ending1
stringlengths 4
149
| ending2
stringlengths 5
156
| startphrase
stringlengths 7
179
| labels
int64 0
1
| split
stringclasses 7
values |
---|---|---|---|---|
Filamu ilikuwa inatisha
|
Filamu ilikuwa haitishi
|
Filamu ilikuwa inatisha kama mdoli mzuri.
| 1 |
sw
|
Tatizo lilikuwa dogo
|
Tatizo lilikuwa kubwa
|
Tatizo lilikuwa dogo kama panya
| 0 |
sw
|
Tatizo lilikuwa dogo
|
Tatizo lilikuwa kubwa
|
Tatizo lilikuwa kubwa kama tembo
| 1 |
sw
|
Kazi ilikuwa rahisi sana
|
Kazi ilikuwa ngumu
|
kazi ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi.
| 0 |
sw
|
Kazi ilikuwa rahisi sana
|
Kazi ilikuwa ngumu
|
Kazi ilikuwa ngumu kama kusukuma ukuta
| 1 |
sw
|
Haiwezekani kuwa na amani
|
Inawezekana kuwa na amani
|
Amani ni kama mwanadamu kupaa
| 0 |
sw
|
Haiwezekani kuwa na amani
|
Inawezekana kuwa na amani
|
Amani ni kama mwanadanu kutembea
| 1 |
sw
|
Aliibeba kwa uangalifu na kujivunia
|
Aliibeba kwa kinyaa na tahadhari
|
Aliibeba kama mama aliyembeba mtoto wake
| 0 |
sw
|
Aliibeba kwa uangalifu na kujivunia
|
Aliibeba kwa kinyaa na tahadhari
|
Aliibeba kama kinyesi
| 1 |
sw
|
Nina njaa kali
|
Sina njaa
|
Nina njaa kali kama Simba
| 0 |
sw
|
Nina njaa kali
|
Sina njaa
|
Sina njaa kama Chatu aliyemeza windo lake.
| 1 |
sw
|
Matarajio yao hayakutimia
|
Matarajio yao yalitimia
|
Matarajio yao yaliyeyuka kama barafu.
| 0 |
sw
|
Matarajio yao hayakutimia
|
Matarajio yao yalitimia
|
Matarajio yao yalipitiliza kama saa ya mshale.
| 1 |
sw
|
Alikuwa na uhakika na mawazo yake
|
Alikuwa hana uhakika na mawazo yake
|
Mawazo yake yalikuwa imara kama Zege
| 0 |
sw
|
Alikuwa na uhakika na mawazo yake
|
Alikuwa hana uhakika na mawazo yake
|
Mawazo yakeyalikuwa dhaifu kama glasi.
| 1 |
sw
|
Maisha yake hayana mwelekeo
|
Maisha yake yana mwelekeo
|
Maisha yake ni kama peni isiyo na wino
| 0 |
sw
|
Maisha yake hayana mwelekeo
|
Maisha yake yana mwelekeo
|
Maisha yake ni kama bajeti ya nchi
| 1 |
sw
|
Upendo ni muhimu
|
Upendo hauna umuhimu
|
Upendo ni dunia.
