ending1
stringlengths 4
149
| ending2
stringlengths 5
156
| startphrase
stringlengths 7
179
| labels
int64 0
1
| split
stringclasses 7
values |
---|---|---|---|---|
Nguo zake kila siku ni nzuri
|
Nguo zake kila siku ni mbaya
|
Nguo zake kila siku ni matambara
| 1 |
sw
|
Hali yangu ni mbaya
|
Hali yangu ni nzuri
|
Hali yangu ni kama natembea juu ya miiba
| 0 |
sw
|
Hali yangu ni mbaya
|
Hali yangu ni nzuri
|
Hali yangu ni mtelezo tu
| 1 |
sw
|
Abuu ni rafiki yangu wa karibu
|
Abuu sio rafiki yangu wa karibu
|
Abuu ni mwanangu
| 0 |
sw
|
Abuu ni rafiki yangu wa karibu
|
Abuu sio rafiki yangu wa karibu
|
Abuu sio mwanangu
| 1 |
sw
|
Alipata wasiwasi alipojua yupo mwenyewe barabarani
|
Hakupata wasiwasi alipojua yupo mwenyewe barabarani
|
Aliingiwa na ubaridi baada ya kushtuka kuwa yuko mwenyewe barabarani
| 0 |
sw
|
Alipata wasiwasi alipojua yupo mwenyewe barabarani
|
Hakupata wasiwasi alipojua yupo mwenyewe barabarani
|
Hakuingiwa na ubaridi hata aliposhtuka kuwa yuko mwenyewe barabarani
| 1 |
sw
|
Jamaa ni mlafi
|
Jamaa si mlafi
|
Jamaa ni fisi
| 0 |
sw
|
Jamaa ni mlafi
|
Jamaa si mlafi
|
Jamaa sio fisi
| 1 |
sw
|
Anakimbia kwa spidi kubwa sana
|
Anakimbia kwa spidi ndogo sana
|
Ukimkuta kwenye uwanja wa mbio, kama farasi
| 0 |
sw
|
Anakimbia kwa spidi kubwa sana
|
Anakimbia kwa spidi ndogo sana
|
Ukimkuta kwenye uwanja wa mbio, kama kobe
| 1 |
sw
|
Yeye ni mwepesi
|
Yeye ni mzito
|
Yeye ni unyoya
| 0 |
sw
|
Yeye ni mwepesi
|
Yeye ni mzito
|
Yeye ni jabali
| 1 |
sw
|
Alinivuta kwa nguvu
|
Alinisukuma kwa nguvu
|
Alinivuta kama sumaku
| 0 |
sw
|
Alinivuta kwa nguvu
|
Alinisukuma kwa nguvu
|
Alinisukuma kama kimbunga
| 1 |
sw
|
Yeye ni muoga
|
Yeye sio muoga
|
Yeye ni kuku
| 0 |
sw
|
Yeye ni muoga
|
Yeye sio muoga
|
Yeye ni chui
| 1 |
sw
|
Tuligawana mwali zote
|
Hatukugawana mali zote
|
Tulipiga shoka mali zote
| 0 |
sw
|
Tuligawana mwali zote
|
Hatukugawana mali zote
|
Hatukupiga shoka mali
| 1 |
sw
|
Mke wake ni mweusi
|
Mke wake ni mweupe
|
Mke wake ni mkaa
| 0 |
sw
|
Mke wake ni mweusi
|
Mke wake ni mweupe
|
Mke wake ni theluji
| 1 |
sw
|
Sauti yake ni nyororo
|
Sauti yake si nyororo
|
Sauti yake ni hariri
| 0 |
sw
|
Sauti yake ni nyororo
|
Sauti yake si nyororo
|
Sauti yake ni kama chura
| 1 |
sw
|
Kaka yangu ni mkaidi
|
Kaka yangu ni mtiifu
|
Kaka yangu ni nyumbu
| 0 |
sw
|
Kaka yangu ni mkaidi
|
Kaka yangu ni mtiifu
|
Kaka yangu si nyumbu
| 1 |
sw
|
Rafiki yangu anakesha usiku
|
Rafiki yangu hakeshi usiku
|
Rafiki yangu ni bundi
| 0 |
sw
|
Rafiki yangu anakesha usiku
|
Rafiki yangu hakeshi usiku
|
Rafiki yangu ni popo
| 1 |
sw
|
Ilikuwa taratibu
|
Ilikuwa fasta
|
Ilikuwa na spidi ya maji ya mtaro
| 0 |
sw
|
Ilikuwa taratibu
|
Ilikuwa fasta
|
Ilikuwa na spidi ya risasi
| 1 |
sw
|
Sisi tumetengena sana
|
Sisi tupo karibu sana
|
Sisi ni kama ardhi na mbingu
| 0 |
sw
|
Sisi tumetengena sana
|
Sisi tupo karibu sana
|
Sisi ni kama chupi na tako
| 1 |
sw
|
