ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
Hassani hufanya mambo yake taratibu
Hassani hufanya mambo yake kwa haraka
Hassani hufanya mambo yake kama kobe
0
sw
Hassani hufanya mambo yake taratibu
Hassani hufanya mambo yake kwa haraka
Hassani hufanya mambo yake kama anakimbizwa
1
sw
Tatizo lako unapenda sana kusaidiwa kufanya mambo yako
Tatizo lako haupendi kabisa kusaidiwa kufanya mambo yako
Tatizo lako unapenda sana kutafuniwa
0
sw
Tatizo lako unapenda sana kusaidiwa kufanya mambo yako
Tatizo lako haupendi kabisa kusaidiwa kufanya mambo yako
Tatizo lako unapenda kufa mwenyewe
1
sw
Mtihani ulikua mgumu hadi kichwa kikaanza kuniuma
Mtihani haukua mgumu
Mtihani ulikua mgumu hadi kichwa kikaanza kuchemka
0
sw
Mtihani ulikua mgumu hadi kichwa kikaanza kuniuma
Mtihani haukua mgumu
Hata kama ulikua umejaza matope kichwani ungeweza kufanya mtihani ule
1
sw
Harufu ya miguu yake ilikua kali mno
Harufu ya miguu yake haikua kali
Harufu ya miguu yake ilitosha kuua mbu
0
sw
Harufu ya miguu yake ilikua kali mno
Harufu ya miguu yake haikua kali
Harufu ya miguu yake ingefaa kutengenezea manukato
1
sw
Maneno yake yalikua mengi mno
Maneno yake hayakua mengi
Maneno yake yalitosha kujaza bahari
0
sw
Maneno yake yalikua mengi mno
Maneno yake hayakua mengi
Maneno yake hayakuchukua hata sekunde
1
sw
Babu yangu alikua ni mtu mwenye mwili mkubwa
Babu yangu hakua mtu mwenye mwili mkubwa
Babu yangu alikua ni mtu wa miraba minne
0
sw
Babu yangu alikua ni mtu mwenye mwili mkubwa
Babu yangu hakua mtu mwenye mwili mkubwa
Babu yangu alikua kama punje ya haradali
1
sw
Wao hupenda kuweka siri mambo yao
Wao hupenda kuweka wazi mambo
Wao hupenda kuweka mambo yao gizani
0
sw
Wao hupenda kuweka siri mambo yao
Wao hupenda kuweka wazi mambo
Wanapenda kumwaga mchele kwenye kuku wengi
1
sw
Atafutae kwa shida ataishi kwa starehe
Atafutae kwa shida hataishi kwa starehe
Mchumia juani hulia kivulini
0
sw
Atafutae kwa shida ataishi kwa starehe
Atafutae kwa shida hataishi kwa starehe
Mchumia juani hulia juani
1
sw
Maisha yake yote amekua akipata maumivu sana
Maisha yake yote hajawahi pata maumivu
Maisha yake yote ni kama miiba.
0
sw
Maisha yake yote amekua akipata maumivu sana
Maisha yake yote hajawahi pata maumivu
Maisha yake yote ni kama mkate na chai.
1
sw
Muda uliobaki sio mwingi/ Muda hautakusubiria
Muda uliobaki ni mwingi/ Muda utakusubiria
Muda sio rafiki.
0
sw
Muda uliobaki sio mwingi/ Muda hautakusubiria
Muda uliobaki ni mwingi/ Muda utakusubiria
Muda ni rafiki.
1
sw
Harusi yao ilikua ya kifani
Harusi yao ilipooza
Harusi yao ilipamba moto
0
sw
Harusi yao ilikua ya kifani
Harusi yao ilipooza
Harusi yao ilikua kama msiba
1
sw
Alijutia maneno yake
Hakujutia maneno yake
Maneno yake yalimtokea puani
0
sw
Nilienda kumdai fedha zangu lakini bado aliendelea kunizungusha
Nilienda kumdai fedha zangu na akanilipa
Nilienda kumdai fedha zangu lakini bado aliendelea kuniletea siasa
0
sw
Nilienda kumdai fedha zangu lakini bado aliendelea kunizungusha
Nilienda kumdai fedha zangu na akanilipa
Nilienda kumdai fedha zangu na hakunilitea siasa
1
sw
Utapata kulingana na juhudi unazoweka
Hautapata kulingana na juhudi unazoweka
Utavuna ulichopanda
0
sw
Utapata kulingana na juhudi unazoweka
Hautapata kulingana na juhudi unazoweka
Unaweza panda nazi ukavuna koroma
1
sw
Neno la Mungu linatosha kukuongoza vyema
Neno la Mungu halitoshi kukuongoza
Neno la Mungu ni nuru tosha
0
sw
Neno la Mungu linatosha kukuongoza vyema
Neno la Mungu halitoshi kukuongoza
Neno la Mungu ni gari bila mafuta
1
sw