| 0 |
sw
|
Upendo ni muhimu
|
Upendo hauna umuhimu
|
Upendo ni kama kumwaga maji baharini
| 1 |
sw
|
Alikimbia spidi kubwa kwenye mashindano
|
Alikimbia polepole kwenye mashindano
|
Siku ya mashindano alikimbia kama chui
| 0 |
sw
|
Alikimbia spidi kubwa kwenye mashindano
|
Alikimbia polepole kwenye mashindano
|
Siku ya mashindano alikimbia kama kinyonga
| 1 |
sw
|
Furaha huponya maumivu
|
Furaha haiponyi maumivu
|
Furaha ni dawa
| 0 |
sw
|
Furaha huponya maumivu
|
Furaha haiponyi maumivu
|
Furaha si dawa
| 1 |
sw
|
Wfanyakazi wanafanya kazi kwa ushirikiano
|
Wafanyakazi wanafanya kazi bila ushirikiano
|
Wafanyakazi wanafanya kazi kama mchwa
| 0 |
sw
|
Wfanyakazi wanafanya kazi kwa ushirikiano
|
Wafanyakazi wanafanya kazi bila ushirikiano
|
Wafanyakazi wanafanya kazi kibinafsi kama duma
| 1 |
sw
|
Elimu haina mwisho
|
Elimu ina mwisho
|
Elimu ni bahari
| 0 |
sw
|
Elimu haina mwisho
|
Elimu ina mwisho
|
Elimu ni mto
| 1 |
sw
|
Rafiki yangu ni mzuri
|
Rafiki yangu ni mbaya
|
Rafiki angu ni ua jekundu
| 0 |
sw
|
Rafiki yangu ni mzuri
|
Rafiki yangu ni mbaya
|
Rafiki angu ni ua jeusi
| 1 |
sw
|
Maongezi yalikuwa mafupi
|
Maongezi yalikuwa marefu
|
Maongezi yalikua mafupi kama kipande cha sigara
| 0 |
sw
|
Maongezi yalikuwa mafupi
|
Maongezi yalikuwa marefu
|
Maongezi yalikuwa marefu kama kesi ya mbowe.
| 1 |
sw
|
Kijana anapenda dini
|
Kijana hapendi dini
|
Kijana anapenda dini kama mchungaji
| 0 |
sw
|
Kijana anapenda dini
|
Kijana hapendi dini
|
Kijana hapendi dini kama hetani
| 1 |
sw
|
Mchezaji yule ana pumzi sana
|
Mchezaji yule hana pumzi sana
|
Mchezaji yule ana mapafu ya mbwa
| 0 |
sw
|
Mchezaji yule ana pumzi sana
|
Mchezaji yule hana pumzi sana
|
Mchezaji yule hana mapafu ya mbwa
| 1 |
sw
|
Rafiki yangu ana kumbukumbu
|
Rafiki yangu hana kumbukumbu
|
Rafiki yangu ana kumbukumbu kama maktaba.
| 0 |
sw
|
Rafiki yangu ana kumbukumbu
|
Rafiki yangu hana kumbukumbu
|
Rafiki yangu ana ubongo wa mende.
| 1 |
sw
|
Kijana ni mtulivu sana
|
Kijana han utulivu
|
Kijana ni maji kwenye mtungi
| 0 |
sw
|
Kijana ni mtulivu sana
|
Kijana han utulivu
|
Kijana ni kama amepakwa upupu
| 1 |
sw
|
Mwakimu alitufundisha hekima
|
Mwalimu hakutufundisha hekima
|
Mwalimu alipanda mbegu ya hekima
| 0 |
sw
|
Mwakimu alitufundisha hekima
|
Mwalimu hakutufundisha hekima
|
Mwalimu hakupanda mbegu ya hekima
| 1 |
sw
|
Maisha yangu ni mazuri
|
Maisha yangu ni mabaya
|
Maisha yamenipiga chenga
| 0 |
sw
|
Maisha yangu ni mazuri
|
Maisha yangu ni mabaya
|
Maisha nimeyapiga bao
| 1 |
sw
|
Gari hili lina spidi
|
Gari hili halina spidi
|
Gari hili ni roketi
| 0 |
sw
|
Gari hili lina spidi
|
Gari hili halina spidi
|
Gari hili ni konokono
| 1 |
sw
|
Watu wengi wamefika katika sherehe
|
Watu wachache sana wamefika katika sherehe
|
Watu wamefurika katika sherehe