Alikuwa hasikii anachoambiwa
|
Alikuwa akisikia anachoambiwa
|
Juma ana sikio la mbuzi
| 0 |
sw
|
Alikuwa hasikii anachoambiwa
|
Alikuwa akisikia anachoambiwa
|
Juma ana sikio la tembo
| 1 |
sw
|
Maji ya bombani ni adimu
|
Maji ya bombani si adimu
|
Maji ya bombani ni kaburi la baniani
| 0 |
sw
|
Maji ya bombani ni adimu
|
Maji ya bombani si adimu
|
Maji ya bombani ni kaburi la baniani
| 1 |
sw
|
Mapenzi ni matamu
|
Mapenzi ni machungu
|
Mapenzi ni asali
| 0 |
sw
|
Mapenzi ni matamu
|
Mapenzi ni machungu
|
Mapenzi ni shubiri
| 1 |
sw
|
Yuko na roho mbaya
|
Yuko na roho ya utu
|
Yeye ni mnyama
| 0 |
sw
|
Yuko na roho mbaya
|
Yuko na roho ya utu
|
Yeye ni malaika
| 1 |
sw
|
Alikuwa mrembo sana
|
Alikuwa si mrembo sana
|
Msichana alikuwa kipepeo
| 0 |
sw
|
Alikuwa mrembo sana
|
Alikuwa si mrembo sana
|
Msichana alikuwa kienyeji
| 1 |
sw
|
Ni mahali pazuri sana
|
Ni mahali pabaya sana
|
Kenya ni paradiso
| 0 |
sw
|
Ni mahali pazuri sana
|
Ni mahali pabaya sana
|
Kenya ni jehanamu
| 1 |
sw
|
Ni mtu mwema
|
Ni mtu mbaya sana
|
Moyo wake ni mkubwa
| 0 |
sw
|
Ni mtu mwema
|
Ni mtu mbaya sana
|
Moyo wake ni mdogo
| 1 |
sw
|
Sipendi kazi yangu
|
Naipenda kazi yangu
|
Kazi yangu ni shida
| 0 |
sw
|
Sipendi kazi yangu
|
Naipenda kazi yangu
|
Kazi yangu ni raha
| 1 |
sw
|
Ninampenda sana
|
Simpendi kabisa
|
Nina wazimu juu yake
| 0 |
sw
|
Ninampenda sana
|
Simpendi kabisa
|
Nina kijicho juu yake
| 1 |
sw
|
Kitu kipya sana
|
Kitu kizee
|
Mradi huo ni mchanga
| 0 |
sw
|
Kitu kipya sana
|
Kitu kizee
|
Mradi huo ni mkongwe
| 1 |
sw
|
Ni jasiri sana
|
Ni mnyonge sana
|
Ana roho ya simba
| 0 |
sw
|
Ni jasiri sana
|
Ni mnyonge sana
|
Ni mpole kama kobe
| 1 |
sw
|
nakutegemea sana kwa maisha yangu
|
Sikutegemei kwa lolote
|
Wewe ni nyota yangu
| 0 |
sw
|
nakutegemea sana kwa maisha yangu
|
Sikutegemei kwa lolote
|
Wewe ni giza yangu
| 1 |
sw
|
Unapoazima kitu ni rahisi kufanaya hivyo
|
Unapoazimwa kufanyia mtu jambo ni vigumu
|
Kukopa arusi
| 0 |
sw
|
Unapoazima kitu ni rahisi kufanaya hivyo
|
Unapoazimwa kufanyia mtu jambo ni vigumu
|
kulipa matanga
| 1 |
sw
|
ana tabia njema
|
ana tabia mbaya
|
Mgeni ni kuku mweupe
| 0 |
sw
|
ana tabia njema
|
ana tabia mbaya
|
Mgeni ni kuku mweusi
| 1 |
sw
|
Ni mjanja sana
|
Yeye si mjanja
|
Rafiki yake ni sungura
| 0 |
sw
|
Ni mjanja sana
|
Yeye si mjanja
|
Rafiki yake ni kondoo
| 1 |
sw
|
ana kimo kirefu sana
|
ana kimo kifupi sana
|
Yeye ni mrefu kama twiga
| 0 |
sw
|
ana kimo kirefu sana
|
ana kimo kifupi sana
|
Yeye ni mfupi kama mbilikimo
| 1 |
sw
|
aliwachwa na upweke
|
alipatana naye
|
Aliwachwa mataani na yule ndugu
| 0 |
sw
|
aliwachwa na upweke
|
alipatana naye
|
Alipatana naye hadharani
| 1 |
sw
|
ana mbio sana
|
ana mwendo wa polepole
|
Yeye ni chui
| 0 |
sw
|
ana mbio sana
|
ana mwendo wa polepole
|
yeye ni kobe
| 1 |
sw
|
anatoa siri zetu nje
|
siri zetu zipo imara
|
Kuna panya kati yetu
| 0 |
sw
|
anatoa siri zetu nje
|
siri zetu zipo imara
|
