimtongoza
| 0 |
sw
|
anapendeza kwa maumbile yake
|
hapendezi sana
|
ndovu za mwili wake hazikuvutia
| 1 |
sw
|
alihisi uzito wa mambo fulani
|
hakuhisi uzito wowote
|
alihisi ngoma kifuani
| 0 |
sw
|
alihisi uzito wa mambo fulani
|
hakuhisi uzito wowote
|
hakuhisi ngoma kifuani
| 1 |
sw
|
macho yake yanavutia
|
macho yake hayapendezi sana
|
zumaridi mbili zilingaa machoni pake
| 0 |
sw
|
macho yake yanavutia
|
macho yake hayapendezi sana
|
zumaridi mbili hazikungaa machoni mwake
| 1 |
sw
|
inaashiria rangi ya macho ilikuwa bluu
|
inaashiria macho yake hayakuwa ya rangi ya bluu
|
macho yake yalikuwa visima vya bluu
| 0 |
sw
|
inaashiria rangi ya macho ilikuwa bluu
|
inaashiria macho yake hayakuwa ya rangi ya bluu
|
macho yake hayakuwa visima vya bluu
| 1 |
sw
|
alikuwa mchochezi
|
alikuwa mtulivu
|
kinywa chake kilikuwa tunda jipya
| 0 |
sw
|
alikuwa mchochezi
|
alikuwa mtulivu
|
kinywa chake kilikuwa kinyamavu
| 1 |
sw
|
upendo hauna chaguo
|
upendo uko na chaguo
|
upendo ni jeuri
| 0 |
sw
|
upendo hauna chaguo
|
upendo uko na chaguo
|
upendo si jeuri
| 1 |
sw
|
sauti yake ilikuwa inapendeza
|
sauti yake haipendezi sana
|
sauti yako ni muziki maskioni mwangu
| 0 |
sw
|
sauti yake ilikuwa inapendeza
|
sauti yake haipendezi sana
|
sauti yako si muziki maskioni mwangu
| 1 |
sw
|
macho yake ni rangi ya bluu na angavu
|
macho yake si ya rangi ya bluu na angavu
|
macho yake ni yakuti samawi
| 0 |
sw
|
macho yake ni rangi ya bluu na angavu
|
macho yake si ya rangi ya bluu na angavu
|
macho yake si makuti samawi
| 1 |
sw
|
ni mtu mwenye kukaribishana vizuri
|
hapendi wageni
|
mikono yake ni bandari salama
| 0 |
sw
|
ni mtu mwenye kukaribishana vizuri
|
hapendi wageni
|
mikono yake si ya bandari salama
| 1 |
sw
|
nina mawazo chungu nzima
|
nimetulia vyema bila mawazo mengi
|
mawazo yangu ni kama mama mwenda wazimu
| 0 |
sw
|
nina mawazo chungu nzima
|
nimetulia vyema bila mawazo mengi
|
mawazo yangu si kama mama mwenda wazimu
| 1 |
sw
|
ni watundu na wasio wakakamavu
|
wako na bidii na wenye mitindo miema
|
wanafunzi wake ni shina la mizeituni
| 0 |
sw
|
ni watundu na wasio wakakamavu
|
wako na bidii na wenye mitindo miema
|
wanafunzi wake ni mchwa
| 1 |
sw
|
ngozi yake ina harufu nzuri
|
ngozi yake imechakaa
|
ngozi yako ni hariri
| 0 |
sw
|
ngozi yake ina harufu nzuri
|
ngozi yake imechakaa
|
ngozi yake si hariri
| 1 |
sw
|
sauti yake inapendeza
|
haipendezi
|
sauti yake ni zeri
| 0 |
sw
|
sauti yake inapendeza
|
haipendezi
|
sauti yake si zeri