| 0 |
sw
|
Watu wengi wamefika katika sherehe
|
Watu wachache sana wamefika katika sherehe
|
Watu wamepelea katika sherehe
| 1 |
sw
|
Alikuja na watoto wengi
|
Alikuja na watoto wachache
|
Alikuja na jeshi la watoto
| 0 |
sw
|
Alikuja na watoto wengi
|
Alikuja na watoto wachache
|
Alikuja na kikundi cha watoto
| 1 |
sw
|
Ahadi lazima itimizwe
|
Ahadi sio lazima upewe
|
Ahadi ni deni
| 0 |
sw
|
Ahadi lazima itimizwe
|
Ahadi sio lazima upewe
|
Ahadi ni zawadi
| 1 |
sw
|
Nimelipa deni langu
|
Sijalipa deni langu
|
Nimevunja minyororo ya deni
| 0 |
sw
|
Nimelipa deni langu
|
Sijalipa deni langu
|
Bado nipo katika kifungo cha deni
| 1 |
sw
|
Yeye ni mrefu
|
Yeye ni mfupi
|
Kichwa chake kipo mawinguni
| 0 |
sw
|
Yeye ni mrefu
|
Yeye ni mfupi
|
Yeye ni mkia wa mbuzi
| 1 |
sw
|
Nyumbani kwangu kuna joto
|
Nyumbani kwangu kuna baridi
|
Nyumbani kwangu ni kama oveni
| 0 |
sw
|
Nyumbani kwangu kuna joto
|
Nyumbani kwangu kuna baridi
|
Nyumbani kwangu ni kama friji
| 1 |
sw
|
Maneno yake yanaumiza hisia zangu
|
Maneno yake yanafariji hisia zangu
|
Maneno yake yanachoma moyo wangu
| 0 |
sw
|
Maneno yake yanaumiza hisia zangu
|
Maneno yake yanafariji hisia zangu
|
Maneno yake yanafariji moyo wangu
| 1 |
sw
|
Mimi na mdogo wangu hatupatani
|
Mimi na mdogo wangu tunapatana
|
Sisi hatupikiki chungu kimoja
| 0 |
sw
|
Mimi na mdogo wangu hatupatani
|
Mimi na mdogo wangu tunapatana
|
Mimi na mdogo wangu ni pete na kidole
| 1 |
sw
|
Yeye ni mzembe
|
Yeye sio mzembe
|
Yeye ni kiazi
| 0 |
sw
|
Yeye ni mzembe
|
Yeye sio mzembe
|
Yeye ni kichwa
| 1 |
sw
|
Rafiki yangu ananipa sifa nzuri
|
Rafiki yangu ananipa sifa mbaya
|
Rafiki yangu ananipaka wanja
| 0 |
sw
|
Rafiki yangu ananipa sifa nzuri
|
Rafiki yangu ananipa sifa mbaya
|
Rafiki yangu ananipaka pilipili
| 1 |
sw
|
Mama hachoki kunibeba
|
Mama anachoka kunibeba
|
Mama ni kitanda
| 0 |
sw
|
Mama hachoki kunibeba
|
Mama anachoka kunibeba
|
Mama si kitanda
| 1 |
sw
|
Alfred alienda kupima akakutwa na ukimwi
|
Alfred alienda kupima lakini hakukutwa na ukimwi
|
Alfred alienda kupima akakutwa na umeme
| 0 |
sw
|
Alfred alienda kupima akakutwa na ukimwi
|
Alfred alienda kupima lakini hakukutwa na ukimwi
|
Alfred alienda kupima lakini hakukutwa na umeme
| 1 |
sw
|
Jamaa alikimbia kwa kasi
|
Jamaa alizubaa alivyokutana na vibaka
|
Jamaa alitoka baruti
| 0 |
sw
|
Jamaa alikimbia kwa kasi
|
Jamaa alizubaa alivyokutana na vibaka
|
Jamaa alisimama kama mlingoti alivyokutana na vibaka
| 1 |
sw
|
Yule mbunge hana msimamo
|
Yule mbunge ana msimamo
|
Yule mbunge ni bendera hufuata upepo
| 0 |
sw
|
Yule mbunge hana msimamo
|
Yule mbunge ana msimamo
|
Yule mbunge ana msimamo wa shaba
| 1 |
sw
|
Maisha yamekuwa magumu
|
Maisha yamekua marahisi
|
Maisha yamekua pasua kichwa
| 0 |
sw
|
Maisha yamekuwa magumu