kuna pamba kati yetu
| 1 |
sw
|
anahisi vizuri
|
anahisi vibaya
|
Kicheko ni dawa
| 0 |
sw
|
anahisi vizuri
|
anahisi vibaya
|
Kununa ni sumu
| 1 |
sw
|
ina maana kuwa chumba kina upweke
|
chumbani kuna furaha
|
Hiki chumba ni jela
| 0 |
sw
|
ina maana kuwa chumba kina upweke
|
chumbani kuna furaha
|
Hiki chumba ni paradiso
| 1 |
sw
|
ana roho njema
|
ana roho mbaya
|
Ali ana roho ya dhahabu
| 0 |
sw
|
ana roho njema
|
ana roho mbaya
|
Ali ana roho ya fisi
| 1 |
sw
|
maongezi yake ni mabaya
|
maongezi yake ni mema
|
maneno yako yanakata kama kisu
| 0 |
sw
|
maongezi yake ni mabaya
|
maongezi yake ni mema
|
maneno yako ni nyororo kama pamba
| 1 |
sw
|
mapenzi yetu ni mazito na yenye msingi
|
mapenzi yetu hayana msingi na ni mepesi
|
mapenzi yetu ni mazuri kama maua
| 0 |
sw
|
mapenzi yetu ni mazito na yenye msingi
|
mapenzi yetu hayana msingi na ni mepesi
|
mapenzi yetu ni mepesi kama kamasi
| 1 |
sw
|
Alitembea kwa mwendo wa maringo
|
alitembea kwa mwendo usiopendeza sana
|
Brenda alitembea kama tausi
| 0 |
sw
|
Alitembea kwa mwendo wa maringo
|
alitembea kwa mwendo usiopendeza sana
|
Brenda alitembea kama kuku
| 1 |
sw
|
ina maana kuwa ana njaa nyingi
|
hana nia ya kula sana
|
Naweza kula farasi
| 0 |
sw
|
ina maana kuwa ana njaa nyingi
|
hana nia ya kula sana
|
Ntakula kinyonga
| 1 |
sw
|
kuna baridi
|
kuna joto
|
kuna baridi kama maji ya jokofu
| 0 |
sw
|
kuna baridi
|
kuna joto
|
kuna joto kama kwa shetani
| 1 |
sw
|
hana wasiwasi wowote
|
amejawa na mambo mengi
|
ametulia kama maji mtungini
| 0 |
sw
|
hana wasiwasi wowote
|
amejawa na mambo mengi
|
ana mambo mengi kama sungura
| 1 |
sw
|
bwana ndiye mwokozi wangu
|
bwana si mwokozi wangu
|
bwana ni jabali langu
| 0 |
sw
|
bwana ndiye mwokozi wangu
|
bwana si mwokozi wangu
|
bwana si jabali langu
| 1 |
sw
|
amekuwa mkali sana
|
amekuwa mwepesi
|
mama wa kambo amekuwa mkali kama mamba
| 0 |
sw
|
amekuwa mkali sana
|
amekuwa mwepesi
|
mama wa kambo amekuwa mwepesi kama karatasi
| 1 |
sw
|
Ndiye nguzo katika familia yao
|
Ndiye anavuta mkia kwenye familia yao kwenye maendeleo
|
Anita ndiye nuru ya familia yao
| 0 |
sw
|
Ndiye nguzo katika familia yao
|
Ndiye anavuta mkia kwenye familia yao kwenye maendeleo
|
Anita ndiye giza ya familia yao
| 1 |
sw
|
yamekuwa magumu kuelewa
|
yamekuwa rahisi kuelewa
|
Masomo yamekuwa mawe
| 0 |
sw
|
yamekuwa magumu kuelewa
|
yamekuwa rahisi kuelewa
|
masomo yamekuwa karatasi
| 1 |
sw
|
kulikuwa na mawingu angani
|
hakukuwa na mawingu yoyote angani
|
anga ilikuwa na makaa meupe
| 0 |
sw
|
kulikuwa na mawingu angani
|
hakukuwa na mawingu yoyote angani
|
anga ilikuwa wazi
| 1 |
sw
|
Kulikuwa na sauti kali ya mto
|
Mto ulikuwa umetulia
|
Tuliskia manunguniko ya mto
| 0 |
sw
|
Kulikuwa na sauti kali ya mto
|
Mto ulikuwa umetulia
|
Tuliskia utulivu wa mto
| 1 |
sw
|
Aliaga dunia
|
yuko salama kabisa
|
aliota ndoto ya milele
| 0 |
sw
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.