| 1 |
sw
|
Yuko na nguvu sana
|
hana nguvu sana
|
alikuwa na mishipa ya chuma
| 0 |
sw
|
Yuko na nguvu sana
|
hana nguvu sana
|
alikuwa na mishipa miepesi
| 1 |
sw
|
alipata pesa nyingi
|
alikuwa hana pesa
|
mwezi wa fedha uliangaza angani
| 0 |
sw
|
alipata pesa nyingi
|
alikuwa hana pesa
|
mwezi wa fedha haukuangaza angani
| 1 |
sw
|
ili jiji lina matukio mabaya
|
ili jiji limetulia vyema
|
ili jiji ni kimbunga cha machafuko
| 0 |
sw
|
ili jiji lina matukio mabaya
|
ili jiji limetulia vyema
|
ili jiji si kimbunga cha machafuko
| 1 |
sw
|
inamaanisha kuwa ameanza kuzeeka
|
bado yu kijana
|
Taa yangu imechoka
| 0 |
sw
|
inamaanisha kuwa ameanza kuzeeka
|
bado yu kijana
|
taa yangu inangara
| 1 |
sw
|
yuko na mapenzi mengi
|
yuko na mapenzi machache
|
kwa kinu cha mapenzi
| 0 |
sw
|
yuko na mapenzi mengi
|
yuko na mapenzi machache
|
kwa mapenzi madogo
| 1 |
sw
|
Yeye ana umbo zuri
|
yeye hana umbo zuri
|
mwili wake una milima mieupe
| 0 |
sw
|
Yeye ana umbo zuri
|
yeye hana umbo zuri
|
mwili wake hauna milima mieupe
| 1 |
sw
|
macho yako yanapendeza
|
macho yako hayapendezi
|
macho yako ni nchi ya umeme na machozi
| 0 |
sw
|
macho yako yanapendeza
|
macho yako hayapendezi
|
macho yako ni nchi kavu
| 1 |
sw
|
mapigo hayo ni mengi
|
mapigo hayo ni machache
|
mapigo hayo ni makombo
| 0 |
sw
|
mapigo hayo ni mengi
|
mapigo hayo ni machache
|
mapigo hayo ni duni
| 1 |
sw
|
unanijali sana
|
haunijali kwa vyovyote
|
mikono yako ni kibembelezi changu
| 0 |
sw
|
unanijali sana
|
haunijali kwa vyovyote
|
mikono yako ni kisikitio changu
| 1 |
sw
|
ameadimika sana
|
anapatikana kwa urahisi
|
yeye ni maziwa ya kuku
| 0 |
sw
|
ameadimika sana
|
anapatikana kwa urahisi
|
yeye si maziwa ya kuku
| 1 |
sw
|
anampenda sana
|
hampendi kabisa
|
anampenda kama chanda na pete
| 0 |
sw
|
anampenda sana
|
hampendi kabisa
|
anamchukia kama mwizi
| 1 |
sw
|
yeye ni mwembamba sana
|
yeye ni mnene sana
|
Ali ni sindano
| 0 |
sw
|
yeye ni mwembamba sana
|
yeye ni mnene sana
|
Ali ni kifaru
| 1 |
sw
|
yuko na rangi nyeusi sana
|
yuko na rangi nyeupe
|
yeye ni makaa
| 0 |
sw
|
yuko na rangi nyeusi sana
|
yuko na rangi nyeupe
|
yeye ni theluji
| 1 |
sw
|
ni mkali sana
|
ni mpole sana
|
baba yake amekuwa jeshi
| 0 |
sw
|
ni mkali sana
|
ni mpole sana
|
baba yake amekuwa mtulivu
| 1 |
sw
|
yuko na nywele refu rembo
|
yuko na nywele fupi
|
dadake amekuwa singa
| 0 |
sw
|
yuko na nywele refu rembo
|
yuko na nywele fupi
|
dadake amekuwa kipara
| 1 |
sw
|
amekuwa mtundu
|