|
Maisha yamekua marahisi
|
Maisha yamekua malaini
| 1 |
sw
|
Kulipa uovu si sahihi
|
Kulipa uovu ni sahihi
|
Kulipa uovu ni kujipalia makaa ya moto
| 0 |
sw
|
Kulipa uovu si sahihi
|
Kulipa uovu ni sahihi
|
Kulipa uovu ni kujipalilia matunda
| 1 |
sw
|
Rafiki yake anapenda njia haramu
|
Rafiki yake hapendi njia haramu
|
Rafiki yake anapenda sana njia za panya
| 0 |
sw
|
Rafiki yake anapenda njia haramu
|
Rafiki yake hapendi njia haramu
|
Rafiki yake amekunywa maji ya bendera
| 1 |
sw
|
Wanachuo wanapenda kunywa pombe
|
Wanachuo hawapendi kunywa pombe
|
Wanachuo wanapenda kupiga maji
| 0 |
sw
|
Wanachuo wanapenda kunywa pombe
|
Wanachuo hawapendi kunywa pombe
|
Wanachuo hawapendi kupiga maji
| 1 |
sw
|
Wanafiki watakupa sifa za uongo
|
Wanafiki watakupa sifa za ukweli
|
Wanafiki watakupaka mafuta
| 0 |
sw
|
Wanafiki watakupa sifa za uongo
|
Wanafiki watakupa sifa za ukweli
|
Wanafiki hawatakupaka mafuta
| 1 |
sw
|
Hupenda kufanya mambo yake kufuata utaratibu
|
Hupenda kufanya mambo yake bila kufuata utaratibu
|
Hupenda kuweka mambo yake kwenye mstari
| 0 |
sw
|
Hupenda kufanya mambo yake kufuata utaratibu
|
Hupenda kufanya mambo yake bila kufuata utaratibu
|
Hupenda kupindisha mambo yake
| 1 |
sw
|
Alitokwa jasho jingi wakati wa mazoezi
|
Hakutokwa na jasho jingi wakati wa mazoezi
|
Mvua ilinyesha mgongoni mwake wakati wa mazoezi
| 0 |
sw
|
Alitokwa jasho jingi wakati wa mazoezi
|
Hakutokwa na jasho jingi wakati wa mazoezi
|
Ukame ulitanda mgongoni mwake wakati wa mazoezi
| 1 |
sw
|
Wanapenda kuwa pamoja
|
Hawapendi kuwa pamoja
|
Wanapenda kuambatana utadhani siafu
| 0 |
sw
|
Wanapenda kuwa pamoja
|
Hawapendi kuwa pamoja
|
Hawapendi kuambatana kama siafu
| 1 |
sw
|
Hii kesi tutaishughulikia kisawasawa
|
Hii kesi tumeishindwa
|
Hii kesi tumeivalia njuga
| 0 |
sw
|
Hii kesi tutaishughulikia kisawasawa
|
Hii kesi tumeishindwa
|
Hii kesi tumeivulia shati
| 1 |
sw
|
Hauna akili
|
Una akili sana
|
Akili zako nawe kama mbogo
| 0 |
sw
|
Hauna akili
|
Una akili sana
|
Akili zako kama mbweha
| 1 |
sw
|
Yeye ni mtoto mdogo
|
Yeye ni mtu mzima
|
Hawezi kuolewa, bado ni kifaranga
| 0 |
sw
|
Yeye ni mtoto mdogo
|
Yeye ni mtu mzima
|
Anaweza kuolewa, ameshakuwa msupu
| 1 |
sw
|
Mwanafunzi haelewi kirahisi
|
Mwanafunzi anaelewa kiurahisi
|
Mwanafunzi huyu ana kichwa kigumu
| 0 |
sw
|
Mwanafunzi haelewi kirahisi
|
Mwanafunzi anaelewa kiurahisi
|
Mwanafunzi huyu ana kichwa chepesi
| 1 |
sw
|
Haya mambo nimeyaacha
|
Haya mambo ninayafuatilia
|
Haya mambo nimeyanawia mikono
| 0 |
sw
|
Haya mambo nimeyaacha
|
Haya mambo ninayafuatilia
|
Haya mambo nimeyafungia mkanda
| 1 |
sw
|
Nguo zake kila siku ni nzuri
|
Nguo zake kila siku ni mbaya
|
Nguo zake kila siku ni pamba kali
| 0 |
sw
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.