Mvua ilinyesha kwa wingi
Mvua haikunyesha kwa wingi
Mvua ilimiminika kwa fujo
0
sw
Mvua ilinyesha kwa wingi
Mvua haikunyesha kwa wingi
Mvua ilikonyeza tu
1
sw
Ujana una changamoto nyingi
Ujana hauna changamoto nyingi
Ujana maji ya moto
0
sw
Ujana una changamoto nyingi
Ujana hauna changamoto nyingi
Ujana ni kama maji
1
sw
Aliiumia sana baada ya kujulishwa kuhusu kifo cha mama yake
Hakuumia sana baada ya kujulishwa kuhusu kifo cha mama yake
Alitokwa na machozi ya damu baada ya kujulishwa kuhusu kifo cha mama yake
0
sw
Aliiumia sana baada ya kujulishwa kuhusu kifo cha mama yake
Hakuumia sana baada ya kujulishwa kuhusu kifo cha mama yake
Habari za kifo cha mama yake zilikua kama wimbo wa gitaa kwake
1
sw
Afanyayo msanii hutokana na jamii inayomzunguka
Afanyayo msanii hayatokani na jamii inayomzunguka
Msanii ni kioo cha jamii
0
sw
Afanyayo msanii hutokana na jamii inayomzunguka
Afanyayo msanii hayatokani na jamii inayomzunguka
Msanii ni kioo cha chumbani kwake
1
sw
George Foreman alikua na ngumi nzito mno
George Foreman hakua na ngumi nzito
George Foreman alikua na ngumi ya chuma
0
sw
George Foreman alikua na ngumi nzito mno
George Foreman hakua na ngumi nzito
George Foreman alikua na ngumi ya kike
1
sw
Alionekana yupo tofauti na wengine
Alionekana yupo sawa na wengine
Alionekana yupo tofauti na wengine kama kuku mgeni
0
sw
Alionekana yupo tofauti na wengine
Alionekana yupo sawa na wengine
Alionekana yupo sawa na wengine kama pundamilia.
1
sw
Upepo ulipita ukitoa sauti kubwa
Hakuusikia upepo wakati unapita
Upepo ulipita ukimnong’oneza
0
sw
Aliusikia upepo wakati unapita
Upepo ulipita ukitoa sauti kubwa
Upepo ulipita ukifoka
1
sw
Mama yao ana maneno mabaya
Mama yao ana maneno mazuri
Mama yao ana mdomo mchafu sana
0
sw
Mama yao ana maneno mabaya
Mama yao ana maneno mazuri
Mama yao ana maneno mazuri kama biblia
1
sw
Usipende kutokua na msimamo
Usipende kua na msimamo
Usipende kua vuguvugu
0
sw
Usipende kutokua na msimamo
Usipende kua na msimamo
Penda kua vuguvugu
1
sw
Aliahidi kuwa atachangia halafu hakuchanga
Aliahidi kuwa atachangia na akachanga
Aliahidi kuwa atachangia kisha akaingia mitini.
0
sw
Aliahidi kuwa atachangia halafu hakuchanga
Aliahidi kuwa atachangia na akachanga
Aliahidi kuwa atachangia na akawa mzungu
1
sw
Anajua kutunza siri
Yeye hawezi kutunza siri
Yule hana kifua.
0
sw
Anajua kutunza siri
Yeye hawezi kutunza siri
Yeye ana kifua.
1
sw
Hana nywele
Ana nywele nyingi
Ana upara kama jagwa la Sahara
0
sw
Hana nywele
Ana nywele nyingi
Nywele zake nyingi kama nyasi za uwanja wa mpira.
1
sw
Kukopa ni raha sana
Kulipa ni tabu sana
Kukopa ni harusi
0
sw
Kukopa ni raha sana
Kulipa ni tabu sana
Kulipa ni matanga
1
sw
Kijana ana roho mbaya
Kijana ana roho nzuri
Yule ana damu nyeusi
0
sw
Kijana ana roho mbaya
Kijana ana roho nzuri
Kijana ana roho nzuri kama mwalimu.
1
sw
Ali ni mjanja sana
Ali ni mpole sana.
Ali ni sungura
0
sw
Ali ni mjanja sana
Ali ni mpole sana.
Ali mpole kama kondoo.
1
sw
Binadamu hawatabiriki
Binadamu wanatabirika
Binadamu ni kama kinyonga
0
sw
Binadamu hawatabiriki
Binadamu wanatabirika
Binadamu wanatabirika kama macho ya mwizi.
1
sw
Yeye anafanya shughuli nyingi
Yeye anafanya shughuli chache
Anafanya kazi kama nyuki
0
sw
Yeye anafanya shughuli nyingi
Yeye anafanya shughuli chache
Anafanya kazi kama jongoo
1
sw
Taa ina mwanga mkali sana
Taa haitoi mwanga kabisa
Taa inatoa mwanga kama moto mkubwa usiku wa manane
0
sw
Taa ina mwanga mkali sana
Taa haitoi mwanga kabisa
Taa inatoa mwanga kama tobo kubwa jeusi katikati ya vakyumu.