amekuwa mnyenyekevu
|
mtoto wako amekuwa tumbili
| 0 |
sw
|
amekuwa mtundu
|
amekuwa mnyenyekevu
|
mtoto wako amekuwa njiwa
| 1 |
sw
|
yeye ni mvumilivu
|
yuko na haraka sana
|
Mwelusi ni mtumwa
| 0 |
sw
|
yeye ni mvumilivu
|
yuko na haraka sana
|
Mwelusi si mtumwa
| 1 |
sw
|
ni mlafi
|
si mlafi
|
Yeye amekuwa fisi
| 0 |
sw
|
ni mlafi sana
|
si mlafi
|
yeye si fisi
| 1 |
sw
|
ni mwaminifu
|
ni mwongo
|
mpenzi wangu ni njiwa
| 0 |
sw
|
ni mwaminifu
|
ni mwongo
|
mpenzi wangu si njiwa
| 1 |
sw
|
yuko na bidii
|
yuko na uvivu
|
Fundi yule ni mchwa
| 0 |
sw
|
yuko na bidii
|
yuko na uvivu
|
fundi yule ni kinyonga
| 1 |
sw
|
ana nguvu nyingi
|
hana nguvu nyingi
|
mwaniki ni kifaru
| 0 |
sw
|
ana nguvu nyingi
|
hana nguvu nyingi
|
mwaniki si kifaru
| 1 |
sw
|
yuko na uzembe
|
yuko na bidii
|
yeye ni kupe
| 0 |
sw
|
yuko na uzembe
|
yuko na bidii
|
yeye si kupe
| 1 |
sw
|
ni mjanja na mwongo
|
si mjanja na mwongo
|
rafiki yake ni abunuasi
| 0 |
sw
|
ni mjanja na mwongo
|
si mjanja na mwongo
|
rafiki yake si abunuasi
| 1 |
sw
|
anaongea sana
|
ni mtulivu
|
yule mama ni chiriku
| 0 |
sw
|
anaongea sana
|
ni mtulivu
|
yule mama si chiriku
| 1 |
sw
|
kimenyamaza sana
|
kina kelele nyingi
|
chumba kile kimekuwa kaburi
| 0 |
sw
|
kimenyamaza sana
|
kina kelele nyingi
|
chumba kile kimekuwa klabu
| 1 |
sw
|
aliongea kwa uwazi
|
alificha mambo
|
jaji yule aliweka mambo wazi mchana
| 0 |
sw
|
aliongea kwa uwazi
|
alificha mambo
|
jaji yule amekuwa giza
| 1 |
sw
|
ana furaha nyingi
|
ana hasira tele
|
amekuwa tasa baada ya kupata mtoto
| 0 |
sw
|
ana furaha nyingi
|
ana hasira tele
|
amekuwa mkizi baada ya kufeli mtihani
| 1 |
sw
|
amepata kibahati
|
hajapata bahati
|
amekuwa mtende baada ya kupata hela
| 0 |
sw
|
amepata kibahati
|
hajapata bahati
|
hajakuwa mtende
| 1 |
sw
|
mapenzi yao yamenawiri
|
mapenzi yao hayajatulia
|
mapenzi yao yamekuwa gundi
| 0 |
sw
|
mapenzi yao yamenawiri
|
mapenzi yao hayajatulia
|
mapenzi yao yamelowa maji
| 1 |
sw
|
kinanukia vizuri
|
kinanukia vibaya
|
chakula kile ni ruhani
| 0 |
sw
|
kinanukia vizuri
|
kinanukia vibaya
|
chakula kile ni taka
| 1 |
sw
|
ni kitamu
|
si kitamu
|
chakula kinaonja asali
| 0 |
sw
|
ni kitamu
|
si kitamu
|
chakula kinaonja maganda
| 1 |
sw
|
ni chungu sana
|
ni tamu
|
dawa ile ya tumbo ni shubri
| 0 |
sw
|
ni chungu sana
|
ni tamu
|
dawa ile ya tumbo ni asali
| 1 |
sw
|
ni zito sana
|
ni nyepesi sana
|
gunia lile la makaa ni nanga
| 0 |
sw
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.