1
sw
Sauti ilikuwa kubwa
Sauti ilikuwa kimya
Suti ilikua kubwa kama bomu la Nyuklia
0
sw
Sauti ilikuwa kubwa
Sauti ilikuwa kimya
Sauti ilikua ndogo kama wimbo wa taratibu.
1
sw
Silaha ilikuwa ngumu
Silaha ilikuwa dhaifu
Silaha ilikua ngumu kama chuma
0
sw
Silaha ilikuwa ngumu
Silaha ilikuwa dhaifu
Silaha ilikua dhaifu kama plastiki.
1
sw
Anatunza vizuri mdoli wake
Hatunzi vizuri mdoli wake
Mdoli unatunzwa vizuri kama mtoto
0
sw
Anatunza vizuri mdoli wake
Hatunzi vizuri mdoli wake
Mdoli unatunzwa vibaya kama takataka
1
sw
Ilipasuka katika vipande vipande vingi
Ilipasuka katika vipande viwili tu
Kioo kilipasuka na kuonekena kama utandu wa buibui
0
sw
Ilipasuka katika vipande vipande vingi
Ilipasuka katika vipande viwili tu
Sahani ilipasuka na kuonekena kama nusu mwezi wa angani
1
sw
Yeye anavutia
Yeye ni mbaya na havutii
Yeye anavutia kama mungu wa kigiriki
0
sw
Yeye anavutia
Yeye ni mbaya na havutii
Yeye anaonekana kama jokeri
1
sw
Filamu imebeba maana kubwa sana
Filamu imebeba maudhui madogo sana.
Filamu hii ina kina cha ziwa Tanganyika
0
sw
Filamu imebeba maana kubwa sana
Filamu imebeba maudhui madogo sana.
Filamu hii ina kina cha dimbwi.
1
sw
Chumba kina nafasi kubwa iliyobaki
Chumba kina nafasi ndogo iliyobaki
Chumba kina nafasi kubwa kama shamba
0
sw
Chumba kina nafasi kubwa iliyobaki
Chumba kina nafasi ndogo iliyobaki
Chumba kina nafasi ndogo iliyobaki kama jiji.
1
sw
Pombe ilimfanya ajisikie vibaya
Pombe ilimfurahisha sana
Pombe ilimfanya ajisikie kama kifo
0
sw
Pombe ilimfanya ajisikie vibaya
Pombe ilimfurahisha sana
Pombe ilimfanya ajisikie kama amelamba asali
1
sw
Muziki ulisikika ulikua laini na mzuri.
Muziki uliosikika ulikua mbaya.
Muziki ulikua mzuri na laini kama Unyoya.
0
sw
Muziki ulisikika ulikua laini na mzuri.
Muziki uliosikika ulikua mbaya.
Muziki ulikua mbaya na mgumu kama mkate wa juzi.
1
sw
Kutengeneza pesa kulimfanya aishi
Kutengeneza pesa kulimuua taratibu
Kwake, Kutengeneza pesa ilikuwa kama Oksijeni
0
sw
Kutengeneza pesa kulimfanya aishi
Kutengeneza pesa kulimuua taratibu
Kwake, Kutengeneza pesa ilikua kama kujipiga kitanzi.
1
sw
Kijana alikua kimya sana
Kijana alikua na kelele sana
Kijana alikua kimya kama mtoto mdogo
0
sw
Kijana alikua kimya sana
Kijana alikua na kelele sana
Kijana alipiga kelele kama garimoshi
1
sw
Pesa ni nzuri
pesa ni mbaya
Pesa ni sabuni ya roho.
0
sw
Pesa ni nzuri
pesa ni mbaya
Pesa ni muuaji.
1
sw
Inanukia vizuri
Inanukia Vibaya
Inanukia vizuri kama juisi ya embe lililotoka mtini
0
sw
Inanukia vizuri
Inanukia Vibaya
Inanukia vibaya kama tairi linaloungua
1
sw
Alikuwa tajiri
Alikuwa masikini
Alikuwa na utajiri wa mfalme suleiman
0
sw
Alikuwa tajiri
Alikuwa masikini
Alikuwa na utajiri wa Kibarua
1
sw
Kuna baridi sana
Kuna joto sana
Kuna baridi kali kama vile tumetupwa Antaktika
0
sw
Kuna baridi sana
Kuna joto sana
Hali ya hewa ni kama vile tumemwagiwa Lava
1
sw
Kiuno chake ni chembamba
Kiuno chake ni kipana
Kiuno chake kina upana wa kijiti
0
sw
Kiuno chake ni chembamba
Kiuno chake ni kipana
Kiuno chake kina upana wa mbuyu.
1
sw
Mrukaji aliruka juu sana
Mrukaji hakuruka juu sana
Aliruka juu kama Panzi
0
sw
Mrukaji aliruka juu sana
Mrukaji hakuruka juu sana
Aliruka juu kama kobe
1
sw
Filamu ilikuwa inatisha
Filamu ilikuwa haitishi
Filamu ilikuwa inatisha kama kinyago.
0
sw